Tanzania
MapoList

LHRC commends Shule for stand against gender-based violence at UDSM

The Legal and Human Rights Centre (LHRC) executive director Anna Henga has commended the University of Dar es Salaam (UDSM) lecturer, Dr Vicensia Shule, for speaking out on the issue of sexual harassment against female students.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

OPINION: December 12 is upon us and it matters

I recently stumbled on a message from the World Health Organization (WHO) that “no one should have to choose between good health and other life’s necessities…”

Membe njiapanda

Mwaka 2014, Bernard Membe na wanachama wengine watano walifungiwa kwa miezi 12 baada ya kubainika kuwa walikuwa wakifanya kampeni kabla ya muda.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

BoT kuendelea kuyafunga maduka ya fedha yasiyokidhi vigezo

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema wataendelea kudhibiti biashara ya ubadilishaji fedha ili kuhakikisha sekta ya fedha haiyumbi nchini.

Rais Bongo anasumbuliwa na kiharusi

Rais Ali Bongo, ambaye amekuwa nje ya Gabon tangu alipougua Oktoba akiwa Saudi Arabia, alipata kiharusi, makamu wa rais amesema ikiwa ni taarifa rasmi ya kwanza kuhusu ugonjwa unaomsumbua kiongozi huyo wa nchi.

Hizi ndizo Derby tano kali duniani

Mpira wa bongo Simba na Yanga zinapokutana utasikia mashabiki wa klabu hizo kongwe nchini wavyopigana vijembe na tambo za hapa na pale, lakini yote hiyo ‘tisa’, kuna derby tano kali zinazotikisa dunia.

Bomba la mafuta hatihati

Wakati Serikali ikiwa imeanza kulipa fidia kwa wananchi walio katika maeneo litakakopita bomba la mafuta kutoka Tanga mpaka Hoima nchini Uganda, uhakika wa kukamilika mwaka 2020 upo shakani.

JPM leaves petty traders smiling

At least 670,000 petty traders with less than Sh4 million capital across the country have a reason to smile after President John Magufuli ordered issuance of special Identification cards (ID), will make it easy for Tanzania Revenue Authority (TRA) to identif
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

JPM leaves petty traders smiling

At least 670,000 petty traders with less than Sh4 million capital across the country have a reason to smile after President John Magufuli ordered issuance of special Identification cards (ID), will make it easy for Tanzania Revenue Authority (TRA) to identify them.

Revealed: Jamal Khashoggi's final words

Jamal Khashoggi's final words were «I can't breathe,» CNN said Sunday, citing a source who has read the transcript of an audio tape of the final moments before the journalist's murder.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Revealed: Jamal Khashoggi's final words

Jamal Khashoggi's final words were «I can't breathe,» CNN said Sunday, citing a source who has read the transcript of an audio tape of the final moments before the journalist's murder.

Mitigating Effects Of Climate Change in Tanzania One Tree At A Time

“Imagine if every Tanzanian planted just one tree a year, we will reach the extraordinary possibility of planting more than 50 million trees each year.”    HE Mkapa
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Mitigating Effects Of Climate Change in Tanzania One Tree At A Time

“Imagine if every Tanzanian planted just one tree a year, we will reach the extraordinary possibility of planting more than 50 million trees each year.”    HE Mkapa

Waziri ataka uhakiki wa mizani inayopima korosho

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda ameagiza wakala wa vipimo na mizani nchini kutembelea maeneo yote yanayohusika na ukusanyaji na upimaji korosho kuangalia vipimo vyote na kujiridhisha kama vinakubalika kisheria.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri ataka uhakiki wa mizani inayopima korosho

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda ameagiza wakala wa vipimo na mizani nchini kutembelea maeneo yote yanayohusika na ukusanyaji na upimaji korosho kuangalia vipimo vyote na kujiridhisha kama vinakubalika kisheria.

Kakunda: Usajili wa vikundi vya kijasiriamali usiwe na ubaguzi

Kutokana na baadhi ya maofisa  maendeleo ya jamii kubagua watu wanaoomba kusajiliwa kama kikundi kumesababisha baadhi ya vikundi kubadili majina ya watu ili kukidhi mahitaji ya msajili.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kakunda: Usajili wa vikundi vya kijasiriamali usiwe na ubaguzi

Kutokana na baadhi ya maofisa  maendeleo ya jamii kubagua watu wanaoomba kusajiliwa kama kikundi kumesababisha baadhi ya vikundi kubadili majina ya watu ili kukidhi mahitaji ya msajili.

VIDEO: AliKiba akinukisha Mkwakwani, Coastal Union yashikwa Mbeya City

Mwanamuziki na mshambuliaji wa Coastal Union, Ali Kiba amekonga nyoyo za mashabiki wa timu yake kwa kucheza dakika 64, na kusababisha bao katika sare 1-1 dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: AliKiba akinukisha Mkwakwani, Coastal Union yashikwa Mbeya City

Mwanamuziki na mshambuliaji wa Coastal Union, Ali Kiba amekonga nyoyo za mashabiki wa timu yake kwa kucheza dakika 64, na kusababisha bao katika sare 1-1 dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Zitto atumia dakika 240 Takukuru

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe jana alitumia takriban saa nne kuwasilisha Takukuru ushahidi wake kuhusu madai ya rushwa ilivyozingira mradi wa Liganga na Mchuchuma, lakini anahofia kama taasisi hiyo itafanyia kazi vielelezo vyake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zitto atumia dakika 240 Takukuru

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe jana alitumia takriban saa nne kuwasilisha Takukuru ushahidi wake kuhusu madai ya rushwa ilivyozingira mradi wa Liganga na Mchuchuma, lakini anahofia kama taasisi hiyo itafanyia kazi vielelezo vyake.

The battle for pool glory

Three swimming clubs, Taliss-IST, Bluefins and Dar es Salaam Swimming Club (DSC), are locking horns to finish top in the ongoing Tanzania Junior Swimming Championships at the International School of Tanganyika (IST).
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

The battle for pool glory

Three swimming clubs, Taliss-IST, Bluefins and Dar es Salaam Swimming Club (DSC), are locking horns to finish top in the ongoing Tanzania Junior Swimming Championships at the International School of Tanganyika (IST).

Malaria parasites targeted in liver

In the ongoing hunt for more effective weapons against malaria, international researchers said Thursday they are exploring a pathway that has until now been little studied -- killing parasites in the liver, before the illness emerges.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Malaria parasites targeted in liver

In the ongoing hunt for more effective weapons against malaria, international researchers said Thursday they are exploring a pathway that has until now been little studied -- killing parasites in the liver, before the illness emerges.

Govt blocks cashew nut exporters at port

The government has insisted that no company will be allowed to export unprocessed cashew nuts from Tanzania as it seeks partnership with eight firms to open processing plants in the country. Agriculture Minister Japhet Hasunga said at the weekend he was awar
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Govt blocks cashew nut exporters at port

The government has insisted that no company will be allowed to export unprocessed cashew nuts from Tanzania as it seeks partnership with eight firms to open processing plants in the country. Agriculture Minister Japhet Hasunga said at the weekend he was aware of companies that had attempted to export cashews but were blocked at the port.

Majaliwa ataka shamba la Mkulazi kuendeshwa kisasa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea shamba la miwa la Mkulazi na kusisitiza dhamira ya Serikali ya kuboresha kilimo cha miwa ili kuhakikisha sukari inazalishwa ya kutosha na kukidhi mahitaji
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majaliwa ataka shamba la Mkulazi kuendeshwa kisasa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea shamba la miwa la Mkulazi na kusisitiza dhamira ya Serikali ya kuboresha kilimo cha miwa ili kuhakikisha sukari inazalishwa ya kutosha na kukidhi mahitaji

Maria Nyerere amtaja Dk Bashiru Ally

Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemmwagia sifa Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally na kusema kuwa amekuwa msaada mkubwa kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maria Nyerere amtaja Dk Bashiru Ally

Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemmwagia sifa Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally na kusema kuwa amekuwa msaada mkubwa kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli  

Burundi yaishutumu Rwanda

«Rwanda ndiyo nchi pekee katika ukanda huu iliyojitokeza kuwa mshirika wakuu katika kuvuruga uthabiti wa taifa langu na kwamba siichukulii tena kama taifa mshirika, bali kama adui wa nchi yangu,» ilisema sehemu ya barua hiyo, ambayo inaonesha ilit
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Burundi yaishutumu Rwanda

«Rwanda ndiyo nchi pekee katika ukanda huu iliyojitokeza kuwa mshirika wakuu katika kuvuruga uthabiti wa taifa langu na kwamba siichukulii tena kama taifa mshirika, bali kama adui wa nchi yangu,» ilisema sehemu ya barua hiyo, ambayo inaonesha ilitiwa saini na Rais Nkurunziza Desemba 4. Barua hiyo ambayo ameandikiwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye ni mpatanishi wa mgogoro wa Burundi, imesisitiza kwamba Rwanda ndiyo iliandaa na kuwaunga mkono wakimbizi wa Burundi waliotaka kulivuruga taifa hilo.  

Kenya yataka Ocampo achunguzwe

«Malalamiko dhidi ya mwendesha mashtaka mkuu wa zamani hayapaswi kufunikwa chini ya zuria. Kenya inaitaka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka kupeleka malalamiko kwenye taasisi isiyoegemea upande kufanya uchunguzi wa wazi juu ya madai haya,» alisema.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kenya yataka Ocampo achunguzwe

«Malalamiko dhidi ya mwendesha mashtaka mkuu wa zamani hayapaswi kufunikwa chini ya zuria. Kenya inaitaka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka kupeleka malalamiko kwenye taasisi isiyoegemea upande kufanya uchunguzi wa wazi juu ya madai haya,» alisema.

Maternal health professor calls for accountability among medical staff

One of the country’s senior professors in maternal health, Siriel Massawe has called for improved accountability among medical staff as they go about providing health services.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Maternal health professor calls for accountability among medical staff

One of the country’s senior professors in maternal health, Siriel Massawe has called for improved accountability among medical staff as they go about providing health services.

Tanzania vows to protect national interests in Uganda-Tanzania Crude Oil Pipeline

Tanzanian Energy minister Merdard Kalemani said on Friday December 7 that the government is putting national interests first in the ongoing talks on the construction of the Uganda-Tanzania Crude Oil Pipeline (UTCOP).
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzania vows to protect national interests in Uganda-Tanzania Crude Oil Pipeline

Tanzanian Energy minister Merdard Kalemani said on Friday December 7 that the government is putting national interests first in the ongoing talks on the construction of the Uganda-Tanzania Crude Oil Pipeline (UTCOP).

EAC member states vows to harmonise taxes to deepen common market

Revenue authorities from the East African Community (EAC) members on Friday vowed to push for the harmonization of their domestic taxes in order to deepen their common market.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

EAC member states vows to harmonise taxes to deepen common market

Revenue authorities from the East African Community (EAC) members on Friday vowed to push for the harmonization of their domestic taxes in order to deepen their common market.

Jipya ukistaafu kwa hiari laibuka

Wakati mjadala wa sheria mpya ya mafao ukiendelea kutawala nchini, imebainika kuwa endapo mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii atastaafu kwa hiari, pensheni yake ya kila mwezi itapungua kwa asilimia 0.3.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jipya ukistaafu kwa hiari laibuka

Wakati mjadala wa sheria mpya ya mafao ukiendelea kutawala nchini, imebainika kuwa endapo mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii atastaafu kwa hiari, pensheni yake ya kila mwezi itapungua kwa asilimia 0.3.

Bavicha kusherehekea gerezani

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Patrick Ole Sosopi amesema kufuatia kuahirishwa kwa sherehe za Uhuru, wamepanga kutembelea magereza mbalimbali nchini ili kuzungumza na wafungwa na mahabusu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bavicha kusherehekea gerezani

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Patrick Ole Sosopi amesema kufuatia kuahirishwa kwa sherehe za Uhuru, wamepanga kutembelea magereza mbalimbali nchini ili kuzungumza na wafungwa na mahabusu.

Get more results via ClueGoal