Tanzania
MapoList

When eye problems come with age

Early last month, Tanzania joined the rest of the world in marking the International Day of Older Persons with the theme “celebrating older human rights champions.”

Tanzania: New training strategy to undo shortage of anaesthesia experts

In Tanzania, where a population of a million people relies on a single anesthesiologist, the worry is always about the fate of women and newborn children during childbirth at the country’s less-equipped rural hospitals.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Wafanyabiashara Tanzania wavutiwa na zana za kilimo China

Ujumbe wa wafanyabiashara wa Tanzania waliohudhuria maonyesho ya biashara ya Guangzhou, China wamerejea nchini leo Aprili 21 huku wakisema wamejifunza kwamba Tanzania inaweza kupiga hatua kiviwanda kama ilivyo China sasa huku wakitaja nafasi ya zana bora za k
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wafanyabiashara Tanzania wavutiwa na zana za kilimo China

Ujumbe wa wafanyabiashara wa Tanzania waliohudhuria maonyesho ya biashara ya Guangzhou, China wamerejea nchini leo Aprili 21 huku wakisema wamejifunza kwamba Tanzania inaweza kupiga hatua kiviwanda kama ilivyo China sasa huku wakitaja nafasi ya zana bora za kilimo katika mafanikio.

VIDEO: Achomwa moto kwa kuiarifu polisi tukio la kutaka kubakwa

Msichana mmoja Nusrat Jahan Rafi amemwagiwa mafuta ya taa na kuchomwa moto shuleni kwake katika mji Dhaka kitongoji cha Feni nchini Bangladesh baada ya kutoa taarifa polisi za kunyanyaswa kingono na mkuu wake wa shule.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Achomwa moto kwa kuiarifu polisi tukio la kutaka kubakwa

Msichana mmoja Nusrat Jahan Rafi amemwagiwa mafuta ya taa na kuchomwa moto shuleni kwake katika mji Dhaka kitongoji cha Feni nchini Bangladesh baada ya kutoa taarifa polisi za kunyanyaswa kingono na mkuu wake wa shule.

Bobi Wine akamatwa tena Uganda

Mbunge na mwanamuziki, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine na wafuasi wake wamekamatwa na polisi kutokana na kukaidi agizo la kusitishwa onyesho la muziki Kampala, Arua na Lira nchini Uganda.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bobi Wine akamatwa tena Uganda

Mbunge na mwanamuziki, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine na wafuasi wake wamekamatwa na polisi kutokana na kukaidi agizo la kusitishwa onyesho la muziki Kampala, Arua na Lira nchini Uganda.

TMA yatoa angalizo mvua zenye athari

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi, zitakazoacha athari katika shughuli za, kijamii, kiuchumi, uvuvi na usafiri baharini, pamoja na baadhi ya makazi kuzingirwa na maji.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TMA yatoa angalizo mvua zenye athari

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi, zitakazoacha athari katika shughuli za, kijamii, kiuchumi, uvuvi na usafiri baharini, pamoja na baadhi ya makazi kuzingirwa na maji.

Glaucoma: The sneak thief of your eyesight

Glaucoma is an eye disease that gradually steals sight without warning. In the early stages of the disease, there are normally no symptoms. It can be caused when there is an increase of pressure inside eye that damages the optical nerve, which connects the ey
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Glaucoma: The sneak thief of your eyesight

Glaucoma is an eye disease that gradually steals sight without warning. In the early stages of the disease, there are normally no symptoms. It can be caused when there is an increase of pressure inside eye that damages the optical nerve, which connects the eye to the brain, explains Dr Cyprian Ntomoka, the Head CCBRT’s [Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania] Eye Department and a Consultant Opthalmologist.

When hormonal contraceptives wreak havoc

When I first met Salome*, she was 39 and was adjusting to having lost her husband the previous year after nursing him through a horrific experience with stomach cancer, watching him waste away day after day and knowing that there was nothing she could do to s
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

When hormonal contraceptives wreak havoc

When I first met Salome*, she was 39 and was adjusting to having lost her husband the previous year after nursing him through a horrific experience with stomach cancer, watching him waste away day after day and knowing that there was nothing she could do to stop it. When she laid him to rest, a large part of her went with him.

Minister issues directive on sale of confiscated livestock

Deputy Minister for Natural Resources and Tourism Constantine Kanyasu has directed wildlife officials to increase transparency in auctioning of livestock confiscated inside reserve areas.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Minister issues directive on sale of confiscated livestock

Deputy Minister for Natural Resources and Tourism Constantine Kanyasu has directed wildlife officials to increase transparency in auctioning of livestock confiscated inside reserve areas.

Don’t despair, Bishop Kinyunyu tells Christians

Bishop of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) of the Diocese of Dodoma Amon Kinyunyu has called upon Christians to be resilient when it comes to addressing many challenges they face.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Don’t despair, Bishop Kinyunyu tells Christians

Bishop of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) of the Diocese of Dodoma Amon Kinyunyu has called upon Christians to be resilient when it comes to addressing many challenges they face.

Love-struck Zari can’t stop talking about her heaven sent bae

What doesn’t kill you only makes you stronger so they say and after she survived Diamond Zari is now firing on all cylinders.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Love-struck Zari can’t stop talking about her heaven sent bae

What doesn’t kill you only makes you stronger so they say and after she survived Diamond Zari is now firing on all cylinders.

‘Suala la Zanzibar kukopa linahitaji umakini mkubwa’

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba, Mohammed Mchengerwa amesema hoja ya Zanzibar kuruhusiwa kukopa haitakiwi kujibiwa kwa kukurupuka kwa sababu ni suala linalohusu Katiba.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

‘Suala la Zanzibar kukopa linahitaji umakini mkubwa’

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba, Mohammed Mchengerwa amesema hoja ya Zanzibar kuruhusiwa kukopa haitakiwi kujibiwa kwa kukurupuka kwa sababu ni suala linalohusu Katiba.

Ujumbe wa TEC wahimiza bima ya afya kwa kila Mtanzania

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeiomba Serikali kuweka utaratibu utakaowawezesha wananchi ambao hawana uwezo wa kulipia bima ya afya waweze kupata huduma bora za afya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ujumbe wa TEC wahimiza bima ya afya kwa kila Mtanzania

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeiomba Serikali kuweka utaratibu utakaowawezesha wananchi ambao hawana uwezo wa kulipia bima ya afya waweze kupata huduma bora za afya.

Ajali za bodaboda zilivyoua watu 8,000 kwa miaka 10

Jumla wa watu 8,004 wamefariki dunia kutokana na ajali za pikipiki huku 35,231 wakijeruhiwa katika kipindi cha miaka 10, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeeleza.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ajali za bodaboda zilivyoua watu 8,000 kwa miaka 10

Jumla wa watu 8,004 wamefariki dunia kutokana na ajali za pikipiki huku 35,231 wakijeruhiwa katika kipindi cha miaka 10, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeeleza.

Mwingine adaiwa kufia mikononi mwa polisi

Matukio ya watuhumiwa kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi yanaendelea kulitikisa jeshi hilo la polisi baada ya kijana aitwaye Waziri Mlacha (18), kudaiwa kuuawa akiwa mikononi mwa askari wa jeshi hilo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwingine adaiwa kufia mikononi mwa polisi

Matukio ya watuhumiwa kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi yanaendelea kulitikisa jeshi hilo la polisi baada ya kijana aitwaye Waziri Mlacha (18), kudaiwa kuuawa akiwa mikononi mwa askari wa jeshi hilo.

Wakristo watakiwa kuitumia sala kama silaha yao

Askofu wa Jimbo la Katoliki Kayanga, Almachius Rweyongeza amewakumbusha waumini kuzingatia amani, sala kwa Mungu wakati wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wakristo watakiwa kuitumia sala kama silaha yao

Askofu wa Jimbo la Katoliki Kayanga, Almachius Rweyongeza amewakumbusha waumini kuzingatia amani, sala kwa Mungu wakati wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka.

Askofu awataka waumini wasikate tamaa

Askofu wa Dayosisi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Dodoma, Amon Kinyunyu amewaka Wakristo kutokana tamaa pale wanapokutana na changamoto katika maisha yao badala yake wamuombe Mungu awaonyeshe njia ya kukabiliana nazo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Askofu awataka waumini wasikate tamaa

Askofu wa Dayosisi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Dodoma, Amon Kinyunyu amewaka Wakristo kutokana tamaa pale wanapokutana na changamoto katika maisha yao badala yake wamuombe Mungu awaonyeshe njia ya kukabiliana nazo.

Mauaji ya Njombe yaibuka ibada ya Pasaka kwa Kakobe

Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amewaonya watu wote wanajihusisha na matukio ya mauaji ya watoto Mkoa wa Njombe kwa lengo la kupata utajiri ama nyadhifa za uongozi  kuacha na kutubu kwani hakuna utajiri unaopatikan
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mauaji ya Njombe yaibuka ibada ya Pasaka kwa Kakobe

Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amewaonya watu wote wanajihusisha na matukio ya mauaji ya watoto Mkoa wa Njombe kwa lengo la kupata utajiri ama nyadhifa za uongozi  kuacha na kutubu kwani hakuna utajiri unaopatikana kwa njia za kuua mtu.

Wakenya hata Mbio za Ngorongoro tishio

Wanariadha kutoka Kenya wameendeleza ubabe wao wa kukata upepo dhidi ya wanariadha wa Tanzania baada ya kushinda mbio za Ngorongoro Half Marathon zilizofanyika jana wilayani Karatu mkoani Arusha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wakenya hata Mbio za Ngorongoro tishio

Wanariadha kutoka Kenya wameendeleza ubabe wao wa kukata upepo dhidi ya wanariadha wa Tanzania baada ya kushinda mbio za Ngorongoro Half Marathon zilizofanyika jana wilayani Karatu mkoani Arusha.

Pogba, De Gea walianzisha kikosini Manchester United

Mastaa wa klabu ya Manchester United, kipa David De Gea na kiungo mshambuliaji, Paul Pogba wameshaona kuwa wao ndio wao klabuni, sasa wamelianzisha huko Old Trafford.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Pogba, De Gea walianzisha kikosini Manchester United

Mastaa wa klabu ya Manchester United, kipa David De Gea na kiungo mshambuliaji, Paul Pogba wameshaona kuwa wao ndio wao klabuni, sasa wamelianzisha huko Old Trafford.

Miller avunja pambano lake na Joshua kinamna

Siku za karibuni, kumeandaliwa mpambano wa makonde kati ya bondia Jarrell Miller na Anthony Joshua lililokuwa lifanyike Juni Mosi, lakini Miller ni kama amelivunja kwa staili yake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Miller avunja pambano lake na Joshua kinamna

Siku za karibuni, kumeandaliwa mpambano wa makonde kati ya bondia Jarrell Miller na Anthony Joshua lililokuwa lifanyike Juni Mosi, lakini Miller ni kama amelivunja kwa staili yake.

Mtulia: Mwanaume wa Kinondoni hakimbii majukumu, Baba wanne atoe matunzo

Mbunge wa CCM Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia amesema mwanaume aliyepata watoto wanne pacha, Fammy Suleiman anapaswa kuchukua jukumu la kutoa matunzo kwa watoto wake licha ya kumtaliki mkewe Radhia Solomon
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtulia: Mwanaume wa Kinondoni hakimbii majukumu, Baba wanne atoe matunzo

Mbunge wa CCM Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia amesema mwanaume aliyepata watoto wanne pacha, Fammy Suleiman anapaswa kuchukua jukumu la kutoa matunzo kwa watoto wake licha ya kumtaliki mkewe Radhia Solomon

Ubora wa elimu haupimwi kwa kushusha kiwango cha ufaulu - Askofu

Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Almachius Rweyongeza amesema Tanzania inahitaji elimu bora inayomwezesha mwanafunzi kutatua changamoto za maisha ya kila siku nje ya darasa kwa kuwa na mitalaa iliyofanyiwa utafiti wakina na kujidhihirisha kwa maslahi mapa
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ubora wa elimu haupimwi kwa kushusha kiwango cha ufaulu - Askofu

Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Almachius Rweyongeza amesema Tanzania inahitaji elimu bora inayomwezesha mwanafunzi kutatua changamoto za maisha ya kila siku nje ya darasa kwa kuwa na mitalaa iliyofanyiwa utafiti wakina na kujidhihirisha kwa maslahi mapana ya Taifa.

Mbowe alalamikia hotuba kuminywa, Ndugai amjibu

Wakati kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akisema kitendo cha baadhi ya maneno ya hotuba za kambi hiyo kuondolewa na Bunge hakikuwahi kutokea miaka ya nyuma, Spika Job Ndugai amesema atafuatilia suala hilo na atalitolea ufafanuzi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe alalamikia hotuba kuminywa, Ndugai amjibu

Wakati kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akisema kitendo cha baadhi ya maneno ya hotuba za kambi hiyo kuondolewa na Bunge hakikuwahi kutokea miaka ya nyuma, Spika Job Ndugai amesema atafuatilia suala hilo na atalitolea ufafanuzi.

Mawaziri watatu wajibu hoja ya mishahara

Mawaziri watatu juzi walijibu hoja ya mbunge wa viti maalumu (Chadema), Ruth Mollel aliyeibana Serikali akitaka iwaongezee mishahara watumishi wa umma kwa kuwa ni haki yao ya kisheria.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mawaziri watatu wajibu hoja ya mishahara

Mawaziri watatu juzi walijibu hoja ya mbunge wa viti maalumu (Chadema), Ruth Mollel aliyeibana Serikali akitaka iwaongezee mishahara watumishi wa umma kwa kuwa ni haki yao ya kisheria.

Pasaka ni ukombozi tazama kazi ya msalaba ili upokee uponyaji na uishi

Jina langu naitwa Nabii Richard Godwin kutoka kanisa la Jehovah Mercy International Ministry lenye makao makuu Swaswa mkoani Dodoma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Pasaka ni ukombozi tazama kazi ya msalaba ili upokee uponyaji na uishi

Jina langu naitwa Nabii Richard Godwin kutoka kanisa la Jehovah Mercy International Ministry lenye makao makuu Swaswa mkoani Dodoma.

Get more results via ClueGoal