Tanzania
MapoList

Profesa Ndalichako azindua machapisho ya Kiswahili, atoa wito kwa Watanzania

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amezindua machapisho saba ya Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Tataki) miongoni mwayo ni kitabu cha Kiswahili kwenye vyombo vya habari.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali ya Tanzania kufufua kampeni ya kurejesha mafuvu ya mashujaa

Serikali ya Tanzania imeanza kufufua kampeni ya kurejesha fuvu la shujaa Leti Hema wa Wanyaturu ambalo lilikatwa na Wajerumani na kupelekwa nchini humo kwa ajili ya uchunguzi.

Wakili akwamisha kesi ya Jamii Forum

Kesi ya kuzuia jeshi la polisi kufanya uchunguzi, inayomkabili, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forum, Maxence Melo na mwenzake Micke William, imeshindwa kuendelea na utetezi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Tuhuma za utapeli kwa kutumia laini 629 za simu zampandisha kizimbani

Mkazi wa Bungu A, Fadhil Mahenge (27) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kutakatisha fedha kiasi cha Sh123 milioni kwa kutumia laini za simu 629 za mitandao tofauti.

Wagombea tisa wachukua fomu kumrithi Nassari

Vyama tisa vimejitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, uchaguzi ambao unatarajiwa kufanyika  Mei 19, huku utata ukiibuka kwa wagombea wa vyama vya CUF na DP ambavyo wamejitokeza wagombea wawili wawili wakiwa na barua za u
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wagombea tisa wachukua fomu kumrithi Nassari

Vyama tisa vimejitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, uchaguzi ambao unatarajiwa kufanyika  Mei 19, huku utata ukiibuka kwa wagombea wa vyama vya CUF na DP ambavyo wamejitokeza wagombea wawili wawili wakiwa na barua za utambulisho kuchukua fomu.

Dk Tulia awaonya wabunge wanaotumia simu kujirekodi sauti bungeni

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewaonya wabunge wanaotumia simu zao za mkononi kujirekodi sauti wakati muda wao wa kuchangia bungeni unakuwa umemalizika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Tulia awaonya wabunge wanaotumia simu kujirekodi sauti bungeni

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewaonya wabunge wanaotumia simu zao za mkononi kujirekodi sauti wakati muda wao wa kuchangia bungeni unakuwa umemalizika.

Mbowe apata pigo, akimbiwa na wenyeviti 13

Wenyeviti wa vitongoji 13 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamejiuzulu nyadhifa zao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe apata pigo, akimbiwa na wenyeviti 13

Wenyeviti wa vitongoji 13 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamejiuzulu nyadhifa zao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Wizi majumbani waibuka Mtwara, mkuu wa wilaya aibiwa

Polisi mkoani Mtwara inawashikilia watu 23 wakiwamo watumishi wawili wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kwa tuhuma za wizi wa mali mbalimbali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wizi majumbani waibuka Mtwara, mkuu wa wilaya aibiwa

Polisi mkoani Mtwara inawashikilia watu 23 wakiwamo watumishi wawili wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kwa tuhuma za wizi wa mali mbalimbali.

Sanitation business gets financing boost under PPP

Sanitation financing has received a boost in Tanzania as a humanitarian society started an initiative that will address challenges in the rural areas.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Usajili huu wa simu uwaamshe Nida

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanzia Mei mosi watumiaji wote wa simu za mkononi nchini wanapaswa kusajiliwa kwa kutumia vitambulisho vya Taifa mfumo utakaouhusisha uchukuaji alama za vidole.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Usajili huu wa simu uwaamshe Nida

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanzia Mei mosi watumiaji wote wa simu za mkononi nchini wanapaswa kusajiliwa kwa kutumia vitambulisho vya Taifa mfumo utakaouhusisha uchukuaji alama za vidole.

Hakimu atishia kuifuta kesi ya Wema Sepetu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashtaka katika kesi ya kuchapisha video ya ngono inayomkabili msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu (30) kupeleka mashahidi wa kutosha, vinginevyo kesi hiyo itafutwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hakimu atishia kuifuta kesi ya Wema Sepetu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa ahirisho la mwisho kwa upande wa mashtaka katika kesi ya kuchapisha video ya ngono inayomkabili msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu (30) kupeleka mashahidi wa kutosha, vinginevyo kesi hiyo itafutwa.

Wadaiwa kutapeli kwa jina la Mama Magufuli

Watu wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam wakikabiliwa na mashtaka manne, likiwamo ya kutapeli kiasi cha Sh 4.4 milioni kwa kutumia jina la Janeth Magufuli ambaye ni mke wa Rais John Magufuli.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wadaiwa kutapeli kwa jina la Mama Magufuli

Watu wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam wakikabiliwa na mashtaka manne, likiwamo ya kutapeli kiasi cha Sh 4.4 milioni kwa kutumia jina la Janeth Magufuli ambaye ni mke wa Rais John Magufuli.

Fungia fungia magazeti yaibuka bungeni

Mbunge wa Viti maalum (Chadema), Devotha Minja na mwenzake wa (Konde) wa CUF, Khatib Said Haji wamehoji sababu za Serikali ya Tanzania kuyafungia magazeti yanayoandika habari zisizopendezwa nazo, huku Devotha akiinyooshea kidole  Idara ya Habari Maelezo kuw
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Fungia fungia magazeti yaibuka bungeni

Mbunge wa Viti maalum (Chadema), Devotha Minja na mwenzake wa (Konde) wa CUF, Khatib Said Haji wamehoji sababu za Serikali ya Tanzania kuyafungia magazeti yanayoandika habari zisizopendezwa nazo, huku Devotha akiinyooshea kidole  Idara ya Habari Maelezo kuwa imegeuka kitanzi cha wanahabari nchini.

Wataalamu mipango miji wampinga Lukuvi urasimishaji viwanja

 Chama cha Wataalamu wa Mipango Miji (TAP) kimepinga punguzo la bei ya kurasimisha viwanja iliyotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na kimesema kinatafakari hatua zaidi ya kuchukua.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wataalamu mipango miji wampinga Lukuvi urasimishaji viwanja

 Chama cha Wataalamu wa Mipango Miji (TAP) kimepinga punguzo la bei ya kurasimisha viwanja iliyotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na kimesema kinatafakari hatua zaidi ya kuchukua.

Shule yenye madarasa mawili inavyopambana kujinasua na changamoto

Mara nyingi yanapotokea matokeo mabaya ya mitihani kwa wanafunzi lawama huelekezwa sehemu mbalimbali ikiwamo kwa walimu, lakini sababu zipo nyingi zinazoweza kuwa kikwazo cha kufikia malengo ya kupatikana kwa elimu bora na shule kutofanya vyema.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shule yenye madarasa mawili inavyopambana kujinasua na changamoto

Mara nyingi yanapotokea matokeo mabaya ya mitihani kwa wanafunzi lawama huelekezwa sehemu mbalimbali ikiwamo kwa walimu, lakini sababu zipo nyingi zinazoweza kuwa kikwazo cha kufikia malengo ya kupatikana kwa elimu bora na shule kutofanya vyema.

Shahidi kesi ya kina Mbowe aieleza mahakama alivyowatawanya

Mrakibu mwandamizi wa Polisi, Gerald Ngiichi jana aliieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliamuru askari kupiga mabomu na risasi hewani kwa ajili ya kusambaratisha maandamano ya viongozi na wafuasi wa Chadema.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shahidi kesi ya kina Mbowe aieleza mahakama alivyowatawanya

Mrakibu mwandamizi wa Polisi, Gerald Ngiichi jana aliieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliamuru askari kupiga mabomu na risasi hewani kwa ajili ya kusambaratisha maandamano ya viongozi na wafuasi wa Chadema.

Magufuli atoa wiki moja wizara mbili kukamilisha taratibu za mwekezaji

Rais John Magufuli ametoa wiki moja kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Viwanda na Biashara kukamilisha taratibu za uwekezaji kwa kampuni Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli atoa wiki moja wizara mbili kukamilisha taratibu za mwekezaji

Rais John Magufuli ametoa wiki moja kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Viwanda na Biashara kukamilisha taratibu za uwekezaji kwa kampuni Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius.

Mbunge wa Chadema amvaa Polepole

Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Upendo Peneza amemvaa Katibu Mwenezi wa CCM, Humphery Polepole, kuwa amewadhalilisha wabunge wa viti maalumu wanaotokana na chama chake kuwa wamepata nafasi hizo baada ya  kufanya ngono na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge wa Chadema amvaa Polepole

Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Upendo Peneza amemvaa Katibu Mwenezi wa CCM, Humphery Polepole, kuwa amewadhalilisha wabunge wa viti maalumu wanaotokana na chama chake kuwa wamepata nafasi hizo baada ya  kufanya ngono na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Ushauri wa Ndugai kuhusu biashara mazao ya kilimo

Spika Job Ndugai ameishauri Serikali mambo manne ya kufanya kwa ajili ya maendeleo ya biashara zitokanazo na mazao ya kilimo na viwanda vya usindikaji   nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ushauri wa Ndugai kuhusu biashara mazao ya kilimo

Spika Job Ndugai ameishauri Serikali mambo manne ya kufanya kwa ajili ya maendeleo ya biashara zitokanazo na mazao ya kilimo na viwanda vya usindikaji   nchini.

Simu tatu zakabidhiwa mahakamani kwa ushahidi

Hashim Ally, shahidi wa 17 upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi, amekabidhi simu mbili za mshtakiwa wa tatu, Laban Nabiswa katika Mahakama Kuu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Simu tatu zakabidhiwa mahakamani kwa ushahidi

Hashim Ally, shahidi wa 17 upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi, amekabidhi simu mbili za mshtakiwa wa tatu, Laban Nabiswa katika Mahakama Kuu.

Sikiliza kisa cha Jabir na baba mdogo

Sikiliza nikusimulie kisa cha mfanyakazi wetu wa ndani, nyumbani kwa baba yangu mdogo pale Mwananyamala. Aliitwa Jabir. Alikuwa mfanyakazi wetu wa ndani ambaye aliibuka kuwa rafiki pia wa bosi wake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sikiliza kisa cha Jabir na baba mdogo

Sikiliza nikusimulie kisa cha mfanyakazi wetu wa ndani, nyumbani kwa baba yangu mdogo pale Mwananyamala. Aliitwa Jabir. Alikuwa mfanyakazi wetu wa ndani ambaye aliibuka kuwa rafiki pia wa bosi wake.

Wanafunzi wa kike kupatiwa chanjo ya saratani shingo ya uzazi

Wadau wa chanjo mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili masuala mbalimbali ya afya ikiwamo uhamasishaji wa chanjo ya kujikinga na saratani ya shingo ya kizazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanafunzi wa kike kupatiwa chanjo ya saratani shingo ya uzazi

Wadau wa chanjo mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili masuala mbalimbali ya afya ikiwamo uhamasishaji wa chanjo ya kujikinga na saratani ya shingo ya kizazi.

Kupata hati ya kiwanja sasa kwa Sh150,000 tu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameshusha tozo ya kupima na kurasimisha makazi na hatimaye kupata hati ya kiwanja kutoka Sh250,000 hadi 150,000 ili kuwawezesha wananchi wengi kupata hati hizo ili walipe kodi ya ardhi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kupata hati ya kiwanja sasa kwa Sh150,000 tu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameshusha tozo ya kupima na kurasimisha makazi na hatimaye kupata hati ya kiwanja kutoka Sh250,000 hadi 150,000 ili kuwawezesha wananchi wengi kupata hati hizo ili walipe kodi ya ardhi.

Shahidi kesi ya viongozi wa Chadema asema aliamrisha askari kupiga risasi hewani

Ofisa oparesheni mkoa wa kipolisi wa Kinondoni ambaye ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi( SSP), Gerald Ngichi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa yeye ndiye aliyeamuru askari polisi kupiga risasi hewani kutawanya waandamanaji waliokuwa katika makutano y
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shahidi kesi ya viongozi wa Chadema asema aliamrisha askari kupiga risasi hewani

Ofisa oparesheni mkoa wa kipolisi wa Kinondoni ambaye ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi( SSP), Gerald Ngichi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa yeye ndiye aliyeamuru askari polisi kupiga risasi hewani kutawanya waandamanaji waliokuwa katika makutano ya barabara ya Kawawa na Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Ajali za barabarani zapungua nchini; Kamanda Muslim

Kamanda wa Kikosi cha Polisi wa Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Muslim amesema wakati ajali za barabarani zikipungua, vyombo vya habari vinapaswa kufanya tafiti za kina ili kuleta masuluhisho katika kupunguza zaidi ajali za barabarani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ajali za barabarani zapungua nchini; Kamanda Muslim

Kamanda wa Kikosi cha Polisi wa Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Muslim amesema wakati ajali za barabarani zikipungua, vyombo vya habari vinapaswa kufanya tafiti za kina ili kuleta masuluhisho katika kupunguza zaidi ajali za barabarani.

Huu ndio msimamo wa Waislamu Tanzania kuhusu uzazi wa mpango

Baraza Kuu la Waisalimu Tanzania (Bakwata) limetoa tamko kuhusiana na ushiriki wake katika kampeni ya uzazi wa mpango, likitoa masharti matano yanayokubalika kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Huu ndio msimamo wa Waislamu Tanzania kuhusu uzazi wa mpango

Baraza Kuu la Waisalimu Tanzania (Bakwata) limetoa tamko kuhusiana na ushiriki wake katika kampeni ya uzazi wa mpango, likitoa masharti matano yanayokubalika kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.

Congestion at border slows down Zambia, DRC trade

Zambia and the Democratic Republic of Congo are struggling to resolve a gridlock that has made the Kasumbalesa border impassable in the past week, hurting trade between the two countries and threatening diplomatic relations.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Congestion at border slows down Zambia, DRC trade

Zambia and the Democratic Republic of Congo are struggling to resolve a gridlock that has made the Kasumbalesa border impassable in the past week, hurting trade between the two countries and threatening diplomatic relations.

Nile Basin Discourse pushes for water diplomacy through research

Preliminary results in the research on water diplomacy in Tanzania conducted by Nile Basin Discourse has revealed that there would be a serious water dispute between users and service providers if measures are not taken.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Nile Basin Discourse pushes for water diplomacy through research

Preliminary results in the research on water diplomacy in Tanzania conducted by Nile Basin Discourse has revealed that there would be a serious water dispute between users and service providers if measures are not taken.

Get more results via ClueGoal