Tanzania
MapoList

What drivers should do during rainy season

The Dar es Salaam Special Zone Traffic Officer, Mr Marison Mwakyoma has outlined five things that drivers must consider to avoid accidents during this rainy season.

Kamishna wa Polisi Zanzibar kuimarisha madawati ya jinsia

 Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohammed Haji Hassan amesema jeshi hilo limekusudia kuimarisha madawati ya jinsia kwa wanawake na watoto ili kupunguza au kumaliza kabisa unyanyasaji wa kijinsia.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Balozi Iddi atishia kupiga marufuku uingizaji Pempas

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema Serikali inaweza kupiga marufuku uingizaji wa taulo za watoto maarufu Pempas iwapo wananchi wasipofuata kanuni za utunzaji wa mazingira.

TCRA yataja changamoto tano uendeshaji kesi makosa ya mtandao

 Wakati Serikali ikielekeza nguvu kukabiliana na makosa ya mtandao, Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja changamoto tano za uendeshaji kesi zinapofikishwa mahakamani.

Ajinyonga nje ya msikiti

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mkazi wa Ole Mchanga, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Azani Abdallah Suleiman (28) amekutwa amejinyonga katika mti uliopo nje ya msikiti wa Machomane, wilayani Chackechake.

Games flop not suprising

The 21st Commonwealth Games ended last weekend in Gold Coast, Australia, and, not surprisingly, Tanzania did not win any medal.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

TOUGH JUSTICE : Why online content regulation is a blow to youth enterprise

Facebook founder and CEO Mark Zuckerberg spent two days at Capitol Hill earlier this month being grilled by US senators on his company’s role in the Cambridge Analytica saga, and the alleged elections interference that continues to dog US President Donald T
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

TOUGH JUSTICE : Why online content regulation is a blow to youth enterprise

Facebook founder and CEO Mark Zuckerberg spent two days at Capitol Hill earlier this month being grilled by US senators on his company’s role in the Cambridge Analytica saga, and the alleged elections interference that continues to dog US President Donald Trump.

Majaliwa awatwisha mzigo ma-RC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa wilaya na mikoa ambayo inalima mazao ya kimkakati kusimamia vyama vya ushirika vilivyopo kwenye maeneo yao kwa kuwa ndio mkombozi wa wakulima.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majaliwa awatwisha mzigo ma-RC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa wilaya na mikoa ambayo inalima mazao ya kimkakati kusimamia vyama vya ushirika vilivyopo kwenye maeneo yao kwa kuwa ndio mkombozi wa wakulima.

Muhimbili yataja kinachowatesa wanaume wengi, Makonda aja na kampeni ya tezi dume

Wakati mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiandaa mkakati wa kuwapima wanaume wanaoishi jijini hapa saratani ya tezi dume nyumba kwa nyumba, imefahamika kuwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) hupokea wanaume wengi wenye matatizo ya mfumo wa uzazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Muhimbili yataja kinachowatesa wanaume wengi, Makonda aja na kampeni ya tezi dume

Wakati mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiandaa mkakati wa kuwapima wanaume wanaoishi jijini hapa saratani ya tezi dume nyumba kwa nyumba, imefahamika kuwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) hupokea wanaume wengi wenye matatizo ya mfumo wa uzazi.

Wabunge wapigia debe mahitaji ya walemavu

 Wabunge wamesema bado ujenzi wa miundombinu nchini haujazingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu hivyo kuwafanya kushindwa kupata huduma nyingine za kijamii.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabunge wapigia debe mahitaji ya walemavu

 Wabunge wamesema bado ujenzi wa miundombinu nchini haujazingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu hivyo kuwafanya kushindwa kupata huduma nyingine za kijamii.

VIDEO-Sh1.5 trilioni bado mtihani mzito

Kama kuna wakati ambao Serikali ya Awamu ya Tano, Bunge la Kumi na Moja, Mawaziri, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na wadau wengine wamewahi kuwa na mtihani mzito, basi ni hoja za ripoti ya ukaguzi ya 2016/17.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO-Sh1.5 trilioni bado mtihani mzito

Kama kuna wakati ambao Serikali ya Awamu ya Tano, Bunge la Kumi na Moja, Mawaziri, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na wadau wengine wamewahi kuwa na mtihani mzito, basi ni hoja za ripoti ya ukaguzi ya 2016/17.

Man kills wife over failure to ‘bring’ him male kids

Police in Kigoma Region is holding a resident of Itumbiko Village in Kakonko District, Mr Ndimugwanko Mlovezi for allegedly thrashing his wife Ms Selina Simon to death after she failed to bring him male kids.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Man kills wife over failure to ‘bring’ him male kids

Police in Kigoma Region is holding a resident of Itumbiko Village in Kakonko District, Mr Ndimugwanko Mlovezi for allegedly thrashing his wife Ms Selina Simon to death after she failed to bring him male kids.

Letter to Lissu: please, don’t go back home

Dear Tundu, I am happy to note that you are improving after some betes noires wanted to kill you. I am writing this open letter not to teach you the right thing to do. Although our media, and possibly people, seem to have forgotten you, I still remember you
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Letter to Lissu: please, don’t go back home

Dear Tundu, I am happy to note that you are improving after some betes noires wanted to kill you. I am writing this open letter not to teach you the right thing to do. Although our media, and possibly people, seem to have forgotten you, I still remember you though with pangs and twangs due to what befell you. This is because, it seems, the attempt on your life has been treated as a normal criminal act while it actually is more than that. You once said: “This was a political assassination which isn’t new in our country”.

Little ways to up your style game

Whether you’ve got a job interview where you’ve got to dress to impress or you simply want to look super stylish on the first day of school, it can be tough to up your style game. If you’re looking for a few great tips to step up your style game these s
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Little ways to up your style game

Whether you’ve got a job interview where you’ve got to dress to impress or you simply want to look super stylish on the first day of school, it can be tough to up your style game. If you’re looking for a few great tips to step up your style game these suggestions are sure to come in handy. I’m sure that if you follow even one or two of these tips, you’ll be sure to turn heads and impress!

Coping with endometriosis

When I met Hellen Malika, 37, she was standing in a long queue waiting to see her gynaecologist at Mwananyamala Hospital. Wearing a long red dress with a blue scarf on her shoulders, she waved at me with a warm smile.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Coping with endometriosis

When I met Hellen Malika, 37, she was standing in a long queue waiting to see her gynaecologist at Mwananyamala Hospital. Wearing a long red dress with a blue scarf on her shoulders, she waved at me with a warm smile.

Wafanyabiashara kortini kwa madai ya kujipatia Sh523 mil

Wafanyabiashara wanne wa miji ya Arusha, Dar es Salaam na Morogoro, ni miongoni mwa watu sita waliofikishwa kortini jana wakituhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wafanyabiashara kortini kwa madai ya kujipatia Sh523 mil

Wafanyabiashara wanne wa miji ya Arusha, Dar es Salaam na Morogoro, ni miongoni mwa watu sita waliofikishwa kortini jana wakituhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha.

Polisi yasema meli iliyokamata mashua ni ya Serikali

Jeshi la Polisi mkoani hapa limesema, meli inayodaiwa kuteka mashua na kisha ‘kutelekeza’ abiria Tanga, ni ya Serikali na ilikuwa ikifanya doria katika Bahari ya Hindi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi yasema meli iliyokamata mashua ni ya Serikali

Jeshi la Polisi mkoani hapa limesema, meli inayodaiwa kuteka mashua na kisha ‘kutelekeza’ abiria Tanga, ni ya Serikali na ilikuwa ikifanya doria katika Bahari ya Hindi.

Polisi waua wanne kwa risasi

Watuhumiwa wanne wa ujambazi kati ya watano wameuawa eneo la Kibaoni Mjini Kisarawe mkoani Pwani wakati wakiwa katika jaribio la kupora Sh24 milioni nyumbani kwa mhasibu wa kikundi cha vikoba kiitwacho Ushelisheli.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi waua wanne kwa risasi

Watuhumiwa wanne wa ujambazi kati ya watano wameuawa eneo la Kibaoni Mjini Kisarawe mkoani Pwani wakati wakiwa katika jaribio la kupora Sh24 milioni nyumbani kwa mhasibu wa kikundi cha vikoba kiitwacho Ushelisheli.

African public officials accountability has deteriorated, report reveals

Over the past decade, the African average for Accountability of Public Officials has deteriorated, with the pace of decline worsening over the last five years, a 2018 Ibrahim Forum Report reveals.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

African public officials accountability has deteriorated, report reveals

Over the past decade, the African average for Accountability of Public Officials has deteriorated, with the pace of decline worsening over the last five years, a 2018 Ibrahim Forum Report reveals.

Residents call for reduced costs of land surveying

Residents of Lumumba Street in Pangani Ward have asked Kibaha District Council in Coast Region to find out whether the land surveying charges they pay could be reduced from Sh.4, 500 for one square metre to Sh2, 500 that they would manage to pay.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Residents call for reduced costs of land surveying

Residents of Lumumba Street in Pangani Ward have asked Kibaha District Council in Coast Region to find out whether the land surveying charges they pay could be reduced from Sh.4, 500 for one square metre to Sh2, 500 that they would manage to pay.

Ashtakiwa kwa kumiliki mali ya Sh1.4 bilioni

Meneja wa Fedha wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Prosper Kimaro amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kujilimbikizia mali zenye thamani ya Sh1.4 bilioni zisizolingana na kipato chake halali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ashtakiwa kwa kumiliki mali ya Sh1.4 bilioni

Meneja wa Fedha wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Prosper Kimaro amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kujilimbikizia mali zenye thamani ya Sh1.4 bilioni zisizolingana na kipato chake halali.

‘Ndege zinazochelewesha abiria sasa zitozwe faini’

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameiagiza Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) kuchukua hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kuzitoza faini kampuni za ndege zinazochelewesha abiria viwanjani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

‘Ndege zinazochelewesha abiria sasa zitozwe faini’

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameiagiza Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) kuchukua hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kuzitoza faini kampuni za ndege zinazochelewesha abiria viwanjani.

Ndugai apigilia msumari gharama matibabu ya Tundu Lissu

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ili matibabu ya mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu yagharamiwe na Bunge anapaswa kuwa na vibali vya aina tatu na kwamba anajua watu wa Ujerumani wanamsaidia.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ndugai apigilia msumari gharama matibabu ya Tundu Lissu

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ili matibabu ya mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu yagharamiwe na Bunge anapaswa kuwa na vibali vya aina tatu na kwamba anajua watu wa Ujerumani wanamsaidia.

Get more results via ClueGoal