Tanzania

Viongozi 20 wa Chadema wakamatwa wakidaiwa kupanga maandamano

Viongozi 20 wa Chadema  Mkoa wa Singida wamekamatwa na polisi leo Jumapili Novemba mosi, 2020 kwa madai ya kupanga kufanya maandamano.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli: Hiki ni kipindi changu cha mwisho

Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020  na kubainisha kuwa baada ya kuibuka na ushindi ataliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano  na ndio itakuwa ya mwisho.

Kama wimbo hauna vigezo hivi, Basata wanakuhusu

Baraza la sanaa Taifa (BASATA) limekuwa maarufu sana miaka ya hivi karibuni. Huku licha ya kwamba lina majukumu mengi ikiwemo kutoa ithibati kwa kazi za wasanii, kuwatafutia wasanii fursa za kibiashara na masoko; lakini kwa kiasi kikubwa umaarufu wa baraza hi
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kama wimbo hauna vigezo hivi, Basata wanakuhusu

Baraza la sanaa Taifa (BASATA) limekuwa maarufu sana miaka ya hivi karibuni. Huku licha ya kwamba lina majukumu mengi ikiwemo kutoa ithibati kwa kazi za wasanii, kuwatafutia wasanii fursa za kibiashara na masoko; lakini kwa kiasi kikubwa umaarufu wa baraza hilo unatokana na matukio ya kufungia nyimbo.

Sababu watu milioni 14 kutojitokeza kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

Kutoaminika kwa mifumo ya kusimamia uchaguzi nchini, kumeelezwa kuwa sababu ya wananchi kutojitokeza kwa wingi kupiga kura, baada ya watu takriban milioni 14 kukosa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sababu watu milioni 14 kutojitokeza kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

Kutoaminika kwa mifumo ya kusimamia uchaguzi nchini, kumeelezwa kuwa sababu ya wananchi kutojitokeza kwa wingi kupiga kura, baada ya watu takriban milioni 14 kukosa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28.

Mmoja auawa, wafuasi wa Chadema, ACT wakamatwa

Wanachama zaidi ya 100 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo wanashikiliwa na polisi wakihusishwa na matukio mbalimbali hasa vurugu katika Uchaguzi Mkuu huku mmoja akiuawa mkoani Mara.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mmoja auawa, wafuasi wa Chadema, ACT wakamatwa

Wanachama zaidi ya 100 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo wanashikiliwa na polisi wakihusishwa na matukio mbalimbali hasa vurugu katika Uchaguzi Mkuu huku mmoja akiuawa mkoani Mara.

Watu 27 wapoteza maisha Uturuki kwa tetemeko la ardhi

Tetemeko la ardhi lililopiga pwani ya mji wa Aegean nchini Uturuki na Kaskazini mwa kisiwa cha Ugiriki cha Samos Ijumaa iliyopita, limeua takriban watu 27 na kujeruhi wengine 800.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watu 27 wapoteza maisha Uturuki kwa tetemeko la ardhi

Tetemeko la ardhi lililopiga pwani ya mji wa Aegean nchini Uturuki na Kaskazini mwa kisiwa cha Ugiriki cha Samos Ijumaa iliyopita, limeua takriban watu 27 na kujeruhi wengine 800.

Kampeni za urais Marekani zapamba moto dakika za mwisho

Rais wa Marekani, Donald Trump na mshindani wake, Joe Biden wapo katika hatua za mwisho za kampeni zao za uchaguzi wa Rais unaotarajiwa kufanyika Novemba 3.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kampeni za urais Marekani zapamba moto dakika za mwisho

Rais wa Marekani, Donald Trump na mshindani wake, Joe Biden wapo katika hatua za mwisho za kampeni zao za uchaguzi wa Rais unaotarajiwa kufanyika Novemba 3.

Sura mpya 170 bungeni

Bunge la 12 litakaloanza vikao vyake baadaye Novemba, litakuwa na sura mpya za wabunge 170 kati ya 264 waliochaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sura mpya 170 bungeni

Bunge la 12 litakaloanza vikao vyake baadaye Novemba, litakuwa na sura mpya za wabunge 170 kati ya 264 waliochaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu.

James Bond 'halisi' afariki

Sean Connery alielezewa na mashabiki wa filamu kuwa ndiye muigizaji bora wa nafasi ya James Bond, akiwaacha mbali wasanii wengine kama 007 wa sasa Daniel Craig na Roger Moore.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

James Bond 'halisi' afariki

Sean Connery alielezewa na mashabiki wa filamu kuwa ndiye muigizaji bora wa nafasi ya James Bond, akiwaacha mbali wasanii wengine kama 007 wa sasa Daniel Craig na Roger Moore.  

Matokeo haya hayajapata kutokea-Polepole

Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema tangu kuingia mfumo wa vyama vingi vya siasa, haijawahi kutokea chama hicho kupata ushindi mkubwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Matokeo haya hayajapata kutokea-Polepole

Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema tangu kuingia mfumo wa vyama vingi vya siasa, haijawahi kutokea chama hicho kupata ushindi mkubwa.

Mtihani wa ACT kukubali maridhiano Zanzibar

Tafsiri kupitia tamko la Rais mteule wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, baada ya kutangazwa mshindi, inaweza kujenga taswira kuwa kiongozi huyo anaweza kuwa na dhamira ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtihani wa ACT kukubali maridhiano Zanzibar

Tafsiri kupitia tamko la Rais mteule wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, baada ya kutangazwa mshindi, inaweza kujenga taswira kuwa kiongozi huyo anaweza kuwa na dhamira ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Polisi wakiri kumshikilia Mazrui, wenzake 32

Kamishina wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan amethibitisha polisi kumshikiria naibu katibu mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui na wenzake 32.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi wakiri kumshikilia Mazrui, wenzake 32

Kamishina wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan amethibitisha polisi kumshikiria naibu katibu mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui na wenzake 32.

Mbowe ataja sababu kukataa matokeo ya uchaguzi mkuu

Vyama vya Chadema na ACT- Wazalendo vimesema havitambui matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020, ikiwa ni pamoja ushindi wa wagombea wao katika ngazi ya ubunge, udiwani na uwakilishi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe ataja sababu kukataa matokeo ya uchaguzi mkuu

Vyama vya Chadema na ACT- Wazalendo vimesema havitambui matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020, ikiwa ni pamoja ushindi wa wagombea wao katika ngazi ya ubunge, udiwani na uwakilishi.

Wapinzani waungana kumng'oa bilionea

Georgia inaonekana kuwa mfano wa demokrasia kati ya nchi ambazo zilizokuwa za Kisovieti, lakiniuchaguzi katika nchi hiyo yenye watu wanaokaribia milioni nne huamsha maandamano.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wapinzani waungana kumng'oa bilionea

Georgia inaonekana kuwa mfano wa demokrasia kati ya nchi ambazo zilizokuwa za Kisovieti, lakiniuchaguzi katika nchi hiyo yenye watu wanaokaribia milioni nne huamsha maandamano.

Ronaldo apona corona, wengine waambukizwa

Wakati akiwa karantini, Ronaldo, mwenye miaka 35, amekosa mechi nne, ikiwemo ya kipigo cha mabao 2-0 mbele ya Barcelona ya Lionel Messi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, na ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dynamo Kiev katika mechi ya kwanza ya Kundi
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ronaldo apona corona, wengine waambukizwa

Wakati akiwa karantini, Ronaldo, mwenye miaka 35, amekosa mechi nne, ikiwemo ya kipigo cha mabao 2-0 mbele ya Barcelona ya Lionel Messi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, na ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dynamo Kiev katika mechi ya kwanza ya Kundi G.

Watu milioni 14.8 hawajapiga kura uchaguzi mkuu 2020

Matokeo ya urais yaliyotangazwa leo usiku Ijumaa Oktoba 30, 2020 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yanaonyesha kuwa Watanzania milioni 14.8 sawa na asilimia 49.8 hawakujitokeza kupiga kura.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watu milioni 14.8 hawajapiga kura uchaguzi mkuu 2020

Matokeo ya urais yaliyotangazwa leo usiku Ijumaa Oktoba 30, 2020 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yanaonyesha kuwa Watanzania milioni 14.8 sawa na asilimia 49.8 hawakujitokeza kupiga kura.  

NEC yamtangaza Magufuli kuwa mshindi kiti cha urais

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza mgombea wa CCM, John Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kupata kura 12,516,251 akifuatiwa na mgombea wa Chadema, Tundu Lissu aliyepata kura 1,933,271
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NEC yamtangaza Magufuli kuwa mshindi kiti cha urais

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza mgombea wa CCM, John Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kupata kura 12,516,251 akifuatiwa na mgombea wa Chadema, Tundu Lissu aliyepata kura 1,933,271

Donge la Sh2.3 trilioni kwa wanaobeti mshindi urais kati ya Trump v Biden

Donald Trump alichana mikeka ya waliobashiri kuwa angeshindwa uchaguzi mwaka 2016 baada ya kumbwaga Hilary Clinton na sasa hapewi tena nafasi ya kushinda.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Donge la Sh2.3 trilioni kwa wanaobeti mshindi urais kati ya Trump v Biden

Donald Trump alichana mikeka ya waliobashiri kuwa angeshindwa uchaguzi mwaka 2016 baada ya kumbwaga Hilary Clinton na sasa hapewi tena nafasi ya kushinda.

Upasiaji goti Van Dijk safi

Virgil van Dijk amefanyiwa upasuaji wa goti kwa mafanikio na ataanza kujirudisha katika hali yake, mabingwa wa soka wa England, Liverpool wameeleza leo Ijumaa (Oktoba 30).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Upasiaji goti Van Dijk safi

Virgil van Dijk amefanyiwa upasuaji wa goti kwa mafanikio na ataanza kujirudisha katika hali yake, mabingwa wa soka wa England, Liverpool wameeleza leo Ijumaa (Oktoba 30).

NEC yatangaza matokeo ya urais majimbo 264

Matokeo ya kura za urais yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yanaonyesha mgombea wa CCM, Dk John Magufuli anaongoza kwa kura katika majimbo 256 kati ya 264.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NEC yatangaza matokeo ya urais majimbo 264

Matokeo ya kura za urais yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yanaonyesha mgombea wa CCM, Dk John Magufuli anaongoza kwa kura katika majimbo 256 kati ya 264.

Waangalizi wamulika kasoro Uchaguzi Mkuu

Waangalizi wa kimataifa kutoka taasisi ya EISA wamesema miongoni mwa kasoro zilizokuwepo katika uchaguzi ni wagombea kukamatwa na kuwekwa rumande na matumizi ya mabomu ya machozi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waangalizi wamulika kasoro Uchaguzi Mkuu

Waangalizi wa kimataifa kutoka taasisi ya EISA wamesema miongoni mwa kasoro zilizokuwepo katika uchaguzi ni wagombea kukamatwa na kuwekwa rumande na matumizi ya mabomu ya machozi.

Get more results via ClueGoal