Tanzania

Bosi Takukuru asema uchaguzi mkuu sio kipindi cha mavuno

Mkurugenzi mkuu wa Takukuru, Brigedia Jenerali John Mbungo amewataka wasimamizi wa uchaguzi nchini Tanzania na wananchi kutambua kuwa kipindi cha uchaguzi sio cha mavuno.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi mkoani Shinyanga wawatoa hofu wananchi

Jeshi la polisi mkoani Shinyanga limewataka wananchi wenye sifa ya kupiga kura kujitokeze kwa wingi ili kuchagua viongozi wanaowataka kwa kuwa ulinzi utakuwa wa kutosha kwenye vituo vyote.

Mourinho: Spurs hii bado kuifikia Madrid yangu

Wiki iliyopita, Tottenham ilitangulia kufunga mabao matatu na kuongoza 3-0 hadi dakika kumi za mwisho wakati West Ham waliposawazisha na mechi kuisha kwa sare ya mabao 3-3.

Dk Bashiru ataka ofisi za CCM kuwa maeneo ya kutoa haki

Dk Bashiru amesema kwa kuwa CCM ndiyo  inayosimamia Serikali, watendaji wake hawana budi kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kusubiri viongozi wa juu.

Mashahidi wa Jehova waingia gerezani wakishangilia

Badala ya kuwahukumu kifungo cha jela kwa kosa la kukataa kujiunga na mafunzo ya kijeshi, mamlaka zimeamua sasa mashahidi wa Jehova na wengine, waende gerezani kwa miaka mitatu kupata mafunzo ya uongozi.

VIDEO: Magufuli asifu demokrasia ndani ya CCM

Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli amesema Chama chake kinafuata misingi ya demokrasia katika utendaji ndiyo maana waliamua kumpitisha Mohammed Moni kugombea jimbo la Chemba badala ya Juma Nkamia

Ni wiki ya uamuzi

Ni wiki ya uamuzi. Ndivyo unavyoweza kuielezea wiki inayoanza leo wakati Watanzania milioni 29.2 watakapopiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani leshokutwa Oktoba 28.

Magufuli aahidi kuwaamsha watendaji wake wafikiri tofauti

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi kupitia CCM, John Magufuli amesema atakapochaguliwa tena, atakwenda kuwaamsha wataalamu walio chini yake ili waanze kufikiria nje ya boksi katika utendaji wao

Saa 7 za kutoweka kigogo ACT, aibuka mkutano wa Seif

Baada ya saa saba za sintofahamu kuhusu alipo Nassor Ahmed Mazrui, naibu katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Zanzibar, kiongozi huyo aliibuka jana alasiri katika mkutano wa kampeni wa Maalim Seif Sharif Hamad na kusimulia kilichomkuta.

RAHA, KARAHA ZA WASANII KATIKA ‘AWAMU YA TANO’

Miaka mitano ya Rais John Pombe Joseph Magufuli inaisha Jumatano. Ni siku tano tu toka hii leo. Tutatangaziwa rais atakayeunda serikali mpya. Suala la mitano tena au mitano kwanza, liko mikononi mwa wapiga kura wa nchi hii. Yes!

Mbowe: Ndani ya saa 72 Lissu atakuwa Rais, mimi Waziri mkuu Mungu akipenda

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mgaywa wa SAU aahidi kumpatia uwaziri mkuu Dk Magufuli akiingia madarakani

Anasema Dk John Magufuli ni mchapakazi, anafaa kuwa waziri mkuu wake akiingia madarakani na ameona kuna mawaziri watatu wa Serikali ya CCM wanafaa kuteuliwa kuwa mawaziri.

‘Jitokezeni kwa wingi Oktoba 28 kupiga kura’

Watanzania wamekumbushwa kuacha uvivu na uzembe wa kutoshiriki upigaji wa kura badala yake wajitokeze kwa wingi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28,2020.

VIDEO: Lipumba kuleta ushindani ununuzi wa korosho

Mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, atahakikisha kunakuwepo na ushindani wa ununuzi wa korosho kwa wafanyabiashara ili kuondoa utaratibu uliopo sasa.

Partey amnyanyua kwapa Arteta

Kiwango cha Partey kilionekana kuwa cha kawaida tu kwenye usiku huo wa Arsenal huko Austria, huku mabao ya David Luiz na Pierre-Emerick Aubameyang yakiwabeba na kushinda 2-1 baada ya kipa Bernd Leno makosa yake kuwazawaidia bao la kuongoza wenyewe kwenye kipi
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Partey amnyanyua kwapa Arteta

Kiwango cha Partey kilionekana kuwa cha kawaida tu kwenye usiku huo wa Arsenal huko Austria, huku mabao ya David Luiz na Pierre-Emerick Aubameyang yakiwabeba na kushinda 2-1 baada ya kipa Bernd Leno makosa yake kuwazawaidia bao la kuongoza wenyewe kwenye kipindi cha pili.

Maalim Seif ampeleka Dk Mwinyi ZEC

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema chama hicho kimewasilisha barua kwa kamati ya maadili ya uchaguzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar ( ZEC) kikitaka mgombea wa CCM Dk Hussein Mwinyi achukuliwe hat
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maalim Seif ampeleka Dk Mwinyi ZEC

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema chama hicho kimewasilisha barua kwa kamati ya maadili ya uchaguzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar ( ZEC) kikitaka mgombea wa CCM Dk Hussein Mwinyi achukuliwe hatua kwa kiuka maadili ya uchaguzi.

Magufuli amtumia Slaa kuikomboa Karatu

Jimbo la Karatu ndilo lililomuibua Dk Slaa, ambaye alipata umaarufu nchini kutokana na kupinga ufisadi na kuuanika, ikiwemo kutangaza orodha ya mafisadi, maarufu kama List of Shame.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli amtumia Slaa kuikomboa Karatu

Jimbo la Karatu ndilo lililomuibua Dk Slaa, ambaye alipata umaarufu nchini kutokana na kupinga ufisadi na kuuanika, ikiwemo kutangaza orodha ya mafisadi, maarufu kama List of Shame.

Lissu alia rafu, NEC wamjibu

Malalamiko hayo ya Lissu yamekuja wakati tayari Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe wakitoa madai ya kuongezwa kwa wapiga kura na vituo hewa vya kupigia kura.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lissu alia rafu, NEC wamjibu

Malalamiko hayo ya Lissu yamekuja wakati tayari Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe wakitoa madai ya kuongezwa kwa wapiga kura na vituo hewa vya kupigia kura.

Ombi la walemavu wasioona lazaa matunda NEC

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wasioona mkoani Tabora, waliweka azimio kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), iandae utaratibu utakaowawezesha kupiga kura bila msaada wa mtu mwingine kwa kutumia alama zao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ombi la walemavu wasioona lazaa matunda NEC

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wasioona mkoani Tabora, waliweka azimio kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), iandae utaratibu utakaowawezesha kupiga kura bila msaada wa mtu mwingine kwa kutumia alama zao.

Get more results via ClueGoal