Tanzania
MapoList

Adaiwa kujinyonga kwa hasira baada ya mkewe kuuza kondoo na kumnyima fedha

Paulo Hassan, mkazi wa kijiji cha Gamash, kata ya Bulela wilayani Geita, anayekadiriwa kuwa na zaidi ya miaka 40 anadaiwa kujinyonga na shuka kwa kile kinachodaiwa kuwa ni hasira baada ya mkewe kuuza kondoo na kutumia fedha bila kumshirikisha.

Moto wateketeza mabanda soko la Tegeta

Leo Jumanne Februari 18, 2020 moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vibanda saba katika soko la Tegeta Nyuki Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Benki ya Exim yazindua kampeni ya Chanja Kijanja kwa wateja wake wanaomiliki kadi za MasterCard

Uzinduzi wa kampeni hiyo mpya iliyopewa jina la 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard' unalenga kutoa fursa ya kipekee kwa wateja wa benki hiyo kufurahia huduma zinazokwenda sambamba na mfumo wa maisha yao kupitia benki hiyo.

Wachina watoa msaada kwa wananchi waliokumbwa na mafuriko Lindi

Kituo cha Kutoa huduma kwa Wachina wanaoishi Tanzania kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wananchi waliokumbwa na mafuriko mkoani Lindi vyenye thamani ya Sh30 milioni.

Kalemani akagua mradi wa umeme utakaowanufaisha wananchi 10,000

Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani amekagua mradi wa ujenzi wa kusafirisha umeme wa Kenya-Tanzania Power Interconnection Project (KTPIP) ambao utawanufaisha watu 10,000 katika vijiji 19 vilivyopo katika ya Singida na Namanga.

Kauli ya Lema kuhusu Gambo yamuibua RPC Shana

Kauli ya mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema kupinga kitendo cha mkuu wa Mkoa wa Arusha,  Mrisho Gambo kutaka wanaosambaza picha zinazoonyesha barabara za kwenye hifadhi zilivyoharibika kukamatwa, kimewaibua polisi waliomtaka akae mbali na suala
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kauli ya Lema kuhusu Gambo yamuibua RPC Shana

Kauli ya mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema kupinga kitendo cha mkuu wa Mkoa wa Arusha,  Mrisho Gambo kutaka wanaosambaza picha zinazoonyesha barabara za kwenye hifadhi zilivyoharibika kukamatwa, kimewaibua polisi waliomtaka akae mbali na suala hilo.

Hatima ya Kabendera kujulikana Februari 24

Kesi ya uhujumu  uchumi inayomkabili mwandishi wa habari wa Tanzania, Erick Kabendera imekwama kuendelea katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya hakimu anayeisikiliza, Janeth Mtega kupata udhuru.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hatima ya Kabendera kujulikana Februari 24

Kesi ya uhujumu  uchumi inayomkabili mwandishi wa habari wa Tanzania, Erick Kabendera imekwama kuendelea katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya hakimu anayeisikiliza, Janeth Mtega kupata udhuru.

Wanufaika Tasaf mwiko kulazimishwa kuchangia miradi ya maendeleo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), George Mkuchika amepiga marufuku wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo wa Jamii nchini Tanzania (Tasaf)  kukatwa fedha wanazopewa kuchangia miradi ya maendeleo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanufaika Tasaf mwiko kulazimishwa kuchangia miradi ya maendeleo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), George Mkuchika amepiga marufuku wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo wa Jamii nchini Tanzania (Tasaf)  kukatwa fedha wanazopewa kuchangia miradi ya maendeleo.

Lukuvi akabidhi ekari 715 manispaa ya Kigamboni

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, William Lukuvi amekabidhi ekari 715 za ardhi kwa manispaa ya Kigamboni kama alivyoagizwa na Rais John Magufuli wiki iliyopita.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lukuvi akabidhi ekari 715 manispaa ya Kigamboni

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, William Lukuvi amekabidhi ekari 715 za ardhi kwa manispaa ya Kigamboni kama alivyoagizwa na Rais John Magufuli wiki iliyopita.

Majambazi yapora karatasi za chooni kwa silaha

Wanyang'anyi wenye silaha waliopora maelfu ya karatasi za chooni wanasakwa na polisi wa Hong Kong, jiji lililokumbwa na uhaba wa bidhaa kutoka na na ugonjwa wa homa ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majambazi yapora karatasi za chooni kwa silaha

Wanyang'anyi wenye silaha waliopora maelfu ya karatasi za chooni wanasakwa na polisi wa Hong Kong, jiji lililokumbwa na uhaba wa bidhaa kutoka na na ugonjwa wa homa ya virusi vya corona.

To get off sanctions list, Sudan cuts rights deals with global players

Sudan’s transitional authorities are cutting deals on human-rights with international players as part of a comprehensive plan to avoid economic isolation.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Darfuris rejoice as Sudan agrees to hand Bashir to ICC

In the sprawling Camp Kalma, refugees displaced by the Darfur conflict are overjoyed at the decision by Sudan's new authorities to finally deliver president Omar al-Bashir to the International Criminal Court. Bashir, who was deposed in April 2019 following ma
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Darfuris rejoice as Sudan agrees to hand Bashir to ICC

In the sprawling Camp Kalma, refugees displaced by the Darfur conflict are overjoyed at the decision by Sudan's new authorities to finally deliver president Omar al-Bashir to the International Criminal Court. Bashir, who was deposed in April 2019 following mass protests, has for the past decade flouted International Criminal Court arrest warrants on charges of genocide and war crimes in the ravaged Darfur region of western Sudan. On Tuesday, Sudan's transitional authorities agreed to transfer him to stand trial before the court based in The Hague.

Kenya will be in breach of EAC, AfCFTA rules in proposed trade deal with America

Kenya’s proposed free trade deal with the US has put it in the crosshairs as critics say the planned bilateral agreement would be a breach of regional and continental trade protocols.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Kenya will be in breach of EAC, AfCFTA rules in proposed trade deal with America

Kenya’s proposed free trade deal with the US has put it in the crosshairs as critics say the planned bilateral agreement would be a breach of regional and continental trade protocols.

Man City yawatega Sterling, Aguero

Manchester City ina matumaini Pep Guardiola na wachezaji nyota watabaki ndani ya klabu hiyo licha ya kufungiwa miaka miwili kushiriki mashindano ya Ulaya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Man City yawatega Sterling, Aguero

Manchester City ina matumaini Pep Guardiola na wachezaji nyota watabaki ndani ya klabu hiyo licha ya kufungiwa miaka miwili kushiriki mashindano ya Ulaya.

Muhuza: Mimi ni Simba damu

MTANGAZAJI maarufu na fundi wa kutangaza mpira wa miguu nchini kutokea katika kituo cha Azam Tv, Baruani Muhuza ameweka wazi kitu ambacho mashabiki walikuwa hawajui. Amefunguka kwamba yeye ni Simba damu lakini hakuwahi kuwabeba popote pale.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Muhuza: Mimi ni Simba damu

MTANGAZAJI maarufu na fundi wa kutangaza mpira wa miguu nchini kutokea katika kituo cha Azam Tv, Baruani Muhuza ameweka wazi kitu ambacho mashabiki walikuwa hawajui. Amefunguka kwamba yeye ni Simba damu lakini hakuwahi kuwabeba popote pale.

Wananchi wasimamisha msafara wa Waziri Kalemani, wadai umeme

Kalemani ambaye alikuwa njiani kuelekea eneo la Lemuguru wilayani Arumeru panapojengwa kituo cha kupoza umeme cha mradi mkubwa wa usafirishaji umeme wa Singida kwenda Namanga.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wananchi wasimamisha msafara wa Waziri Kalemani, wadai umeme

Kalemani ambaye alikuwa njiani kuelekea eneo la Lemuguru wilayani Arumeru panapojengwa kituo cha kupoza umeme cha mradi mkubwa wa usafirishaji umeme wa Singida kwenda Namanga.

Majaliwa asema wanafunzi 497 waliopo China watumiwe fedha wakikwama

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wanafunzi 497 waliopo China kulikoibuka mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona wakiishiwa fedha watumiwe kwa njia ya mtandao ili waweze kujikimu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majaliwa asema wanafunzi 497 waliopo China watumiwe fedha wakikwama

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wanafunzi 497 waliopo China kulikoibuka mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona wakiishiwa fedha watumiwe kwa njia ya mtandao ili waweze kujikimu.

Maji Nyumba ya Mungu yaashiria hatari

Hali ni tete katika vijiji ambavyo vinapitiwa na mkondo wa maji yanayotoka Nyumba ya Mungu kutokana na bwawa hilo kujaa maji na kuwepo uwezekano wa mafuriko na tayari uongozi wa wilaya ya Mwanga umewataka wananchi katika maeneo hayo kuhama haraka.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maji Nyumba ya Mungu yaashiria hatari

Hali ni tete katika vijiji ambavyo vinapitiwa na mkondo wa maji yanayotoka Nyumba ya Mungu kutokana na bwawa hilo kujaa maji na kuwepo uwezekano wa mafuriko na tayari uongozi wa wilaya ya Mwanga umewataka wananchi katika maeneo hayo kuhama haraka.

Wananchi Buguruni walia kuuziwa samaki wanaovuliwa kwenye maji yenye kinyesi

Wakazi wa Buguruni Mivinjeni wamesema kuna watu wasio waaminifu wamekuwa wakivua samaki katika mabwawa yanayohifadhi kinyesi na kwenda kuwauza katika masoko mbalimbali jijini hapa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wananchi Buguruni walia kuuziwa samaki wanaovuliwa kwenye maji yenye kinyesi

Wakazi wa Buguruni Mivinjeni wamesema kuna watu wasio waaminifu wamekuwa wakivua samaki katika mabwawa yanayohifadhi kinyesi na kwenda kuwauza katika masoko mbalimbali jijini hapa.

Zitto Kabwe sasa awekwa mtu kati

Sasa ni wazi kuwa mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewekwa katika hali ngumu kutokana na kutuhumiwa na kunyooshewa kidole katika masuala matatu, licha ya kuyatolea majibu kwa nyakati tofauti.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zitto Kabwe sasa awekwa mtu kati

Sasa ni wazi kuwa mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewekwa katika hali ngumu kutokana na kutuhumiwa na kunyooshewa kidole katika masuala matatu, licha ya kuyatolea majibu kwa nyakati tofauti.

Mangula: Ukitaka udiwani, ubunge mapema tutakukata

Makamu mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula kwa mara nyingine amewaonya wanachama wa chama hicho tawala nchini Tanzania kutoanza mapema kampeni za kuwania udiwani na ubunge.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mangula: Ukitaka udiwani, ubunge mapema tutakukata

Makamu mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula kwa mara nyingine amewaonya wanachama wa chama hicho tawala nchini Tanzania kutoanza mapema kampeni za kuwania udiwani na ubunge.

Simbeye asema taasisi za Serikali zinalalamikia mazingira ya biashara

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye amesema hivi sasa wanaolalamika urasimu kwenye mazingira ya biashara ni taasisi za Serikali na sio sekta binafsi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Simbeye asema taasisi za Serikali zinalalamikia mazingira ya biashara

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye amesema hivi sasa wanaolalamika urasimu kwenye mazingira ya biashara ni taasisi za Serikali na sio sekta binafsi.

Serikali Tanzania yawaondoa hofu wafanyabiashara

Serikali ya Tanzania imewaondoa hofu wafanyabiashara  waliokuwa wakikumbana na vikwazo wakati wa kusafirisha mizigo kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kupitia Zambia, kubainisha kuwa vitamalizika hivi karibuni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali Tanzania yawaondoa hofu wafanyabiashara

Serikali ya Tanzania imewaondoa hofu wafanyabiashara  waliokuwa wakikumbana na vikwazo wakati wa kusafirisha mizigo kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kupitia Zambia, kubainisha kuwa vitamalizika hivi karibuni.

Mambo matatu yametajwa na Chadema Mwambe kurudi CCM

Mambo matatu yametajwa na wanachama wa Chadema baada ya mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe kurejea CCM ikiwa ni takribani miaka mitano tangu alipokihama chama hicho tawala.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mambo matatu yametajwa na Chadema Mwambe kurudi CCM

Mambo matatu yametajwa na wanachama wa Chadema baada ya mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe kurejea CCM ikiwa ni takribani miaka mitano tangu alipokihama chama hicho tawala.

RC Gambo apiga marufuku video za miundombinu iliyoharibika kusambazwa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,  Mrisho Gambo amepiga marufuku waongoza utalii wanaofanya shughuli zao mkoani Arusha  kusambaza picha za video zinazoonyesha miundombinu iliyoharibika katika  mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

RC Gambo apiga marufuku video za miundombinu iliyoharibika kusambazwa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,  Mrisho Gambo amepiga marufuku waongoza utalii wanaofanya shughuli zao mkoani Arusha  kusambaza picha za video zinazoonyesha miundombinu iliyoharibika katika  mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.

Sumaye ametimiza nilichotarajia

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye ametimiza kile ambacho nilidhani kinapaswa kutokea, amejiunga na chama chake cha CCM kilichomlea na kumfikisha hapo alipo. Mwaka jana nilipoandika kuhusu mwelekeo wake wa kisiasa nilitilia shaka msimamo wake wa awali kwamb
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sumaye ametimiza nilichotarajia

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye ametimiza kile ambacho nilidhani kinapaswa kutokea, amejiunga na chama chake cha CCM kilichomlea na kumfikisha hapo alipo. Mwaka jana nilipoandika kuhusu mwelekeo wake wa kisiasa nilitilia shaka msimamo wake wa awali kwamba angeweza kuachana na siasa au kuwa mshauri wa kisiasa wa jumla; nilisisitiza kuwa msimamo wake hautekelezeki kwa sababu ambazo nilizianisha.

Get more results via ClueGoal