Tanzania
MapoList

Modi lookalike hits Indian campaign trail

His white beard neatly trimmed and a sleeveless jacket thrown over his traditional Indian shirt, Abhinandan Pathak turns heads thanks to an uncanny resemblance to the country’s Prime Minister Narendra Modi.

TUONGEE KIUME: Tuoe tabia nzuri au wazuri?

Wanaosema tuoe tabia nzuri, wanadai uzuri ni kitu cha muda, mwanamke mzuri huwa hivyo katika umri fulani pekee, hasa ujana. Kwa hiyo kadri umri unavyosonga ulimbwende nao unapukutika. Hii maana yake ni kwamba kama utaoa kwa sababu ya uzuri, kuna uwezekano mku
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TUONGEE KIUME: Tuoe tabia nzuri au wazuri?

Wanaosema tuoe tabia nzuri, wanadai uzuri ni kitu cha muda, mwanamke mzuri huwa hivyo katika umri fulani pekee, hasa ujana. Kwa hiyo kadri umri unavyosonga ulimbwende nao unapukutika. Hii maana yake ni kwamba kama utaoa kwa sababu ya uzuri, kuna uwezekano mkubwa wa kuichoka ndoa uzuri ukimuisha mwenzio. Lakini tabia, weee! Hizo hata akizeeka zitabaki palepale.

Ugonjwa wa moyo unaua wanawake zaidi kuliko wanaume

Wanawake wamekuwa wakikumbwa na tatizo la vifo vya ghafla. Umeshawahi kujiuliza sababu? Kama unataka mama, mke au ndugu yako wa kike aishi miaka mingi, kuna ushsuri wa kisayansi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ugonjwa wa moyo unaua wanawake zaidi kuliko wanaume

Wanawake wamekuwa wakikumbwa na tatizo la vifo vya ghafla. Umeshawahi kujiuliza sababu? Kama unataka mama, mke au ndugu yako wa kike aishi miaka mingi, kuna ushsuri wa kisayansi.

Pep afunguka sababu za kushikana mashati na Aguero

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola  amefafanua tukio lililotokea kati yake na mshambuliaji wake, Sergio Aguero  alipomtoa  katika mchezo wa  Ligi Kuu England  dhidi ya   Tottenham uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Pep afunguka sababu za kushikana mashati na Aguero

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola  amefafanua tukio lililotokea kati yake na mshambuliaji wake, Sergio Aguero  alipomtoa  katika mchezo wa  Ligi Kuu England  dhidi ya   Tottenham uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Mwalimu adaiwa kujiua kwa sumu

Mkuu wa Sekondari ya Mbalamaziwa, Roida Mbalwa amefariki dunia kwa kunywa sumu baada ya kutuhumiwa mkutano na kiongozi mmoja kutumia fedha vibaya za ujenzi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwalimu adaiwa kujiua kwa sumu

Mkuu wa Sekondari ya Mbalamaziwa, Roida Mbalwa amefariki dunia kwa kunywa sumu baada ya kutuhumiwa mkutano na kiongozi mmoja kutumia fedha vibaya za ujenzi.

Kasi ya maendeleo ya Magufuli yahamia Sadc

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (Sadc), Rais John Magufuli amehamishia dhamira yake ya kutaka kuwapo kwa kasi ya maendeleo nchini katika jumuiya hiyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kasi ya maendeleo ya Magufuli yahamia Sadc

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (Sadc), Rais John Magufuli amehamishia dhamira yake ya kutaka kuwapo kwa kasi ya maendeleo nchini katika jumuiya hiyo.

Yetu to raise Sh2 billion in fresh offer

Dar es Salaam. Yetu Microfinance Bank Plc is in September this year set to issue another Initial Public Offering (IPO) to raise Sh2 billion in its market capitalisation at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Cardinal Pengo: 27 years of unparalleled success

For most of the faithful, he is more than a cardinal or a bishop. In the world of spirits, devout Catholics in Dar es Salaam and elsewhere he served consider him a loving father who has lived to feed and safeguard his family with the word of God.

Painful moment as victims of tanker blast count losses

Morogoro. Small remnants of burned-out wreckage of motorbikes and other property are the only signs left of Itigi Msanvu, a formerly vibrant area in Morogoro town now turned into a scene from hell where more than 90 people died following a fuel tanker infern
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Painful moment as victims of tanker blast count losses

Morogoro. Small remnants of burned-out wreckage of motorbikes and other property are the only signs left of Itigi Msanvu, a formerly vibrant area in Morogoro town now turned into a scene from hell where more than 90 people died following a fuel tanker inferno a week ago.

VIDEO: Wakuu wa nchi Sadc wasaini itifaki nne

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) ambaye ni Rais wa Tanzania, John Magufuli  amewaongoza wakuu wa nchi 16 za jumuiya hiyo kusaini marekebisho katika itifaki nne.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Wakuu wa nchi Sadc wasaini itifaki nne

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) ambaye ni Rais wa Tanzania, John Magufuli  amewaongoza wakuu wa nchi 16 za jumuiya hiyo kusaini marekebisho katika itifaki nne.

Ajali ya moto Morogoro ilivyorejesha machungu ya vifo vya wanakijiji mwaka 2000

Miaka 19 iliyopita, Ojoku Lwijisi alinusurika katika ajali ya moto iliyochukua maisha ya mwenzake na wanakijiji wengine zaidi ya 40 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika Kata ya Isongole wilayani Rungwe.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ajali ya moto Morogoro ilivyorejesha machungu ya vifo vya wanakijiji mwaka 2000

Miaka 19 iliyopita, Ojoku Lwijisi alinusurika katika ajali ya moto iliyochukua maisha ya mwenzake na wanakijiji wengine zaidi ya 40 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika Kata ya Isongole wilayani Rungwe.

Udukuzi mawasiliano hofu mpya wanasiasa, wakosoaji barani Afrika

Taarifa kuwa kampuni kubwa ya kimataifa ya mawasiliano ya Huawei ya China ilisaidia baadhi ya Serikali za nchi za Afrika kusikiliza mawasiliano ya wapinzani wao kisiasa zinashtua. Na kila mmoja anajiona hayuko salama.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Udukuzi mawasiliano hofu mpya wanasiasa, wakosoaji barani Afrika

Taarifa kuwa kampuni kubwa ya kimataifa ya mawasiliano ya Huawei ya China ilisaidia baadhi ya Serikali za nchi za Afrika kusikiliza mawasiliano ya wapinzani wao kisiasa zinashtua. Na kila mmoja anajiona hayuko salama.

Mastaa saba Yanga hatarini kusugua benchi

Wachezaji saba wa Yanga wamejiweka kwenye nafasi ngumu ya kupata namba katika kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ugenini dhidi ya Township Rollers ya Botswana, wiki ijayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mastaa saba Yanga hatarini kusugua benchi

Wachezaji saba wa Yanga wamejiweka kwenye nafasi ngumu ya kupata namba katika kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ugenini dhidi ya Township Rollers ya Botswana, wiki ijayo.

Wiki ya jasho na damu kwa Simba

Baada ya Simba kucheza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC jana, silaha zao wanazielekeza kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo watacheza dhidi ya UD Songo ya Msumbiji Jumapili ijayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wiki ya jasho na damu kwa Simba

Baada ya Simba kucheza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC jana, silaha zao wanazielekeza kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo watacheza dhidi ya UD Songo ya Msumbiji Jumapili ijayo.

ACT-Wazalendo wasema Zitto Kabwe ataripoti polisi kwa wito maalum

Wakati Jeshi la Polisi Wilaya ya Kinondoni nchini Tanzania likisisitiza kumuhitaji kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kwa ajili ya kumhoji, chama hicho kimesema kiongozi wao huyo hawezi kuitikia wito huo kwa kuwa si rasmi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT-Wazalendo wasema Zitto Kabwe ataripoti polisi kwa wito maalum

Wakati Jeshi la Polisi Wilaya ya Kinondoni nchini Tanzania likisisitiza kumuhitaji kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kwa ajili ya kumhoji, chama hicho kimesema kiongozi wao huyo hawezi kuitikia wito huo kwa kuwa si rasmi.

Mmoja afariki dunia ajali nyingine ya lori la mafuta kuteketea kwa moto nchini Tanzania

 Malori mawili ya mafuta yamepinduka katika matukio mawili tofauti wilayani Kahama mkoani Shinyanga nchini Tanzania na kusababisha kifo cha utingo huku dereva akijeruhiwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mmoja afariki dunia ajali nyingine ya lori la mafuta kuteketea kwa moto nchini Tanzania

 Malori mawili ya mafuta yamepinduka katika matukio mawili tofauti wilayani Kahama mkoani Shinyanga nchini Tanzania na kusababisha kifo cha utingo huku dereva akijeruhiwa.

WhatsApp lawamani kuruhusu kuingilia mawasiliano

Programu mpya iliyotolewa ambayo inaweza kutumia udhaifu uliopo katika mtandao wa WhatsApp unaomilikiwa na kampuni ya Facebook inakuruhusu mtu kuweka maneno kwenye maandishi ambayo mhusika hakuyaandika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

WhatsApp lawamani kuruhusu kuingilia mawasiliano

Programu mpya iliyotolewa ambayo inaweza kutumia udhaifu uliopo katika mtandao wa WhatsApp unaomilikiwa na kampuni ya Facebook inakuruhusu mtu kuweka maneno kwenye maandishi ambayo mhusika hakuyaandika.

SIMULIZI ZA MZIKI: Madansa jana na leo

Karibu kila bendi kubwa siku hizi huwa inakuwa na kundi la wasanii ambao kazi yao ni kucheza dansi. Jina maarufu la wasanii hawa lilikuwa ni ‘Stage Show’. Siku hizi huitwa Wacheza Show au Madansa. Mara ya kwanza mimi kuwaona wacheza shoo jukwaani ilikuwa
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

SIMULIZI ZA MZIKI: Madansa jana na leo

Karibu kila bendi kubwa siku hizi huwa inakuwa na kundi la wasanii ambao kazi yao ni kucheza dansi. Jina maarufu la wasanii hawa lilikuwa ni ‘Stage Show’. Siku hizi huitwa Wacheza Show au Madansa. Mara ya kwanza mimi kuwaona wacheza shoo jukwaani ilikuwa mwaka 1962 wakati Dorothy Masuka na kundi lake lilipopita Iringa na kufanya onyesho katika ukumbi wa Highland Cinema, nilikuwa mdogo sana lakini kilichobakia kichwani ni kumbukumbu ya wachezaji wake waliovaa vibwaya na Dorothy Masuka akiimba wimbo wa Patapata.

Magufuli aitaka sekretarieti Sadc kujitathmini

Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumamosi Agosti 17, 2019 amekabidhiwa uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na kuitaka sekretarieti ya jumuiya hiyo kujitathmini kuhusu ukuaji duni wa uchumi kwa nchi wanachama.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli aitaka sekretarieti Sadc kujitathmini

Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumamosi Agosti 17, 2019 amekabidhiwa uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na kuitaka sekretarieti ya jumuiya hiyo kujitathmini kuhusu ukuaji duni wa uchumi kwa nchi wanachama.

Wanyamapori waliopo maeneo ya mijini nchini Tanzania kupigwa mnada

Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Dk Hamis Kigwangalla amesema Serikali itauza viboko wote waliopo kwenye maziwa, mabwawa na mito yaliyopo maeneo ya mijini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanyamapori waliopo maeneo ya mijini nchini Tanzania kupigwa mnada

Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Dk Hamis Kigwangalla amesema Serikali itauza viboko wote waliopo kwenye maziwa, mabwawa na mito yaliyopo maeneo ya mijini.

Baraza la Mawaziri Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutangazwa wiki ijayo

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Tshisekedi bado anakuna kichwa kuandaa Baraza lake la kwanza la mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wiki ijayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Baraza la Mawaziri Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutangazwa wiki ijayo

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Tshisekedi bado anakuna kichwa kuandaa Baraza lake la kwanza la mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wiki ijayo.

Harmonize mguu ndani mguu nje Wasafi

Kuna ukweli wowote kuhusu habari zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa msanii Harmonize amejiengua katika lebo ya Wasafi inayoongozwa na Diamond Platnumz.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Harmonize mguu ndani mguu nje Wasafi

Kuna ukweli wowote kuhusu habari zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa msanii Harmonize amejiengua katika lebo ya Wasafi inayoongozwa na Diamond Platnumz.

VIDEO: Ali Kiba, Harmonize wapishana msiba wa Mbalamwezi wa kundi la The Mafik

“Wamepishana”. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wasanii wakali wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Ali Kiba na Harmonize kupishana katika msiba wa msanii Abdallah Matimbwa maarufu Mbalamwezi wa kundi la The Mafik.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Ali Kiba, Harmonize wapishana msiba wa Mbalamwezi wa kundi la The Mafik

“Wamepishana”. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wasanii wakali wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Ali Kiba na Harmonize kupishana katika msiba wa msanii Abdallah Matimbwa maarufu Mbalamwezi wa kundi la The Mafik.

SA leader’s emotional Mazimbu tour

South Africa President Cyril Ramaphosa revealed that Morogoro Region in Tanzania – which hosted guerrillas who were fighting for freedom of his country – has a special place in his heart.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

SA leader’s emotional Mazimbu tour

South Africa President Cyril Ramaphosa revealed that Morogoro Region in Tanzania – which hosted guerrillas who were fighting for freedom of his country – has a special place in his heart.

The ‘big agenda’ for leaders

The task of rolling out an ambitious regional industrialisation programme looms large as the Southern African Development Community (Sadc) heads of state and government begin their summit in Dar es Salaam today.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

The ‘big agenda’ for leaders

The task of rolling out an ambitious regional industrialisation programme looms large as the Southern African Development Community (Sadc) heads of state and government begin their summit in Dar es Salaam today.

President Magufuli assumes Sadc chairmanship, calls for the West to lift sanctions against Zimbabwe

President John Magufuli assumes Southern African Development Community (SADC) cahirmanship as he called for the West to lift sanctions imposed on Zimbabwe.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

President Magufuli assumes Sadc chairmanship, calls for the West to lift sanctions against Zimbabwe

President John Magufuli assumes Southern African Development Community (SADC) cahirmanship as he called for the West to lift sanctions imposed on Zimbabwe.

Mgodi wa GGM kutumia Sh9.2 bilioni kwa miradi ya maendeleo

Kampuni ya madini ya dhahabu ya Geita (GGM) imejipanga kutumia Sh9.2 bilioni mwaka wa fedha 2019/20  kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi wanaoishi karibu na mgodi huo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgodi wa GGM kutumia Sh9.2 bilioni kwa miradi ya maendeleo

Kampuni ya madini ya dhahabu ya Geita (GGM) imejipanga kutumia Sh9.2 bilioni mwaka wa fedha 2019/20  kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi wanaoishi karibu na mgodi huo.

Congo DRC yawasilisha ombi Sadc mapambano dhidi ya ugaidi

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeiomba Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) kusaidia kuondoa vikundi vya ugaidi kwa kuunda kundi la  kikanda la ulinzi na usalama.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Congo DRC yawasilisha ombi Sadc mapambano dhidi ya ugaidi

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeiomba Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) kusaidia kuondoa vikundi vya ugaidi kwa kuunda kundi la  kikanda la ulinzi na usalama.

President Magufuli touts Kiswahili as he welcomes SADC Heads of State

President John Magufuli welcomes Southern African Development Community (Sadc) delegates to the 39th heads of state summit, which is being held at the Julius Nyerere International Conversional Center (JNICC).
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

President Magufuli touts Kiswahili as he welcomes SADC Heads of State

President John Magufuli welcomes Southern African Development Community (Sadc) delegates to the 39th heads of state summit, which is being held at the Julius Nyerere International Conversional Center (JNICC).

Get more results via ClueGoal