Tanzania
MapoList

Kitanzi kipya kwa Vyama vya siasa

Serikali jana iliwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa unaopendekeza mabadiliko tofauti, yakiwamo ya udhibiti wa fedha za ruzuku na vyama kuingiza maudhui yatakayotangazwa na waziri.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mother who hid baby in car boot jailed in France

A French court on Friday sentenced a mother who kept her baby hidden in the maggot-infested boot of her car to a five-year jail term, three years of which were suspended.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Judge orders W.House to restore CNN reporter's access

A federal judge Friday ordered the White House to reinstate the press credentials of CNN reporter Jim Acosta, whose pass was revoked after a heated exchange with President Donald Trump.

Wajasiriamali waiangukia TFDA

Baadhi ya wajasiriamali wadogo wadogo katika mikoa ya Lindi, Ruvuma na Mtwara wameiomba Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) kuhakikisha wanawawekea nembo katika bidhaa zao ili kuwaondolea hofu walaji.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wajasiriamali waiangukia TFDA

Baadhi ya wajasiriamali wadogo wadogo katika mikoa ya Lindi, Ruvuma na Mtwara wameiomba Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) kuhakikisha wanawawekea nembo katika bidhaa zao ili kuwaondolea hofu walaji.

Waziri aitaja mikoa minane inayoongoza kulima bangi

Serikali ya Tanzania imewasilisha bungeni taarifa ya hali ya Dawa ya Kulevya nchini kwa mwaka 2017 ambayo inaitaja mikoa minane inayoongoza kwa kilimo cha bangi huku mkoa wa Mara ukiongoza.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri aitaja mikoa minane inayoongoza kulima bangi

Serikali ya Tanzania imewasilisha bungeni taarifa ya hali ya Dawa ya Kulevya nchini kwa mwaka 2017 ambayo inaitaja mikoa minane inayoongoza kwa kilimo cha bangi huku mkoa wa Mara ukiongoza.

Samia azitetea taasisi za Serikali zinazodaiwa zisikatiwe maji

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameitaka mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Babati (Bawasa) mkoani Manyara kutozikatia maji taasisi za Serikali zinazodaiwa ila washirikiane na mkuu wa mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti na kufikisha madai yao
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Samia azitetea taasisi za Serikali zinazodaiwa zisikatiwe maji

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameitaka mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Babati (Bawasa) mkoani Manyara kutozikatia maji taasisi za Serikali zinazodaiwa ila washirikiane na mkuu wa mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti na kufikisha madai yao Hazina ya Sh206.8 bilioni.

Upatu waondolewa kwenye Sheria ya huduma ndogo za fedha, Vicoba ndani

Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo ya Fedha wa Mwaka 2018, huku Serikali ikisema vikundi vya kusaidiana ambavyo havitajihusisha na biashara ya huduma ndogo za fedha havitaguswa na sheria hiyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Upatu waondolewa kwenye Sheria ya huduma ndogo za fedha, Vicoba ndani

Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo ya Fedha wa Mwaka 2018, huku Serikali ikisema vikundi vya kusaidiana ambavyo havitajihusisha na biashara ya huduma ndogo za fedha havitaguswa na sheria hiyo.

Profesa Mzumbe alalamikia tatizo la ajira kukosa kipaumbele

Changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu bado haijapewa kipaumbele na hiyo inatokana na kukosekana kwa takwimu sahihi za wahitimu wanaokosa ajira na walioko kwenye ajira isiyokuwa rasmi ambayo hawakuisomea.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Profesa Mzumbe alalamikia tatizo la ajira kukosa kipaumbele

Changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu bado haijapewa kipaumbele na hiyo inatokana na kukosekana kwa takwimu sahihi za wahitimu wanaokosa ajira na walioko kwenye ajira isiyokuwa rasmi ambayo hawakuisomea.

CUF hails govt for buying cashews at Sh3,300 a kilo

The Civic United Front (CUF) has commended President John Magufuli for directing officials to buy cashew nuts at Sh3,300 a kilo, saying he aimed at protecting farmers.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

CUF hails govt for buying cashews at Sh3,300 a kilo

The Civic United Front (CUF) has commended President John Magufuli for directing officials to buy cashew nuts at Sh3,300 a kilo, saying he aimed at protecting farmers.

Majaliwa winds up 13th Parliamentary meeting

Prime Minister Kassim Majaliwa on 16 November, 2018 wound up the 13th Parliamentary meeting by highlighting sectors that need special attention by public servants.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Majaliwa winds up 13th Parliamentary meeting

Prime Minister Kassim Majaliwa on 16 November, 2018 wound up the 13th Parliamentary meeting by highlighting sectors that need special attention by public servants.

May aapa kuendeleza mchakato wa Brexit

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameapa kusonga mbele na kufanikisha mpango wa kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya (EU) licha ya mawaziri wake kujiuzulu mfululizo na mnyukano ndani ya chama unaoweka shakani uwaziri mkuu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

May aapa kuendeleza mchakato wa Brexit

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameapa kusonga mbele na kufanikisha mpango wa kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya (EU) licha ya mawaziri wake kujiuzulu mfululizo na mnyukano ndani ya chama unaoweka shakani uwaziri mkuu.

Kim asimamia majaribio silaha mpya

Korea Kaskazini imefanyia majaribio silaha “mpya iliyoboreshwa kuwa ya kisasa” zaidi katika tukio lililosimamiwa na kiongozi wa nchi Kim Jong Un, vyombo vya habari vimeripoti Ijumaa katikati ya mazungumzo yanayolegalega kuhusu ukomeshwaji silaha za nyukli
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kim asimamia majaribio silaha mpya

Korea Kaskazini imefanyia majaribio silaha “mpya iliyoboreshwa kuwa ya kisasa” zaidi katika tukio lililosimamiwa na kiongozi wa nchi Kim Jong Un, vyombo vya habari vimeripoti Ijumaa katikati ya mazungumzo yanayolegalega kuhusu ukomeshwaji silaha za nyuklia na Marekani.

Kortini kwa rushwa ya Dola 2,000

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemfikisha kortini meneja wa fedha wa kampuni mbili za ujenzi, Sureshbabu Kakolu kwa tuhuma za kutoa rushwa ya Dola 2,000 za Marekani (zaidi ya Sh4 milioni).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kortini kwa rushwa ya Dola 2,000

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemfikisha kortini meneja wa fedha wa kampuni mbili za ujenzi, Sureshbabu Kakolu kwa tuhuma za kutoa rushwa ya Dola 2,000 za Marekani (zaidi ya Sh4 milioni).

Spika azipangua Kamati za Bunge

Spika wa Bunge, Job Ndugai amepangua wajumbe wa Kamati za Bunge ambapo wabunge saba waliokuwa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wamehamishwa na kupelekwa katika kamati nyingine.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Spika azipangua Kamati za Bunge

Spika wa Bunge, Job Ndugai amepangua wajumbe wa Kamati za Bunge ambapo wabunge saba waliokuwa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wamehamishwa na kupelekwa katika kamati nyingine.

Zimbabwe bus fire kills 42: police

At least 42 passengers have been confirmed dead, Zimbabwe police said Friday, after a suspected gas tank exploded on a bus, with pictures showing the burnt-out wreckage of the vehicle.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Zimbabwe bus fire kills 42: police

At least 42 passengers have been confirmed dead, Zimbabwe police said Friday, after a suspected gas tank exploded on a bus, with pictures showing the burnt-out wreckage of the vehicle.

Wamiliki viwanda vya korosho waiangukia Serikali, JWTZ watua kuzisomba

Wakati Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa akipokea magari matano kati ya 75 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kwa ajili ya kusomba korosho, baadhi ya wamiliki wa viwanda wameiangukia Serikali wakitaka iwauzie korosho.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wamiliki viwanda vya korosho waiangukia Serikali, JWTZ watua kuzisomba

Wakati Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa akipokea magari matano kati ya 75 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kwa ajili ya kusomba korosho, baadhi ya wamiliki wa viwanda wameiangukia Serikali wakitaka iwauzie korosho.

Moshi watoa ‘vifurushi’ vya majeneza, mazishi

Kama ulidhani vifurushi vya muda wa maongezi na data vinatolewa na kampuni za simu za mkononi pekee, utakuwa unakosea; sasa kuna vifurushi vya majeneza.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Moshi watoa ‘vifurushi’ vya majeneza, mazishi

Kama ulidhani vifurushi vya muda wa maongezi na data vinatolewa na kampuni za simu za mkononi pekee, utakuwa unakosea; sasa kuna vifurushi vya majeneza.

Wajumbe Bunge la Katiba wafunguka

Baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku juzi kusema kuwa mjadala wa kupata Katiba mpya haujafa, baadhi ya waliokuwa wajumbe wa Bunge la Katiba wameunga mkono kauli hiyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wajumbe Bunge la Katiba wafunguka

Baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku juzi kusema kuwa mjadala wa kupata Katiba mpya haujafa, baadhi ya waliokuwa wajumbe wa Bunge la Katiba wameunga mkono kauli hiyo.

Hofu yatajwa kuchangia mawaziri kushindwa kuchukua uamuzi

Isaack Kamwele ameeleza hofu aliyonayo dhidi ya uwezekano wa kuvuliwa uwaziri wakati wowote ule, lakini yawezekana hiyo ndiyo hofu waliyonayo mawaziri wengi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hofu yatajwa kuchangia mawaziri kushindwa kuchukua uamuzi

Isaack Kamwele ameeleza hofu aliyonayo dhidi ya uwezekano wa kuvuliwa uwaziri wakati wowote ule, lakini yawezekana hiyo ndiyo hofu waliyonayo mawaziri wengi.

Hoja za CAG zazuia likizo za watendaji mkoa Iringa

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amezuia likizo za watendaji wakuu wa halmashauri tano za mkoa huo huku akiwapatia siku 30 kujibu hoja za ukaguzi zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hoja za CAG zazuia likizo za watendaji mkoa Iringa

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amezuia likizo za watendaji wakuu wa halmashauri tano za mkoa huo huku akiwapatia siku 30 kujibu hoja za ukaguzi zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Butiku awasha moto wa Katiba mpya

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku ameungana na aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kuzungumzia suala la Katiba mpya akisema mjadala wa kuipata haujafa kwa sababu wenye Katiba ambao n
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Butiku awasha moto wa Katiba mpya

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku ameungana na aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kuzungumzia suala la Katiba mpya akisema mjadala wa kuipata haujafa kwa sababu wenye Katiba ambao ni wananchi bado wanaishi.

Impact assessment for EA oil pipeline nears completion

The Environmental Social Impact Assessment (Esia) report for the East Africa Crude Oil Pipeline (Eacop) is in the final stages and will be completed by next month.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Impact assessment for EA oil pipeline nears completion

The Environmental Social Impact Assessment (Esia) report for the East Africa Crude Oil Pipeline (Eacop) is in the final stages and will be completed by next month.

Agriculture top brass camps in cashew area

Senior Agriculture ministry officials have camped in cashew nut growing regions following President John Magufuli’s directive that the government purchase this season’s entire harvest.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Agriculture top brass camps in cashew area

Senior Agriculture ministry officials have camped in cashew nut growing regions following President John Magufuli’s directive that the government purchase this season’s entire harvest.

Anatropia: Mtatiro ameacha njia nyeupe Segerea

“Sasa njia nyeupe Segerea” ni kauli ya Anatropia Theonest, mbunge wa Viti Maalumu (Chadema). Huyu alipata nafasi hiyo baada ya mwaka 2015 kuukosa ubunge katika jimbo hilo ulioangukia CCM baada ya mvutano ndani ya Ukawa baina yake na Julius Mtatiro wakati
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Anatropia: Mtatiro ameacha njia nyeupe Segerea

“Sasa njia nyeupe Segerea” ni kauli ya Anatropia Theonest, mbunge wa Viti Maalumu (Chadema). Huyu alipata nafasi hiyo baada ya mwaka 2015 kuukosa ubunge katika jimbo hilo ulioangukia CCM baada ya mvutano ndani ya Ukawa baina yake na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF.

Ni muungano wa Zitto na Chadema kuliko ACT Wazalendo vs Chadema

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Uturuki, uliofanyika Juni 24, mwaka huu, vyama vya upinzani vya Iyi na Saadet vilisema kuwa vimeungana na chama kikuu cha upinzani cha CHP kwa ajili ya uchaguzi, hivyo baada ya uchaguzi, hawakuona sababu ya kuendelea kushirikiana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ni muungano wa Zitto na Chadema kuliko ACT Wazalendo vs Chadema

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Uturuki, uliofanyika Juni 24, mwaka huu, vyama vya upinzani vya Iyi na Saadet vilisema kuwa vimeungana na chama kikuu cha upinzani cha CHP kwa ajili ya uchaguzi, hivyo baada ya uchaguzi, hawakuona sababu ya kuendelea kushirikiana.

Msajili wa vyama asisitiza kutoa ruzuku kwa CUF ya Lipumba

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema ofisi yake itaendelea kutoa ruzuku kwa upande wa mwenyekiti wa CUF anayetambulika na ofisi hiyo, Profesa Ibrahim Lipumba akisema alipata maelekezo kutoka katika chama hicho.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Msajili wa vyama asisitiza kutoa ruzuku kwa CUF ya Lipumba

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema ofisi yake itaendelea kutoa ruzuku kwa upande wa mwenyekiti wa CUF anayetambulika na ofisi hiyo, Profesa Ibrahim Lipumba akisema alipata maelekezo kutoka katika chama hicho.

Get more results via ClueGoal