Tanzania
MapoList

Jubilee sets aside Sh200m for boosting community support

Jubilee Insurance has earmarked Sh200 million for scaling up its investment in corporate social responsibility, as part of celebrations to mark 80 years in business.

American arrested for death threats to Democratic lawmakers

Police arrested a Florida man on Friday on suspicion of threatening to kill three Democratic lawmakers and expressing his hatred for controversial Muslim Congresswoman Ilhan Omar, prosecutors said.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Kagera Sugar yaikabidhi Simba zawadi ya Pasaka ikiitundika mabao 2-1

Timu ya Simba imekubali kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wizara tatu kushirikiana kuandaa timu za taifa za riadha na ndondi

Wizara tatu zinatarajiwa kuungana kuandaa timu ya taifa ya riadha na ndondi ili kuhakikisha Tanzania inafanya vizuri katika mashindano ya kimataifa na kutangaza utalii.

Unaifahamu Pasaka?

Shamrashamra za maandalizi ya Wakristo kusherehekea kikukuu ya kufufuka kwa Mwana wa Mungu, Yesu Kristo zinaendelea. Lakini je unaifahamu maana ya Pasaka?

Walioathiriwa na vita kuishtaki Serikali Kenya

Waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2017 nchini Kenya, wanaazimia kuishitaki Serikali na asasi zake wakiwemo polisi kutokana na dhulma walizofanyiwa wakati wa ghasia hizo.

Serikali kuendeleza vita dhidi ya mimba za utotoni

Katika kupambana na mimba za utotoni kwa watoto wa kike, Serikali imejenga jengo la bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya Kasange iliyopo halmashauri ya Kasulu mji mkoani hapa.

Serengeti Boys, Uganda zafuta ndoto kushiriki Kombe la Dunia

Tanzania U-17 Serengeti Boys imepoteza michezo yote mitatu ya kundi A baada ya kufungwa mabao 4-2 dhidi ya Angola U-17 kwenye mchezo wa fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon)

35,000 wajeruhiwa, 8,000 wafariki kwa ajali za bodaboda

Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani limetoa takwimu kuhusu hali ya ajali nchini kwa miaka 10, zilizoonyesha watu 35,231 wamejeruhiwa kufuatia ajali za pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’.

Wakristo wakumbushwa kusameheana

Watanzania wametakiwa kutumia Sikukuu ya Pasaka kutoa msamaha kwa wote waliowakosea ili kuendeleza amani ya nchi kama Yesu alivyoamua kuwasamehe waliomkosea wakati aliposulubiwa msalabani.

Changamoto mabasi ya mwendokasi mwisho Agosti

Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Tamisemi, Suleiman Jafo amesema changamoto zote zilizopo katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (Dart) zitakuwa zimetatuliwa hivyo wakazi wa jiji la Dar es Salaam wataanza kufurahia upya usafiri huo.

Askofu akemea wanaojifanya watetezi wa wanyonge

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza amewaonya watu wanaojifanya kutetea wanyonge kwa lengo la kujinufaisha kisiasa, kiuchumi na kiitikadi.

Baraka Magufuli; Kutoka kijiji cha Bwanzi mpaka 'viunga vya Ikulu'

Aina yake ya ucheshi na mavazi yamewafanya mashabiki wambatize jina la Baraka Magufuli lakini jina lake halisi ni Baraka Mwakipesile. Alizaliwa miaka 21 iliyopita mjini Mafinga wilayani Mufindi, lakini kwa sasa anaishi kijiji cha Bwanzi wilayani humo mkoani I
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Baraka Magufuli; Kutoka kijiji cha Bwanzi mpaka 'viunga vya Ikulu'

Aina yake ya ucheshi na mavazi yamewafanya mashabiki wambatize jina la Baraka Magufuli lakini jina lake halisi ni Baraka Mwakipesile. Alizaliwa miaka 21 iliyopita mjini Mafinga wilayani Mufindi, lakini kwa sasa anaishi kijiji cha Bwanzi wilayani humo mkoani Iringa.

Ukiona unajipunguza umri jua kuna sehemu umeshakosea

Hii mada ya leo inawahusu zaidi wadada. Nadhani kwa kuwa wanaume wanachelewa kuzeeka kuliko wanawake, umri haujawahi kuwa ishu. Mwanaume mpaka aanze kuota mvi, mwanamke wa umri wake anakuwa tayari ameshasogea sana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ukiona unajipunguza umri jua kuna sehemu umeshakosea

Hii mada ya leo inawahusu zaidi wadada. Nadhani kwa kuwa wanaume wanachelewa kuzeeka kuliko wanawake, umri haujawahi kuwa ishu. Mwanaume mpaka aanze kuota mvi, mwanamke wa umri wake anakuwa tayari ameshasogea sana.

Christina na Regina; Mapacha wanaotikisa tamthilia ya Huba

Ni rahisi kuamini kuwa waigizaji Rucky na Rani wanaocheza katika tamthilia ya Huba ni mtu mmoja, lakini ukweli ni kwamba hawa ni Christina na Regina.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Christina na Regina; Mapacha wanaotikisa tamthilia ya Huba

Ni rahisi kuamini kuwa waigizaji Rucky na Rani wanaocheza katika tamthilia ya Huba ni mtu mmoja, lakini ukweli ni kwamba hawa ni Christina na Regina.

NDANI YA BOKSI: Hukumuelewa Ommy Dimpoz utamuelewaje Dudu?

Shetani naye ana nguvu ingawa hana mamlaka. Ndio maana unakuta mtu mwenye kuzibia riziki za watu naye anapata wafuasi. Wanampenda na kusifiwa kuwa bila huyo hutoki kimaisha. Bila huyo utaendelea kuimbia chumbani kwako. Bila huyo hupati ‘air time’ wala ‘
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NDANI YA BOKSI: Hukumuelewa Ommy Dimpoz utamuelewaje Dudu?

Shetani naye ana nguvu ingawa hana mamlaka. Ndio maana unakuta mtu mwenye kuzibia riziki za watu naye anapata wafuasi. Wanampenda na kusifiwa kuwa bila huyo hutoki kimaisha. Bila huyo utaendelea kuimbia chumbani kwako. Bila huyo hupati ‘air time’ wala ‘shoo’. Yaani anaongelewa kisifa sifa.

Wabunge bado washikilia tume huru ya uchaguzi, Katiba mpya bado vyateka mijadala

Wakati shughuli za Bunge la Bajeti zikiahirishwa hadi Jumanne kupisha maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka, mambo manne yalitawala mijadala ya hotuba za makadirio ya mapato na matumizi ya wizara nne.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabunge bado washikilia tume huru ya uchaguzi, Katiba mpya bado vyateka mijadala

Wakati shughuli za Bunge la Bajeti zikiahirishwa hadi Jumanne kupisha maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka, mambo manne yalitawala mijadala ya hotuba za makadirio ya mapato na matumizi ya wizara nne.

Ripoti ya CAG yataja ‘matundu’ utawala bora

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imetaja kasoro ilizobaini katika eneo la utawala bora na kusababisha kuzorota kwa utendaji wa kazi ndani ya Serikali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ripoti ya CAG yataja ‘matundu’ utawala bora

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imetaja kasoro ilizobaini katika eneo la utawala bora na kusababisha kuzorota kwa utendaji wa kazi ndani ya Serikali.

MAUAJI YA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA: Saa 100 za kesi mauaji mwanafunzi

Takribani saa 100 za usikilizaji mfululizo wa kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi, zimeshuhudia mashahidi 17 wa mashtaka wakitoa ushahidi na kukabidhi vielelezo 11.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MAUAJI YA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA: Saa 100 za kesi mauaji mwanafunzi

Takribani saa 100 za usikilizaji mfululizo wa kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi, zimeshuhudia mashahidi 17 wa mashtaka wakitoa ushahidi na kukabidhi vielelezo 11.

MUUNGANO TANGANYIKA - ZANZIBAR 1964: Nyerere aenda kuonana na Karume ziara ya Zanzibar - 11

Wakati vuguvugu la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar likiendelea, balozi wa Marekani mjini Dar es Salaam, William Leonhart alianza kuwa na kazi nyingi za kutoa taarifa za matukio ya siku kwa siku.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MUUNGANO TANGANYIKA - ZANZIBAR 1964: Nyerere aenda kuonana na Karume ziara ya Zanzibar - 11

Wakati vuguvugu la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar likiendelea, balozi wa Marekani mjini Dar es Salaam, William Leonhart alianza kuwa na kazi nyingi za kutoa taarifa za matukio ya siku kwa siku.

CCM candidate clinches Arumeru East seat unopposed

CCM candidate Dr John Pallangyo has clinched the Arumeru East unchallenged after seven of his opponents failed to meet the requirements by the electoral body.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

CCM candidate clinches Arumeru East seat unopposed

CCM candidate Dr John Pallangyo has clinched the Arumeru East unchallenged after seven of his opponents failed to meet the requirements by the electoral body.

Arusha Archbishop cautions over food security and Climate change

Catholic Archbishop of Arusha, Isaac Amani has cautioned Tanzanians to reserve some food for future use, alerting that the delayed rains in many parts of the country was likely cause poor harvest this year.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Arusha Archbishop cautions over food security and Climate change

Catholic Archbishop of Arusha, Isaac Amani has cautioned Tanzanians to reserve some food for future use, alerting that the delayed rains in many parts of the country was likely cause poor harvest this year.

Padri azungumzia wanaojinyonga

Mke wa Rais wa Tanzania, Janeth Magufuli ameungana na mamia ya waumini kushiriki ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Aprili 19, 2019.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Padri azungumzia wanaojinyonga

Mke wa Rais wa Tanzania, Janeth Magufuli ameungana na mamia ya waumini kushiriki ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Aprili 19, 2019.

Mtoto wa siku moja akutwa amekufa katika sinki la choo

Mtoto anayekadiriwa kuwa wa siku moja amekutwa kwenye choo cha Shule ya Sekondari Kazima mkoani Tabora akiwa ametanguliza kichwa na miguu kuwa nyuma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtoto wa siku moja akutwa amekufa katika sinki la choo

Mtoto anayekadiriwa kuwa wa siku moja amekutwa kwenye choo cha Shule ya Sekondari Kazima mkoani Tabora akiwa ametanguliza kichwa na miguu kuwa nyuma.

Mgombea wa CCM Arumeru Mashariki apita bila kupingwa

Arumeru. Mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki  kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), John Pallagyo amepita bila kupigwa katika nafasi hiyo  baada ya wagombea wenzake 10 kushindwa kukidhi vigezo
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgombea wa CCM Arumeru Mashariki apita bila kupingwa

Arumeru. Mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki  kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), John Pallagyo amepita bila kupigwa katika nafasi hiyo  baada ya wagombea wenzake 10 kushindwa kukidhi vigezo

Kiongozi wa mwenge agoma kuzindua kituo cha afya

Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Mzee Mkongea Ali ameshindwa kuweka jiwe la msingi katika kituo cha afya cha kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma baada ya kuwepo makazi ya watu katika eneo la kituo hicho.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kiongozi wa mwenge agoma kuzindua kituo cha afya

Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Mzee Mkongea Ali ameshindwa kuweka jiwe la msingi katika kituo cha afya cha kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma baada ya kuwepo makazi ya watu katika eneo la kituo hicho.

Musukuma aipa angalizo Morogoro

Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku maarufu Musukuma ameishauri Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuongeza vyanzo vya mapato katika kituo cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi cha Msamvu mkoani humo badala ya kutegemea chanzo kikubwa cha ushuru wa mabasi y
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Musukuma aipa angalizo Morogoro

Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku maarufu Musukuma ameishauri Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuongeza vyanzo vya mapato katika kituo cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi cha Msamvu mkoani humo badala ya kutegemea chanzo kikubwa cha ushuru wa mabasi yanayoingia katika kituo hicho.

Askofu awaasa Watanzania kuwa macho na umwagaji damu

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amewataka waumini na wananchi kwa ujumla kuwa makini na umwagaji damu usio na hatia
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Askofu awaasa Watanzania kuwa macho na umwagaji damu

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amewataka waumini na wananchi kwa ujumla kuwa makini na umwagaji damu usio na hatia

Askofu Bagonza: Kuweni makini na wanaokuja kwa sura ya kutetea wanyonge

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amewataka waumini na wananchi kuwa makini na wanaojifanya wanatetea wanyonge kumbe wanataka kazi ya kufanya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Askofu Bagonza: Kuweni makini na wanaokuja kwa sura ya kutetea wanyonge

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amewataka waumini na wananchi kuwa makini na wanaojifanya wanatetea wanyonge kumbe wanataka kazi ya kufanya.

Get more results via ClueGoal