Tanzania
MapoList

Kiongozi wa mwenge agoma kuzindua kituo cha afya

Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Mzee Mkongea Ali ameshindwa kuweka jiwe la msingi katika kituo cha afya cha kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma baada ya kuwepo makazi ya watu katika eneo la kituo hicho.

Shahidi aeleza bosi wake alivyoongozana na gari lenye shehena ya dhahabu

Koplo Meksela, shahidi wa nne katika kesi ya kusafirisha shehena ya dhahabu kilo 319 yenye thamani ya Sh27. 8 bilioni ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza jinsi alivyolifungulia geti gari iliyokuwa imebeba shehena hiyo lilipokuwa likiingia na kut
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shahidi aeleza bosi wake alivyoongozana na gari lenye shehena ya dhahabu

Koplo Meksela, shahidi wa nne katika kesi ya kusafirisha shehena ya dhahabu kilo 319 yenye thamani ya Sh27. 8 bilioni ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza jinsi alivyolifungulia geti gari iliyokuwa imebeba shehena hiyo lilipokuwa likiingia na kutoka katika kituo kikuu cha polisi Mwanza, likiongozwa na bosi wake.

MO Dewji: Nitawapa Bodaboda wachezaji wote Simba

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi klabu ya Simba, Mohammed Dewji amehaidi kuwapa pikipiki aina Boxer yenye thamani ya Sh 2.4 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MO Dewji: Nitawapa Bodaboda wachezaji wote Simba

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi klabu ya Simba, Mohammed Dewji amehaidi kuwapa pikipiki aina Boxer yenye thamani ya Sh 2.4 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

MO Dewji ampa shavu jipya Mbeligiji Simba

Kocha wa Simba, Patrick Aussems ameangukia neema baada ya Mwenyekiti ya bodi wakurugenzi wa klabu hiyo, Mohammed Dewji kuweka wazi bado wanamuhitaji katika kikosi chao kwaajili ya msimu ujao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MO Dewji ampa shavu jipya Mbeligiji Simba

Kocha wa Simba, Patrick Aussems ameangukia neema baada ya Mwenyekiti ya bodi wakurugenzi wa klabu hiyo, Mohammed Dewji kuweka wazi bado wanamuhitaji katika kikosi chao kwaajili ya msimu ujao.

Meno ya tembo yapeleka wanne jela miaka 20 kila mmoja

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu watu wanne, kutumikia kifungo cha miaka 20 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh 32.5 milioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Meno ya tembo yapeleka wanne jela miaka 20 kila mmoja

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu watu wanne, kutumikia kifungo cha miaka 20 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh 32.5 milioni.

UCHOKOZI WA EDO: Hili la korosho, kuna umuhimu wa kuchutama yaishe

Juzi nikamsikiliza yule kijana, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. Kaongea kwelikweli bungeni. Kaongea haswa. Anasema waliovuruga ununuzi wa korosho kule Kusini mwaka jana ni wahujumu uchumi. Katapika nyongo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UCHOKOZI WA EDO: Hili la korosho, kuna umuhimu wa kuchutama yaishe

Juzi nikamsikiliza yule kijana, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. Kaongea kwelikweli bungeni. Kaongea haswa. Anasema waliovuruga ununuzi wa korosho kule Kusini mwaka jana ni wahujumu uchumi. Katapika nyongo.

TTCL reveals why it needs Sh1.7 trillion

Dar es Salaam. State-owned telco, Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL), needs Sh1.77 trillion in capital injection to fund its ambitious five-year strategic plan that would see it increase its share of the telecommunications market.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

TTCL reveals why it needs Sh1.7 trillion

Dar es Salaam. State-owned telco, Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL), needs Sh1.77 trillion in capital injection to fund its ambitious five-year strategic plan that would see it increase its share of the telecommunications market.

Mpoto Band yanogesha ujio wa Sevilla Dar

Bendi ya Mpoto leo ilitoa burudani wakati wageni wakisubiri kuwasili timu ya Sevilla inayoshiriki Ligi Kuu Hispania kwenye Uwanja wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mpoto Band yanogesha ujio wa Sevilla Dar

Bendi ya Mpoto leo ilitoa burudani wakati wageni wakisubiri kuwasili timu ya Sevilla inayoshiriki Ligi Kuu Hispania kwenye Uwanja wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Tarimba awaonya Sevilla, Simba si timu ya mchezomchezo

Mkurugenzi Udhibiti na Utawala wa Sportpesa, Abas Tarimba ameionya Sevilla baada ya kuwaambia mchezo wao dhidi ya Simba wasitegemee kuwa mwepesi hata kidogo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tarimba awaonya Sevilla, Simba si timu ya mchezomchezo

Mkurugenzi Udhibiti na Utawala wa Sportpesa, Abas Tarimba ameionya Sevilla baada ya kuwaambia mchezo wao dhidi ya Simba wasitegemee kuwa mwepesi hata kidogo.

Dk Tizeba atoa mbinu ya kupata soko la nyama nje ya Tanzania

Mbunge wa Buchosa (CCM), Dk Charles Tizeba amesema nyama ya Tanzania haipati soko nje ya nchi kwasababu si eneo huru la magonjwa ya mifugo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Tizeba atoa mbinu ya kupata soko la nyama nje ya Tanzania

Mbunge wa Buchosa (CCM), Dk Charles Tizeba amesema nyama ya Tanzania haipati soko nje ya nchi kwasababu si eneo huru la magonjwa ya mifugo.

Kenya yataka mjadala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mapambano bidhaa bandia

Soko la bidhaaa zinazotengezwa na viwanda vilivyopo nchi za  Afrika  Mashariki hupotea kwa asilimia 40 kutokana na kuwepo kwa bidhaa bandia , hali iliyowagofya Kenya na kutaka kuitishwa kwa mjadala ili kulidhibiti  tatizo hilo.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kenya yataka mjadala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mapambano bidhaa bandia

Soko la bidhaaa zinazotengezwa na viwanda vilivyopo nchi za  Afrika  Mashariki hupotea kwa asilimia 40 kutokana na kuwepo kwa bidhaa bandia , hali iliyowagofya Kenya na kutaka kuitishwa kwa mjadala ili kulidhibiti  tatizo hilo.  

UVCCM kuwapambania walimu wanaojitolea kupata ajira, posho

UVCCM imesema kuwa walimu wanaojitolea kufundisha kwenye shule za serikali watambulike wapo wangapi nchi nzima, kisha wawasaidie kupaza sauti zinapotokea nafasi za ajira wapewe kipaumbele, walimu hao wamekuwa wakilalamika kufanya kazi kwenye mazingira magumu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UVCCM kuwapambania walimu wanaojitolea kupata ajira, posho

UVCCM imesema kuwa walimu wanaojitolea kufundisha kwenye shule za serikali watambulike wapo wangapi nchi nzima, kisha wawasaidie kupaza sauti zinapotokea nafasi za ajira wapewe kipaumbele, walimu hao wamekuwa wakilalamika kufanya kazi kwenye mazingira magumu.

Uchaguzi Malawi ushindani mkali

Lilongwe. Raia wa Malawi leo wamepiga kura kumchagua rais mpya katika uchaguzi ulikuwa na ushindani mkali kati ya wagombea watatu, miongoni mwa saba wanaowania nafasi hiyo ya juu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Uchaguzi Malawi ushindani mkali

Lilongwe. Raia wa Malawi leo wamepiga kura kumchagua rais mpya katika uchaguzi ulikuwa na ushindani mkali kati ya wagombea watatu, miongoni mwa saba wanaowania nafasi hiyo ya juu.

Meya Kinondoni awatoa hofu wakazi wa Mpigi

Meya wa Kinondoni Benjamin Sitta amewatoa hofu wakazi wa Mpigi wanaoishi mpakani mwa wilaya hiyo na Bagamoyo ambao nyumba zao zipo hatarini kubomoka kutokana na uchimbaji holela wa mchanga unaofanyika kwenye  kingo za daraja la Mpigi .
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Meya Kinondoni awatoa hofu wakazi wa Mpigi

Meya wa Kinondoni Benjamin Sitta amewatoa hofu wakazi wa Mpigi wanaoishi mpakani mwa wilaya hiyo na Bagamoyo ambao nyumba zao zipo hatarini kubomoka kutokana na uchimbaji holela wa mchanga unaofanyika kwenye  kingo za daraja la Mpigi .

Magufuli atoa mwezi mmoja wasiotumia TTCL serikalini kuanza mara moja

Rais John Magufuli ametoa mwezi mmoja kwa ofisi yake na wizara mbalimbali ambazo bado hazijaanza kutumia huduma za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuanza kutumia.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli atoa mwezi mmoja wasiotumia TTCL serikalini kuanza mara moja

Rais John Magufuli ametoa mwezi mmoja kwa ofisi yake na wizara mbalimbali ambazo bado hazijaanza kutumia huduma za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuanza kutumia.  

Wabunge wabaini sababu kukwama usindikaji wa maziwa Tanzania

Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imesema  kutoimarika kwa usindikaji wa maziwa nchini kunatokana na kukosekana kwa mazingira rafiki ya uwekezaji wenye tija ikiwa ni pamoja na wingi wa tozo na kodi zipatazo 28.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabunge wabaini sababu kukwama usindikaji wa maziwa Tanzania

Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imesema  kutoimarika kwa usindikaji wa maziwa nchini kunatokana na kukosekana kwa mazingira rafiki ya uwekezaji wenye tija ikiwa ni pamoja na wingi wa tozo na kodi zipatazo 28.

Kindamba: TTCL pesa inazidi kukua, tuko vizuri

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba amesema huduma ya TTCL pesa imezidi kukua huku wateja wakiwa wamefikia 400,000, mawakala 11,000 huku mtaji unaozunguka sokoni ukiwa zaidi ya Sh4 bilioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kindamba: TTCL pesa inazidi kukua, tuko vizuri

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba amesema huduma ya TTCL pesa imezidi kukua huku wateja wakiwa wamefikia 400,000, mawakala 11,000 huku mtaji unaozunguka sokoni ukiwa zaidi ya Sh4 bilioni.

Marekani yalegeza vikwazo dhidi ya kampuni ya Huawei

Serikali ya Marekani imeondoa kwa muda vikwazo vya kibiashara ilivyoweka wiki iliyopita dhidi ya kampuni ya simu ya China Huawei, hatua inayolenga kupunguza hali ya kuvurugwa wateja wake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Marekani yalegeza vikwazo dhidi ya kampuni ya Huawei

Serikali ya Marekani imeondoa kwa muda vikwazo vya kibiashara ilivyoweka wiki iliyopita dhidi ya kampuni ya simu ya China Huawei, hatua inayolenga kupunguza hali ya kuvurugwa wateja wake.

Rais Magufuli afanya ‘video conference’ na ma-RC

Rais John Magufuli amefanya mkutano wa pamoja wa video (video conference) na baadhi ya wakuu wa mikoa wakiwa kwenye mikoa yao na kuwaulizia taarifa za maendeleo ya mikoa yao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rais Magufuli afanya ‘video conference’ na ma-RC

Rais John Magufuli amefanya mkutano wa pamoja wa video (video conference) na baadhi ya wakuu wa mikoa wakiwa kwenye mikoa yao na kuwaulizia taarifa za maendeleo ya mikoa yao.

Jaji afa kwa kugongwa na koboko

Jaji wa Mahakama ya Kazi jijini Cape Town Afrika Kusini, Anton Steenkamp (57) amefariki dunia baada ya kugongwa na nyoka aina ya koboko akiwa likizo nchini Zambia.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jaji afa kwa kugongwa na koboko

Jaji wa Mahakama ya Kazi jijini Cape Town Afrika Kusini, Anton Steenkamp (57) amefariki dunia baada ya kugongwa na nyoka aina ya koboko akiwa likizo nchini Zambia.

Magufuli ashangazwa TTCL kukodi minara kwa Sh700milioni kila mwezi

Rais John Magufuli ameshangazwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kutokuwa na minara yake na hivyo kutumia minara ya mashirika mengine kwa kulipia kati ya Sh700milioni hadi Sh800milioni kila mwezi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli ashangazwa TTCL kukodi minara kwa Sh700milioni kila mwezi

Rais John Magufuli ameshangazwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kutokuwa na minara yake na hivyo kutumia minara ya mashirika mengine kwa kulipia kati ya Sh700milioni hadi Sh800milioni kila mwezi.

Bajeti Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2019/20 yaongezeka

Dodoma. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina  amewasilisha bajeti ya wizara hiyo mwaka 2019/20 ya Sh64.91 bilioni ikiwa ni ongezeko la Sh8.46 bilioni ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2018/19 ya Sh56.45 bilioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bajeti Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2019/20 yaongezeka

Dodoma. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina  amewasilisha bajeti ya wizara hiyo mwaka 2019/20 ya Sh64.91 bilioni ikiwa ni ongezeko la Sh8.46 bilioni ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2018/19 ya Sh56.45 bilioni.

TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake

Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake

Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.

Wabakaji wa ‘teleza’ wawagonganisha Zitto, Lugola bungeni

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe wamevutana bungeni kuhusu wanaume wanaojipaka oil chafu maarufu ‘wanaume teleza’ kisha kuwabaka wanawake mkoani Kigoma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabakaji wa ‘teleza’ wawagonganisha Zitto, Lugola bungeni

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe wamevutana bungeni kuhusu wanaume wanaojipaka oil chafu maarufu ‘wanaume teleza’ kisha kuwabaka wanawake mkoani Kigoma.

TTCL yatoa gawio la Sh2.1 bilioni kwa Serikali

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba amesema mwaka huu wanatoa gawio la Sh2.1 bilioni kwa Serikali kutokana na kukua kwa mapato ukilinganisha na mwaka uliopita.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TTCL yatoa gawio la Sh2.1 bilioni kwa Serikali

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba amesema mwaka huu wanatoa gawio la Sh2.1 bilioni kwa Serikali kutokana na kukua kwa mapato ukilinganisha na mwaka uliopita.

Dudu Baya akiri kumpiga makofi Gigy Money

Msanii wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu Baya, amekiri kumpiga msanii  mwenzake Gigy Money. Gigy Money ambaye jina lake halisi ni Gift Stanford akihojiwa na kituo cha Wasafi TV jana Mei 20, alieleza kuwa Dudu Baya alimpiga baada ya kum
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dudu Baya akiri kumpiga makofi Gigy Money

Msanii wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu Baya, amekiri kumpiga msanii  mwenzake Gigy Money. Gigy Money ambaye jina lake halisi ni Gift Stanford akihojiwa na kituo cha Wasafi TV jana Mei 20, alieleza kuwa Dudu Baya alimpiga baada ya kumtaka kimapenzi na kumkataa.

Thomas Mollel maarufu Askofu afariki dunia

Mfanyabiashara maarufu wa madini nchini Tanzania, Thomas Mollel maarufu kwa jina la Askofu amefariki dunia jana usiku Jumatatu Mei 20, 2019  jijini Dodoma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Thomas Mollel maarufu Askofu afariki dunia

Mfanyabiashara maarufu wa madini nchini Tanzania, Thomas Mollel maarufu kwa jina la Askofu amefariki dunia jana usiku Jumatatu Mei 20, 2019  jijini Dodoma.

Wizara ya Kilimo Zanzibar yaeleza mafanikio ya kilimo cha mpunga

Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar imesema kuanzia mwaka 2018 hadi Machi 2019, wizara hiyo imefanikiwa kulima ekari za kilimo cha mpunga 27,258 sawa na asilimia 82 ya lengo la kufikia ekari 33,352.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wizara ya Kilimo Zanzibar yaeleza mafanikio ya kilimo cha mpunga

Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar imesema kuanzia mwaka 2018 hadi Machi 2019, wizara hiyo imefanikiwa kulima ekari za kilimo cha mpunga 27,258 sawa na asilimia 82 ya lengo la kufikia ekari 33,352.

Get more results via ClueGoal