Tanzania
MapoList

BoT extends administration of Bank M for 60 more days

The Bank of Tanzania has extended its administration of Bank M as a clear option of the bank’s continued operations is still being sought

Rais Magufuli aambiwa anatisha, sio rahisi mtu kuropoka mbele yake

Mwenyekiti wa Wanawake wa Wakiislam Mkoa wa Dar es Salaam, Pili Abdallah amewaomba mawaziri kuwa na mazoea ya kukutana na viongozi wa dini ili kuwa na uhuru wa kuwaeleza masuala mengi ya kitaifa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Vyombo vya habari vya kidini vyaomba kufutiwa leseni za kibiashara

Askofu wa Kanisa la Agape, Vernon Fernandes ameiomba Serikali kuvifutia vyombo vya habari vya dini leseni za uendeshaji kibiashara na badala yake kuwaweka katika mfumo usio wa kibiashara.

LHRC yaeleza mipango yake ya miaka sita ijayo

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua mpango kazi wa miaka sita, huku kikieleza kuwa uchechemuzi wenye lengo la kuboresha  na kubadilisha sheria, kupanua ushiriki wa wananchi, kukuza na kudumisha demokrasia pamoja mabadiliko ya Katiba ni mio
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

LHRC yaeleza mipango yake ya miaka sita ijayo

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua mpango kazi wa miaka sita, huku kikieleza kuwa uchechemuzi wenye lengo la kuboresha  na kubadilisha sheria, kupanua ushiriki wa wananchi, kukuza na kudumisha demokrasia pamoja mabadiliko ya Katiba ni miongoni mwa maeneo yatakayofanyiwa kazi.

Minister’s challenge to Team Tanzania

With two years left for the Tokyo 2020 Olympics, a cabinet minister has urged Team Tanzania to make use of the remaining time to step up preparations and focus on the multi-sport event.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Dar bourse turnover falls on absence of foreign investors

The Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) traded shares worth only Sh13.27 million on Monday this week, down from Sh6.57 billion on Friday last week.

Mchakato ujenzi wa daraja la juu Gerezani Dar waanza

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad), Patrick Mfugale ameahidi kuisimamia vyema kampuni ya ujenzi ya Sumitomo Mitsui ya Japan itakayojenga daraja la Gerezani jijini Dar es Salaam ili ujenzi huo ukamilike kwa wakati.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mchakato ujenzi wa daraja la juu Gerezani Dar waanza

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad), Patrick Mfugale ameahidi kuisimamia vyema kampuni ya ujenzi ya Sumitomo Mitsui ya Japan itakayojenga daraja la Gerezani jijini Dar es Salaam ili ujenzi huo ukamilike kwa wakati.

Watetezi wa haki za binadamu waja na operesheni kutetea watuhumiwa

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) pamoja na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) wametangaza operesheni maalum ya ‘Tetea Haki za Mtuhumiwa’ kwa nchi nzima.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watetezi wa haki za binadamu waja na operesheni kutetea watuhumiwa

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) pamoja na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) wametangaza operesheni maalum ya ‘Tetea Haki za Mtuhumiwa’ kwa nchi nzima.

Naibu Gavana wa BoT: Tuko tayari kununua dhahabu

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Benard Kibese amesema wako tayari kununua dhahabu moja kwa moja kutoka kwa wachimbaji kwa sababu tangu zamani walikuwa wanafanya hivyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Naibu Gavana wa BoT: Tuko tayari kununua dhahabu

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Benard Kibese amesema wako tayari kununua dhahabu moja kwa moja kutoka kwa wachimbaji kwa sababu tangu zamani walikuwa wanafanya hivyo.

Picha za matukio ya ugaidi Kenya zauzwa Sh 50,000

Ikiwa ni siku chache Serikali ya Kenya kulituhumu gazeti New York Times kwa kupiga na kusambaza picha za mauaji yaliyotokea kwenye hoteli ya DusitD2 mjini Nairobi yaliyofanywa na magaidi wa kundi la Al shabaab, picha hizo sasa zinauzwa kwa Sh 50,000.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Picha za matukio ya ugaidi Kenya zauzwa Sh 50,000

Ikiwa ni siku chache Serikali ya Kenya kulituhumu gazeti New York Times kwa kupiga na kusambaza picha za mauaji yaliyotokea kwenye hoteli ya DusitD2 mjini Nairobi yaliyofanywa na magaidi wa kundi la Al shabaab, picha hizo sasa zinauzwa kwa Sh 50,000.

Bunge committee grills CAG for 156 minutes

Dodoma. The Parliamentary Privileges, Ethics and Powers Committee grilled Controller and Auditor General (CAG) Mussa Assad for 156 minutes yesterday, but fell short of telling Tanzanians what actually transpired during the questioning.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Bunge committee grills CAG for 156 minutes

Dodoma. The Parliamentary Privileges, Ethics and Powers Committee grilled Controller and Auditor General (CAG) Mussa Assad for 156 minutes yesterday, but fell short of telling Tanzanians what actually transpired during the questioning.

Speaker: Fate of Lissu’s Bunge membership to be known next week

Dar es Salaam. The fate of the parliamentary membership of Singida East MP Tundu Antipas Lissu, who has been receiving treatment outside the country for more than one year, will be determined during the 14th parliamentary session scheduled to start on Januar
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Speaker: Fate of Lissu’s Bunge membership to be known next week

Dar es Salaam. The fate of the parliamentary membership of Singida East MP Tundu Antipas Lissu, who has been receiving treatment outside the country for more than one year, will be determined during the 14th parliamentary session scheduled to start on January 29, National Assembly Speaker Job Ndugai has said.

Magreth Yohana Magreth ndiye anayeigiza sauti ya Afife Hatun katika tamthilia hii.

Ni tamthilia inayohusu maisha ya Sultan Suleyman. Katika umri wa miaka 26 alianza mbio za kuitengeneza himaya yake ya Ottoman akitaka iwe kubwa kuliko ya Alexander the Great.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magreth Yohana Magreth ndiye anayeigiza sauti ya Afife Hatun katika tamthilia hii.

Ni tamthilia inayohusu maisha ya Sultan Suleyman. Katika umri wa miaka 26 alianza mbio za kuitengeneza himaya yake ya Ottoman akitaka iwe kubwa kuliko ya Alexander the Great.

Mahakama yaikubali kesi kumpinga Spika kumhoji CAG

Leo Jumatatu, Mahakama Kuu ya Tanzania imeisajili kesi iliyofunguliwa na kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kupinga Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kuhojiwa na Bunge 
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mahakama yaikubali kesi kumpinga Spika kumhoji CAG

Leo Jumatatu, Mahakama Kuu ya Tanzania imeisajili kesi iliyofunguliwa na kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kupinga Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kuhojiwa na Bunge 

Mwenyekiti Kamati ya Bunge amkubali CAG, kumpa taarifa Spika

Profesa Assad alienda kujieleza kuhusu kauli yake aliyoitoa nchini Marekani kuwa Bunge ni dhaifu. Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Emanuel Mwakasaka amesema baada ya mahojiano yao na CAG, taarifa itapelekwa kwa Spika kwa hatua zaidi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwenyekiti Kamati ya Bunge amkubali CAG, kumpa taarifa Spika

Profesa Assad alienda kujieleza kuhusu kauli yake aliyoitoa nchini Marekani kuwa Bunge ni dhaifu. Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Emanuel Mwakasaka amesema baada ya mahojiano yao na CAG, taarifa itapelekwa kwa Spika kwa hatua zaidi.

Wazanzibari sasa kuchekelea matumizi ya umeme

Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu na Kurugenzi  ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema Kikao cha Baraza la Mawaziri kimeridhia utozwaji wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Tanesco kwa Zeco
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wazanzibari sasa kuchekelea matumizi ya umeme

Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu na Kurugenzi  ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema Kikao cha Baraza la Mawaziri kimeridhia utozwaji wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Tanesco kwa Zeco

Expert: Women need to be daring

Kibaha. Women in the country have been urged to make use of available opportunities to acquire knowledge and skills to improve their living standards.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Expert: Women need to be daring

Kibaha. Women in the country have been urged to make use of available opportunities to acquire knowledge and skills to improve their living standards.

TTB chair faults minister’s decision to disband board

The chairman of the Tanzania Tourist Board (TTB) of directors, retired Judge Thomas Mihayo, yesterday criticised the decision made by Natural Resources and Tourism Minister, Dr Hamis Kigwangalla to disband the board.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

TTB chair faults minister’s decision to disband board

The chairman of the Tanzania Tourist Board (TTB) of directors, retired Judge Thomas Mihayo, yesterday criticised the decision made by Natural Resources and Tourism Minister, Dr Hamis Kigwangalla to disband the board.

Mtanzania aliyeshiriki kuunda Dreamliner kutunukiwa tuzo Marekani

Mtanzania aliyeshiriki katika uundwaji wa ndege Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania Julai 2018, George Jonas ni miongoni mwa wanasayansi waliofuzu kupewa tuzo za mwaka huu katika mkutano wa Beya Stem unaohusisha wataalamu wa sayansi
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtanzania aliyeshiriki kuunda Dreamliner kutunukiwa tuzo Marekani

Mtanzania aliyeshiriki katika uundwaji wa ndege Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania Julai 2018, George Jonas ni miongoni mwa wanasayansi waliofuzu kupewa tuzo za mwaka huu katika mkutano wa Beya Stem unaohusisha wataalamu wa sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati.

Serikali kujenga kitengo cha watoto JKCI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  imewekeza kiasi cha Sh1.2 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa kitengo cha watoto katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali kujenga kitengo cha watoto JKCI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  imewekeza kiasi cha Sh1.2 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa kitengo cha watoto katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).

Mwanamke aliyenusurika kifo kwenye mashambulizi mawili

Halikuwa jambo ambalo Tracy Wanjiru alitarajia lingetokea siku ya Jumanne alipokuwa akienda kazini kwenye jengo la Hoteli ya DusitD2, Nairobi nchini Kenya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwanamke aliyenusurika kifo kwenye mashambulizi mawili

Halikuwa jambo ambalo Tracy Wanjiru alitarajia lingetokea siku ya Jumanne alipokuwa akienda kazini kwenye jengo la Hoteli ya DusitD2, Nairobi nchini Kenya.

Waziri Mwinyi: Tudumishe amani na kuvumiliana

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Hussein Mwinyi ametoa rai kwa taasisi zote za kidini nchini kuvumiliana na kustahimiliana pale panapotokea tofauti ili kusaidia kulinda amani iliyopo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri Mwinyi: Tudumishe amani na kuvumiliana

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Hussein Mwinyi ametoa rai kwa taasisi zote za kidini nchini kuvumiliana na kustahimiliana pale panapotokea tofauti ili kusaidia kulinda amani iliyopo.

Jaji Mihayo ‘ampiga shule’ Waziri Kigwangalla

Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji mstaafu Thomas Mihayo, amejitokeza kuzungumzia uamuzi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla kuivunja bodi ya wakurugenzi akisema haukuwa sahihi kwani waziri huyo tangu ateuliwe hakuwahi kukutan
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jaji Mihayo ‘ampiga shule’ Waziri Kigwangalla

Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji mstaafu Thomas Mihayo, amejitokeza kuzungumzia uamuzi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla kuivunja bodi ya wakurugenzi akisema haukuwa sahihi kwani waziri huyo tangu ateuliwe hakuwahi kukutana nayo na kuzungumza ikiwamo kupanga mikakati mbalimbali.

GENDER TALK: Why you must cohabit before marriage

A reader emailed and said that he and his fiancée have been thinking of moving in together this year – you know, take things to the next level.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

GENDER TALK: Why you must cohabit before marriage

A reader emailed and said that he and his fiancée have been thinking of moving in together this year – you know, take things to the next level.

Stand Utd unsettle Yanga

Dar es Salaam. Stand United of Shinyanga yesterday won 1-0 against Dar Young Africans famously Yanga in their mainland premier league soccer match held at the Kambarage Stadium in Shinyanga Region.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Stand Utd unsettle Yanga

Dar es Salaam. Stand United of Shinyanga yesterday won 1-0 against Dar Young Africans famously Yanga in their mainland premier league soccer match held at the Kambarage Stadium in Shinyanga Region.

Barcelona’s biggest tests still to come

Madrid. With half of the season gone, Barcelona own a five-point lead at the top of La Liga, boast two strikers with as many goals as any other team and look on course for their fourth league title in five years.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Barcelona’s biggest tests still to come

Madrid. With half of the season gone, Barcelona own a five-point lead at the top of La Liga, boast two strikers with as many goals as any other team and look on course for their fourth league title in five years.

Wakazi Kusarini walalamikia kubomolewa nyumba zao

Baadhi ya wakazi wa eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam wameilalamikia Manispaa ya Temeke kwa kubomoa nyumba zao na kupuuzia agizo la Mahakama Kuu lililowataka wakae pamoja kujadili mgogoro baina yao na kukubaliana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wakazi Kusarini walalamikia kubomolewa nyumba zao

Baadhi ya wakazi wa eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam wameilalamikia Manispaa ya Temeke kwa kubomoa nyumba zao na kupuuzia agizo la Mahakama Kuu lililowataka wakae pamoja kujadili mgogoro baina yao na kukubaliana.

Madiwani Simanjiro watoa azimio kumpongeza JPM

Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, limesoma maazimio ya kumpongeza Rais John Magufuli kwa kutatua migogoro ya maeneo ya hifadhi na vijiji 366 na kurejesha kikokotoo cha awali cha wastaafu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Madiwani Simanjiro watoa azimio kumpongeza JPM

Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, limesoma maazimio ya kumpongeza Rais John Magufuli kwa kutatua migogoro ya maeneo ya hifadhi na vijiji 366 na kurejesha kikokotoo cha awali cha wastaafu.

Mvutano wa Spika, CAG na hatima ya uhuru wa taasisi za uwajibikaji

Mvutano unaoendelea kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hisabu za serikali (CAG), Profesa Mussa Assad si tu unatishia kuibuka kwa mgogoro wa kikatiba bali pia unauweka rehani uhuru wa taasisi zinazopaswa kusimamia uwajibikaji nda
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mvutano wa Spika, CAG na hatima ya uhuru wa taasisi za uwajibikaji

Mvutano unaoendelea kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hisabu za serikali (CAG), Profesa Mussa Assad si tu unatishia kuibuka kwa mgogoro wa kikatiba bali pia unauweka rehani uhuru wa taasisi zinazopaswa kusimamia uwajibikaji ndani ya serikali na taasisi zake.

Get more results via ClueGoal