Tanzania
MapoList

Should ministers respond to CAG’s report in media? This is what they say….

Since the Controller and Auditor General (CAG), Prof Mussa Assad, submitted his audit report for the 2016/17 financial to Parliament, three ministers have convened meeting with journalists to explain some of the raised issue.

DC amsweka mahabusu dereva wake

Moshi. Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ameamuru kukamatwa kwa dereva wake na mmiliki mmoja wa kiwanda wilayani humo kwa tuhuma za kutaka kumpa hongo ya Sh1 milioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rich Mavoko aeleza sababu za ‘kujitabiria kifo’

Dar es  Salaam. Mwanamuziki Rich Mavoko ambaye hivi karibuni aliwashtua mashabiki wake katika mitandao baada ya kujitabiria kifo, ameeleza sababu ya kufanya hivyo.

Matokeo ya miradi ndio yatakayozibeba asasi za kiraia

Dar es Salaam. Asasi za kiraia zimetakiwa kutumia kwa usahihi fedha za miradi zinazotolewa kwa wahisani kuhakikisha malengo ya mradi husika yanafikiwa.

It is time to invest in listed stocks

An analysis of the underlying activities driving our equities and the fixed-income markets over the last couple of months presents reassuring outlooks for prospective investors at the Dar es Salaam Stock Exchange’s listed securities.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Why is it hard for startups to raise money?

There is a general understanding that access to finance is more challenging to start-ups than to late stage companies, despite African start-ups continue to attract more venture capital money.

Ronaldo signing signals Serie A renaissance: Baresi

Cristiano Ronaldo signing for Juventus last year was a shot in the arm for Serie A and bolstered the impression that the league is undergoing a renaissance Italy and AC Milan legend Franco Baresi told AFP.

Pogba wants 'happy coach' Solskjaer to stay at Man Utd

Paul Pogba hopes Ole Gunnar Solskjaer is given the Manchester United manager's job on a permanent basis after the Norwegian turned the club's fortunes around.

Ethiopia crash: Boeing chiefs summoned

The US Justice Department has issued summons as part of an investigation into certification and marketing of Boeing 737 Max 8 planes, the CNN reported on Thursday.

Raia wa kigeni wadakwa wakidaiwa kunufaika na mkopo wa elimu ya juu

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera inawashikilia wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) na Mwenge kwa madai ya  kunufaika na mikopo ya elimu ya juu huku wakiwa si raia wa Tanzania.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Raia wa kigeni wadakwa wakidaiwa kunufaika na mkopo wa elimu ya juu

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera inawashikilia wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) na Mwenge kwa madai ya  kunufaika na mikopo ya elimu ya juu huku wakiwa si raia wa Tanzania.

Yanga yaipa shavu Taifa Stars

ongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake na Watanzania kwa ujumla kuweka pembeni itikadi za kishabiki na kuishangilia timu ya taifa 'Taifa Stars' itakapoumana na Uganda Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Yanga yaipa shavu Taifa Stars

ongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake na Watanzania kwa ujumla kuweka pembeni itikadi za kishabiki na kuishangilia timu ya taifa 'Taifa Stars' itakapoumana na Uganda Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa.

Vita yafichua usajili Yanga

YANGA inafanya mambo yao kwa usiri wakijipanga taratibu juu ya kikosi chao cha msimu ujao lakini siri imefichuka wamefanya mazungumzo ya ana kwa ana na mastaa watatu wa AS Vita ya DR Congo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Vita yafichua usajili Yanga

YANGA inafanya mambo yao kwa usiri wakijipanga taratibu juu ya kikosi chao cha msimu ujao lakini siri imefichuka wamefanya mazungumzo ya ana kwa ana na mastaa watatu wa AS Vita ya DR Congo.

Bashiru Ally kuzindua mkakati wa kukomaza demokrasia

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally  Machi 23 anatarajiwa kuzindua mkakati wa kukomaza demokrasia katika mashina ya chama hicho jijini Dodoma, lengo likiwa ni kuongeza uwajibikaji wa viongozi na wanachama.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bashiru Ally kuzindua mkakati wa kukomaza demokrasia

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally  Machi 23 anatarajiwa kuzindua mkakati wa kukomaza demokrasia katika mashina ya chama hicho jijini Dodoma, lengo likiwa ni kuongeza uwajibikaji wa viongozi na wanachama.

Tetemeko la ardhi latikisa Mbeya

Mbeya. Tetemeko la ardhi lililodumu kwa takriban dakika moja leo mchana Alhamisi Machi 21, 2019 limetokea mkoani Mbeya na kuzua taharuki huku baadhi ya wananchi na wafanyakazi katika ofisi mbalimbali wakitimua mbio.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tetemeko la ardhi latikisa Mbeya

Mbeya. Tetemeko la ardhi lililodumu kwa takriban dakika moja leo mchana Alhamisi Machi 21, 2019 limetokea mkoani Mbeya na kuzua taharuki huku baadhi ya wananchi na wafanyakazi katika ofisi mbalimbali wakitimua mbio.

Uganda/Tanzania: Afcon Qualifier - Cranes Intensify Preparations as Taifa Stars Rally Fans

Uganda Cranes coach Sebastien  Desabre will have gone to bed last night with a pretty clearer picture of how he will set up against the Taifa Stars of Tanzania.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Uganda/Tanzania: Afcon Qualifier - Cranes Intensify Preparations as Taifa Stars Rally Fans

Uganda Cranes coach Sebastien  Desabre will have gone to bed last night with a pretty clearer picture of how he will set up against the Taifa Stars of Tanzania.

US avails $500,000 grant to support women politicians

The United States government under USAID has disbursed a grant amounting to $500,000 to support a project dubbed: «Women's Leadership and Political Participation-Phase II» implemented by UN Women in Tanzania.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

US avails $500,000 grant to support women politicians

The United States government under USAID has disbursed a grant amounting to $500,000 to support a project dubbed: «Women's Leadership and Political Participation-Phase II» implemented by UN Women in Tanzania.

Tulieni tunatoboa

SIMBA imerudishwa tena nchini DR Congo na sasa wakipewa kigogo mwingine wa nchi hiyo TP Mazembe katika mechi itakayokuwa na visasi viwili.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tulieni tunatoboa

SIMBA imerudishwa tena nchini DR Congo na sasa wakipewa kigogo mwingine wa nchi hiyo TP Mazembe katika mechi itakayokuwa na visasi viwili.

Dhahabu yakamatwa Handeni ikitoroshwa

Gramu 187 za dhahabu zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya  Sh13 milioni zimekamatwa na kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo mkoa wa Tanga katika mgodi wa dhahabu wa Magambazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dhahabu yakamatwa Handeni ikitoroshwa

Gramu 187 za dhahabu zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya  Sh13 milioni zimekamatwa na kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo mkoa wa Tanga katika mgodi wa dhahabu wa Magambazi.

Alichokisema Zitto mbele ya Maalim Seif

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Maalim Seif Sharif Hamad kuhamia katika chama hicho ni mwendelezo wa kudai haki ya wananchi wanyonge, si kuvunja sheria za nchi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Alichokisema Zitto mbele ya Maalim Seif

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Maalim Seif Sharif Hamad kuhamia katika chama hicho ni mwendelezo wa kudai haki ya wananchi wanyonge, si kuvunja sheria za nchi.

Kweli hujafa hujaumbika! Meneja wa Akudo tumuombee!

Kweli hujafa hujaumbika, leo mzima kesho kitandani. Hii imemkuta Meneja wa bendi ya Akudo Impact ‘Vijana wa Masauti’, Ramadhani Pesambili ‘Rama Akudo’, ambaye kwa sasa yuko kitandani akipigania uhai wake baada ya kufanyiwa operesheni tatu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kweli hujafa hujaumbika! Meneja wa Akudo tumuombee!

Kweli hujafa hujaumbika, leo mzima kesho kitandani. Hii imemkuta Meneja wa bendi ya Akudo Impact ‘Vijana wa Masauti’, Ramadhani Pesambili ‘Rama Akudo’, ambaye kwa sasa yuko kitandani akipigania uhai wake baada ya kufanyiwa operesheni tatu.

Kesi ya Halima Mdee yakwama

Kesi ya kutoa lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee imekwama kusikilizwa katika  Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na wakili wa Serikali kutokuwapo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kesi ya Halima Mdee yakwama

Kesi ya kutoa lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee imekwama kusikilizwa katika  Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na wakili wa Serikali kutokuwapo.

Maalim Seif kukaribishwa rasmi Zanzibar, mamia wamiminika kumsikiliza

Viongozi na wanachama wa ACT-Wazalendo wameanza kuwasili katika viwanja vya Vuga mjini Unguja kushiriki mkutano wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maalim Seif kukaribishwa rasmi Zanzibar, mamia wamiminika kumsikiliza

Viongozi na wanachama wa ACT-Wazalendo wameanza kuwasili katika viwanja vya Vuga mjini Unguja kushiriki mkutano wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

Zitto atua Z’bar, Maalim Seif amkaribisha

Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe leo amewasili visiwani Zanzibar na kupokelea na mamia ya wanachama hicho akiwamo Maalim Seif Sharif Hamad.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zitto atua Z’bar, Maalim Seif amkaribisha

Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe leo amewasili visiwani Zanzibar na kupokelea na mamia ya wanachama hicho akiwamo Maalim Seif Sharif Hamad.

Afia kwenye foleni akisubiria fedha za uzeeni

Mzee wa miaka 85 amefariki dunia akiwa amepanga foleni ya kupata fedha za uzeeni zinazotolewa na  mpango wa Usaidizi wa Jamii kwa Uwezeshaji (Sage) katika Wilaya ya Amuria.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Afia kwenye foleni akisubiria fedha za uzeeni

Mzee wa miaka 85 amefariki dunia akiwa amepanga foleni ya kupata fedha za uzeeni zinazotolewa na  mpango wa Usaidizi wa Jamii kwa Uwezeshaji (Sage) katika Wilaya ya Amuria.

Atupa kichanga cha siku moja na kujisalimisha polisi

Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Kisiwani, Tabata Wilaya ya Ilala, Grace Peter anashikiliwa kwa kosa la kutupa mtoto wa siku moja kwenye karo la maji machafu na kisha kujisalimisha mwenyewe kituo cha polisi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Atupa kichanga cha siku moja na kujisalimisha polisi

Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Kisiwani, Tabata Wilaya ya Ilala, Grace Peter anashikiliwa kwa kosa la kutupa mtoto wa siku moja kwenye karo la maji machafu na kisha kujisalimisha mwenyewe kituo cha polisi.

Vimbunga viwili vyazuia mvua nchini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaja sababu za uhaba wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini kuwa unatokana na vimbunga viwili vilivyozishambulia nchi jirani za Kusini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Vimbunga viwili vyazuia mvua nchini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaja sababu za uhaba wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini kuwa unatokana na vimbunga viwili vilivyozishambulia nchi jirani za Kusini.

Tanzania: Over 1,400 poor Kilimanjaro households receive Sh1.5 billion Tasaf grants

A total of 1,461 families in Moshi municipality are smiling all the way to the bank, thanks to Sh1.5 billion grants they have received from the Tanzania Social Action Fund (Tasaf).  
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzania: Over 1,400 poor Kilimanjaro households receive Sh1.5 billion Tasaf grants

A total of 1,461 families in Moshi municipality are smiling all the way to the bank, thanks to Sh1.5 billion grants they have received from the Tanzania Social Action Fund (Tasaf).  

Ethiopia crash: Man refuses to bury soil

A man who lost his wife, three children and mother-in-law in the Ethiopian Airways plane crash on Wednesday ruled out burying the soil scooped from the scene of the accident, as it was against his faith.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Ethiopia crash: Man refuses to bury soil

A man who lost his wife, three children and mother-in-law in the Ethiopian Airways plane crash on Wednesday ruled out burying the soil scooped from the scene of the accident, as it was against his faith.

Mahakama yazuia uchaguzi usifanyike jimbo la Joshua Nassari

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma imezuia kufanyika kwa uchaguzi katika jimbo la Arumeru Mashariki hadi kesi ya maombi madogo ya kufungua kesi ya msingi ya kuomba kutengua uamuzi wa Spika wa kumfutia ubunge Joshua Nassari itakaposikilizwa na kutolewa u
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mahakama yazuia uchaguzi usifanyike jimbo la Joshua Nassari

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma imezuia kufanyika kwa uchaguzi katika jimbo la Arumeru Mashariki hadi kesi ya maombi madogo ya kufungua kesi ya msingi ya kuomba kutengua uamuzi wa Spika wa kumfutia ubunge Joshua Nassari itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

Get more results via ClueGoal