Tanzania
MapoList

Dwyane Wade arejea NBA

Hatimaye mchezaji nyota wa kikapu Dwyane Wade raia wa Marekani anatafrajiwa kurejea tena uwanjani kuitumikia timu yake ya Miami Heat ukiwa ni msimu wake a 16 tangu aanze kucheza kikapu.

Sababu ya kusuasua mradi wa Liganga na Mchuchuma yatajwa

Serikali ya Tanzania imesema mradi wa Liganga na Mchuchuma umekwama kuzna kutokana na mazunguzo yanayoendelea kati yake na mwekezaji huo anayetaka kupewa vivutio vya ziada
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge ataja aina pekee ya gari inayofika jimboni kwake

Mbunge wa Nkasi Kaskazini Deosderius Mipata ameitaka Serikali ya Tanzania kuharakisha ujenzi wa barabara jimboni kwake kwani hali ni mbaya kwa mawasiliano  

Donald Trump achangiwa Sh55 bilioni za kampeni ndani ya saa 24

Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya mkutano wake wa ufunguzi wa kampeni zake za uraia katika Jimbo la Orlando Jumamne ambapo Kamati Kuu ya Chama cha Republican (RNC)  imesema amefanikiwa kukusanya Dola 25 milioni za Marekani (zaidi ya Sh55 bilioni).

'My father, the rapist': Hidden victims of Rwanda's genocide

A 24-year-old Rwandan whose mother was raped in the genocide tells the BBC how he came to learn of the circumstances of his birth. Their names have been changed because of the shame surrounding rape, which still exists to this day.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

BrighterMonday Tanzania minimizes your hiring costs

Hiring qualified candidates in a short space of time will save you and your organisation a lot of costs. As employee turnover is at its highest in the current job market, ensuring your hiring processes is less cumbersome would help you lower the hiring costs
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

BrighterMonday Tanzania minimizes your hiring costs

Hiring qualified candidates in a short space of time will save you and your organisation a lot of costs. As employee turnover is at its highest in the current job market, ensuring your hiring processes is less cumbersome would help you lower the hiring costs while guaranteeing quality candidates for hire.  

Alichokisema Sugu kuhusu pendekezo kuondoa tozo, kodi

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amesema Serikali ya Tanzania imependekeza kuondoa kodi ndogo alizodai kuwa haziwezi kumsaidia mlengwa, kupendekeza kuondolewa kwa zinazozidi Sh1 milioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Alichokisema Sugu kuhusu pendekezo kuondoa tozo, kodi

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amesema Serikali ya Tanzania imependekeza kuondoa kodi ndogo alizodai kuwa haziwezi kumsaidia mlengwa, kupendekeza kuondolewa kwa zinazozidi Sh1 milioni.

Rais Magufuli kuongoza kongamano la korosho Mtwara

Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la korosho mkoani Mtwara, lenye lengo la kuwakutanisha wawekezaji wa nje na ndani ili kuwashawishi kuwekeza kwenye usindikaji wa korosho ghafi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rais Magufuli kuongoza kongamano la korosho Mtwara

Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la korosho mkoani Mtwara, lenye lengo la kuwakutanisha wawekezaji wa nje na ndani ili kuwashawishi kuwekeza kwenye usindikaji wa korosho ghafi.

Chirwa aliwachanganyia rangi Azam FC

OBREY Chirwa aliwakaushia Azam FC baada ya uwepo wa kutakiwa na Yanga, hivyo uongozi huo umeamua kusalenda na kwamba hawawezani na staa huyo licha ya kukiri kwamba alikuwa na mchango mkubwa ndani ya kikosi chao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Chirwa aliwachanganyia rangi Azam FC

OBREY Chirwa aliwakaushia Azam FC baada ya uwepo wa kutakiwa na Yanga, hivyo uongozi huo umeamua kusalenda na kwamba hawawezani na staa huyo licha ya kukiri kwamba alikuwa na mchango mkubwa ndani ya kikosi chao.

Heche atumia ahadi za uchaguzi za CCM kuchangia bajeti 2019/20

Mbunge Tarime Vijijini (Chadema) John Heche amemtaka Waziri wa Fedha na Mpango Dk Philip Mpango kujibu ni wapi walipofikia utekelezaji wa ahadi sita walizotoa katika Ilani ya Uchaguzi  ya CCM ya mwaka 2015.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Heche atumia ahadi za uchaguzi za CCM kuchangia bajeti 2019/20

Mbunge Tarime Vijijini (Chadema) John Heche amemtaka Waziri wa Fedha na Mpango Dk Philip Mpango kujibu ni wapi walipofikia utekelezaji wa ahadi sita walizotoa katika Ilani ya Uchaguzi  ya CCM ya mwaka 2015.

Musukuma asema mawaziri wanaziogopa nyumba za Serikali

Mbunge wa Geita (CCM) Joseph Kasheku maarufu ‘Msukuma’ amesema mawaziri wameingiwa hofu ya kufukuzwa katika nafasi zao hivyo kuacha kuishi katika nyumba za Serikali ya Tanzania
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Musukuma asema mawaziri wanaziogopa nyumba za Serikali

Mbunge wa Geita (CCM) Joseph Kasheku maarufu ‘Msukuma’ amesema mawaziri wameingiwa hofu ya kufukuzwa katika nafasi zao hivyo kuacha kuishi katika nyumba za Serikali ya Tanzania

IGP Sirro awatoa hofu wananchi tishio la ugaidi Tanzania

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewatoa hofu wananchi juu ya tishio la ugaidi katika maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, likisema taarifa hizo zimeshaanza kufanyiwa kazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

IGP Sirro awatoa hofu wananchi tishio la ugaidi Tanzania

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewatoa hofu wananchi juu ya tishio la ugaidi katika maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, likisema taarifa hizo zimeshaanza kufanyiwa kazi.

Tanzania’s electoral body promises to stick to high court ruling

The ruling rekindled hope of a more independent NEC and addressed longtime concerns by the opposition and other stakeholders over the use of holders of public officers who are directly appointed by the President.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzania’s electoral body promises to stick to high court ruling

The ruling rekindled hope of a more independent NEC and addressed longtime concerns by the opposition and other stakeholders over the use of holders of public officers who are directly appointed by the President.

Marta dedicates World Cup record to 'anyone fighting for equality'

Brazil finished third on goal difference in Group C behind Italy and Australia -- who beat Jamaica 4-1 -- after all three ended level on six points.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Marta dedicates World Cup record to 'anyone fighting for equality'

Brazil finished third on goal difference in Group C behind Italy and Australia -- who beat Jamaica 4-1 -- after all three ended level on six points.

PCCB launches manhunt for traders who vanished with Sh46 billion loan

Tanzania’s anti graft agency has launched a manhunt for four business men who allegedly disappeared with a $20 million government loan which they borrowed in order to establish a cement factory.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

PCCB launches manhunt for traders who vanished with Sh46 billion loan

Tanzania’s anti graft agency has launched a manhunt for four business men who allegedly disappeared with a $20 million government loan which they borrowed in order to establish a cement factory.

Pierre akabidhiwa tiketi ya VIP kwenda AFCON

Serikali ya Tanzania leo imemkabidhi Mchekeshaji, Peter Molel maarufu kwa jina la Pierre Konki Liquid tiketi ya ndege ya VIP kwenda na kurudi nchini Misri kwa ajili ya kuhamasisha ushangiliaji kwa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kwenye michuano ya Mataifa ya
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Pierre akabidhiwa tiketi ya VIP kwenda AFCON

Serikali ya Tanzania leo imemkabidhi Mchekeshaji, Peter Molel maarufu kwa jina la Pierre Konki Liquid tiketi ya ndege ya VIP kwenda na kurudi nchini Misri kwa ajili ya kuhamasisha ushangiliaji kwa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).

Kuchanwa kwa hotuba ya upinzani bungeni, wasomi wazungumzia uamuzi wa Dk Tulia

Wachambuzi wa duru ya kisiasa wametofautiana mitazamo juu ya uamuzi uliochukuliwa na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson aliyewatoa ndani ya ukumbi wa Bunge wabunge wa Chadema, mmoja akisema ni mwendelezo katika ukandamizaji wa demokrasia.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kuchanwa kwa hotuba ya upinzani bungeni, wasomi wazungumzia uamuzi wa Dk Tulia

Wachambuzi wa duru ya kisiasa wametofautiana mitazamo juu ya uamuzi uliochukuliwa na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson aliyewatoa ndani ya ukumbi wa Bunge wabunge wa Chadema, mmoja akisema ni mwendelezo katika ukandamizaji wa demokrasia.

Abiria waliopata ajali ya treni Dodoma waondoka

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi amesema abiria wa treni ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) waliokwama kutokana ajali iliyotokea jana Jumanne karibu na Stesheni ya Dodoma wameondoka kwenda Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Abiria waliopata ajali ya treni Dodoma waondoka

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi amesema abiria wa treni ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) waliokwama kutokana ajali iliyotokea jana Jumanne karibu na Stesheni ya Dodoma wameondoka kwenda Dar es Salaam.

Kamati yataka watumishi EAC wachukuliwe hatua za kinidhamu

Kamati ya Bunge la Hesabu la Afrika Mashariki(Eala) imelitaka Bunge hilo kulielekeza baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuwachukulia hatua watumishi wa jumuiya hiyo waliobainika kukiuka kanuni na miongozo ya manunuzi na ajira.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kamati yataka watumishi EAC wachukuliwe hatua za kinidhamu

Kamati ya Bunge la Hesabu la Afrika Mashariki(Eala) imelitaka Bunge hilo kulielekeza baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuwachukulia hatua watumishi wa jumuiya hiyo waliobainika kukiuka kanuni na miongozo ya manunuzi na ajira.

Mbunge CCM awaeleza wabunge wao ni maiti watarajiwa

Mbunge wa Kahama Mjini (CCM) Jumanne Kishimba ameitaka Serikali kuruhusu watu wanaokosa fedha za kulipia gharama za kutunza miili ama za matibabu kwenda kuwaombea na kufahamu mahali walipozikwa ili ndugu watakapopata fedha wachukue mifupa na kwenda kuzika wan
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge CCM awaeleza wabunge wao ni maiti watarajiwa

Mbunge wa Kahama Mjini (CCM) Jumanne Kishimba ameitaka Serikali kuruhusu watu wanaokosa fedha za kulipia gharama za kutunza miili ama za matibabu kwenda kuwaombea na kufahamu mahali walipozikwa ili ndugu watakapopata fedha wachukue mifupa na kwenda kuzika wanapopataka.

Sekta ya madini Kilimanjaro yachangia Sh3.7 bilioni kwenye pato la Taifa

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema sekta ya madini mkoani humo imechangia pato la Taifa kwa kiasi cha zaidi ya Sh3.7 bilioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sekta ya madini Kilimanjaro yachangia Sh3.7 bilioni kwenye pato la Taifa

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema sekta ya madini mkoani humo imechangia pato la Taifa kwa kiasi cha zaidi ya Sh3.7 bilioni.

Balozi wa Uholanzi asema ni muhimu kuwekeza kwa wasichana

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Jeroen Verheul amesema uwekezaji kwa watoto wa kike ni muhimu katika ukuzaji wa uchumi wa Taifa na uchumi jumuishi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Balozi wa Uholanzi asema ni muhimu kuwekeza kwa wasichana

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Jeroen Verheul amesema uwekezaji kwa watoto wa kike ni muhimu katika ukuzaji wa uchumi wa Taifa na uchumi jumuishi.

Mhandisi wa Halmashauri atumia nguo zake kujinyonga hadi kufa

Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya jijini Mbeya, Aswile Mssika amekutwa amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kujitunda kwenye mti  akitumia nguo zake katika Kijiji cha kiwanja  wilayani hapa, chanzo cha kuchukua uamuzi huo bado ni kizungumkuti.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mhandisi wa Halmashauri atumia nguo zake kujinyonga hadi kufa

Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya jijini Mbeya, Aswile Mssika amekutwa amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kujitunda kwenye mti  akitumia nguo zake katika Kijiji cha kiwanja  wilayani hapa, chanzo cha kuchukua uamuzi huo bado ni kizungumkuti.

Mkwasa, Kibadeni waipa Stars mchongo wa kuiua Senegal

Wakati timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ ikijiandaa kwa mechi ya ufunguzi dhidi ya Senegal, imepewa mambo matatu makubwa ambayo yataipa matokeo chanya dhidi ya wapinzani wao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mkwasa, Kibadeni waipa Stars mchongo wa kuiua Senegal

Wakati timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ ikijiandaa kwa mechi ya ufunguzi dhidi ya Senegal, imepewa mambo matatu makubwa ambayo yataipa matokeo chanya dhidi ya wapinzani wao.

Mwakyembe aagiza bondia aliyedundwa Ulaya afungiwe

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk Harrison Mwakyembe ameagiza bondia Selemani Bangaiza aliyepigwa kwa Technical Knock Out (TKO) Jumamosi iliyopita nchini Australia afungiwe.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwakyembe aagiza bondia aliyedundwa Ulaya afungiwe

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk Harrison Mwakyembe ameagiza bondia Selemani Bangaiza aliyepigwa kwa Technical Knock Out (TKO) Jumamosi iliyopita nchini Australia afungiwe.

Mwantika aitwa Stars kuziba pengo la Morris

Beki wa Azam FC, David Mwantika amerudishwa nchini Misri tayari kuungana na kikosi cha Taifa Stars kuzipa pengo la Aggrey Morris  aliyeumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwantika aitwa Stars kuziba pengo la Morris

Beki wa Azam FC, David Mwantika amerudishwa nchini Misri tayari kuungana na kikosi cha Taifa Stars kuzipa pengo la Aggrey Morris  aliyeumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri.

UCHOKOZI WA EDO: Aliyejikata sehemu za siri hastahili mahabusu

Leo nina habari ya kusikitisha kidogo. Huko kwetu Kusini kuna kijana amejiondoa sehemu yake ya siri akiamini kwamba ilikuwa inamshawishi kufanya uzinzi. Anataka kumrudia Mungu wake. Dunia haitaacha kutuletea watu wanaofanya maajabu. Huyu ni mmojawao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UCHOKOZI WA EDO: Aliyejikata sehemu za siri hastahili mahabusu

Leo nina habari ya kusikitisha kidogo. Huko kwetu Kusini kuna kijana amejiondoa sehemu yake ya siri akiamini kwamba ilikuwa inamshawishi kufanya uzinzi. Anataka kumrudia Mungu wake. Dunia haitaacha kutuletea watu wanaofanya maajabu. Huyu ni mmojawao.

Kikosi kazi kupambana na mbu waenezao Dengue chaanzishwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali ya Tanzania imeanzisha kikosi kazi cha wataalam kwa ajili ya kuangamiza mbu wanaoeneza ugonjwa wa dengue.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kikosi kazi kupambana na mbu waenezao Dengue chaanzishwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali ya Tanzania imeanzisha kikosi kazi cha wataalam kwa ajili ya kuangamiza mbu wanaoeneza ugonjwa wa dengue.

VIDEO: Tarimba asimulia alivyopoteza watoto wawili ghafla kwa Dengue

Tarimba Abbas, ni jina maarufu miongoni mwa mashabiki wa soka nchini. Ana huzuni, ana simanzi, anahitaji kufarijiwa, amepata pigo, lakini hakuna anayejua mipango ya Mungu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Tarimba asimulia alivyopoteza watoto wawili ghafla kwa Dengue

Tarimba Abbas, ni jina maarufu miongoni mwa mashabiki wa soka nchini. Ana huzuni, ana simanzi, anahitaji kufarijiwa, amepata pigo, lakini hakuna anayejua mipango ya Mungu.

Watumishi TRA wanaotuhumiwa kwa rushwa ya Sh100 milioni wafikishwa mahakamani

Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanaoshikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wanatarajia kupandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watumishi TRA wanaotuhumiwa kwa rushwa ya Sh100 milioni wafikishwa mahakamani

Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanaoshikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wanatarajia kupandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita.

Get more results via ClueGoal