Tanzania
MapoList

Ex-CAG calls on CSOs to shun from politics

Former Controller and Auditor General Ludovick Utouh has called upon Civil Society Organizations (CSOs) to shun from politics so to avoid being used by politicians.

British Airways yapoteza mwelekeo, abiria wachanganyikiwa

Abiria wa Shirika la Ndege la Uingereza British Airways wameonesha kushtushwa baada ya kupanda ndege iliyokusudiwa kwenda jijini Dusseldorf, Ujerumani badala yake ilienda kutua Edinburgh, Scotland.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Takukuru yawapandisha kizimbani viongozi CCM

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imewafikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala vigogo watatu wa CCM Ilala wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kuomba rushwa ya Sh5 milioni na kupokea Sh3 milioni.

Tahadhari ya upungufu wa maji yatolewa, imo Dar na mikoa mingine mitano

Bodi ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu imetahadharisha kwamba endapo hatua madhubuti za usimamizi wa rasilimali za maji hazitachukuliwa upo uwezekano wa kuongezeka kwa uhaba mkubwa wa maji katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Ukarabati makazi ya wazee wahitaji Sh10 bilioni

Serikali inahitaji Sh10.2 bilioni kwa ajili ya ukarabati wa makazi ya wazee yaliyopo sehemu mbalimbali hapa nchini ili kuwafanya nao wafurahie maisha yao ya uzee na kuwaweka salama dhidi ya vitendo vya mauaji ya vikongwe.

Guinea haipaswi kubezwa

Wachezaji wa Serengeti Boys watakuwa wana kumbukumbu nzuri na wachezaji wa Guinea walipokuwa kule Antalya, Uturuki kwenye mashindano ya vijana ya Uefa Assist.

Samia atoa neno shule za kukuza vipaji vya soka

Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametaka shule za kukuza vipaji kwa vijana ziwekwe katika hali nzuri ili kuweza kutayarisha wachezaji wazuri wa baadaye.

JKCI watoa ofa ya kupima moyo baada ya ushindi wa Stars

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ofa kwa wagonjwa wa nje kupima kwa nusu ya bei katika masaa nane ili kushangilia ushindi wa Taifa Stars.

Jela miaka 30 jela kwa kumbaka mama mzazi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wilaya ya Serengeti mkoani Mara imemhukumu, Choral Samson (28) mkazi wa Burunga kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mama yake mzazi Rhobi Nyang'ombe (65).

Lipumba atoa neno la faraja vigogo CUF kukimbilia ACT-Wazalendo

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ametoa neno la faraja baada ya viongozi wengi wa chama hicho kuhamia ACT-Wazalendo kuungana na Maalim Seif Sharif Hamad.

Msimu ujao wa korosho utakuwa hivi

Watu wengi wanajiuliza maswali lakini huenda hawapati majibu kuhusu namna msimu ujao wa korosho utakavyokuwa baada ya ule wa mwaka huu kuwa na changamoto ya bei jambo lililoilazimu Serikali kuingilia kati kuinunua.

Mawakili TLS wapambana kusaka nafasi ya Fatma Karume

Zikiwa zimebaki siku 12 kabla ya Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kupata mrithi wa Fatma Karume, wagombea wa nafasi hiyo wameendelea kujinadi na ahadi za kuleta mageuzi makubwa ya uongozi 2019/2020.

Udart yaanika sababu za mabasi yake 70 kukwama

Baada ya mabasi 70 ya Udart kufikisha mwaka tangu yashikiliwe na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), uongozi wa kampuni hiyo ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam, umeeleza mzizi mzima wa mgogoro huo.

Viongozi wazima vurugu Tunduma

Tunduma. Viongozi wa Serikali nchini Tanzania na Zambia leo Jumapili Machi 24, 2019 wamezima vurugu za vijana katika mpaka wa Tunduma wakishinikiza kuachiwa kwa Wazambia 15 waliokuwa wakishirikiliwa na polisi nchini. Watu hao walikamatwa baada ya polisi kufa
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Viongozi wazima vurugu Tunduma

Tunduma. Viongozi wa Serikali nchini Tanzania na Zambia leo Jumapili Machi 24, 2019 wamezima vurugu za vijana katika mpaka wa Tunduma wakishinikiza kuachiwa kwa Wazambia 15 waliokuwa wakishirikiliwa na polisi nchini. Watu hao walikamatwa baada ya polisi kufanya msako wa kukamata wahalifu. Akizungumza leo, Mkuu wa Wilaya ya Momba, Jumaa Irando amesema tukio hilo limehusisha watu wachache walioanza kuandamana katika mpaka huo wa nchi hizo mbili wakishinikiza waliokamatwa kuachiwa. Amesema kufuatia hali hiyo, kamati ya ulinzi ya pande zote mbili zilikutana na kukubaliana kushughulikia jambo hilo kwa pamoja. “Hatujawaachia huru kwa sababu operesheni yetu tulishirikiana na wenzetu wa Zambia, hivyo watashtakiwa kwa mujibu wa sheria zilizopo pande zote mbili,” amesema Irando. Meneja wa forodha katika mpaka wa Tunduma, Johnmather Sirro amesema sakata hilo limetokana na baadhi ya watu kutoa taarifa potofu huku baadhi wakiwatisha waliokuwa wakiingia nchini na kusababisha shughuli mbalimbali katika mpaka huo kusimama. Amesema shughuli za kupitisha magari zilisitishwa kwa muda baadaye kurejea katika hali ya kawaida. Mmoja wa wafanyabiashara katika mpaka huo, Kim Mwakasege amesema jambo hilo linapaswa kutazamwa kwa kina. Amesema kuna madai kuwa siku za hivi karibuni baadhi ya watu waliporwa fedha na watu waliojitambulisha kuwa ni askari kutoka nchi jirani. Elina Sichula amesema vurugu hizo zimetokana na raia wa Zambia kurusha mawe upande wa Tanzania huku Sadick Lauden akibainisha kuwa kitendo hicho kilihatarisha amani. “Kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kuwa wahalifu ni jambo la kawaida ni kuacha tu sheria zichukue mkondo wake,” amesema Lauden.

Stars yaweka rekodi baada ya miaka 39, yafuzu AFCON ikiifunga Uganda mabao 3-0

Ushindi wa Stars wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda umekuwa wa maana baada ya Lesotho kushindwa kupata matokeo dhidi ya Cape Verde kwani wangeshinda ingekuwa ngumu Tanzania kufuzu AFCON za mwaka huu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Stars yaweka rekodi baada ya miaka 39, yafuzu AFCON ikiifunga Uganda mabao 3-0

Ushindi wa Stars wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda umekuwa wa maana baada ya Lesotho kushindwa kupata matokeo dhidi ya Cape Verde kwani wangeshinda ingekuwa ngumu Tanzania kufuzu AFCON za mwaka huu.

VIDEO: Rais Magufuli aipongeza Stars kwa kufuzu

Dar es Salaam. Rais John Magufuli ameipongeza timu ya Taifa kwa kufuzu kucheza fainali za michuano ya Afrika mwaka 2019 baada ya leo Jumapili Machi 24, 2019 kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda. Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Rais Magufuli aipongeza Stars kwa kufuzu

Dar es Salaam. Rais John Magufuli ameipongeza timu ya Taifa kwa kufuzu kucheza fainali za michuano ya Afrika mwaka 2019 baada ya leo Jumapili Machi 24, 2019 kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda. Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa inaeleza kuwa kiongozi mkuu huyo wa nchi alifuatilia mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kupitia televisheni. “Rais  alikuwa akifuatilia pambano hilo kupitia luninga amerekodiwa picha ya video akifurahia ushindi baada ya pambano la Taifa Stars na Uganda kumalizika kwa Taifa Stars kupata ushindi wa magoli matatu kwa sifuri,” inaeleza taarifa hiyo. Rais Magufuli amesema ushindi huo ni heshima kwa nchi na kuwapongeza Watanzania wote kwa ushindi huo, ikiwa ni miaka 39 tangu Tanzania iliposhiriki michuano hiyo mwaka 1980. Magoli ya Taifa Stars yalifungwa na Saimon Msuva, Erasto Nyoni na Aggrey Morris.

RC Mghwira ahubiri, azungumzia waumini kwenda makanisa ‘ya kiroho’

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, leo Jumapili Machi 24, 2019  wametoa mahubiri mazito kwa waumini wa Kikristo nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

RC Mghwira ahubiri, azungumzia waumini kwenda makanisa ‘ya kiroho’

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, leo Jumapili Machi 24, 2019  wametoa mahubiri mazito kwa waumini wa Kikristo nchini.

Chumba Uwanja wa Ndege Dar chateketea kwa moto

Chumba kimojawapo cha ofisi kilichopo katika jengo la Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)  jengo la Terminal 3, kimeungua kwa moto ambao bado chanzo hakijajulikana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Chumba Uwanja wa Ndege Dar chateketea kwa moto

Chumba kimojawapo cha ofisi kilichopo katika jengo la Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)  jengo la Terminal 3, kimeungua kwa moto ambao bado chanzo hakijajulikana.

Kalemani awatega Tanesco Kigoma

Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amemtaka Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Enock Bwire, kuandika barua ya kujiuzulu ikiwa watashindwa kusimamia usambazaji wa umeme kupitia Mradi wa Umeme Vijijini (Rea) ifikapo
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kalemani awatega Tanesco Kigoma

Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amemtaka Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Enock Bwire, kuandika barua ya kujiuzulu ikiwa watashindwa kusimamia usambazaji wa umeme kupitia Mradi wa Umeme Vijijini (Rea) ifikapo June 30, 2019.

MC isn’t Master of Ceremony; he’s Master of ‘Ceremonies’

We’ll not expose the “culprit”, so suffice to say that a certain scribbler, in his story about a famous broadcaster who died, purports to quote a big government official, and this is what he writes:
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

How to (not to) meet your creator after binge

In Uswaz, with the help of the grand lady Mama Mwakilambo, we are always attempting suicide. Many are the days we miss death by the skin of our teeth – over an uholy drink. We provoke our guardian angels to take to the good Lord our life files to append hi
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

How to (not to) meet your creator after binge

In Uswaz, with the help of the grand lady Mama Mwakilambo, we are always attempting suicide. Many are the days we miss death by the skin of our teeth – over an uholy drink. We provoke our guardian angels to take to the good Lord our life files to append his last signature.

Be happy

Many any of us have asked a young child, ‘What do you want to dowhen you grow up?” Sometimes the question is phrased, ‘What do you want to be when you grow up?’ We actually mean the same whether we say ‘do’ or ‘be’. Though, of course, they do
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Be happy

Many any of us have asked a young child, ‘What do you want to dowhen you grow up?” Sometimes the question is phrased, ‘What do you want to be when you grow up?’ We actually mean the same whether we say ‘do’ or ‘be’. Though, of course, they do not mean the same thing.

What Tanzania can learn from conjoined twins cases

It is over 25 years since the first set of conjoined twins was reported and separated in Tanzania, yet more occurrences of rare twins have continued making headlines.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

What Tanzania can learn from conjoined twins cases

It is over 25 years since the first set of conjoined twins was reported and separated in Tanzania, yet more occurrences of rare twins have continued making headlines.

Get more results via ClueGoal