Tanzania

Mbowe ashindwa kupiga kura

Mwenyekiti wa Chadema na mgombea ubunge jimbo la Hai, Freeman Mbowe ameshindwa kupiga kura kwa sababu alizoziita kuwa ni za kiusalama
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mambosasa asema polisi Dar hawajatumia mabomu mchakato wa uchaguzi

Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema polisi katika kanda hiyo hawajatumia mabomu ya machozi tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 26 hadi leo Oktoba 28, 2020.

Upendo Peneza alalama mawakala kunyang’anywa daftari

Kauli za mgombea ubunge Geita Mjini, kupitia Chadema  Upendo Peneza zimepishana na zile za msimamizi wa uchaguzi na kamanda wa polisi baada ya kudai mawakala wake kukataliwa na baadhi ya wanachama kushikiliwa na polisi  

Nusu fainali Ligi ya Mabingwa shakani

Johannesburg, Afrika Kusini (AFP). Mechi ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Zamalek na Raja Casablanca itakayofanyika Misri iko shakani kufanyika kutokana na janga la virusi vya corona katika klabu ya Morocco.

Sababu kata nne uchaguzi kutofanyika

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage amesema kata ya Igumbilo iliyopo manispaa ya Iringa, Kisingila  manispaa ya Kilolo na Nyahanga (mji wa Kahama) hazikufanya uchaguzi baada ya wagombea wake kufariki dunia.

Wanasiasa zamu yao imekwisha, leo ni siku ya majaji milioni 29

Watanzania milioni 29.188 leo wanatarajia wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa watakaowahudumia kwa miaka mitano ijayo. Kuanzia rais, wabunge na madiwani. Zanzibar walianza jana kuchagua rais na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.

VIDEO: Profesa Lipumba ashtushwa namba kuandikwa daftarini

Mgombea urais kwa tiketi ya CUF,  Profesa Ibrahim Lipumba ameshtushwa na utaratibu wa kuandika namba ya kitambulisho cha mpigakura katika karatasi ya kura unaofanywa vituoni .

Mgombea CUF alalama mawakala Jimbo la Tanga kuzuiwa

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Tanga, Daud Mayeji amesema mawakala walioshindwa kufuata taratibu zilizowekwa NEC, walizuia lakini utatuzi ulifanyika.

VIDEO: Sugu aeleza changamoto za uchaguzi jimbo la Mbeya

Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Mbilinyi amesema changamoto ambazo zimejitokeza tangu asubuhi ni kwa baadhi ya vituo vya kupigia kura kuwazuia au kuwachelewesha mawakala wetu kutimiza majukumu yao.

Dk Mwinyi afurahishwa na wingi wa wapiga kura vituoni

Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Hussein Mwinyi amesema usalama upo wa kutosha, wapiga kura ni watulivu licha ya baadhi ya maeneo kuwa na mvua

Sintofahamu ya uchaguzi Ivory Coast

Jumamosi, Ivory Coast itakuwa ikipiga kura kumchagua rais, wadhifa ambao umri wa wanaopewa nafasi ya kushinda ni takriban vizazi viwili kulinganisha na wastani wa umri wa wananchi.

Maalim Seif: Mwenendo upigaji kura Zanzibar ni mzuri

Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema mwenendo wa upigaji kura kwa baadhi ya vituo alivyopita ni mzuri.

VIDEO: Mgombea urais UPDP aruhusiwa kupiga kura, apanda basi kurudi Dar

Mgombea Urais kwa tiketi ya UPDP, Twalib Kadege leo Jumatano Oktoba 28, 2020 amepiga kura baada ya awali kuzuiwa kutokana na kutokuwa na kitambulisho na kupiga kura.

NEC: Makundi maalumu yapewe kipaumbele

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk Wilson Mahera ameridhishwa na shughuli ya upigaji kura inayoendelea na kuhimiza wasimamizi kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi hasa wa makundi maalumu.

NEC: Tutaanza kupokea matokeo ya urais leo usiku

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020 tume hiyo itaanza kutangaza matokeo ya kura za urais kutoka kwenye majimbo.

Watanzania waanza kupiga kura

Watanzania milioni 29.75 waanza kupiga kura leo Jumatano Oktoba 28, 2020 kuchagua Rais, wabunge na madiwani watakaoongoza kwa miaka mitano ijayo.

Washindwa kuhitimu jeshi kwa kutojua kusoma, kuandika

Vijana 35 kati ya 182  waliojiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la akiba wameshindwa kuhitimu mafunzo hayo kwa sababu mbalimbali ikiwemo baadhi yao kutojua kusoma na kuandika.

Nguzo 520 zawasili Babati baada ya agizo la Magufuli

Jana kwenye uwanja wa Kwaraa Mjini Babati mkoani Manyara, Rais Magufuli alimuagiza Waziri wa Nishati Dk Merdad Kalemani kuhakikisha wananchi  4,000 wanapata umeme kwa kuwa wameshalipia gharama ya Sh27,00 kila mmoja.

Polisi waeleza sababu tatu kutumia mabomu ya machozi Zanzibar

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi  kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani.

Vita ya kura milioni 29

Baada ya takriban siku 60 za kujinadi kukamilika leo, wagombea urais, ubunge na udiwani kesho watakuwa wakishuhudia jinsi wapigakura milioni 29.188 watakavyokuwa wakiamua vita yao.

Get more results via ClueGoal