Tanzania
MapoList

Mpepo: Nilikatishwa tamaa kucheza soka

Mshambuliaji wa Singida United, Eliuter Mpepo ni mchezaji muhimu kwenye kikosi hicho kutokana na uwezo wake wa kuwasumbua mabeki, kufunga na kutengeneza mabao. Amejiunga n timu hiyo akitokea Prisons ya Mbeya.

Prime minister directs all regions to form investment forums

Prime Minister Mr Kassim Majaliwa has ordered regions including Dar es Salaam and Morogoro to draft investment guidelines so as to promote investment in their respective areas.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Sh300 million up for grab for young Tanzania innovators

The Royal Danish Embassy has disburses Sh150 million to 15 young entrepreneurs in the country to support their business and innovation ideas.

Kenyan MP charged for slapping female colleague

A Kenyan lawmaker was charged Friday with assault after allegedly slapping a female colleague shortly before the reading of the national budget, police said.

Waziri Mbarawa aagiza wakandarasi Mtwara kuwekwa ndani

Waziri wa Maji, Profesa Mbarawa Makame ameagiza kuwekwa ndani kwa wafanyakazi wa kampuni ya Mshamindi Construction Limited and Edge Pont Company Limited inayotekeleza mradi wa maji wa Ngoja-Chawi na Mkwiti mpaka watakapoandika barua kujieleza ni lini watakami
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri Mbarawa aagiza wakandarasi Mtwara kuwekwa ndani

Waziri wa Maji, Profesa Mbarawa Makame ameagiza kuwekwa ndani kwa wafanyakazi wa kampuni ya Mshamindi Construction Limited and Edge Pont Company Limited inayotekeleza mradi wa maji wa Ngoja-Chawi na Mkwiti mpaka watakapoandika barua kujieleza ni lini watakamilisha kazi hiyo.

Mume, mke mbaroni kwa madai ya kuua mtoto wao

Jeshi la Polisi mkoani Iringa linawashikilia watu wawili ambao ni mume na mke kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha mtoto wao wakidaiwa kumchuna ngozi kwenye paji la uso.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mume, mke mbaroni kwa madai ya kuua mtoto wao

Jeshi la Polisi mkoani Iringa linawashikilia watu wawili ambao ni mume na mke kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha mtoto wao wakidaiwa kumchuna ngozi kwenye paji la uso.

Afungwa jela maisha kwa kubaka mwanafunzi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, imemhukumu kifungo cha maisha jela Juma John (25) mkazi wa Kata ya Masumbwe wilayani hapa baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Nyakasaluma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Afungwa jela maisha kwa kubaka mwanafunzi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, imemhukumu kifungo cha maisha jela Juma John (25) mkazi wa Kata ya Masumbwe wilayani hapa baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Nyakasaluma.

Profesa Kabudi awatangazia fursa wenye hoteli Dar

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka wamiliki na wafanyabiashara wa hoteli jijini Dar es salaam kutumia fursa ya kibiashara itakayotokana na ujio wa wageni zaidi  ya 1,000 watakaoshiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maend
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Profesa Kabudi awatangazia fursa wenye hoteli Dar

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka wamiliki na wafanyabiashara wa hoteli jijini Dar es salaam kutumia fursa ya kibiashara itakayotokana na ujio wa wageni zaidi  ya 1,000 watakaoshiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Agosti  2019.

Tax waiver on horticulture business given a welcome in Tanzania

The Tanzania Horticultural Association (Taha) has welcomed a tax waiver on imported cold storage systems, saying it would boost the key sub-sector of the economy.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tax waiver on horticulture business given a welcome in Tanzania

The Tanzania Horticultural Association (Taha) has welcomed a tax waiver on imported cold storage systems, saying it would boost the key sub-sector of the economy.

I will implement Museveni’s 10-point programme – Bobi Wine

Are you going to run in 2021 elections? First of all, we are expecting elections and if it was business as usual, President Museveni would be expected to rig using the military. However, our entry as young people of Uganda is a breath of fresh air because we
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

I will implement Museveni’s 10-point programme – Bobi Wine

Are you going to run in 2021 elections? First of all, we are expecting elections and if it was business as usual, President Museveni would be expected to rig using the military. However, our entry as young people of Uganda is a breath of fresh air because we are the majority; 85 per cent of the population.

Mashabiki wa mikoani watinga Kubwa Kuliko

WANACHAMA wa Klabu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi kwenye shughuli ya klabu hiyo ya Kubwa Kuliko inayofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee baada ya wanachama wengi kueleza kuwa wametoka mikoa mbalimbali nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mashabiki wa mikoani watinga Kubwa Kuliko

WANACHAMA wa Klabu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi kwenye shughuli ya klabu hiyo ya Kubwa Kuliko inayofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee baada ya wanachama wengi kueleza kuwa wametoka mikoa mbalimbali nchini.

Mchongo kamili wa Stars AFCON ni huu

Mbinu ya kujilinda katika sehemu kubwa ya mchezo na kushambulia kwa kushtukiza iliyotumiwa na Taifa Stars dhidi ya Mafarao wa Misri katika mechi ya kirafiki juzi, imeakisi kile alichodhamiria kufanya kocha Emmanuel Amunike katika Fainali za Mataifa ya Afrika
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mchongo kamili wa Stars AFCON ni huu

Mbinu ya kujilinda katika sehemu kubwa ya mchezo na kushambulia kwa kushtukiza iliyotumiwa na Taifa Stars dhidi ya Mafarao wa Misri katika mechi ya kirafiki juzi, imeakisi kile alichodhamiria kufanya kocha Emmanuel Amunike katika Fainali za Mataifa ya Afrika zitakazoanza Juni 21 nchini Misri.

Why business community is optimistic about new budget

The 2019/2020 national budget, tabled in Parliament Thursday by Finance and Planning minister Philip Mpango, is a win-win for all, the business community has said, urging the government to ensure full implementation.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Why business community is optimistic about new budget

The 2019/2020 national budget, tabled in Parliament Thursday by Finance and Planning minister Philip Mpango, is a win-win for all, the business community has said, urging the government to ensure full implementation.

Makamba atoa neno kugombea urais Tanzania

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba amesema swala la kugombea urais wa Tanzania kwake sio swala la kupania kwani Mungu ndiye hupanga.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Makamba atoa neno kugombea urais Tanzania

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba amesema swala la kugombea urais wa Tanzania kwake sio swala la kupania kwani Mungu ndiye hupanga.

WHO yajadili kwa dharura tishio la ebola Uganda

Jopo la wataalamu wa shirika la afya duniani WHO linakutana kwa dharura ili kuamua iwapo liutangaze mripuko wa ebola kuwa kitisho cha kimataifa baada ya kusambaa nchini Uganda.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

WHO yajadili kwa dharura tishio la ebola Uganda

Jopo la wataalamu wa shirika la afya duniani WHO linakutana kwa dharura ili kuamua iwapo liutangaze mripuko wa ebola kuwa kitisho cha kimataifa baada ya kusambaa nchini Uganda.

ATCL kusafiri Afrika Kusini kwa bei ya punguzo

Likitarajia kuanza kurukwa kwenda Johannesburg, Afrika Kusini, Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetoa tiketi kwa watu watatu walioibuka washindi kwa kujibu maswali yaliyoulizwa kwenye mitandao ya kijamii.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ATCL kusafiri Afrika Kusini kwa bei ya punguzo

Likitarajia kuanza kurukwa kwenda Johannesburg, Afrika Kusini, Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetoa tiketi kwa watu watatu walioibuka washindi kwa kujibu maswali yaliyoulizwa kwenye mitandao ya kijamii.

Swiss women rise up for equal pay

Statues draped in purple in Neuchatel, blocked traffic in Lausanne and a massive clenched fist feminist symbol projected onto a skyscraper in Basel: women across Switzerland went on strike Friday for equal pay.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Swiss women rise up for equal pay

Statues draped in purple in Neuchatel, blocked traffic in Lausanne and a massive clenched fist feminist symbol projected onto a skyscraper in Basel: women across Switzerland went on strike Friday for equal pay.

First US murder trial using DNA, family tree evidence

A truck driver implicated by his DNA and family tree in a double murder more than 30 years after the crime will face trial this week in the first case using a revolutionary investigative technique.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

First US murder trial using DNA, family tree evidence

A truck driver implicated by his DNA and family tree in a double murder more than 30 years after the crime will face trial this week in the first case using a revolutionary investigative technique.

Hair we go: women react to 25 per cent tax on imported wigs

It has always been a debate that no side has ever won, whether women look good in their natural hair or with the extensions with all sorts of names for, from Brazilian to Indian.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Hair we go: women react to 25 per cent tax on imported wigs

It has always been a debate that no side has ever won, whether women look good in their natural hair or with the extensions with all sorts of names for, from Brazilian to Indian.

Tanzanian re-elected Vice President of World meteorological body

Tanzanian Dr Agness Kijazi has retained her position as vice president of the World Meteorological Organization (WMO) congress held in Geneva yesterday, June 13.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzanian re-elected Vice President of World meteorological body

Tanzanian Dr Agness Kijazi has retained her position as vice president of the World Meteorological Organization (WMO) congress held in Geneva yesterday, June 13.

Wachina wauza mitumba watimuliwa Kenya

Waziri wa Mambo ya Ndani  wa Kenya, Fred Matiang'i amewatimua nchini humo wafanyabiashara saba wa Kichina waliopatikana na hatia ya kufanya biashara kinyume cha sheria katika soko la mitumba la Gikomba.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wachina wauza mitumba watimuliwa Kenya

Waziri wa Mambo ya Ndani  wa Kenya, Fred Matiang'i amewatimua nchini humo wafanyabiashara saba wa Kichina waliopatikana na hatia ya kufanya biashara kinyume cha sheria katika soko la mitumba la Gikomba.

Ujumbe wa Samia kwa mabenki nchini Tanzania

Leo Ijumaa Juni 14, 2019 makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ametumia uzinduzi wa tawi la benki ya biashara Mkombozi jijini Dodoma kutoa ujumbe kwa mabenki nchini Tanzania.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ujumbe wa Samia kwa mabenki nchini Tanzania

Leo Ijumaa Juni 14, 2019 makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ametumia uzinduzi wa tawi la benki ya biashara Mkombozi jijini Dodoma kutoa ujumbe kwa mabenki nchini Tanzania.

Wenye uvimbe kwenye kizazi kutibiwa bila upasuaji Muhimbili

Mkuu wa Idara ya Radiolojia Hospitali ya  Taifa ya Muhimbili (MNH),  Dk Frola Lwakatare amesema wanawake wenye  uvimbe kwenye kizazi watapatiwa matibabu bila kufanyiwa upasuaji kama ilivyokuwa awali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wenye uvimbe kwenye kizazi kutibiwa bila upasuaji Muhimbili

Mkuu wa Idara ya Radiolojia Hospitali ya  Taifa ya Muhimbili (MNH),  Dk Frola Lwakatare amesema wanawake wenye  uvimbe kwenye kizazi watapatiwa matibabu bila kufanyiwa upasuaji kama ilivyokuwa awali.

Christian Bella atinga Ikulu na Hamisa Mobetto

Mkali wa masuati. Ndivyo anavyojiita mwanamuziki, Christian Bella ambaye jana Alhamis Juni 13, 2019 aliambatana na mwanamitindo Hamisa Mobetto Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kupewa mwaliko na Rais John Magufuli
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Christian Bella atinga Ikulu na Hamisa Mobetto

Mkali wa masuati. Ndivyo anavyojiita mwanamuziki, Christian Bella ambaye jana Alhamis Juni 13, 2019 aliambatana na mwanamitindo Hamisa Mobetto Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kupewa mwaliko na Rais John Magufuli

Mwanafunzi wa miaka 10 asimulia alivyolawitiwa

Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa miaka 10 ameieleza mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi mshtakiwa, Rashid Said na rafiki yake walivyomlawiti mara mbili huku wakimtishia kisu, kumtaka kutosema jambo hilo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwanafunzi wa miaka 10 asimulia alivyolawitiwa

Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa miaka 10 ameieleza mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi mshtakiwa, Rashid Said na rafiki yake walivyomlawiti mara mbili huku wakimtishia kisu, kumtaka kutosema jambo hilo.

Boris Johnson aongoza kinyang’anyiro cha kumrithi May

Waziri wa zamani wa mambo ya nje nchini Uingereza, Boris Johnson ameongoza katika awamu ya kwanza ya mchujo wa wagombea wanaowania kuchukua uongozi wa chama cha Conservative.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Boris Johnson aongoza kinyang’anyiro cha kumrithi May

Waziri wa zamani wa mambo ya nje nchini Uingereza, Boris Johnson ameongoza katika awamu ya kwanza ya mchujo wa wagombea wanaowania kuchukua uongozi wa chama cha Conservative.

Ofisi za Chadema zachomwa moto, polisi waanza uchunguzi

Uongozi wa Chadema Kanda ya Kusini na Polisi mkoani Lindi wamethibitisha kuchomwa moto kwa ofisi za chama hicho za Lindi mjini usiku wa kuamkia leo Ijumaa Juni 14, 2019 na kusababisha mali za chama kuteketea.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ofisi za Chadema zachomwa moto, polisi waanza uchunguzi

Uongozi wa Chadema Kanda ya Kusini na Polisi mkoani Lindi wamethibitisha kuchomwa moto kwa ofisi za chama hicho za Lindi mjini usiku wa kuamkia leo Ijumaa Juni 14, 2019 na kusababisha mali za chama kuteketea.

Waziri Makamba afafanua kuhusu mkanganyiko matumizi mifuko ya plastiki

Baada ya taarifa zenye mkanganyiko kusambaa kuhusu matumizi ya mifuko ya plastiki hasa vifungashio vya chakula, waziri Makamba ameibuka na kueleza kuwa zipo baadhi ya bidhaa za ambazo lazima zifungwe kwenye mifuko ya plastiki kulinda ubora wake
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri Makamba afafanua kuhusu mkanganyiko matumizi mifuko ya plastiki

Baada ya taarifa zenye mkanganyiko kusambaa kuhusu matumizi ya mifuko ya plastiki hasa vifungashio vya chakula, waziri Makamba ameibuka na kueleza kuwa zipo baadhi ya bidhaa za ambazo lazima zifungwe kwenye mifuko ya plastiki kulinda ubora wake

Congo yaomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki

Katika kuendelea kuimarisha uhusiano baina yake na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais wa Congo Tshisekedi amesema wameshaomba kujiunga na EAC.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Congo yaomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki

Katika kuendelea kuimarisha uhusiano baina yake na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais wa Congo Tshisekedi amesema wameshaomba kujiunga na EAC.

VIDEO: Bandari ya Dar es Salaam kuanza kupokea meli inayobeba makontena 6,000

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwele amesema Serikali ya Tanzania inaendelea kuboresha uwezo wa Bandari ya Dar es Salaam ili kuanza kupokea meli kubwa zinazobeba makontena mengi kati ya 4,000 mpaka 6,000.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Bandari ya Dar es Salaam kuanza kupokea meli inayobeba makontena 6,000

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwele amesema Serikali ya Tanzania inaendelea kuboresha uwezo wa Bandari ya Dar es Salaam ili kuanza kupokea meli kubwa zinazobeba makontena mengi kati ya 4,000 mpaka 6,000.

Get more results via ClueGoal