Tanzania

Yanga yabanwa ikipanda kileleni

Kwa sare ya bila kufungana, Yanga imekamata usukani wa Ligi Kuu ikifikisha pointi 23 baada ya kucheza nmechi tisa, ikifuatiwa na Azam FC.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Madiwani wateule 10 wajitokeza kuwania umeya Jiji la Arusha

Madiwani wateule 10 wa CCM katika jiji la Arusha leo Jumanne Novemba 3, 2020 wamechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya Meya wa jiji la Arusha.

Vilio vyatawala mazishi wanafunzi wanne

Leo Jumanne Novemba 3, 2020 vilio vilitawala katika uwanja wa shule ya Msingi Ibambila baada ya magari yaliyobeba miili ya wanafunzi wanne waliofariki kwa kugongwa na gari kuwasili.  

Trump ahaha usiku, Biden abashiri ushindi

Katika siku ya mwisho ya kampeni, Rais Donald Trump alitumia ndege kwenda majimbo manne kufanya kampeni, huku mpinzani wake Joe Biden akiongezewa nguvu na Lady Gaga.

Zitto adaiwa kukamatwa na polisi

Zitto Kabwe anadaiwa kushikiliwa na Polisi alipokwenda kuwasalimia viongozi wa Chadema kituo cha polisi Oysterbay, lakini Kamanda wa polisi wa Kinondoni ameeleza kutokuwa na taarifa hizo.

Vijana wilayani Mpwapwa wakimbilia milimani kukwepa kukamatwa na polisi

Siku chache baada ya vurugu zilizosababisha maboksi ya kura kuharibiwa katika kijiji cha Berege Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania baadhi ya vijana kwenye kijiji hicho wamekimbilia mlimani kujificha kukwepa kamata inayoendeshwa na Jeshi la Polis
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Vijana wilayani Mpwapwa wakimbilia milimani kukwepa kukamatwa na polisi

Siku chache baada ya vurugu zilizosababisha maboksi ya kura kuharibiwa katika kijiji cha Berege Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania baadhi ya vijana kwenye kijiji hicho wamekimbilia mlimani kujificha kukwepa kamata inayoendeshwa na Jeshi la Polisi.

Mgodi wa almasi za pinki wafungwa

Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita, thamani ya almasi ya rangi ya pinki ilipanda kwa asilimia 500, ofisa wa Rio Tinto, Sinead Kaufman ameiambia ABC.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgodi wa almasi za pinki wafungwa

Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita, thamani ya almasi ya rangi ya pinki ilipanda kwa asilimia 500, ofisa wa Rio Tinto, Sinead Kaufman ameiambia ABC.

Ryan Giggs akana kumshambulia mpenzi wake

Giggs aliteuliwa kuwa kocha wa Wales mwaka 2018 baada ya kucheza soka kwa mafanikio, akitwaa mataji 13 ya ubingwa wa Ligi Kuu ya England, mawili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, manne ya Kombe la FA na matatu ya Kombe la Ligi akiwa na Manchester United.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ryan Giggs akana kumshambulia mpenzi wake

Giggs aliteuliwa kuwa kocha wa Wales mwaka 2018 baada ya kucheza soka kwa mafanikio, akitwaa mataji 13 ya ubingwa wa Ligi Kuu ya England, mawili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, manne ya Kombe la FA na matatu ya Kombe la Ligi akiwa na Manchester United.

Dk Tulia aeleza sababu kutaka tena unaibu spika

Dk Tulia Ackson amejitosa tena kuwania unaibu spika baada ya kuchukua fomu leo mjini Dodoma na kueleza sababu za kutaka kuwania tena nafasi hiyo na si ile na spika wa chombo hicho cha Dola.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Tulia aeleza sababu kutaka tena unaibu spika

Dk Tulia Ackson amejitosa tena kuwania unaibu spika baada ya kuchukua fomu leo mjini Dodoma na kueleza sababu za kutaka kuwania tena nafasi hiyo na si ile na spika wa chombo hicho cha Dola.  

VIDEO: Wanafunzi wanne waliokufa kwa kugongwa na gari kuzikwa leo

Miili ya wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Ibambila wilayani Nyang’wale, Geita waliopoteza maisha baada ya kugongwa na gari wakienda shule itazikwa leo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Wanafunzi wanne waliokufa kwa kugongwa na gari kuzikwa leo

Miili ya wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Ibambila wilayani Nyang’wale, Geita waliopoteza maisha baada ya kugongwa na gari wakienda shule itazikwa leo.

Wamarekani kuamua leo kati ya Trump, Biden

Rais Donald Trump, amebakiza matarajio yake kwenye kura za moja kwa moja leo ili kutetea kiti chake na kuongoza kwa muhula wa pili baada ya mpinzani wake, Joe Biden, kuongoza kura za mapema.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wamarekani kuamua leo kati ya Trump, Biden

Rais Donald Trump, amebakiza matarajio yake kwenye kura za moja kwa moja leo ili kutetea kiti chake na kuongoza kwa muhula wa pili baada ya mpinzani wake, Joe Biden, kuongoza kura za mapema.

‘Vikumbo’ kuwania uspika, umeya CCM kuanza

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wananachama wake walio na sifa kuchukua fomu kuwania nafasi ya Spika na Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, mameya na wenyeviti wa halmashauri au manispaa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

‘Vikumbo’ kuwania uspika, umeya CCM kuanza

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wananachama wake walio na sifa kuchukua fomu kuwania nafasi ya Spika na Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, mameya na wenyeviti wa halmashauri au manispaa.

Aliyegombea udiwani na wenzake 7 wasomewa shitaka la uhujumu uchumi

Watu nane akiwamo aliyekuwa mgombea wa udiwani kata ya Berege kupitia Chadema Deogratius Mahinyila,  wamefikishwa mahakamani wilayani Mpwapwa wakikabiliwa na kosa la kuisababishia Serikali  hasara ya Sh29.1 milioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Aliyegombea udiwani na wenzake 7 wasomewa shitaka la uhujumu uchumi

Watu nane akiwamo aliyekuwa mgombea wa udiwani kata ya Berege kupitia Chadema Deogratius Mahinyila,  wamefikishwa mahakamani wilayani Mpwapwa wakikabiliwa na kosa la kuisababishia Serikali  hasara ya Sh29.1 milioni.

Tembo amkanyaga mwalimu, amsababishia kifo

Mwalimu wa kujitolea katika shule ya Sekondari Kwangu iliyopo Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro,  Rojas willison, amefariki dunia baada kushambuliwa na tembo, wakati akitoka kutafuta mahitaji yake muhimu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tembo amkanyaga mwalimu, amsababishia kifo

Mwalimu wa kujitolea katika shule ya Sekondari Kwangu iliyopo Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro,  Rojas willison, amefariki dunia baada kushambuliwa na tembo, wakati akitoka kutafuta mahitaji yake muhimu.

VIDEO: Hivi ndivyo Dk Shein alivyoagwa kijeshi Zanzibar

Viongozi mbalimbali wa kitaifa wamehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ambaye amechaguliwa na wananchi wa Zanzibar katika uchaguzi wa Oktoba 27 na 28.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Hivi ndivyo Dk Shein alivyoagwa kijeshi Zanzibar

Viongozi mbalimbali wa kitaifa wamehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ambaye amechaguliwa na wananchi wa Zanzibar katika uchaguzi wa Oktoba 27 na 28.

Wanafunzi wanne wafariki kwa kugongwa na gari

Wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambila wilayani Nyang'wale, Geita  wamepoteza maisha baada ya kugongwa na gari wakati wakivuka barabara wakielekea  shuleni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanafunzi wanne wafariki kwa kugongwa na gari

Wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambila wilayani Nyang'wale, Geita  wamepoteza maisha baada ya kugongwa na gari wakati wakivuka barabara wakielekea  shuleni.

VIDEO: Hii ndio sura ya Serikali atakayoiunda Dr Mwinyi

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameahidi kuunda serikali makini itakayozingatia nidhamu na maadili ya viongozi na watumishi, utendaji kazi wenye viwango bora na kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kuimarisha huduma za jamii.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Hii ndio sura ya Serikali atakayoiunda Dr Mwinyi

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameahidi kuunda serikali makini itakayozingatia nidhamu na maadili ya viongozi na watumishi, utendaji kazi wenye viwango bora na kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kuimarisha huduma za jamii.

CUF kutoshiriki uchaguzi wowote hadi itakapoundwa tume huru

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuanzia sasa chama hicho hakitashiriki uchaguzi wowote hapa nchini, hadi  itakapopatikana tume huru ya uchaguzi itakayosimamia mchakato huo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CUF kutoshiriki uchaguzi wowote hadi itakapoundwa tume huru

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuanzia sasa chama hicho hakitashiriki uchaguzi wowote hapa nchini, hadi  itakapopatikana tume huru ya uchaguzi itakayosimamia mchakato huo.

Mambosasa: Waliopanga kuandamana hawakutoa taarifa polisi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema viongozi wa Chadema  wamekamatwa kwa kuwa wamepanga kuongoza maandamano bila kutoa taarifa yoyote polisi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mambosasa: Waliopanga kuandamana hawakutoa taarifa polisi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema viongozi wa Chadema  wamekamatwa kwa kuwa wamepanga kuongoza maandamano bila kutoa taarifa yoyote polisi.

VIDEO: RPC Dodoma aahidi kipigo kwa watakaoandamana

Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amewasihi watu wanaotaka kuandamana waache kwa kuwa polisi wamejipanga kuwapa kipigo alichokiita cha mbwa koko.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: RPC Dodoma aahidi kipigo kwa watakaoandamana

Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amewasihi watu wanaotaka kuandamana waache kwa kuwa polisi wamejipanga kuwapa kipigo alichokiita cha mbwa koko.

Mbowe, Lema wakamatwa Dar

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia viongozi watatu wa Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe  kwa madai ya kuwashawishi vijana kuandamana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe, Lema wakamatwa Dar

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia viongozi watatu wa Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe  kwa madai ya kuwashawishi vijana kuandamana.

Wasanii waliogeukia biashara ikawatoa

KUMEKUWEPO na madongo mengi kwa wasanii ambao wamekuwa wakitegemea muziki katika kuendesha maisha yao ya kila siku na inapofika wamechuja kwenye soko hali zao huwa taabani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wasanii waliogeukia biashara ikawatoa

KUMEKUWEPO na madongo mengi kwa wasanii ambao wamekuwa wakitegemea muziki katika kuendesha maisha yao ya kila siku na inapofika wamechuja kwenye soko hali zao huwa taabani.

Polisi mkoani Mbeya yawashikilia makada 20 wa Chadema

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya  linawashikilia wanachama zaidi ya 20 wa Chadema wanaodaiwa kufanya vurugu, ikiwa ni pamoja na kuchoma moto vibanda.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi mkoani Mbeya yawashikilia makada 20 wa Chadema

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya  linawashikilia wanachama zaidi ya 20 wa Chadema wanaodaiwa kufanya vurugu, ikiwa ni pamoja na kuchoma moto vibanda.

Get more results via ClueGoal