Tanzania
MapoList

Mkapa’s autobiography has set the right precedent but how I wished for more.....

Former President Benjamin Mkapa has written his autobiography and has clearly tried to be true to his conscience.

The Mafik still united after a tragic 2019

The Mafik, a Tanzanian boyband, saw a meteoric rise to stardom in the early stages of their music career. With hits such as Passenger, Carola, and collaborations with established artistes such as Ben Pol, theirs was a fairy-tale of hitting the music jackpot w
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

The Mafik still united after a tragic 2019

The Mafik, a Tanzanian boyband, saw a meteoric rise to stardom in the early stages of their music career. With hits such as Passenger, Carola, and collaborations with established artistes such as Ben Pol, theirs was a fairy-tale of hitting the music jackpot with a first slingshot.

Rais John Magufuli aagiza upanuzi wa majengo ya hospitali ya wilaya Chato

Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, kuanza mara moja upanuzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Chato kwa kuwa Serikali imeshatoa Sh1 bilioni kwa ajili ya ujenzi huo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mkuu wa Mkoa Arusha aviomba vyombo vya habari kusaidia kukuza Utali

Mkuu wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo amewataka  Waandishi wa habari kusaidia kukuza sekta ya utalii kwa kuandika habari nzuri  na kuacha mabaya, ili kuvutia watalii.

RC Makonda afichua siri ya kusaidia watoto mara kwa mara

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kila mara amekuwa akijitahidi kutafuta watu wa kutoa msaada wa matibabu kwa watoto wanaousumbuliwa na matatizo ya moyo kwa sababu anajua uchungu wa kuishi bila mtoto.

Isemeeni Serikali mazuri inayofanya, msiwakalie kimya wapotoshaji – Dk Possi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo nchini Tanzania, Dk Ally Possi amewataka maofisa mawasiliano wa Serikali nchini humo, kuelezea mazuri yanayofanywa na serikali yao hususan katika miradi ya kimkakati inayotekelezwa, badala ya kuw
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Isemeeni Serikali mazuri inayofanya, msiwakalie kimya wapotoshaji – Dk Possi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo nchini Tanzania, Dk Ally Possi amewataka maofisa mawasiliano wa Serikali nchini humo, kuelezea mazuri yanayofanywa na serikali yao hususan katika miradi ya kimkakati inayotekelezwa, badala ya kuwaacha watu wanapotosha ukweli.

Wahitimu Mzumbe watakiwa kutotembelea na bahasha kutafuta ajira

Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe nchini Tanzania, Profesa  Lughano Kusiluka amesema hatarajii kuona wahitimu wa chuo wakizunguka na bahasha yenye nakala ya vyeti wakitafuta kazi wakati wamejengewa uwezo  na ujuzi wa kujiajili.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wahitimu Mzumbe watakiwa kutotembelea na bahasha kutafuta ajira

Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe nchini Tanzania, Profesa  Lughano Kusiluka amesema hatarajii kuona wahitimu wa chuo wakizunguka na bahasha yenye nakala ya vyeti wakitafuta kazi wakati wamejengewa uwezo  na ujuzi wa kujiajili.

Mamia wajitokeza msiba Tigana

Wadau na mashabiki mbalimbali wa soka, wamejitokeza  Msasani ambako upo msiba wa nyota wa zamani wa Simba na Yanga, Ally Yussuf   ‘Tigana’.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mamia wajitokeza msiba Tigana

Wadau na mashabiki mbalimbali wa soka, wamejitokeza  Msasani ambako upo msiba wa nyota wa zamani wa Simba na Yanga, Ally Yussuf   ‘Tigana’.

Nairobi governor Mike Sonko arrested for 'economic crimes'

The flashy governor of Nairobi was arrested Friday in Voi shortly after Kenya's DPP ordered he be detained to face charges of economic crimes.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Nairobi governor Mike Sonko arrested for 'economic crimes'

The flashy governor of Nairobi was arrested Friday in Voi shortly after Kenya's DPP ordered he be detained to face charges of economic crimes.

Bandari ya Musoma Tanzania kufufuliwa

Mamlaka ya Bandari Musoma imesema ipo katika mpango wa kuifufua bandari ya Musoma ili kuboresha usafirishaji wa watu na bidhaa kutoka mkoani humo kuelekea maeneo mengine ya pembezoni mwa ziwa Victoria ndani na nje ya nchi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bandari ya Musoma Tanzania kufufuliwa

Mamlaka ya Bandari Musoma imesema ipo katika mpango wa kuifufua bandari ya Musoma ili kuboresha usafirishaji wa watu na bidhaa kutoka mkoani humo kuelekea maeneo mengine ya pembezoni mwa ziwa Victoria ndani na nje ya nchi.

Waliobadili matumizi ya ardhi Dar es Salaam kunyang’anywa maeneo yao

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema ni kosa kisheria kubadilisha matumizi ya ardhi na kwamba, wale waliobadilisha katika Mkoa wa Dar es Salaam watanyang'anywa maeneo hayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waliobadili matumizi ya ardhi Dar es Salaam kunyang’anywa maeneo yao

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema ni kosa kisheria kubadilisha matumizi ya ardhi na kwamba, wale waliobadilisha katika Mkoa wa Dar es Salaam watanyang'anywa maeneo hayo.

Wataka takwimu za shule za msingi kutumika kuandaa miundo mbinu sekondari

Taasisi ya Haki Elimu imesema Serikali inaweza kumaliza tatizo la wanafunzi waliofaulu kukosa nafasi za kujiunga na Sekondari ikiwa itatumia takwimu za walio shule za msingi kuandaa miundo mbinu kama ujenzi wa madarasa, madawati na vyoo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wataka takwimu za shule za msingi kutumika kuandaa miundo mbinu sekondari

Taasisi ya Haki Elimu imesema Serikali inaweza kumaliza tatizo la wanafunzi waliofaulu kukosa nafasi za kujiunga na Sekondari ikiwa itatumia takwimu za walio shule za msingi kuandaa miundo mbinu kama ujenzi wa madarasa, madawati na vyoo.

Bulaya ajitetea kortini, agusia ushauri wa wapinzani bungeni

Mshtakiwa wa tisa katika kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema nchini Tanzania, Ester Bulaya ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa hajawahi kupewa taarifa na Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini kama anatafutwa na jeshi la Po
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bulaya ajitetea kortini, agusia ushauri wa wapinzani bungeni

Mshtakiwa wa tisa katika kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema nchini Tanzania, Ester Bulaya ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa hajawahi kupewa taarifa na Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini kama anatafutwa na jeshi la Polisi

Maporomoko ya ardhi yaua 30 Burundi

Zaidi ya watu 30 wamefariki dunia kufuatia maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kubwa ilionyesha usiku wa Jumatano kuamkia Alhamisi katika mkoa wa Cibitoke ulioko kaskazani magharibi mwa Burundi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maporomoko ya ardhi yaua 30 Burundi

Zaidi ya watu 30 wamefariki dunia kufuatia maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kubwa ilionyesha usiku wa Jumatano kuamkia Alhamisi katika mkoa wa Cibitoke ulioko kaskazani magharibi mwa Burundi.

Marais wengine wa Marekani akiwamo Clinton waliwahi kushitakiwa

Licha ya Rais wa 45 wa Marekani Donald Trump kukabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kiasi cha kuandaliwa mashitaka ya kumng’oa madarakani, nchi hiyo haijawa na historia ya rais kuondolewa madarakani na Bunge la Seneti.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Marais wengine wa Marekani akiwamo Clinton waliwahi kushitakiwa

Licha ya Rais wa 45 wa Marekani Donald Trump kukabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kiasi cha kuandaliwa mashitaka ya kumng’oa madarakani, nchi hiyo haijawa na historia ya rais kuondolewa madarakani na Bunge la Seneti.

MABADILIKO: Mbatia amtega Sumaye

Siku moja baada ya Frederick Sumaye kutangaza kung’oka Chadema na kusema atakuwa tayari kushirikiana na chama chochote, mwenyekitin wa NCCR-Mageruzi amemtaka waziri huyo mkuu mstaafu kusimamia maneno yake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MABADILIKO: Mbatia amtega Sumaye

Siku moja baada ya Frederick Sumaye kutangaza kung’oka Chadema na kusema atakuwa tayari kushirikiana na chama chochote, mwenyekitin wa NCCR-Mageruzi amemtaka waziri huyo mkuu mstaafu kusimamia maneno yake.

Treni Dar es Salaam - Moshi yaanza safari leo na mabehewa manane

Treni  ya abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Moshi kwa mara ya mwisho ilifanya safari kati ya Dar es Salaam na Moshi  mwaka 1994.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Treni Dar es Salaam - Moshi yaanza safari leo na mabehewa manane

Treni  ya abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Moshi kwa mara ya mwisho ilifanya safari kati ya Dar es Salaam na Moshi  mwaka 1994.

Tanzania inks pact on India trade volumes

Dar es Salaam. The Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) and the Confederation of Indian Industry (CII) yesterday signed a Memorandum of Understanding (MoU) in Dar es Salaam which is geared at boosting trade volumes between the two countries.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzania inks pact on India trade volumes

Dar es Salaam. The Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) and the Confederation of Indian Industry (CII) yesterday signed a Memorandum of Understanding (MoU) in Dar es Salaam which is geared at boosting trade volumes between the two countries.

Fashion for a good cause at 2019 Red Ribbon affair

A day before the global commemoration of World Aids Day which was on December 1, a fashion show unraveled in Dar es Salaam that tipped the scale in favour of the continued fight against the HIV/AIDS epidemic.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Fashion for a good cause at 2019 Red Ribbon affair

A day before the global commemoration of World Aids Day which was on December 1, a fashion show unraveled in Dar es Salaam that tipped the scale in favour of the continued fight against the HIV/AIDS epidemic.

TBL: e-tax stamp system good for tracing products

The Tanzania Breweries Limited (TBL) has commended the Electronic Tax Stamp (ETS), advising the taxman to consider further upgrades in mobile applications to assist with accurate traceability of products from market.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

TBL: e-tax stamp system good for tracing products

The Tanzania Breweries Limited (TBL) has commended the Electronic Tax Stamp (ETS), advising the taxman to consider further upgrades in mobile applications to assist with accurate traceability of products from market.

Soko la Kariakoo, bandari ya Dar zanyooshewa kidole

Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imeitaka Serikali kuunda kamati ndogo kwa ajili ya kuangalia mwenendo wa biashara katika soko la Kariakoo, Dar es Salaam ili kulinusuru kuporomoka kibiashara.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Soko la Kariakoo, bandari ya Dar zanyooshewa kidole

Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imeitaka Serikali kuunda kamati ndogo kwa ajili ya kuangalia mwenendo wa biashara katika soko la Kariakoo, Dar es Salaam ili kulinusuru kuporomoka kibiashara.

Wafanyabiashara, CTI watoa malalamiko mbele ya mawaziri tisa

Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam nchini Tanzania wameiomba Serikali kutenga eneo lingine la biashara kutokana na kituo hicho cha biashara kujaa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wafanyabiashara, CTI watoa malalamiko mbele ya mawaziri tisa

Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam nchini Tanzania wameiomba Serikali kutenga eneo lingine la biashara kutokana na kituo hicho cha biashara kujaa.

Simba wanavyoua, kujeruhi ng’ombe Serengeti

Siku moja baada ya simba kuuawa na askari wa wanyamapori baada ya kujeruhi mtu mmoja kijiji cha Robanda, wilayani Serengeti Mkoa wa Mara nchini Tanzania, ng'ombe watano wameuawa na simba na kujeruhi mmoja katika vijiji vitatu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Simba wanavyoua, kujeruhi ng’ombe Serengeti

Siku moja baada ya simba kuuawa na askari wa wanyamapori baada ya kujeruhi mtu mmoja kijiji cha Robanda, wilayani Serengeti Mkoa wa Mara nchini Tanzania, ng'ombe watano wameuawa na simba na kujeruhi mmoja katika vijiji vitatu.

Kafulila awaonya walimu, waratibu elimu Songwe

Katibu Tawala mkoani Songwe nchini Tanzania, David Kafulila amesema wasimamizi wa elimu na walimu mkoani humo wameshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo hali inayoufanya mkoa huo kushuka kitaaluma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kafulila awaonya walimu, waratibu elimu Songwe

Katibu Tawala mkoani Songwe nchini Tanzania, David Kafulila amesema wasimamizi wa elimu na walimu mkoani humo wameshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo hali inayoufanya mkoa huo kushuka kitaaluma.

Hukumu bosi wa Jamii Forum Januari 2020

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam nchini Tanzania  imepanga kutoa hukumu katika kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forum, Maxence Melo na mwenzake Micke William Januari 22, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hukumu bosi wa Jamii Forum Januari 2020

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam nchini Tanzania  imepanga kutoa hukumu katika kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forum, Maxence Melo na mwenzake Micke William Januari 22, 2020.

TUHUMA ZA AUSSEMS: Wabrazili wageuka kaa la moto Simba

Tuhuma zilizotolewa na aliyekuwa kocha wa Simba, Patrick Aussems kwamba uongozi wa klabu hiyo ulikuwa unaingilia majukumu yake ikiwamo kusajili wachezaji bila ya idhini yake, zimeonekana kuwa kaa la moto kwa mabingwa watetezi hao, huku kwenye mitandao ya kija
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TUHUMA ZA AUSSEMS: Wabrazili wageuka kaa la moto Simba

Tuhuma zilizotolewa na aliyekuwa kocha wa Simba, Patrick Aussems kwamba uongozi wa klabu hiyo ulikuwa unaingilia majukumu yake ikiwamo kusajili wachezaji bila ya idhini yake, zimeonekana kuwa kaa la moto kwa mabingwa watetezi hao, huku kwenye mitandao ya kijamii swali la ‘ni nani aliyewanunua Wabrazili?’ likishika kasi.

Kaseja aachwa Kilimanjaro Stars

Kipa Juma Kaseja amejumuika katika orodha ya wachezaji tisa walioachwa katika safari ya kwenda Uganda kwenye mashindano ya Afrika Mashariki na Kati ya kuwania Kombe la Chalenji kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo kuwa majeruhi na kuugua.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kaseja aachwa Kilimanjaro Stars

Kipa Juma Kaseja amejumuika katika orodha ya wachezaji tisa walioachwa katika safari ya kwenda Uganda kwenye mashindano ya Afrika Mashariki na Kati ya kuwania Kombe la Chalenji kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo kuwa majeruhi na kuugua.

Treni ya Dar es Salaam - Moshi kutumia saa 16, TRC yasema ni mwanzo

Wakati abiria wanaosafiri kutoka Dar es Salaam hadi Moshi mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania wakitutumia saa kumi hadi 11 njiani kufika kwa usafiri wa basi, usafiri wa treni itawalazimu kutumia saa 16.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Treni ya Dar es Salaam - Moshi kutumia saa 16, TRC yasema ni mwanzo

Wakati abiria wanaosafiri kutoka Dar es Salaam hadi Moshi mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania wakitutumia saa kumi hadi 11 njiani kufika kwa usafiri wa basi, usafiri wa treni itawalazimu kutumia saa 16.

Maalim Seif asema Dk Bashiru hawezi kubadili siasa za Zanzibar

Mshauri mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally hawezi kuibadili siasa ya Zanzibar.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maalim Seif asema Dk Bashiru hawezi kubadili siasa za Zanzibar

Mshauri mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally hawezi kuibadili siasa ya Zanzibar.

Nyasa woos investors for dormant trade potentials

From tourism to trading in freshwater fish for display, Lake Nyasa in the south-west of Tanzania offers a number of unexplored income-generating potentials.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Nyasa woos investors for dormant trade potentials

From tourism to trading in freshwater fish for display, Lake Nyasa in the south-west of Tanzania offers a number of unexplored income-generating potentials.

Get more results via ClueGoal