Tanzania

Yanga yaongoza bao 1

Yanga wanaongoza bao 1-0 dhidi ya Simba. Bao limefungwa na Michael Sarpong kwa mkwaju wa penalti dakika ya 31
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bunge kuanza Novemba 10, wabunge waitwa Dodoma

Katibu wa Bunge la Tanzania, Stephen Kagaigai amewataka wabunge wateule wote kufika jijini Dodoma kwa ajili ya usajili na taratibu nyingine za kiutawala kuanzia leo Jumamosi Novemba 7, 2020.

Ni Majaliwa tena?

Kwa kuangalia mwenendo, historia, tabia ya marais waliopita na uteuzi ulioanza kufanyika, si vigumu kukuna kichwa kujiuliza kama Kassim Majaliwa atarejeshwa katika nafasi ya Waziri Mkuu.

Wakazi Dar wapewa elimu kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge amewasisitiza wananchi kuhakikisha wanafanya mazoezi na kuepuka ulaji  usiofaa, ulevi na uvutaji sigara ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza.

Aida Khenan alivyojiandikia historia jimbo la Nkasi Kaskazini

Aida ambaye ni miongoni mwa wanawake 26 walioshinda kwenye majimbo 264, aliwashinda wenzake watatu akiwamo Ally Keissy wa CCM, mbunge aliyemaliza muda wake na ambaye alijizolea umaarufu kutokana na hoja zake katika Bunge la 11.

Maradona kuiendelea kubakia hospitalini

Gwiji wa soka wa Argentina, Diego Maradona ataendelea kubakia hospitalini kwa siku kadhaa kupata matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa damu iliyovia katika ubongo, daktari wake alisema juzi Alhamisi (Novemba 5).

Lissu aeleza sababu kuhamia ubalozini

Makamu mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mgombea urais, Tundu Lissu yuko ubalozi wa Ujerumani, ambako ameomba hifadhi ya kisiasa kwa maelezo kuwa ametishiwa maisha.

Jinsi wafugaji wilayani Mbulu wanavyodhibiti magonjwa ya milipuko

Wafugaji hao kupitia mikutano yao ya vijiji wametunga sheria ya kutoza faini ya Sh30,000 kwa mfugaji ambaye atashindwa kupeleka mifugo yake kwenye josho.

Adaiwa kumuua mke kisa mbuzi

Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Boshu Kulwa (60) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Magdalena Lunguya (45) baada ya kumhoji kuhusu fedha za mauzo ya mbuzi.

VIDEO: Walimu kizimbani tuhuma za mauaji ya mwanafunzi

Walimu wawili wa shule ya awali na msingi ya Holly Cross Nursery iliyopo wilayani Temeke wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya mwanafunzi wa shule hiyo, Catbert Chawe.

Lille yamdhibiti Ibrahimovic, Arsenal yatakata Ligi ya Europa

Mchezaji wa Lille, Yusuf Yazici jana Alhamisi aliifunika AC Milan na Zlatan Ibrahimovic, alipofunga mabao yote matatu na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya mabingwa hao wa zamani wa Ulaya.

VIDEO: Makocha Simba, Yanga wawatega mashabiki

Simba na Yanga wanacheza kesho kwenye Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mechi ya kiporo ya mzunguko wa kwanza raundi ya saba wa Ligi Kuu Bara huku kila mmoja akionyesha kuficha mbinu zake ambazo zinaonekana kuwapa presha mashabiki wao.

Simba, Yanga zawavuruga mastaa

Achana  na matokeo ya mechi ya mwisho ambayo Yanga ililala kwa mabao 4-1 kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya watani zao Simba, mashabiki wa timu hiyo wanaamini kesho watalipa kisasi.

Pilato Simba na Yanga huyu hapa

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza majina sita ya waamuzi  watakaochezesha mtanange wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaofanyika kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.

Deni la Sh15 milioni lakwamisha uzoaji taka Serengeti

Malimbikizo la deni la Sh15 milioni analodai mzabuni wa kuzoa taka mjini Mugumu, ni miongoni mwa sababu zilizochangia takataka kurundikana eneo la NHC mjini humo bila kuzolewa.

Zari, Diamond wanavyoshirikiana malezi ya watoto

Wazazi kutengana haina maana kuwa hawawezi kushirikiana katika malezi ya watoto wao. Ndivyo unavyoweza kusema ukimsikiliza Zari ambaye ni mzazi mwenzake na msanii Diamond Platnumz.  

Lille yamdhibiti Ibrahimovic, Arsenal yatakata Logo ya Europa

Mchezaji wa Lille, Yusuf Yazici jana Alhamisi aliifunika AC Milan na Zlatan Ibrahimovic, alipofunga mabao yote matatu na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya mabingwa hao wa zamani wa Ulaya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lille yamdhibiti Ibrahimovic, Arsenal yatakata Logo ya Europa

Mchezaji wa Lille, Yusuf Yazici jana Alhamisi aliifunika AC Milan na Zlatan Ibrahimovic, alipofunga mabao yote matatu na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya mabingwa hao wa zamani wa Ulaya.

Chadema, ACT Wazalendo kuja na mkakati mwingine

Baada ya mpango wa kufanya maandamano yasiyo na kikomo nchini nzima kushinikiza kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu kukwama, huku viongozi kadhaa wakikamatwa, vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo vimesema vinajipanga kuja na mkakati mwingine.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Chadema, ACT Wazalendo kuja na mkakati mwingine

Baada ya mpango wa kufanya maandamano yasiyo na kikomo nchini nzima kushinikiza kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu kukwama, huku viongozi kadhaa wakikamatwa, vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo vimesema vinajipanga kuja na mkakati mwingine.

AG amwekea kigingi Karume rufaa ya uwakili wake

Fatma ambaye ni mtoto wa Rais mstaafu wa awamu ya Sita ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Aman Abeid Karume, aliondolewa katika orodha ya mawakili wa kujitegemea na kamati ya maadili ya mawakili baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukiuka maadili ya taaluma.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

AG amwekea kigingi Karume rufaa ya uwakili wake

Fatma ambaye ni mtoto wa Rais mstaafu wa awamu ya Sita ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Aman Abeid Karume, aliondolewa katika orodha ya mawakili wa kujitegemea na kamati ya maadili ya mawakili baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukiuka maadili ya taaluma.

Wanne wajitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri Simanjiro

Baada ya uchaguzi mkuu kukamilika nchini, Halmashauri na manispaa zote nchini Tanzania, zimeingia kwenye mchakato mwingine wa kuwapata wenyeviti na mameya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanne wajitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri Simanjiro

Baada ya uchaguzi mkuu kukamilika nchini, Halmashauri na manispaa zote nchini Tanzania, zimeingia kwenye mchakato mwingine wa kuwapata wenyeviti na mameya.

Zamalek yaifuata Al Ahly na mabao ya lala salama

Al Ahly, ambayo imetwaa ubingwa wa Afrika mara nane, na Zamalek, iliyoutwaa mara tano, zinakuwa timu za kwanza kutoka nchi moja kukutana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zamalek yaifuata Al Ahly na mabao ya lala salama

Al Ahly, ambayo imetwaa ubingwa wa Afrika mara nane, na Zamalek, iliyoutwaa mara tano, zinakuwa timu za kwanza kutoka nchi moja kukutana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika.

Get more results via ClueGoal