Tanzania
MapoList

Ex- spy chief Kipilimba sworn in as Tanzania’s ambassador to Namibia

Several months after he was removed from the position of Director General of Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Modestus Kipilimba was finally sworn in as Tanzania’s ambassador to Namibia at State House, Dar es Salaam today.

China yafungua ‘mwaka wa Panya’

Je unajua panya ana thamani gani katika maisha ya Wachina kwa mwaka 2020? Usiku wa kuamkia jana, mamia ya raia wa China waishio hapa nchini walifurika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIC), ikiwa ni shamrashamra za kufungua mwaka w
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

China yafungua ‘mwaka wa Panya’

Je unajua panya ana thamani gani katika maisha ya Wachina kwa mwaka 2020? Usiku wa kuamkia jana, mamia ya raia wa China waishio hapa nchini walifurika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIC), ikiwa ni shamrashamra za kufungua mwaka wao mpya.

Wamiliki wa mabasi wamjia juu DC Sabaya kutoa tuhuma za jumla

Moshi. Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimemtaka mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya kutotoa tuhuma za jumla kwa wamiliki wa mabasi kuhujumu miundombinu ya reli.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wamiliki wa mabasi wamjia juu DC Sabaya kutoa tuhuma za jumla

Moshi. Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimemtaka mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya kutotoa tuhuma za jumla kwa wamiliki wa mabasi kuhujumu miundombinu ya reli.

Bunge la Tanzania lasifia uamuzi Serikali kujenga hospitali rufaa Chato

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii nchini Tanzania, Peter Serukamba amesifia uamuzi wa Serikali kujenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda wilayani Chato Mkoa wa Geita kuwa  utapunguza idadi ya wagonjwa wanaokwenda Hospitali ya Rufaa ya Bugando mkoan
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bunge la Tanzania lasifia uamuzi Serikali kujenga hospitali rufaa Chato

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii nchini Tanzania, Peter Serukamba amesifia uamuzi wa Serikali kujenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda wilayani Chato Mkoa wa Geita kuwa  utapunguza idadi ya wagonjwa wanaokwenda Hospitali ya Rufaa ya Bugando mkoani Mwanza.

Adaiwa kujinyonga kwa hasira baada ya mkewe kuuza kondoo na kumnyima fedha

Paulo Hassan, mkazi wa kijiji cha Gamash, kata ya Bulela wilayani Geita, anayekadiriwa kuwa na zaidi ya miaka 40 anadaiwa kujinyonga na shuka kwa kile kinachodaiwa kuwa ni hasira baada ya mkewe kuuza kondoo na kutumia fedha bila kumshirikisha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Adaiwa kujinyonga kwa hasira baada ya mkewe kuuza kondoo na kumnyima fedha

Paulo Hassan, mkazi wa kijiji cha Gamash, kata ya Bulela wilayani Geita, anayekadiriwa kuwa na zaidi ya miaka 40 anadaiwa kujinyonga na shuka kwa kile kinachodaiwa kuwa ni hasira baada ya mkewe kuuza kondoo na kutumia fedha bila kumshirikisha.

Upelelezi wa ndani, kesi ya kigogo wa Takukuru wakamilika, Hakimu atoa agizo

Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, aliyekuwa Mkurugenzi  wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Tanzania, Kulthum Mansoor umesema unasubiri taarifa na vielelezo kutoka nje ya
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Upelelezi wa ndani, kesi ya kigogo wa Takukuru wakamilika, Hakimu atoa agizo

Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, aliyekuwa Mkurugenzi  wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Tanzania, Kulthum Mansoor umesema unasubiri taarifa na vielelezo kutoka nje ya Tanzania.

Bunge seeks answers to NMB Bank’s CEO puzzle

Dodoma. The Union Parliament wants the NMB Bank’s board of directors to expedite the hiring of a new chief executive officer (CEO) and managing director of the bank. This comes about one year after the tenure of the immediate past CEO and managing director
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Bunge seeks answers to NMB Bank’s CEO puzzle

Dodoma. The Union Parliament wants the NMB Bank’s board of directors to expedite the hiring of a new chief executive officer (CEO) and managing director of the bank. This comes about one year after the tenure of the immediate past CEO and managing director, Ms Ineke Bussemaker from The Netherlands expired.

Glimmer of hope for Sim card holders

Dar es Salaam/Kigoma. “We will switch off all unlisted Sim cards; but we will see how to accommodate those who are waiting for their identity card numbers to register biometrically.” That was the anxiously-awaited clarification issued by the deputy minist
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Glimmer of hope for Sim card holders

Dar es Salaam/Kigoma. “We will switch off all unlisted Sim cards; but we will see how to accommodate those who are waiting for their identity card numbers to register biometrically.” That was the anxiously-awaited clarification issued by the deputy minister for Works, Transport and Communication, Atashasta Nditiye -- thus giving a glimmer of hope that the government may favourably reconsidermobile telephony subscribers who are yet to receive their national identity card or numbers thereof.

Talks with Barrick Gold still on, Tanzania government says

Dar es Salaam. The government says it was still negotiating with Barrick Gold Corporation despite missing the December 31, 2019 deadline for the negotiations.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Talks with Barrick Gold still on, Tanzania government says

Dar es Salaam. The government says it was still negotiating with Barrick Gold Corporation despite missing the December 31, 2019 deadline for the negotiations.

Mamia wajitokeza Nida Dar, walalamikia mitandao ya simu kukwamisha usajili wa laini

Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufungwa kwa laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole, mamia ya wananchi wamejitokeza katika ofisi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) wilaya ya Ilala Dar es Sa
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mamia wajitokeza Nida Dar, walalamikia mitandao ya simu kukwamisha usajili wa laini

Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufungwa kwa laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole, mamia ya wananchi wamejitokeza katika ofisi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) wilaya ya Ilala Dar es Salaam huku wakilalamikia kasi ndogo ya utoaji huduma.

Wadhamini wamwandikia barua Mbowe kumtaka Lissu arejee Tanzania

Wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania kuwa juhudi walizofanya kuhakikisha mshtakiwa anafika mahakamani ni pamoja na kumwandikia barua Mwenyekiti wa Ch
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wadhamini wamwandikia barua Mbowe kumtaka Lissu arejee Tanzania

Wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania kuwa juhudi walizofanya kuhakikisha mshtakiwa anafika mahakamani ni pamoja na kumwandikia barua Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

ACT Wazalendo kuishtaki Serikali ya Tanzania ikizifunga laini za simu

Chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT Wazalendo kitafungua kesi mahakamani kupinga uamuzi wa Serikali wa kuzifunga laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama ya vidole.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT Wazalendo kuishtaki Serikali ya Tanzania ikizifunga laini za simu

Chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT Wazalendo kitafungua kesi mahakamani kupinga uamuzi wa Serikali wa kuzifunga laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama ya vidole.

Waziri Bashungwa amteua bosi wa Brela

Waziri wa Viwanda na Biashaara nchini Tanzania, Innocent Bashungwa amemteua Godfrey Nyaisa kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri Bashungwa amteua bosi wa Brela

Waziri wa Viwanda na Biashaara nchini Tanzania, Innocent Bashungwa amemteua Godfrey Nyaisa kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela).

Mataifa makubwa yajitosa kusaka amani Libya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema mataifa yenye uwezo mkubwa duniani yamejitolea kuhakikisha suluhu ya amani inapatikana nchini Libya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mataifa makubwa yajitosa kusaka amani Libya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema mataifa yenye uwezo mkubwa duniani yamejitolea kuhakikisha suluhu ya amani inapatikana nchini Libya.

Mlimbila: Mfanya usafi aliyefukuzwa kazi na kugeukia kilimo kinachompa mamilioni

Mkazi wa Njombe, Steven Mlimbila maarufu kwa jina la ‘Nemes’ alipofukuzwa kazi hakudhani kama angeweza kusimama tena.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mlimbila: Mfanya usafi aliyefukuzwa kazi na kugeukia kilimo kinachompa mamilioni

Mkazi wa Njombe, Steven Mlimbila maarufu kwa jina la ‘Nemes’ alipofukuzwa kazi hakudhani kama angeweza kusimama tena.

Kaimu katibu Bakwata Dodoma afariki dunia, Shekh amlilia

Kaimu katibu mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Dodoma, Twaha Mwaya amefariki dunia jana Jumapili Januari 19, 2020 katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo alikokuwa akitibiwa baada ya hali yake kudhoofu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kaimu katibu Bakwata Dodoma afariki dunia, Shekh amlilia

Kaimu katibu mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Dodoma, Twaha Mwaya amefariki dunia jana Jumapili Januari 19, 2020 katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo alikokuwa akitibiwa baada ya hali yake kudhoofu.

NO AGENDA: Hivi Kanumba, Ngwair, King Majuto ndio wamekufa kiukweli?

STEVEN Kanumba ‘The Great’ amekufa. Ndiyo amekufa jumla. Sasa hivi wanasimuliana “Kanumba alikuwa fundi Bongo Movie”, tunasimuliana tu!
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NO AGENDA: Hivi Kanumba, Ngwair, King Majuto ndio wamekufa kiukweli?

STEVEN Kanumba ‘The Great’ amekufa. Ndiyo amekufa jumla. Sasa hivi wanasimuliana “Kanumba alikuwa fundi Bongo Movie”, tunasimuliana tu!

VIDEO: Simba SC ilivyomtuliza Minziro

Kocha wa Alliance Fred Felix ‘Minziro’ amesema kukosa umakini kwa wachezaji katika mchezo dhidi ya Simba, kumechangia timu hiyo kufungwa mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Simba SC ilivyomtuliza Minziro

Kocha wa Alliance Fred Felix ‘Minziro’ amesema kukosa umakini kwa wachezaji katika mchezo dhidi ya Simba, kumechangia timu hiyo kufungwa mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

UKWELI NDIVYO ULIVYO : Huyu aliyemshauri Kichuya kurejea,amewakera wengi

DUNIA inaenda kwa kasi sana. Katika zama hizi, kila kitu kimebadilika. Kuanzia maisha ya kawaida mpaka yale ya soka. Soka la kisasa limelainishwa na kurahisishwa mno tofauti na lile la kina Pele. Leo makipa wanalindwa dhidi ya hila za washambuliaji watukutu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UKWELI NDIVYO ULIVYO : Huyu aliyemshauri Kichuya kurejea,amewakera wengi

DUNIA inaenda kwa kasi sana. Katika zama hizi, kila kitu kimebadilika. Kuanzia maisha ya kawaida mpaka yale ya soka. Soka la kisasa limelainishwa na kurahisishwa mno tofauti na lile la kina Pele. Leo makipa wanalindwa dhidi ya hila za washambuliaji watukutu. Washambuliaji wanalindwa dhidi ya mabeki wenye roho mbaya.

Azam iliwapoteza Yanga hapa tu

SIO mwanzo mzuri katika kikosi cha Yanga baada ya kocha mpya, Mbelgiji Luc Eymeal kupoteza mechi mbili za mwanzo za Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar na jana Jumamosi dhidi ya Azam Fc. Pia, atakuwa na kibarua kingine Jumatano mbele ya Singida United ugenini
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Azam iliwapoteza Yanga hapa tu

SIO mwanzo mzuri katika kikosi cha Yanga baada ya kocha mpya, Mbelgiji Luc Eymeal kupoteza mechi mbili za mwanzo za Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar na jana Jumamosi dhidi ya Azam Fc. Pia, atakuwa na kibarua kingine Jumatano mbele ya Singida United ugenini.

Samatta do or die Aston Villa

MUDA wowote Aston Villa watamtangaza nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta a.k.a Poppa. Ni usajili ambao umeteka hisia za mamilioni ya Watanzania waliopo maeneo mbalimbali duniani pamoja na wale wa nchi jirani za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Samatta do or die Aston Villa

MUDA wowote Aston Villa watamtangaza nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta a.k.a Poppa. Ni usajili ambao umeteka hisia za mamilioni ya Watanzania waliopo maeneo mbalimbali duniani pamoja na wale wa nchi jirani za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Makonda adai wasio na vitambulisho vya Taifa Dar wanaendekeza umbea

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wananchi wa Mkoa huo ambao hadi leo Jumapili Januari 19, 2019 hawana vitambulisho vya Taifa wala namba waliendekeza zaidi umbea kuliko kufuatilia mambo ya msingi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Makonda adai wasio na vitambulisho vya Taifa Dar wanaendekeza umbea

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wananchi wa Mkoa huo ambao hadi leo Jumapili Januari 19, 2019 hawana vitambulisho vya Taifa wala namba waliendekeza zaidi umbea kuliko kufuatilia mambo ya msingi.

Ruto allies acuse ODM of hijacking BBI meetings

Leaders allied to Deputy President William Ruto have slammed the Building Bridges Initiative (BBI) consultative forums, saying it they have been hijacked by opposition leader Raila Odinga’s Orange Democratic Movement (ODM) as it positions itself for the 202
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Ruto allies acuse ODM of hijacking BBI meetings

Leaders allied to Deputy President William Ruto have slammed the Building Bridges Initiative (BBI) consultative forums, saying it they have been hijacked by opposition leader Raila Odinga’s Orange Democratic Movement (ODM) as it positions itself for the 2022 succession politics.

Liverpool have not eclipsed Man Utd's greatest teams, says Solskjaer

Manchester United manager Ole Gunnar Solskjaer will not call Liverpool the greatest team in Premier League history until they have the trophies to prove it.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Liverpool have not eclipsed Man Utd's greatest teams, says Solskjaer

Manchester United manager Ole Gunnar Solskjaer will not call Liverpool the greatest team in Premier League history until they have the trophies to prove it.

TLS yapata hofu mabadiliko ya sheria kutikisa utendaji wake wa kazi

Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba imewaalika wadau wa sheria kuchangia marekebisho katika Sheria ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) yanayoleta hofu ya kuathiri uhuru katika utendaji kazi wa chama hicho.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TLS yapata hofu mabadiliko ya sheria kutikisa utendaji wake wa kazi

Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba imewaalika wadau wa sheria kuchangia marekebisho katika Sheria ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) yanayoleta hofu ya kuathiri uhuru katika utendaji kazi wa chama hicho.

Taarifa Magufuli kukutana na viongozi wa CCM Ikulu yawa mjadala mitandaoni

Taarifa za Rais John Magufuli kuwaita viongozi wa CCM wa mikoa na wilaya kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam, zimezua mjadala kwenye baadhi ya mitandao ya jamii, huku baadhi ya viongozi wa CCM waliotafutwa kwa simu wakithibitisha kualikwa kuhudhuria mku
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Taarifa Magufuli kukutana na viongozi wa CCM Ikulu yawa mjadala mitandaoni

Taarifa za Rais John Magufuli kuwaita viongozi wa CCM wa mikoa na wilaya kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam, zimezua mjadala kwenye baadhi ya mitandao ya jamii, huku baadhi ya viongozi wa CCM waliotafutwa kwa simu wakithibitisha kualikwa kuhudhuria mkutano huo.

Ni agizo la Mungu kutii mamlaka ya nchi

Shaloom wana wa Mungu, jina langu naitwa Mchungaji John Kyashama kutoka Kanisa la River Healing Ministry of Tanzania, lililopo Kiluvya kwa komba –Bumbulu Jijini Dar es Salaam. Mimi pia ni mwanasheria.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ni agizo la Mungu kutii mamlaka ya nchi

Shaloom wana wa Mungu, jina langu naitwa Mchungaji John Kyashama kutoka Kanisa la River Healing Ministry of Tanzania, lililopo Kiluvya kwa komba –Bumbulu Jijini Dar es Salaam. Mimi pia ni mwanasheria.

Isabel dos Santos, mwanamke tajiri anayeandamwa kwa siasa, ufisadi

Inategemea unaiangalia habari hii ukitokea upande upi. Ukiwa upande wa serikali ya Angola, Isabel dos Santos utamwona ni mtuhumiwa wa ufisadi anayeogelea katika utajiri aliojikusanyia kutokana na fedha za umma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Isabel dos Santos, mwanamke tajiri anayeandamwa kwa siasa, ufisadi

Inategemea unaiangalia habari hii ukitokea upande upi. Ukiwa upande wa serikali ya Angola, Isabel dos Santos utamwona ni mtuhumiwa wa ufisadi anayeogelea katika utajiri aliojikusanyia kutokana na fedha za umma.

Wakazi Dar watakiwa kujitokea viwanja vya Zakhem Mbagala kusajili laini za simu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amewataka wakazi wa Mkoa huo kujitokeza katika viwanja vya Zakhem vilivyopo eneo la Mbagala kwa ajili ya kusajili laini zao za simu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wakazi Dar watakiwa kujitokea viwanja vya Zakhem Mbagala kusajili laini za simu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amewataka wakazi wa Mkoa huo kujitokeza katika viwanja vya Zakhem vilivyopo eneo la Mbagala kwa ajili ya kusajili laini zao za simu.

Dk Bashiru aeleza mkakati kumng’oa Zitto Kabwe Kigoma Mjini

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini linaloongozwa na Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Bashiru aeleza mkakati kumng’oa Zitto Kabwe Kigoma Mjini

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini linaloongozwa na Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo).

Kirusi cha ajabu hatarini kusambaa duniani

Mamlaka za Afya duniani zimeonyesha wasiwasi kwamba kirusi kilichozuka hivi karibuni katikati ya China kinaweza kusambaa wakati mamilioni ya Wachina watakaposafiri kwa ajili ya sherehe za mwaka mpya wa Kichina.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kirusi cha ajabu hatarini kusambaa duniani

Mamlaka za Afya duniani zimeonyesha wasiwasi kwamba kirusi kilichozuka hivi karibuni katikati ya China kinaweza kusambaa wakati mamilioni ya Wachina watakaposafiri kwa ajili ya sherehe za mwaka mpya wa Kichina.

Get more results via ClueGoal