Tanzania
MapoList

Visually impaired students appeal for learning materials

Visually impaired students in Tanzania are facing a critical shortage of learning materials because the country has one specialized printing press for producing the materials.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

DED wa zamani Mbozi mikononi mwa Takukuru

Aliyekuwa  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushotho Kazimbaya Makwega anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Tanga kwa tuhuma za ubadhilifu wa Sh300 milioni zinazotokana na upimaji wa viwanja katika shamba la mnaz
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

DED wa zamani Mbozi mikononi mwa Takukuru

Aliyekuwa  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushotho Kazimbaya Makwega anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Tanga kwa tuhuma za ubadhilifu wa Sh300 milioni zinazotokana na upimaji wa viwanja katika shamba la mnazi wilayani humo.

Bosi Necta azungumzia walivyoshughulikia rufaa za vyeti feki

Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) Dk Charles Msonde  amesema watumishi zaidi ya 1,000 kati ya waliobainika kughushi vyeti wengi wao walikata rufaa kwa vyeti tofauti na vilivyowasilisha na waajiri wao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bosi Necta azungumzia walivyoshughulikia rufaa za vyeti feki

Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) Dk Charles Msonde  amesema watumishi zaidi ya 1,000 kati ya waliobainika kughushi vyeti wengi wao walikata rufaa kwa vyeti tofauti na vilivyowasilisha na waajiri wao.

Warembo Top Model ni nani?

Akina nani ni warembo bora ambaop walivutia kila mtu wakati wa maonyehso ya mavazi ya hivi karibuni? Kunahitajika muhtasari.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Warembo Top Model ni nani?

Akina nani ni warembo bora ambaop walivutia kila mtu wakati wa maonyehso ya mavazi ya hivi karibuni? Kunahitajika muhtasari.

Dk Kigwangalla: Mapato ya utalii Tanzania yameongezeka

Mapato yatokanayo na utalii nchini Tanzania yaliongezeka mwaka 2018 hadi kufikia dola 2.4 bilioni za kimarekani (Sh5.4 trilioni) kutoka dola 2.2 bilioni za kimarekani (Sh5 trilioni) mwaka 2017.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Kigwangalla: Mapato ya utalii Tanzania yameongezeka

Mapato yatokanayo na utalii nchini Tanzania yaliongezeka mwaka 2018 hadi kufikia dola 2.4 bilioni za kimarekani (Sh5.4 trilioni) kutoka dola 2.2 bilioni za kimarekani (Sh5 trilioni) mwaka 2017.

Nchimbi aipeleka Taifa Stars Cameroon

Sudan. BAO la straika matata wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi limetosha kuipeleka timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kucheza Fainali za Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nchimbi aipeleka Taifa Stars Cameroon

Sudan. BAO la straika matata wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi limetosha kuipeleka timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kucheza Fainali za Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN).

Msiba wa aliyepumulia mashine ni vuta nikuvute

Mpaka mchana wa leo Ijumaa Oktoba 18, 2019 bado haijajulikana mwili Hamadi Awadh (28) aliyekuwa akiishi kwa zaidi ya mwaka mmoja unusu akipumua kwa msaada wa mashine ni wapi utazikwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Msiba wa aliyepumulia mashine ni vuta nikuvute

Mpaka mchana wa leo Ijumaa Oktoba 18, 2019 bado haijajulikana mwili Hamadi Awadh (28) aliyekuwa akiishi kwa zaidi ya mwaka mmoja unusu akipumua kwa msaada wa mashine ni wapi utazikwa.

Gunmen overpower security forces, free El Chapo's son- Video

Heavily armed gunmen waged an all-out battle against Mexican security forces Thursday after they moved to arrest a son of jailed drug kingpin Joaquin «El Chapo» Guzman in his home state, Sinaloa.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Gunmen overpower security forces, free El Chapo's son- Video

Heavily armed gunmen waged an all-out battle against Mexican security forces Thursday after they moved to arrest a son of jailed drug kingpin Joaquin «El Chapo» Guzman in his home state, Sinaloa.

Schneider Electric now launches wall-mounted micro data centre

Schneider Electric, a global leader in digital transformation of energy management and automation, has launched a first of its kind wall-mounted micro data centre designed to support large edge servers in smaller environments or those without robust physical
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Schneider Electric now launches wall-mounted micro data centre

Schneider Electric, a global leader in digital transformation of energy management and automation, has launched a first of its kind wall-mounted micro data centre designed to support large edge servers in smaller environments or those without robust physical security measures.

Mvua yasogeza mbele tamasha la Wasafi Dar es Salaam

Tamasha la Wasafi lililokuwa lifanyike kesho Jumamosi Oktoba 19, 2019 kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam limesogezwa mbele.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mvua yasogeza mbele tamasha la Wasafi Dar es Salaam

Tamasha la Wasafi lililokuwa lifanyike kesho Jumamosi Oktoba 19, 2019 kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam limesogezwa mbele.

Upande wa utetezi kesi ya almasi wahoji upelelezi kutokamilika

Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi wa uthaminishaji almasi, Archard Kalugendo na mwenzake umedai wateja wao wapo ndani kwa zaidi ya miaka miwili lakini upelelezi wa shauri hilo haujakamilika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Upande wa utetezi kesi ya almasi wahoji upelelezi kutokamilika

Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi wa uthaminishaji almasi, Archard Kalugendo na mwenzake umedai wateja wao wapo ndani kwa zaidi ya miaka miwili lakini upelelezi wa shauri hilo haujakamilika.

CTI yaipongeza Serikali kuifanya Tanzania ya viwanda

Shirikisho la Wenye Viwanda Taznania (CTI) limesema linaunga mkono juhudi za Serikali za kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda huku likipongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kuboresha miundombinu na upatikanaji wa nishati.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CTI yaipongeza Serikali kuifanya Tanzania ya viwanda

Shirikisho la Wenye Viwanda Taznania (CTI) limesema linaunga mkono juhudi za Serikali za kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda huku likipongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kuboresha miundombinu na upatikanaji wa nishati.

Puzzle over ‘forced’ voter registration of public workers

Fears are rife among public employees as they mull over their possible fate. This comes following reports from some government authorities that public servants who did not register to vote for the November 24 civic elections will be held to account for their
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Puzzle over ‘forced’ voter registration of public workers

Fears are rife among public employees as they mull over their possible fate. This comes following reports from some government authorities that public servants who did not register to vote for the November 24 civic elections will be held to account for their lapse.

Tanzania: SADC business council chair arrested

The retired managing director of Katani Limited, who is also the Chairman of Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Salum Shamte and others were on Thursday October 17, 2019 arrested for allegedly being involved with loss of Sh54 billion, including governm
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzania: SADC business council chair arrested

The retired managing director of Katani Limited, who is also the Chairman of Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Salum Shamte and others were on Thursday October 17, 2019 arrested for allegedly being involved with loss of Sh54 billion, including government fund.

Aliyeishi kwa kupumulia mashine afariki dunia

Dar es Salaam.  Hamad Awadh, aliyeishi kwa kutegemea mashine ya kumsaidia kupumua amefariki dunia jana jioni Oktoba 17, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila alikokuwa amelazwa. Awadh ambaye baada ya Mwananchi kuandika habari kuhusu ugonjwa una
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Aliyeishi kwa kupumulia mashine afariki dunia

Dar es Salaam.  Hamad Awadh, aliyeishi kwa kutegemea mashine ya kumsaidia kupumua amefariki dunia jana jioni Oktoba 17, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila alikokuwa amelazwa. Awadh ambaye baada ya Mwananchi kuandika habari kuhusu ugonjwa unaomsumbua alianza kupata misaada kutoka kwa watu na taasisi mbalimbali amefariki dunia wiki mbili tangu alipolazwa hospitalini hapo Oktoba 4, 2019 kutokana na  maradhi ya kushindwa kupumua na shinikizo la damu.

Shamte wa Katani na wenzake waswekwa ndani tuhuma za Sh54bn

Kikao cha kupokea ripoti ya mkaguzi mwandamizi wa ndani wa Wizara ya Fedha kuhusu mgogoro wa wakulima wadogo wa mkonge na kampuni ya Katani Limited, kimegeuka mwiba kwa viongozi wa ngazi za juu wa kampuni hiyo baada ya kutolewa amri kuwa wakamatwe.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shamte wa Katani na wenzake waswekwa ndani tuhuma za Sh54bn

Kikao cha kupokea ripoti ya mkaguzi mwandamizi wa ndani wa Wizara ya Fedha kuhusu mgogoro wa wakulima wadogo wa mkonge na kampuni ya Katani Limited, kimegeuka mwiba kwa viongozi wa ngazi za juu wa kampuni hiyo baada ya kutolewa amri kuwa wakamatwe.

Takukuru yakamata viongozi 52 wa vyama vya ushirika

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) nchini Tanzania  inawashikilia viongozi 52 wa vyama vya ushirika vya korosho kwa kushindwa kuwalipa wakulima Sh436 milioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Takukuru yakamata viongozi 52 wa vyama vya ushirika

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) nchini Tanzania  inawashikilia viongozi 52 wa vyama vya ushirika vya korosho kwa kushindwa kuwalipa wakulima Sh436 milioni.

Nchi 60 kushiriki maonyesho ya utalii Tanzania

Maonyesho ya Utalii wa ndani, Swahili international tourism Expo (SITE) yanatarajiwa kufanyika kwa siku tatu nchini Tanzania kuanzia Oktoba 18 hadi 20, 2019 jijini Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nchi 60 kushiriki maonyesho ya utalii Tanzania

Maonyesho ya Utalii wa ndani, Swahili international tourism Expo (SITE) yanatarajiwa kufanyika kwa siku tatu nchini Tanzania kuanzia Oktoba 18 hadi 20, 2019 jijini Dar es Salaam.

VIDEO: Shule yazungumzia deni la Sh550,000 la aliyeongoza matokeo darasa la saba

Uongozi wa  Shule ya Graiyaki aliyokuwa akisoma mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza katika mtihani wa kumaliza darasa la saba, Grace Manga umesema haukuona tatizo kumruhusu afanye mtihani licha ya kuwa na deni kubwa la ada.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Shule yazungumzia deni la Sh550,000 la aliyeongoza matokeo darasa la saba

Uongozi wa  Shule ya Graiyaki aliyokuwa akisoma mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza katika mtihani wa kumaliza darasa la saba, Grace Manga umesema haukuona tatizo kumruhusu afanye mtihani licha ya kuwa na deni kubwa la ada.

Wanasheria wa kina Mbowe, Serikali wavutana kortini

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kesho Ijumaa Oktoba 18, 2019  itatoa uamuzi katika kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwamo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe kuhusu utaratibu upi utatumika katika kujitetea kwa was
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanasheria wa kina Mbowe, Serikali wavutana kortini

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kesho Ijumaa Oktoba 18, 2019  itatoa uamuzi katika kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwamo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe kuhusu utaratibu upi utatumika katika kujitetea kwa washtakiwa hao.

VIDEO: Mwenyekiti Bavicha asema atawania urais Tanzania mwaka 2045

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam, Hilda Newton ametaja ndoto yake ya kuwania urais wa Tanzania mwaka 2045.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Mwenyekiti Bavicha asema atawania urais Tanzania mwaka 2045

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam, Hilda Newton ametaja ndoto yake ya kuwania urais wa Tanzania mwaka 2045.

France’s continued interference in African countries’ affairs worrying

Ever since African nations gained their independence from their colonisers some 60 years ago, the colonists still see Africa as part of their interests and some as their assets.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

France’s continued interference in African countries’ affairs worrying

Ever since African nations gained their independence from their colonisers some 60 years ago, the colonists still see Africa as part of their interests and some as their assets.

Foreigners in South Africa appeal to be relocated after attacks

Hundreds of foreign nationals on Wednesday took to the streets of Cape Town, demanding to be relocated from South Africa after camping at the UN refugee agency offices for a week.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Foreigners in South Africa appeal to be relocated after attacks

Hundreds of foreign nationals on Wednesday took to the streets of Cape Town, demanding to be relocated from South Africa after camping at the UN refugee agency offices for a week.

Tanzania’s Taifa Queens fail to compete in African Cup

Tanzania netball national team (Taifa Queens) players have expressed disappointment after failing to travel to Cape Town in South Africa to compete in the African championship that starts on Friday October 18.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzania’s Taifa Queens fail to compete in African Cup

Tanzania netball national team (Taifa Queens) players have expressed disappointment after failing to travel to Cape Town in South Africa to compete in the African championship that starts on Friday October 18.

Cohen murder: Peter Karanja applies to be freed from detention

A second suspect charged with the murder of tycoon Tob Cohen has applied to be released on bond, arguing that there is nothing compelling to deny him his freedom.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Cohen murder: Peter Karanja applies to be freed from detention

A second suspect charged with the murder of tycoon Tob Cohen has applied to be released on bond, arguing that there is nothing compelling to deny him his freedom.

Yanga ikifanya haya wanampiga Mwarabu kweupe

Kocha wa zamani wa Stand United, Athuman Bilali 'Bilo' amesema ili Yanga itoka kifua mbele dhidi ya Pyramid FC wanayocheza nayo Oktoba 27, wachezaji wanatakiwa kujengewa uzalendo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Yanga ikifanya haya wanampiga Mwarabu kweupe

Kocha wa zamani wa Stand United, Athuman Bilali 'Bilo' amesema ili Yanga itoka kifua mbele dhidi ya Pyramid FC wanayocheza nayo Oktoba 27, wachezaji wanatakiwa kujengewa uzalendo.

Kazi imeanza ... majeruhi wafumua benchi Yanga

MABOSI wa Yanga wameshtukia jambo moja ambalo lilianza kama utani, kabla ya kubaini limewapotezea mastaa wao wa maana na sasa kuna akili moja waliyopanga kufanya ili kulifumua benchi lao la ufundi lililopo chini ya Kocha Mwinyi Zahera.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kazi imeanza ... majeruhi wafumua benchi Yanga

MABOSI wa Yanga wameshtukia jambo moja ambalo lilianza kama utani, kabla ya kubaini limewapotezea mastaa wao wa maana na sasa kuna akili moja waliyopanga kufanya ili kulifumua benchi lao la ufundi lililopo chini ya Kocha Mwinyi Zahera.

Lunyamila: Amtabiria Molinga makubwa Yanga

Nyota wa zamani wa Yanga, Edbily Lunyamila amesema mshambuliaji David Molinga akiendelea na kasi ya kuzifumania nyavu katika mechi za ligi anaamini atabadili upepo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lunyamila: Amtabiria Molinga makubwa Yanga

Nyota wa zamani wa Yanga, Edbily Lunyamila amesema mshambuliaji David Molinga akiendelea na kasi ya kuzifumania nyavu katika mechi za ligi anaamini atabadili upepo.

Malkia wa Nguvu wa darasa la saba 2019

Pengine leo asingepamba vichwa vya habari kama uongozi wa shule ungekataa ombi la wazazi wake kutaka binti yao afanye mtihani akiwa bado anadaiwa ada ya shule. Na tena si fedha kidogo, ni zaidi ya 500,000.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Malkia wa Nguvu wa darasa la saba 2019

Pengine leo asingepamba vichwa vya habari kama uongozi wa shule ungekataa ombi la wazazi wake kutaka binti yao afanye mtihani akiwa bado anadaiwa ada ya shule. Na tena si fedha kidogo, ni zaidi ya 500,000.

Wanafunzi 30,675 Tanzania wapata mikopo 2019/20

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania imesema wanafunzi 30,675 kati ya wanafunzi 45, 000 wa mwaka wa kwanza wa masomo 2019/20 walioomba mkopo kwa awamu ya kwanza wamepata.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanafunzi 30,675 Tanzania wapata mikopo 2019/20

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania imesema wanafunzi 30,675 kati ya wanafunzi 45, 000 wa mwaka wa kwanza wa masomo 2019/20 walioomba mkopo kwa awamu ya kwanza wamepata.

Get more results via ClueGoal