Tanzania
MapoList

Kigoma business centres to cut red tape, argues DAS

The completion of business centres in all district councils in the region here will increase opportunities to local and foreign investors, Buhigwe District Administrative Secretary Peter Masinde has said.

ACT- Wazalendo waanza kutamba Z’bar, wasema urais 2020 ni wao

Kwa mara ya kwanza aliyekua Mkurugenzi wa habari Chama cha Wananchi (CUF) Salim Abdalla Bimani amesema chama cha ACT-Wazalendo kitashinda nafasi ya urais visiwani Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Halmashauri 31 zamkera Waziri Jafo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo ameagiza halmashauri 31 ambazo zimeshindwa kutoa fedha za lishe kujieleza kwa wakuu wa mikoa ndani ya siku 14 sababu ya kushindwa kwao.

Mmiliki wa shule ya Lucky Vicent ajitetea hana hatia

Mmiliki wa shule ya msingi Lucky Vicent, Innocent Moshi  amesema hana hatia katika kesi inayomkabili kutokana na ajali iliyosababisha wanafunzi wake 32, walimu wawili na dereva kufariki katika ajali iliyotokea mwaka juzi.

UCHOKOZO WA EDO: Inawezekana na ‘kibarua’ cha Profesa kimeisha

Baada ya yule mzee kuondoka kundini nahisi kama vile kibarua cha Professa kitakuwa kimekoma. Kazi yake ingeweza kuendelea kama yule bwana angeng’ang’nia kubakia chamani, lakini sasa ameachwa peke yake na hana mshindani.

Mwanamke ajidunga sindano yenye matunda

Mwanamke mmoja nchini China amenusurika kifo baada ya kujidunga yeye mwenyewe sindano iliyosheheni mchanganyiko wa matunda yaliyotengenezwa kwa jitihada za kuwa na afya.

Polisi Arusha waanza kutekeleza agizo la Lugola

Jeshi la Polisi mkoani hapa limeanza kutekeleza maelekezo ya serikali ya kuacha “kurusha majini” barabarani ili kuwaondolea bughudha wasafiri.  

Mwalimu afariki kwa kujinyonga

Mwalimu mkuu msaidizi wa Shule ya Msingi Bulale, Said Ngasa amekutwa akiwa amefariki kwa kujinyonga nyumbani kwake mtaa wa Nyambiti jijini Mwanza 

Simba yaitandika Ruvu Shooting 2-0 za fasta Taifa

Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumanne leo usiku.

Questions as Kenyan doctor dies in Cuba

Dr Hamisi Ali Juma was to embark on a journey back to his wife and eight-month-old baby in Kenya when news broke that he had allegedly committed suicide in Cuba.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Uganda probes two deaths after shipment of food aid

KAMPALA, Uganda said Monday it had suspended distribution of a fortified food supplement provided by a UN agency after two people died and scores fell ill.

Irrigation projects fail to end perennial hunger in Turkana

The fanfare that greeted the launch of dozens of projects aimed at ending perennial hunger in Turkana County years ago has evaporated after many turned into white elephants.

Wabunge waliokuwa kwa Maalim Seif, waanza kurejea kwa Lipumba

Baadhi ya wabunge waliokuwa wakimuunga mkono Maalim Seif Sharif Hamad akiwemo Bobali wameanza kujerea wakisema ni wakati wa kuijenga CUF
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabunge waliokuwa kwa Maalim Seif, waanza kurejea kwa Lipumba

Baadhi ya wabunge waliokuwa wakimuunga mkono Maalim Seif Sharif Hamad akiwemo Bobali wameanza kujerea wakisema ni wakati wa kuijenga CUF

Mtandao wa Whatsapp ulivyowarudisha shule kina Magda

Machi 15 asubuhi Magdallena Julius na mdogo wake Hellena Julius waliungana na wanafunzi wengine wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Serengeti kuanza safari ya kutimiza ndoto zao za kuwa walimu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtandao wa Whatsapp ulivyowarudisha shule kina Magda

Machi 15 asubuhi Magdallena Julius na mdogo wake Hellena Julius waliungana na wanafunzi wengine wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Serengeti kuanza safari ya kutimiza ndoto zao za kuwa walimu.

Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa Malawi, Msumbiji na Zimbabwe

Kufuatia Kimbunga cha Idai nchini Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambacho hadi sasa inasemekana watu takribani 1,000 wamepoteza maisha, Rais John Magufuli ametoa msaada wa tani 214 za chakula na dawa tani 24.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa Malawi, Msumbiji na Zimbabwe

Kufuatia Kimbunga cha Idai nchini Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambacho hadi sasa inasemekana watu takribani 1,000 wamepoteza maisha, Rais John Magufuli ametoa msaada wa tani 214 za chakula na dawa tani 24.

Wachungaji 250 watembelea eneo litakalojengwa chuo

Leo Jumanne, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) amewaongoza wachungaji 250 wa kanisa hilo Dayosisi ya Kaskazini kuzunguka eneo ambalo kutajengwa Makao Makuu ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCO)
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wachungaji 250 watembelea eneo litakalojengwa chuo

Leo Jumanne, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) amewaongoza wachungaji 250 wa kanisa hilo Dayosisi ya Kaskazini kuzunguka eneo ambalo kutajengwa Makao Makuu ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCO)

Maalim Seif: Shusha tanga, pandisha tanga safari ianze

“Wakati ni huu, wakati ni sasa. Shusha tanga, pandisha tanga safari iendelee.” Ni tangazo la Maalim Seif Sharif Hamad kwa wanachama na wafuasi wake akiwaamuru washushe bendera za CUF na wapandishe za ACT-Wazalendo. Chama kipya walichohamia jana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maalim Seif: Shusha tanga, pandisha tanga safari ianze

“Wakati ni huu, wakati ni sasa. Shusha tanga, pandisha tanga safari iendelee.” Ni tangazo la Maalim Seif Sharif Hamad kwa wanachama na wafuasi wake akiwaamuru washushe bendera za CUF na wapandishe za ACT-Wazalendo. Chama kipya walichohamia jana.

Mbeya waonja adha mgomo wa daladala

Wananchi katika Jiji la Mbeya jana walikumbana na adha ya usafiri kufuatia mgomo wa daladala uliosababishwa na madereva daladala kulalamikia bajaj kuendelea kubeba abiria kwenye barabara kuu, hivyo mgomo huo ni jitihada za kushinikiza Bajaj kuondolewa kwenye
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbeya waonja adha mgomo wa daladala

Wananchi katika Jiji la Mbeya jana walikumbana na adha ya usafiri kufuatia mgomo wa daladala uliosababishwa na madereva daladala kulalamikia bajaj kuendelea kubeba abiria kwenye barabara kuu, hivyo mgomo huo ni jitihada za kushinikiza Bajaj kuondolewa kwenye njia hizo.

OPINION: Why the next Chernobyl disaster may be intentional

Chernobyl’s 33rd anniversary on April 26 comes against the backdrop of growing apprehension that nuclear reactors may become a terrorist target.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

OPINION: Why the next Chernobyl disaster may be intentional

Chernobyl’s 33rd anniversary on April 26 comes against the backdrop of growing apprehension that nuclear reactors may become a terrorist target.

SBL female employees join their counterparts across world in celebrating International Women’s Day

Dar es Salaam. Serengeti Breweries Limited (SBL) ‘Spirited Women’ have marked an international women’s day today by driving Campaign theme #BalanceforBetter, in a way, striving to facilitate balance in work and home life as part of building a more inclu
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

SBL female employees join their counterparts across world in celebrating International Women’s Day

Dar es Salaam. Serengeti Breweries Limited (SBL) ‘Spirited Women’ have marked an international women’s day today by driving Campaign theme #BalanceforBetter, in a way, striving to facilitate balance in work and home life as part of building a more inclusive culture and develop female leaders across management, community and throughout all functions. Spirited Women is referring to courageous bold women.

Lowassa ategua mtego wa Chadema, CCM

Alipokuwa akitoa hotuba ya kujiuzulu uwaziri mkuu, wabunge wa vyama vyote walikuwa wakipiga meza kushangilia. Kama ulidhani safari yake kisiasa ingeishia hapo, ungekuwa umekosea, tena ungekosea sana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lowassa ategua mtego wa Chadema, CCM

Alipokuwa akitoa hotuba ya kujiuzulu uwaziri mkuu, wabunge wa vyama vyote walikuwa wakipiga meza kushangilia. Kama ulidhani safari yake kisiasa ingeishia hapo, ungekuwa umekosea, tena ungekosea sana.

CUF Zanzibar wakataa uongozi mpya

Baadhi ya viongozi na wafuasi wa CUF visiwani Zanzibar ambao wanamuunga mkono Maalim Seif Hamad wamepinga kitendo cha Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kuitisha mkutano mkuu na kufanya mabadiliko ya katiba na viongozi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CUF Zanzibar wakataa uongozi mpya

Baadhi ya viongozi na wafuasi wa CUF visiwani Zanzibar ambao wanamuunga mkono Maalim Seif Hamad wamepinga kitendo cha Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kuitisha mkutano mkuu na kufanya mabadiliko ya katiba na viongozi.

Profesa Lipumba aibuka kidedea mahakamani, Maalim Seif atupwa nje

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi (CUF).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Profesa Lipumba aibuka kidedea mahakamani, Maalim Seif atupwa nje

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi (CUF).

Wanawake watakiwa kuinuana ili kufikia usawa wa Kijinsia

Dar es Salaam. Wanawake nchini wametakiwa kutumia vizuri nafasi walizonazo kwa kuwainua wenzao ambao wana ujuzi wa kiutendaji ili kupanua wigo katika kufikia usawa wa kijinsia katika nyanja za kimaamuzi katika taasisi mbalimbali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanawake watakiwa kuinuana ili kufikia usawa wa Kijinsia

Dar es Salaam. Wanawake nchini wametakiwa kutumia vizuri nafasi walizonazo kwa kuwainua wenzao ambao wana ujuzi wa kiutendaji ili kupanua wigo katika kufikia usawa wa kijinsia katika nyanja za kimaamuzi katika taasisi mbalimbali.

Majaliwa atoa maagizo 10, ataka yatekelezwe haraka

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa maagizo 10 kwa wadau wa madini katika kuhakikisha malengo ya kuanzishwa  soko jipya la dhahabu yanatimia.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majaliwa atoa maagizo 10, ataka yatekelezwe haraka

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa maagizo 10 kwa wadau wa madini katika kuhakikisha malengo ya kuanzishwa  soko jipya la dhahabu yanatimia.

Benki zinavyoshindana kubadilisha fedha maeneo nyeti

Ukaguzi kisha kufungwa kwa maduka ya kubadilisha fedha kulianza jijini Arusha mwishoni mwa mwaka jana halafu Dar es Salaam mapema mwaka huu hivyo kutoa nafasi kwa benki za biashara kuchangamkia fursa. Sasa zinashinda kweli kweli.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Benki zinavyoshindana kubadilisha fedha maeneo nyeti

Ukaguzi kisha kufungwa kwa maduka ya kubadilisha fedha kulianza jijini Arusha mwishoni mwa mwaka jana halafu Dar es Salaam mapema mwaka huu hivyo kutoa nafasi kwa benki za biashara kuchangamkia fursa. Sasa zinashinda kweli kweli.

Kondomu milioni 60 kugawiwa

Kufuatia uhaba wa mipira ya kiume maarufu kondomu uliojitokeza katika baadhi ya mikoa ikiwamo Njombe, Serikali inatarajia kusambaza kinga hizo milioni 60 ifikapo Juni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kondomu milioni 60 kugawiwa

Kufuatia uhaba wa mipira ya kiume maarufu kondomu uliojitokeza katika baadhi ya mikoa ikiwamo Njombe, Serikali inatarajia kusambaza kinga hizo milioni 60 ifikapo Juni.

Wabunge 28 wa CUF Maalim njia panda

Kupatikana kwa uongozi mpya wa CUF ni kama vile unawaweka njia panda wabunge 28 na viongozi wa upande wa Zanzibar waliojinasibu kumuunga mkono Maalim Seif Sharif Hamad.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabunge 28 wa CUF Maalim njia panda

Kupatikana kwa uongozi mpya wa CUF ni kama vile unawaweka njia panda wabunge 28 na viongozi wa upande wa Zanzibar waliojinasibu kumuunga mkono Maalim Seif Sharif Hamad.

Mabadiliko ya sheria ya madini yaongeza ukusanyaji wa mapato

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema kati ya mwaka 2011 hadi 2018, kiwango cha ukusanyaji wa maduhuli katika sekta ya madini mkoani Geita kimeongezeka kutoka Sh24bilioni hadi kufikia Sh114.78bilioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mabadiliko ya sheria ya madini yaongeza ukusanyaji wa mapato

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema kati ya mwaka 2011 hadi 2018, kiwango cha ukusanyaji wa maduhuli katika sekta ya madini mkoani Geita kimeongezeka kutoka Sh24bilioni hadi kufikia Sh114.78bilioni.

Mbunge ataka soko la madini Geita, liwe ndilo soko kuu

Wabunge wa mkoa wa Geita wameishukuru Serikali kwa ujenzi wa soko la dhahabu kwa kile walichoeleza kuwa kilikuwa ni kilio cha wachimbaji kwa mrefu, huku wakitaka soko hilo liwe ndilo soko kuu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge ataka soko la madini Geita, liwe ndilo soko kuu

Wabunge wa mkoa wa Geita wameishukuru Serikali kwa ujenzi wa soko la dhahabu kwa kile walichoeleza kuwa kilikuwa ni kilio cha wachimbaji kwa mrefu, huku wakitaka soko hilo liwe ndilo soko kuu.

Get more results via ClueGoal