Tanzania

Wamiliki wa hoteli waombwa kupunguza gharama kuvutia utalii

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta amewataka wamiliki wa kampuni za utalii na hoteli mkoani Àrusha kupunguza bei ili kuvutia watalii wa ndani kutembelea hifadhi za Taifa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanafunzi waomba msaada serikalini ili wasikeketwe

Viongozi wilaya ya Serengeti wameombwa kuweka mikakati ya kuwalinda watoto wa kike kuelekea msimu wa ukeketaji Desemba, 2020 baada ya shule kufungwa.

Aliyejifanya katibu wa Kangi Lugola afikishwa mahakamani

Mkazi wa jijini  Dar es Salaam, Godfrey Haule amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kujifanya katibu wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola.

Wanafunzi 23,621 kufanya mtihani kidato cha nne Zanzibar

Wanafunzi  23,621 kisiwani Zanzibar wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2020  utakaoanza Novemba 23 hadi Desemba 12, 2020.

Waliozamia Afrika Kusini wahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

Watu 29 wamehukumiwa na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwenda jela mwaka mmoja baada ya kukiri kosa la kutoka ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenda nchini Afrika Kusini bila ya kuwa na kibali.

Rais Magufuli azungumzia mikopo ya riba nafuu

Rais John Magufuli amesema katika muhula wa pili serikali yake inakusudia kutoa mikopo isiyo na riba na yenye riba nafuu sanjari na kudhibiti mfumuko wa bei, riba za mikopo na thamani ya sarafu.

VIDEO: Magufuli ampa jukumu la kwanza Majaliwa

Rais wa Tanzania, John Magufuli amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuangalia namna atakavyofanya kuhakikisha mifuko iliyoanzishwa na Serikali kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa kawaida inakuwa na tija.

Alichokisema Magufuli kuhusu sekta binafsi Tanzania

Rais  wa Tanzania, John Magufuli amesema anatambua sekta binafsi ni injini ya  kujenga uchumi wa kisasa na  ameomba ushirikiano wa sekta hiyo katika kipindi chake cha miaka mitano.

VIDEO: Askofu Gwajima awapigia ‘debe’ wabunge uteuzi wa mawaziri

Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Ijumaa Novemba 13, 2020 amezindua rasmi Bunge la 12 jijini Dodoma na kutaja vipaumbele vyake na mwelekeo wa Serikali kwa miaka mitano ijayo.

Magufuli: Tutaongeza tija kwenye kilimo

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali inakusudia kuongeza tija kwenye kilimo na kukifanya kuwa cha biashara lengo likiwa ni kujihakikishia usalama wa chakula na upatikanaji wa malighafi.  

Ndugai atoa mchanganuo idadi ya wabunge bungeni

Spika Job Ndugai ametoa mchanganuo wa wabunge waliopo bungeni hadi leo Ijumaa Novemba 13, 2020 akieleza kuwa wanasubiriwa wabunge 33  ili kukamilisha idadi kamili ya wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

VIDEO: Ahadi ya Magufuli kwa watumishi

“Tutaendelea kuboresha mazingira ya kazi pamoja na maslahi ya watumishi wetu wote ili yaendane na hali halisi ya maisha ya Watanzania, tutaangalia maslahi yao  kwa hiyo watumishi wasiwe na wasiwasi wachape kazi,” amesema Rais John Magufuli leo Ijumaa Nov
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Ahadi ya Magufuli kwa watumishi

“Tutaendelea kuboresha mazingira ya kazi pamoja na maslahi ya watumishi wetu wote ili yaendane na hali halisi ya maisha ya Watanzania, tutaangalia maslahi yao  kwa hiyo watumishi wasiwe na wasiwasi wachape kazi,” amesema Rais John Magufuli leo Ijumaa Novemba 13, 2020 katika hotuba yake ya uzinduzi wa Bunge la 12 jijini Dodoma.

Rekodi kumbeba Mwakinyo leo

Wakati dakika 36 za raundi 12 zikisubiriwa kuamua bingwa wa mabara wa WBF kati ya Hassan Mwakinyo na Jose Carlos Paz wa Argentina, uzoefu na rekodi ndivyo vitu ambavyo vinawatofautisha mabondia hao wenye nyota sawa kwenye renki ya dunia.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rekodi kumbeba Mwakinyo leo

Wakati dakika 36 za raundi 12 zikisubiriwa kuamua bingwa wa mabara wa WBF kati ya Hassan Mwakinyo na Jose Carlos Paz wa Argentina, uzoefu na rekodi ndivyo vitu ambavyo vinawatofautisha mabondia hao wenye nyota sawa kwenye renki ya dunia.

Alichokisema Magufuli kuhusu kuimarika kwa sekta ya afya Tanzania

Rais  wa Tanzania, John Magufuli amesema  katika kipindi cha miaka mitano yamefanyika maboresho makubwa kwenye sekta ya afya na kuchangia  kuokoa maisha ya Watanzania wengi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Alichokisema Magufuli kuhusu kuimarika kwa sekta ya afya Tanzania

Rais  wa Tanzania, John Magufuli amesema  katika kipindi cha miaka mitano yamefanyika maboresho makubwa kwenye sekta ya afya na kuchangia  kuokoa maisha ya Watanzania wengi.

VIDEO: Matumizi ya Intaneti kuongezeka Tanzania

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema kutokana na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama)  Serikali imepanga miaka mitano ijayo kuongeza matumizi ya intaneti  ‘broadband’ kutoka asilimia 45 mpaka asilimia 80
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Matumizi ya Intaneti kuongezeka Tanzania

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema kutokana na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama)  Serikali imepanga miaka mitano ijayo kuongeza matumizi ya intaneti  ‘broadband’ kutoka asilimia 45 mpaka asilimia 80

Magufuli awateua Profesa Kabudi na Dk Mpango kuwa mawaziri

Rais John Magufuli amemteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Dk Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa ameweka taarifa hiyo katika ukurasa wake wa Instagram. Mawaziri hao wateule wa
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli awateua Profesa Kabudi na Dk Mpango kuwa mawaziri

Rais John Magufuli amemteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Dk Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa ameweka taarifa hiyo katika ukurasa wake wa Instagram. Mawaziri hao wateule walikuwa wakishikilia nyadhifa hizo katika baraza la mawaziri lililopita. Uteuzi huo unaanza leo Ijumaa Novemba 13, 2020.

LIVE: UFUNGUZI RASMI WA BUNGE LA 12

Hivi ndivyo shughuli za ufunguzi wa Bunge la 12 unavyofanyika katika viwanja vya bunge jjijini Dodoma nchini Tanzania, ambapo Rais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia na kulifungua rasmi bunge hilo ili liweze kuendelea na majukumu yake
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

LIVE: UFUNGUZI RASMI WA BUNGE LA 12

Hivi ndivyo shughuli za ufunguzi wa Bunge la 12 unavyofanyika katika viwanja vya bunge jjijini Dodoma nchini Tanzania, ambapo Rais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia na kulifungua rasmi bunge hilo ili liweze kuendelea na majukumu yake

RC Chalamila ashtukia bei ya saruji kupanda, atoa maagizo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya imeagizwa kuanza kukagua risiti za manunuzi ya saruji  kwa mawakala wa kiwanda cha saruji Mbeya katika kipindi cha wiki mbili zilizopita ili kubaini chanzo cha mfumuko wa bei ya bidhaa hiyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

RC Chalamila ashtukia bei ya saruji kupanda, atoa maagizo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya imeagizwa kuanza kukagua risiti za manunuzi ya saruji  kwa mawakala wa kiwanda cha saruji Mbeya katika kipindi cha wiki mbili zilizopita ili kubaini chanzo cha mfumuko wa bei ya bidhaa hiyo.

RC Kunenge awapa rungu wenyeviti Serikali ya mitaa Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge ameagiza wenyeviti wa Serikali za mitaa kuwachukulia hatua za kisheria wakazi wa jiji la Dar es Salaam watakaotiririsha maji taka katika kipindi hiki cha mvua za vuli na masika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

RC Kunenge awapa rungu wenyeviti Serikali ya mitaa Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge ameagiza wenyeviti wa Serikali za mitaa kuwachukulia hatua za kisheria wakazi wa jiji la Dar es Salaam watakaotiririsha maji taka katika kipindi hiki cha mvua za vuli na masika.

Meneja aeleza maendeleo ujenzi mradi wa kufua umeme

Meneja Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa maji wa  Julius Nyerere kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Said Kimbanga amesema baada ya  kukamilika kwa ujenzi wa handaki la kuchepusha maji katika mradi huo, kazi inayofuatia ni kuanza ujenzi wa tuta kuu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Meneja aeleza maendeleo ujenzi mradi wa kufua umeme

Meneja Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa maji wa  Julius Nyerere kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Said Kimbanga amesema baada ya  kukamilika kwa ujenzi wa handaki la kuchepusha maji katika mradi huo, kazi inayofuatia ni kuanza ujenzi wa tuta kuu.

Baba wa pacha wanne aomba msaada wa matunzo ya wanaye

Karani Ntangu (41), baba wa pacha wanne waliozaliwa Novemba 10, 2020 katika kituo cha afya Chalangwa ambao kwa sasa wanahudumiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Chunya ameomba msaada wa matunzo ya wanaye serikalini kwa kuwa kipato chache ni kidogo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Baba wa pacha wanne aomba msaada wa matunzo ya wanaye

Karani Ntangu (41), baba wa pacha wanne waliozaliwa Novemba 10, 2020 katika kituo cha afya Chalangwa ambao kwa sasa wanahudumiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Chunya ameomba msaada wa matunzo ya wanaye serikalini kwa kuwa kipato chache ni kidogo.

Hifadi tatu Tanzania zapewa magari kukuza utalii

Hifadhi za Taifa za Mikumi, Ruaha na Udzungwa zimepewa magari tisa ili kutekeleza mradi wa kusimamia maliasili na kukuza utalii kusini mwa Tanzania unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hifadi tatu Tanzania zapewa magari kukuza utalii

Hifadhi za Taifa za Mikumi, Ruaha na Udzungwa zimepewa magari tisa ili kutekeleza mradi wa kusimamia maliasili na kukuza utalii kusini mwa Tanzania unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB).

Mbatia ataka muafaka baada ya uchaguzi mkuu

Chama cha NCCR Mageuzi kimeomba iwepo meza ya mazungumzo kupata muafaka wa kitaifa baada ya kuibuka kwa malalamiko tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbatia ataka muafaka baada ya uchaguzi mkuu

Chama cha NCCR Mageuzi kimeomba iwepo meza ya mazungumzo kupata muafaka wa kitaifa baada ya kuibuka kwa malalamiko tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.

Mulugo asema uteuzi wa Majaliwa utaongeza kasi ya utekelezaji Ilani ya CCM

Mbunge wa Songwe (CCM), Philipo Mulugo amesema, Kassim Majaliwa kuteuliwa tena kuwa waziri mkuu kutaongeza kasi ya chama hicho tawala kutekeleza ilani yake ya uchaguzi mwaka 2020-2025.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mulugo asema uteuzi wa Majaliwa utaongeza kasi ya utekelezaji Ilani ya CCM

Mbunge wa Songwe (CCM), Philipo Mulugo amesema, Kassim Majaliwa kuteuliwa tena kuwa waziri mkuu kutaongeza kasi ya chama hicho tawala kutekeleza ilani yake ya uchaguzi mwaka 2020-2025.  

Wahasibu waombwa kuwafichua wakwepa kodi

Serikali imeomba msaada kwa wahasibu  kufichua vitendo vya ukwepaji kodi katika maeneo yao ya kazi kwa kuwa suala la ukusanyaji wa mapato halitakiwi kuachwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pekee.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wahasibu waombwa kuwafichua wakwepa kodi

Serikali imeomba msaada kwa wahasibu  kufichua vitendo vya ukwepaji kodi katika maeneo yao ya kazi kwa kuwa suala la ukusanyaji wa mapato halitakiwi kuachwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pekee.

Papa Msofe, wenzake wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita lakini...

Kati ya washtakiwa hao mmoja anatumikia kifungo cha nje cha  miezi sita  lakini Msofe na mwenzake mmoja wameendelea kukaa mahabusu kwa kuwa wanakabiliwa na kesi zingine za uhujumu uchumi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Papa Msofe, wenzake wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita lakini...

Kati ya washtakiwa hao mmoja anatumikia kifungo cha nje cha  miezi sita  lakini Msofe na mwenzake mmoja wameendelea kukaa mahabusu kwa kuwa wanakabiliwa na kesi zingine za uhujumu uchumi.

Askari SMZ washikiliwa tuhuma mauaji kiongozi wa ACT-Wazalendo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu saba kwa tuhuma za mauaji ya Said Salum Suleiman (32) mkazi wa Mwembemakumbi mjini Unguja.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Askari SMZ washikiliwa tuhuma mauaji kiongozi wa ACT-Wazalendo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu saba kwa tuhuma za mauaji ya Said Salum Suleiman (32) mkazi wa Mwembemakumbi mjini Unguja.

Dk Tulia: Nitawatendea haki watu wote

“Mimi Tulia Ackson naapa kwamba nitaitumikia vema na kwa moyo thabiti Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kazi zangu kama naibu spika wa Bunge na katika kutimiza wajibu wa cheo hicho, nitawatendea haki watu wote mwenyezi Mungu nisaidie.”
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Tulia: Nitawatendea haki watu wote

“Mimi Tulia Ackson naapa kwamba nitaitumikia vema na kwa moyo thabiti Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kazi zangu kama naibu spika wa Bunge na katika kutimiza wajibu wa cheo hicho, nitawatendea haki watu wote mwenyezi Mungu nisaidie.”

Huyu ndiye Kassim Majaliwa

Ni Kassim Majaliwa tena. Imempendeza Rais John Magufuli kumteua Majaliwa kuwa Waziri Mkuu katika muhula wake mpya wa uongozi. Wabunge 350, sawa na asilimia 100 ya wabunge wote waliohudhuria shughuli ya uteuzi na uthibitishaji wa jina la Waziri Mkuu, wemempigi
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Huyu ndiye Kassim Majaliwa

Ni Kassim Majaliwa tena. Imempendeza Rais John Magufuli kumteua Majaliwa kuwa Waziri Mkuu katika muhula wake mpya wa uongozi. Wabunge 350, sawa na asilimia 100 ya wabunge wote waliohudhuria shughuli ya uteuzi na uthibitishaji wa jina la Waziri Mkuu, wemempigia kura za ndio.

VIDEO: Bunge lamuidhinisha Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Bunge la Tanzania limemthibitisha mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo baada ya kupigwa kura 350 za ndiyo. Katika upigaji wa kura hizo hakuna iliyoharibika
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Bunge lamuidhinisha Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Bunge la Tanzania limemthibitisha mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo baada ya kupigwa kura 350 za ndiyo. Katika upigaji wa kura hizo hakuna iliyoharibika

Mwakinyo apewa ulaji

Hii ni mara ya saba kwa rais huyo wa WBF, Goldberg Howard kuwasili nchini kwa shughuli za masumbwi nchini Tanzania.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwakinyo apewa ulaji

Hii ni mara ya saba kwa rais huyo wa WBF, Goldberg Howard kuwasili nchini kwa shughuli za masumbwi nchini Tanzania.

Get more results via ClueGoal