Tanzania
MapoList

Nassary loses parliamentary seat over long, unexplained absence

Arumeru East Member of Parliament East Joshua Nassary has lost his parliamentary seat, after missing three consecutive Parliament sessions without informing the Speaker.

Askofu Bagonza ataja makomandoo saba mapambano rushwa, ufisadi

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema vita dhidi ya ufisadi, rushwa na wizi wa rasilimali za Taifa haiwezi kufanikiwa bila kushirikisha kile alichokiita makomandoo saba wazoefu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MAONI: Ushauri wa Kikwete upewe nafasi Afrika

Kauli kwamba Umoja wa Afrika (AU) umefanikiwa katika malengo yake ya kuleta uhuru lakini ukiwa na changamoto kubwa za kukosekana utawala bora, umaskini na maradhi, inastahili kufanyiwa kazi haraka.

Wakili aiomba mahakama kutopokea maelezo ya mashahidi kesi ya mtumishi TRA

Wakili Heri Zuku amewasilisha hoja katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akiiomba isipokee maelezo ya mashahidi wawili wa upande wa mashtaka, Ali Salum na Hassan Nganza

Mtafiti wa kilimo ayataja maeneo matatu yanayoweza kufanikikisha sekta ya kilimo Tanzania

Soko la wajasiriamali watu, teknolojia na huduma ya ugani ni maeneo muhimu ya kuangaliwa ili sekta ya kilimo ifanikiwe anasema  Dk Anna Temu

Changamoto kuu za wakulima zawekwa wazi

Mwenyekiti wa  Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA ) Wilaya ya Rufiji na Kibiti Mkoa wa Pwani, Maxmillian Masero amesema wakulima nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto kuu mbili za uzalishaji na uhifadhi.

LIVE: MWANANCHI JUKWAA LA FIKRA

Wizara ya Kilimo nchini Tanzania imeanza kufanya mapitio ya sera ya kilimo ya mwaka 2013 kwa lengo la kuendana na mabadiliko mbalimbali yaliyojitokeza katika sekta hiyo na wiki ijayo wizara hiyo itaanza kukutana na wadau wa kanda kupokea maoni

MWANANCHI JUKWAA LA FIKRA: Wakulima Tanzania wapewa somo kulifikia soko

Katika kukabiliana na changamoto ya masoko katika kilimo, wakulima nchini Tanzania wametakiwa kubadilisha mbinu ya kulifikia soko

Mkulima wa vitunguu Iringa aiangukia Serikali

Serikali imeombwa kuingilia kati changamoto ya kuyumba kwa soko la wakulima wa vitunguu maji Mkoani Iringa ili kuondoa dosari inayokatisha tamaa wakulima wengi vijana walioingia kwenye fursa hiyo.

Aliyempiga ngumi mbili kikongwe aachiwa huru

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemuachia huru mshtakiwa Neema Athuman (60) aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya jinai namba 180/2018 akidaiwa kumpiga  Amina Abdallah (80).

Wachimbaji madini waomba kuongezewa mwaka mmoja

Wamiliki na wachimbaji wa madini ya Tanzanite katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa  Manyara  wameiomba Serikali kuwapa mwaka mmoja ili waweze kuboresha miundombinu ya migodi yao ikiwemo kuweka uzio

Manara wa Simba aibua gumzo bungeni

Wizara ya Utalii na Maliasili nchini Tanzania imetakiwa kuiga mbinu za uhamasishaji kutoka kwa msemaji wa Simba Haji Manara huku Masau Bwire na Thobias Kifaru wakitajwa.

Mifuko 200 ya saruji yatolewa upanuzi kituo cha polisi Hai

Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, imetoa mifuko 200 ya saruji na tani moja ya nondo kwa lengo la kufanya upanuzi wa kituo cha polisi cha wilaya hiyo

Chakwera aongoza uchaguzi Malawi

Bila shaka Kiongozi wa upinzani nchini Malawi, Lazarus Chakwera kwa sasa atakuwa anaombea mambo yasibadilike baada ya kuongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais uliofanyika Jumanne Mei 21, 2019

VIDEO: Ndugai, mbunge Masele watuhumiana bungeni

Hali hiyo imetokana na taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kupendekeza mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele kusimamishwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge  baada ya kumkuta na hatia ya utovu wa nidhamu na kugonganisha mihimil
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Ndugai, mbunge Masele watuhumiana bungeni

Hali hiyo imetokana na taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kupendekeza mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele kusimamishwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge  baada ya kumkuta na hatia ya utovu wa nidhamu na kugonganisha mihimili ya Serikali. Hata hivyo,  Spika Ndugai alilitaka Bunge kumpuuza Masele na wabunge kuridhia msamaha wa Ndugai kwa mbunge huyo.

Zao la utomvu laiingizia Saohill Sh700 milioni

Shamba la miti la Sao hill limekusanya zaidi ya Sh700 milioni katika kipindi cha miezi 10 kupitia zao la utomvu huku likikusanya zaidi ya Sh47 bilioni katika uvunaji wa miti kwa mwaka wa fedha 2017/2018
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zao la utomvu laiingizia Saohill Sh700 milioni

Shamba la miti la Sao hill limekusanya zaidi ya Sh700 milioni katika kipindi cha miezi 10 kupitia zao la utomvu huku likikusanya zaidi ya Sh47 bilioni katika uvunaji wa miti kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Mwanamke aua jambazi kwa kisu

Mwanamke mmoja ameua jambazi kwa kisu kati ya wawili waliovamia duka lake  wakiwa na silaha na kuiba vitu kadhaa ambavyo walivificha katika kichaka karibu na eneo hilo  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwanamke aua jambazi kwa kisu

Mwanamke mmoja ameua jambazi kwa kisu kati ya wawili waliovamia duka lake  wakiwa na silaha na kuiba vitu kadhaa ambavyo walivificha katika kichaka karibu na eneo hilo  

Hatima ya mbunge Masele kujulikana leo

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge iliyomhoji Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele kutokana na utovu wa nidhamu, leo Alhamisi itawasilisha  taarifa yake bungeni.   
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hatima ya mbunge Masele kujulikana leo

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge iliyomhoji Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele kutokana na utovu wa nidhamu, leo Alhamisi itawasilisha  taarifa yake bungeni.   

Uchambuzi wa HakiRasilimali kuhusu bajeti ya Wizara ya madini na Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2018/19 na 2019/2020

Sekta ya uziduaji (Mafuta, Madini na gesi asilia) ni eneo muhimu katika kuchochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya nchi kwa ujumla, takwimu zinaonesha kuwa sekta ya uziduaji nchini inakadiriwa kuchangia takribani asilimia 5 (2018) ya pato la Taifa ambapo, Dir
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Uchambuzi wa HakiRasilimali kuhusu bajeti ya Wizara ya madini na Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2018/19 na 2019/2020

Sekta ya uziduaji (Mafuta, Madini na gesi asilia) ni eneo muhimu katika kuchochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya nchi kwa ujumla, takwimu zinaonesha kuwa sekta ya uziduaji nchini inakadiriwa kuchangia takribani asilimia 5 (2018) ya pato la Taifa ambapo, Dira ya Taifa ya maendeleo inakadiria kwamba hadi kufikia Mwaka 2025 mchango wa sekta ya madini unatarajiwa kuongezeka hadi kufikia asilimia 10 ya pato zima la Taifa.

Watanzania wanaoishi nje ya nchi waombewa kupiga kura

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la Watanzania waishio nje ya nchi ni la kisera zaidi Serikali itakapojiridhisha wanaweza kuruhusiwa kupiga kura katika chaguzi
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watanzania wanaoishi nje ya nchi waombewa kupiga kura

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la Watanzania waishio nje ya nchi ni la kisera zaidi Serikali itakapojiridhisha wanaweza kuruhusiwa kupiga kura katika chaguzi

Bunge lamchagua Ramaphosa Rais Afrika Kusini

Ramaphosa aliyechukua uraia katikati mwa muhula uliopita baada ya Jacob Zuma kujiuzulu Februari 2018, ataapishwa Jumamosi na anatarajiwa kutangaza Makamu wa Rais na baraza lake la mawaziri mwishoni mwa wiki.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bunge lamchagua Ramaphosa Rais Afrika Kusini

Ramaphosa aliyechukua uraia katikati mwa muhula uliopita baada ya Jacob Zuma kujiuzulu Februari 2018, ataapishwa Jumamosi na anatarajiwa kutangaza Makamu wa Rais na baraza lake la mawaziri mwishoni mwa wiki.  

Bunge la Tanzania lamsamehe Masele

Bunge la Tanzania limeridhia kumpuuza mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele ambaye Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ilimkuta na hatia ya kugonganisha mihimili na utovu wa nidhamu
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bunge la Tanzania lamsamehe Masele

Bunge la Tanzania limeridhia kumpuuza mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele ambaye Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ilimkuta na hatia ya kugonganisha mihimili na utovu wa nidhamu

Azory’s parents appeal to Magufuli for probe

Parents of Mwananchi Communications Limited (MCL) journalist, Mr Azory Gwanda, who has been missing since November 2017, say they were going through untold agony for being in the dark about the whereabouts of their son, they say was a bread winner.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzania opposition demand reform of electoral body

Dar es Salaam. An alliance of opposition parties in Tanzania on Wednesday, May 22 called for the creation of an «independent» electoral commission, with local elections due in October and a presidential poll next year.

Get more results via ClueGoal