Tanzania
MapoList

Sanitation business gets financing boost under PPP

Sanitation financing has received a boost in Tanzania as a humanitarian society started an initiative that will address challenges in the rural areas.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Usajili huu wa simu uwaamshe Nida

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanzia Mei mosi watumiaji wote wa simu za mkononi nchini wanapaswa kusajiliwa kwa kutumia vitambulisho vya Taifa mfumo utakaouhusisha uchukuaji alama za vidole.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hakimu atishia kuifuta kesi ya Wema Sepetu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashtaka katika kesi ya kuchapisha video ya ngono inayomkabili msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu (30) kupeleka mashahidi wa kutosha, vinginevyo kesi hiyo itafutwa.

Wadaiwa kutapeli kwa jina la Mama Magufuli

Watu wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam wakikabiliwa na mashtaka manne, likiwamo ya kutapeli kiasi cha Sh 4.4 milioni kwa kutumia jina la Janeth Magufuli ambaye ni mke wa Rais John Magufuli.

Fungia fungia magazeti yaibuka bungeni

Mbunge wa Viti maalum (Chadema), Devotha Minja na mwenzake wa (Konde) wa CUF, Khatib Said Haji wamehoji sababu za Serikali ya Tanzania kuyafungia magazeti yanayoandika habari zisizopendezwa nazo, huku Devotha akiinyooshea kidole  Idara ya Habari Maelezo kuw
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Fungia fungia magazeti yaibuka bungeni

Mbunge wa Viti maalum (Chadema), Devotha Minja na mwenzake wa (Konde) wa CUF, Khatib Said Haji wamehoji sababu za Serikali ya Tanzania kuyafungia magazeti yanayoandika habari zisizopendezwa nazo, huku Devotha akiinyooshea kidole  Idara ya Habari Maelezo kuwa imegeuka kitanzi cha wanahabari nchini.

Wataalamu mipango miji wampinga Lukuvi urasimishaji viwanja

 Chama cha Wataalamu wa Mipango Miji (TAP) kimepinga punguzo la bei ya kurasimisha viwanja iliyotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na kimesema kinatafakari hatua zaidi ya kuchukua.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wataalamu mipango miji wampinga Lukuvi urasimishaji viwanja

 Chama cha Wataalamu wa Mipango Miji (TAP) kimepinga punguzo la bei ya kurasimisha viwanja iliyotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na kimesema kinatafakari hatua zaidi ya kuchukua.

Shule yenye madarasa mawili inavyopambana kujinasua na changamoto

Mara nyingi yanapotokea matokeo mabaya ya mitihani kwa wanafunzi lawama huelekezwa sehemu mbalimbali ikiwamo kwa walimu, lakini sababu zipo nyingi zinazoweza kuwa kikwazo cha kufikia malengo ya kupatikana kwa elimu bora na shule kutofanya vyema.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shule yenye madarasa mawili inavyopambana kujinasua na changamoto

Mara nyingi yanapotokea matokeo mabaya ya mitihani kwa wanafunzi lawama huelekezwa sehemu mbalimbali ikiwamo kwa walimu, lakini sababu zipo nyingi zinazoweza kuwa kikwazo cha kufikia malengo ya kupatikana kwa elimu bora na shule kutofanya vyema.

Shahidi kesi ya kina Mbowe aieleza mahakama alivyowatawanya

Mrakibu mwandamizi wa Polisi, Gerald Ngiichi jana aliieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliamuru askari kupiga mabomu na risasi hewani kwa ajili ya kusambaratisha maandamano ya viongozi na wafuasi wa Chadema.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shahidi kesi ya kina Mbowe aieleza mahakama alivyowatawanya

Mrakibu mwandamizi wa Polisi, Gerald Ngiichi jana aliieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliamuru askari kupiga mabomu na risasi hewani kwa ajili ya kusambaratisha maandamano ya viongozi na wafuasi wa Chadema.

Magufuli atoa wiki moja wizara mbili kukamilisha taratibu za mwekezaji

Rais John Magufuli ametoa wiki moja kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Viwanda na Biashara kukamilisha taratibu za uwekezaji kwa kampuni Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli atoa wiki moja wizara mbili kukamilisha taratibu za mwekezaji

Rais John Magufuli ametoa wiki moja kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Viwanda na Biashara kukamilisha taratibu za uwekezaji kwa kampuni Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius.

Mbunge wa Chadema amvaa Polepole

Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Upendo Peneza amemvaa Katibu Mwenezi wa CCM, Humphery Polepole, kuwa amewadhalilisha wabunge wa viti maalumu wanaotokana na chama chake kuwa wamepata nafasi hizo baada ya  kufanya ngono na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge wa Chadema amvaa Polepole

Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Upendo Peneza amemvaa Katibu Mwenezi wa CCM, Humphery Polepole, kuwa amewadhalilisha wabunge wa viti maalumu wanaotokana na chama chake kuwa wamepata nafasi hizo baada ya  kufanya ngono na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Ushauri wa Ndugai kuhusu biashara mazao ya kilimo

Spika Job Ndugai ameishauri Serikali mambo manne ya kufanya kwa ajili ya maendeleo ya biashara zitokanazo na mazao ya kilimo na viwanda vya usindikaji   nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ushauri wa Ndugai kuhusu biashara mazao ya kilimo

Spika Job Ndugai ameishauri Serikali mambo manne ya kufanya kwa ajili ya maendeleo ya biashara zitokanazo na mazao ya kilimo na viwanda vya usindikaji   nchini.

Simu tatu zakabidhiwa mahakamani kwa ushahidi

Hashim Ally, shahidi wa 17 upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi, amekabidhi simu mbili za mshtakiwa wa tatu, Laban Nabiswa katika Mahakama Kuu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Simu tatu zakabidhiwa mahakamani kwa ushahidi

Hashim Ally, shahidi wa 17 upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi, amekabidhi simu mbili za mshtakiwa wa tatu, Laban Nabiswa katika Mahakama Kuu.

Sikiliza kisa cha Jabir na baba mdogo

Sikiliza nikusimulie kisa cha mfanyakazi wetu wa ndani, nyumbani kwa baba yangu mdogo pale Mwananyamala. Aliitwa Jabir. Alikuwa mfanyakazi wetu wa ndani ambaye aliibuka kuwa rafiki pia wa bosi wake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sikiliza kisa cha Jabir na baba mdogo

Sikiliza nikusimulie kisa cha mfanyakazi wetu wa ndani, nyumbani kwa baba yangu mdogo pale Mwananyamala. Aliitwa Jabir. Alikuwa mfanyakazi wetu wa ndani ambaye aliibuka kuwa rafiki pia wa bosi wake.

Wanafunzi wa kike kupatiwa chanjo ya saratani shingo ya uzazi

Wadau wa chanjo mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili masuala mbalimbali ya afya ikiwamo uhamasishaji wa chanjo ya kujikinga na saratani ya shingo ya kizazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanafunzi wa kike kupatiwa chanjo ya saratani shingo ya uzazi

Wadau wa chanjo mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili masuala mbalimbali ya afya ikiwamo uhamasishaji wa chanjo ya kujikinga na saratani ya shingo ya kizazi.

Kupata hati ya kiwanja sasa kwa Sh150,000 tu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameshusha tozo ya kupima na kurasimisha makazi na hatimaye kupata hati ya kiwanja kutoka Sh250,000 hadi 150,000 ili kuwawezesha wananchi wengi kupata hati hizo ili walipe kodi ya ardhi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kupata hati ya kiwanja sasa kwa Sh150,000 tu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameshusha tozo ya kupima na kurasimisha makazi na hatimaye kupata hati ya kiwanja kutoka Sh250,000 hadi 150,000 ili kuwawezesha wananchi wengi kupata hati hizo ili walipe kodi ya ardhi.

Shahidi kesi ya viongozi wa Chadema asema aliamrisha askari kupiga risasi hewani

Ofisa oparesheni mkoa wa kipolisi wa Kinondoni ambaye ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi( SSP), Gerald Ngichi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa yeye ndiye aliyeamuru askari polisi kupiga risasi hewani kutawanya waandamanaji waliokuwa katika makutano y
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shahidi kesi ya viongozi wa Chadema asema aliamrisha askari kupiga risasi hewani

Ofisa oparesheni mkoa wa kipolisi wa Kinondoni ambaye ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi( SSP), Gerald Ngichi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa yeye ndiye aliyeamuru askari polisi kupiga risasi hewani kutawanya waandamanaji waliokuwa katika makutano ya barabara ya Kawawa na Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Ajali za barabarani zapungua nchini; Kamanda Muslim

Kamanda wa Kikosi cha Polisi wa Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Muslim amesema wakati ajali za barabarani zikipungua, vyombo vya habari vinapaswa kufanya tafiti za kina ili kuleta masuluhisho katika kupunguza zaidi ajali za barabarani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ajali za barabarani zapungua nchini; Kamanda Muslim

Kamanda wa Kikosi cha Polisi wa Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Muslim amesema wakati ajali za barabarani zikipungua, vyombo vya habari vinapaswa kufanya tafiti za kina ili kuleta masuluhisho katika kupunguza zaidi ajali za barabarani.

Huu ndio msimamo wa Waislamu Tanzania kuhusu uzazi wa mpango

Baraza Kuu la Waisalimu Tanzania (Bakwata) limetoa tamko kuhusiana na ushiriki wake katika kampeni ya uzazi wa mpango, likitoa masharti matano yanayokubalika kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Huu ndio msimamo wa Waislamu Tanzania kuhusu uzazi wa mpango

Baraza Kuu la Waisalimu Tanzania (Bakwata) limetoa tamko kuhusiana na ushiriki wake katika kampeni ya uzazi wa mpango, likitoa masharti matano yanayokubalika kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.

Congestion at border slows down Zambia, DRC trade

Zambia and the Democratic Republic of Congo are struggling to resolve a gridlock that has made the Kasumbalesa border impassable in the past week, hurting trade between the two countries and threatening diplomatic relations.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Congestion at border slows down Zambia, DRC trade

Zambia and the Democratic Republic of Congo are struggling to resolve a gridlock that has made the Kasumbalesa border impassable in the past week, hurting trade between the two countries and threatening diplomatic relations.

Nile Basin Discourse pushes for water diplomacy through research

Preliminary results in the research on water diplomacy in Tanzania conducted by Nile Basin Discourse has revealed that there would be a serious water dispute between users and service providers if measures are not taken.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Nile Basin Discourse pushes for water diplomacy through research

Preliminary results in the research on water diplomacy in Tanzania conducted by Nile Basin Discourse has revealed that there would be a serious water dispute between users and service providers if measures are not taken.

Serengeti Boys handed the tools to tame Uganda’s Cubs

Dar es Salaam. Serengeti Boys, take on the Uganda Cubs at the national stadium today Wednesday, local soccer stakeholders have requested the head coach, Oscar Mirambo, to improve the team’s defense.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Serengeti Boys handed the tools to tame Uganda’s Cubs

Dar es Salaam. Serengeti Boys, take on the Uganda Cubs at the national stadium today Wednesday, local soccer stakeholders have requested the head coach, Oscar Mirambo, to improve the team’s defense.

Makamba aomba bajeti ya Sh36 bilioni, aainisha vipaumbele 2019/20

Ofisi ya Makamu wa Rais imeomba kuidhinishiwa na Bunge Sh36 bilioni kwa ajili ya shughuli mbalimbali katika mwaka wa fedha 2019/20, ikiwamo kutoa elimu ya muungano katika makundi tofauti.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Makamba aomba bajeti ya Sh36 bilioni, aainisha vipaumbele 2019/20

Ofisi ya Makamu wa Rais imeomba kuidhinishiwa na Bunge Sh36 bilioni kwa ajili ya shughuli mbalimbali katika mwaka wa fedha 2019/20, ikiwamo kutoa elimu ya muungano katika makundi tofauti.

China yatoa mabilioni kugharamia ujenzi wa chuo cha ulinzi cha Tanzania

Serikali ya China imetoa msaada wa Sh56 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania awamu pili.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

China yatoa mabilioni kugharamia ujenzi wa chuo cha ulinzi cha Tanzania

Serikali ya China imetoa msaada wa Sh56 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania awamu pili.

TCRA yazionya kampuni za simu

Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kanda ya kati imesema ili kukabiliana na makosa ya mtandao watapambana na kampuni za mawasiliano ya simu nchini pindi watakapobaini mtu anatumia line bila kusajiliwa kwa mfumo wa alama za vidole.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TCRA yazionya kampuni za simu

Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kanda ya kati imesema ili kukabiliana na makosa ya mtandao watapambana na kampuni za mawasiliano ya simu nchini pindi watakapobaini mtu anatumia line bila kusajiliwa kwa mfumo wa alama za vidole.

Spika Ndugai ahofia uhaba wa chakula Tanzania

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametahadharisha kuwa hali ya kutonyesha mvua kwa wakati inaweza kusababisha Tanzania kuingia katika kipindi cha ukosefu wa chakula katika kipindi cha miezi sita ijayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Spika Ndugai ahofia uhaba wa chakula Tanzania

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametahadharisha kuwa hali ya kutonyesha mvua kwa wakati inaweza kusababisha Tanzania kuingia katika kipindi cha ukosefu wa chakula katika kipindi cha miezi sita ijayo.

Maimu, wenzake waulalamikia upande wa mashtaka

Upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Vitambulisho vya  Taifa (Nida), Dickson Maimu na wenzake, wameulalamikia upande wa mashtaka kuwa hadi sasa ni miezi minne wamedai upelelezi umekamilika na ha
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maimu, wenzake waulalamikia upande wa mashtaka

Upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Vitambulisho vya  Taifa (Nida), Dickson Maimu na wenzake, wameulalamikia upande wa mashtaka kuwa hadi sasa ni miezi minne wamedai upelelezi umekamilika na hakuna kinachoendelea.

Wauza sigara, pombe bila stempu za kielektroniki wapewa siku 14

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa siku 14 kuanzia leo Jumanne Aprili 16, 2019 kuendelea kuwepo sokoni kwa sigara, bia, mvinyo, pombe kali na aina zote za vileo vyenye stempu za karatasi kwani mwisho wa matumizi yake itakuwa Aprili 30, 2019.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wauza sigara, pombe bila stempu za kielektroniki wapewa siku 14

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa siku 14 kuanzia leo Jumanne Aprili 16, 2019 kuendelea kuwepo sokoni kwa sigara, bia, mvinyo, pombe kali na aina zote za vileo vyenye stempu za karatasi kwani mwisho wa matumizi yake itakuwa Aprili 30, 2019.

Serengeti Boys yapewa mchongo kuiua Uganda kesho

Wakati timu ya Taifa ya vijana, ‘Serengeti Boys’ ikitarajiwa kuvaana na Uganda, wadau wa soka wamempa mbinu Kocha Oscar Miramba wakimtaka kuboresha eneo la ulinzi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serengeti Boys yapewa mchongo kuiua Uganda kesho

Wakati timu ya Taifa ya vijana, ‘Serengeti Boys’ ikitarajiwa kuvaana na Uganda, wadau wa soka wamempa mbinu Kocha Oscar Miramba wakimtaka kuboresha eneo la ulinzi.

Eto’o apewa ubalozi wa Kombe la Dunia 2022 Qatar

Mshambuliaji wa zamani wa Cameroon, Samuel Eto'o amepata neema baada ya kutambulishwa kuwa Balozi wa Fainali za Kombe la Dunia 2022 litakalofanyika nchini Qatar.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Eto’o apewa ubalozi wa Kombe la Dunia 2022 Qatar

Mshambuliaji wa zamani wa Cameroon, Samuel Eto'o amepata neema baada ya kutambulishwa kuwa Balozi wa Fainali za Kombe la Dunia 2022 litakalofanyika nchini Qatar.

Get more results via ClueGoal