Maalim Seif asema hawajui alipo Mazrui , polisi wafuatilia
newsare.net
Wakati mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akisema hajui alipo naibu katibu mkuu wa chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui ambaye tangu jana asubuhi Alhamisi Oktoba 29, 2020 hajulikani alipo, jeshi la polisi limesema linafuatilia suala hilo.Maalim Seif asema hawajui alipo Mazrui , polisi wafuatilia
Wakati mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akisema hajui alipo naibu katibu mkuu wa chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui ambaye tangu jana asubuhi Alhamisi Oktoba 29, 2020 hajulikani alipo, jeshi la polisi limesema linafuatilia suala hilo.