Tanzania
MapoList

Chande calls for stamping out conflict of interest in public service

Dodoma. Retired Chief Justice (CJ) Mohamed Chande Othman has said personal interests and dealings under the table must be stamped out because they are the enemy of public interests.

Arnold to reprise his role in Terminator 6

Looks like fanatics of the Terminator franchise have something to smile about. Speculations are that the latest Terminator movie, known as ‘Terminator:Dark Fate’, will be hitting cinemas in November.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

APHRC introduce new board members

Dar es Salaam. The African Population and Health Research Centre (APHRC) get new leaders in the field of data management, evidence generation, and technology.

Eighth MP jumps ship in crisis for UK Labour

An eighth Labour MP quit the party on Wednesday in protest against leader Jeremy Corbyn, joining a mounting rebellion sparked by rows over anti-Semitism and Brexit.

Tanzania hit by the shortages of condom

Risks of increase of sexually transmitted infections, HIV as well as unplanned pregnancies might increase in Tanzania, following reports of shortages of condoms.

Report: GDP expands after rebasing

Tanzania’s Gross Domestic Product (GDP) was 3.8 per cent bigger in 2015 than what was previously estimated, according to the new rebase and revised economic data published by the National Bureau of Statistics (NBS).

Tanzania: How attempt to rescue $1000 pigs ended in death of Machame livestock keeper

An attempt to rescue his sounder of swine from being taken away by suspected bandits ended grievously for a prominent businessman and meat supplier in Hai District on Tuesday, February 19, 2019, when thugs went away with his life.

Kondomu zaadimika nchini, hofu yatanda

Mipira ya kinga maarufu ‘kondomu’ imeadimika katika maeneo mengi nchini huku halmashauri ya mji wa Makambako ikiwa mhanga wa tatizo hilo pamoja na Shinyanga hali iliyosababisha wananchi kuvunja ukimya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mjusi wa Tanzania wa tani 50 aliyepo Ujerumani kurejeshwa

Wizara ya maliasili na utalii kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani ipo katika mazungumzo ya mwisho kurejesha nchini mabaki ya mjusi mkubwa ambaye kitaalam anaitwa Dinosaur aliyekuwa na uzito wa tani 50 ambaye alichukuliwa nchini miaka zaidi 100 iliyopita
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mjusi wa Tanzania wa tani 50 aliyepo Ujerumani kurejeshwa

Wizara ya maliasili na utalii kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani ipo katika mazungumzo ya mwisho kurejesha nchini mabaki ya mjusi mkubwa ambaye kitaalam anaitwa Dinosaur aliyekuwa na uzito wa tani 50 ambaye alichukuliwa nchini miaka zaidi 100 iliyopita.

Dk Kijaji agoma kukagua ukarabati Shule ya Pugu

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji amelazimika kuahirisha kukagua ukarabati wa shule kongwe ya Sekondari ya Pugu jijini Dar es Salaam baada ya uongozi wa mkoa na manispaa ya Ilala kueleza hawajui lolote kuhusu ukarabati huo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Kijaji agoma kukagua ukarabati Shule ya Pugu

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji amelazimika kuahirisha kukagua ukarabati wa shule kongwe ya Sekondari ya Pugu jijini Dar es Salaam baada ya uongozi wa mkoa na manispaa ya Ilala kueleza hawajui lolote kuhusu ukarabati huo.

UCHAMBUZI: Ya Lissu na mnara wa Babeli kila mtu ananena lake

Takribani mwezi mmoja sasa, habari zinazogonga vichwa vya watu ni Tundu Lissu. Bahati mbaya sana suala lake limepata wasemaji wengi hata balozi wa nyumba kumi naye anajitutumua kumjibu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UCHAMBUZI: Ya Lissu na mnara wa Babeli kila mtu ananena lake

Takribani mwezi mmoja sasa, habari zinazogonga vichwa vya watu ni Tundu Lissu. Bahati mbaya sana suala lake limepata wasemaji wengi hata balozi wa nyumba kumi naye anajitutumua kumjibu.

Maalim Seif ajiandaa kuunda safu mpya CUF

Siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutengua uteuzi wa wajumbe wa bodi ya wadhamini ya CUF, Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema atateua wajumbe wengine.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maalim Seif ajiandaa kuunda safu mpya CUF

Siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutengua uteuzi wa wajumbe wa bodi ya wadhamini ya CUF, Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema atateua wajumbe wengine.

VIDEO: Vyuo vya afya mbioni kuja na mtalaa mmoja

Vyuo vikuu vitatu vimeanza kukusanya maoni ya wadau kwa ajili ya kuandaa mtalaa linganifu wa mafunzo katika elimu ya watoa huduma za afya nchini (THET).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Vyuo vya afya mbioni kuja na mtalaa mmoja

Vyuo vikuu vitatu vimeanza kukusanya maoni ya wadau kwa ajili ya kuandaa mtalaa linganifu wa mafunzo katika elimu ya watoa huduma za afya nchini (THET).

Manispaa Ilala yanyang’anywa Sh3 bilioni

Serikali imeinyang'anya Manispaa ya Ilala, mkoani Dar es Salaam Sh3 bilioni ilizoipatia kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kimkakati wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Manispaa Ilala yanyang’anywa Sh3 bilioni

Serikali imeinyang'anya Manispaa ya Ilala, mkoani Dar es Salaam Sh3 bilioni ilizoipatia kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kimkakati wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti.

Club Africain ya Tunisia yapewa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ismailia

Club Africain ya Tunisia imepewa ushindi wa mabao 3-0 na wapinzani wao kutoka Misri, Ismailly imepigwa faini ya Euro 35,000 baada ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika kuvunjika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Club Africain ya Tunisia yapewa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ismailia

Club Africain ya Tunisia imepewa ushindi wa mabao 3-0 na wapinzani wao kutoka Misri, Ismailly imepigwa faini ya Euro 35,000 baada ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika kuvunjika.

Kesi Malinzi: Mahakama yakata kupokea maelezo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa kupokea maelezo ya onyo ya washtakiwa Flora Rauya na Miriam Zayumba yalihojiwa na ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( Takukuru ),Frank Mkilanya kama kielelezo cha ushahidi katika kesi hiyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kesi Malinzi: Mahakama yakata kupokea maelezo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa kupokea maelezo ya onyo ya washtakiwa Flora Rauya na Miriam Zayumba yalihojiwa na ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( Takukuru ),Frank Mkilanya kama kielelezo cha ushahidi katika kesi hiyo.

Al Hilal yapata kocha mpya

Klabu ya Al Hilal ya Sudan imepata kocha mpya Nabil Kouki raia wa Tunisia ili kuziba pengo la Irad Zaafouri aliyetimuliwa baada ya kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Nkana Fc.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Al Hilal yapata kocha mpya

Klabu ya Al Hilal ya Sudan imepata kocha mpya Nabil Kouki raia wa Tunisia ili kuziba pengo la Irad Zaafouri aliyetimuliwa baada ya kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Nkana Fc.

Mahakama yataifisha mali za Malkia wa Tembo, yampiga faini ya mabilioni

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu kifungo cha miaka 15 kila mmoja washtakiwa watatu akiwemo raia wa China, Yang Feng Glan(66), baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na  biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh13.9 bilioni
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mahakama yataifisha mali za Malkia wa Tembo, yampiga faini ya mabilioni

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu kifungo cha miaka 15 kila mmoja washtakiwa watatu akiwemo raia wa China, Yang Feng Glan(66), baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na  biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh13.9 bilioni

Meneja mawasiliano TFS afariki dunia akizungumza na waandishi wa habari

Hakuna ajuaye siku wala saa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya meneja mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Glory Mziray kufariki dunia leo mchana Jumanne Februari 19, 2019
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Meneja mawasiliano TFS afariki dunia akizungumza na waandishi wa habari

Hakuna ajuaye siku wala saa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya meneja mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Glory Mziray kufariki dunia leo mchana Jumanne Februari 19, 2019

Bocco, Salamba waing’arisha Simba ikishinda mabao 3-0

Timu ya Simba imeibuka na ushindi mnono kwa kuichapa African Lyon mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid leo Jumanne.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bocco, Salamba waing’arisha Simba ikishinda mabao 3-0

Timu ya Simba imeibuka na ushindi mnono kwa kuichapa African Lyon mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid leo Jumanne.

‘Ivory queen’ found guilty

Dar Es Salaam. China national Ms Yang Feng Glan (66) popularly known as “Ivory Queen) and other two, today Tuesday February 20 were found guilty for illegal ivory trade
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

‘Ivory queen’ found guilty

Dar Es Salaam. China national Ms Yang Feng Glan (66) popularly known as “Ivory Queen) and other two, today Tuesday February 20 were found guilty for illegal ivory trade

Malkia wa Tembo jela miaka 17

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka 17 jela washtakiwa watatu akiwemo Malkia wa Tembo kwa kujihusisha na biashara ya meno ya tembo.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Malkia wa Tembo jela miaka 17

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka 17 jela washtakiwa watatu akiwemo Malkia wa Tembo kwa kujihusisha na biashara ya meno ya tembo.  

Muhas, Cuhas, KCMUCo, waja na mtaala linganifu

Baada ya kufundisha mafunzo ya huduma za afya kwa kutumia mitaala tofauti tofauti kwa miaka mingi, vyuo vikuu vitatu vya afya cha Muhas, Cuhas na KCMC vimezindua mradi wenye lengo la kuboresha mitaala ya ufundishaji elimu kwa watoa huduma za afya nchini (THET
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Muhas, Cuhas, KCMUCo, waja na mtaala linganifu

Baada ya kufundisha mafunzo ya huduma za afya kwa kutumia mitaala tofauti tofauti kwa miaka mingi, vyuo vikuu vitatu vya afya cha Muhas, Cuhas na KCMC vimezindua mradi wenye lengo la kuboresha mitaala ya ufundishaji elimu kwa watoa huduma za afya nchini (THET).

Sixty agents benefit from training on modern insurance practices

In a bid to increase coverage and enable its services to spread all over the country, UAP Old Mutual Insurance Tanzania has trained its agents.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sixty agents benefit from training on modern insurance practices

In a bid to increase coverage and enable its services to spread all over the country, UAP Old Mutual Insurance Tanzania has trained its agents.

I&M Bank, Blockbonds launch digital platform

I&M Bank Tanzania in collaboration with Blockbonds Company have introduced a mobile banking app covering personal and business account holders to increase new customers and deposits.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

I&M Bank, Blockbonds launch digital platform

I&M Bank Tanzania in collaboration with Blockbonds Company have introduced a mobile banking app covering personal and business account holders to increase new customers and deposits.

Shule za Kinondoni ‘zinavyokimbiza’ ufaulu Dar

Kukiwa na Matokeo ya kidato cha nne yanapotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) mara nyingi shule zinazojulikana zaidi ni shule kumi bora au zile kumi za mwisho kitaifa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shule za Kinondoni ‘zinavyokimbiza’ ufaulu Dar

Kukiwa na Matokeo ya kidato cha nne yanapotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) mara nyingi shule zinazojulikana zaidi ni shule kumi bora au zile kumi za mwisho kitaifa.

Get more results via ClueGoal