Tanzania

Uchaguzi unakuja na hofu Ivory Coast

Idadi ya watu kati ya 3,000 waliopoteza maisha katika mapigano, wanatokeo eneo hilo, ambalo roho ya Ivory Coast katika uzalishaji wa cocoa na ni chanzo cha machafuko ya kikabila.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zidade ashusha presha Barca ikilala nyumbani

Real Madrid leo imekwepesha mzozo kwa njia bora baada ya kuinyuka Barcelona ugenini kwa mabao 3-1 katika mechi ya kwanza baina ya vigogo hao kufanyika bila ya mashabiki.

Waandamana London kuunga mkono Maandamano Nigeria

Karibu watu 500 leo Jumamosi wameandamana katika mitaa ya London kuunga mkono maandamano ya vijana nchini Nigeria ambayo yamesababisha taifa zima kuwa katika wasiwasi.

Mwanamke aliwa na mamba

Rulensi Igayo (28) mkazi wa kijiji cha Kisaba kata ya Maisome halmashauri ya Buchosa Mkoa wa Mwanza amekufa baada ya kuliwa na mamba wakati akiogelea katika ziwa Victoria.

Mwalimu aahidi kumpa Bashe ukuu wa wilaya

Mgombea mwenza wa Chadema, Salum Mwalimu amesema atafikiria kumpa ukuu wa wilaya mgombea ubunge wa CCM Nzega mjini, Hussein Bashe ikiwa atakubali kumuachia jimbo hilo mgombea wa Chadema, Mary Atonga.  

Mdee ahojiwa kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya kunasa sauti

Dar ea Salaam. Mgombea ubunge Kawe (Chadema), Halima Mdee jana Ijumaa Oktoba 23,2020 alikamatwa na jeshi la polisi kituo cha Mbweni na kuhojiwa kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya kunasia sauti kinyume na sheria za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Mwandishi amuomba radhi kinda wa Barcelona Ansu Fati

Katika ripoti yake ya mechi mwandishi alifananisha uchezaji wa Fati na harakati za kijana mweusi anayeuza bidhaa mitaani na kukurupushwa na polisi.

Tanzania yapokea msaada wa Sh39 bilioni kuboresha sekta ya afya

Serikali ya Uswisi imetoa msaada wa Sh39.59 bilioni kwa Tanzania kwa ajili ya kuboresha na kuwezesha huduma za afya kwa wote na kupunguza ugonjwa malaria.

VIDEO:Wajawazito wakumbushwa chanjo ya polio

Kesho Jumamosi Oktoba 24, 2020 ni siku ya polio duniani ambalo nchini Tanzania wajawazito wamekumbushwa kuhakikisha watoto wanaozaliwa wanapewa chanjo ya ugonjwa huo kama inavyoelekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO).

Lipumba aahidi makubwa kwa wakulima wa ufuta

Mgombea urais kupitia CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amewaahidi  wakulima wa ufuta Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kuwatafutia  masoko ya  uhakika  endapo watamchagua kuwa Rais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.

Wagombea wapongeza usawa kwenye kampeni

Wagombea Ubunge wa vyama vya upinzani jimbo la Ilemela wamesema licha ya kuingia kwenye uchaguzi bila kuwa na Tume huru ya Uchaguzi wana matumaini kufanyika uchaguzi huru.

Mtaliano aliyebaka mabinti 160 anaswa

Raia wa Italia amekamatwa nchini Ufaransa kwa kibali kilichotolewa na Ujerumani, ambako anasakwa kwa makosa 160 ya kubaka na mashambulizi ya kingono dhidi ya binti yake na watoto wengine, polisi imeiambia  AFP leo Ijumaa.

Nyota wa Madrid hatarini kufungwa miezi sita

Mshambuliaji huyo Mserbia anashtakiwa kwa kosa la kuonekana akikata mitaa ya Belgrade na kupata kinywaji na wenzake wakati nchi ikiwa katika mlipuko wa corona.

Waangalizi wa uchaguzi watakiwa kutoshabikia vyama

Waangalizi wa uchaguzi wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na sio kushabikia vyama vya siasa, kutakiwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbele.

Zidane ataka Madrid wapambane kwa Barcelona

Real Madrid na Barcelona, klabu vigogo katika soka nchini Hispania, zinakutana leo katika uwanja wa Camp Nou ikiwa ni mara ya kwanza msimu huu kukutana katika La Liga.

Mwalimu: Tutatoa kipaumbele kwa watu si wanyamapori

Mgombea mwenza wa Chadema, Salum Mwalimu amesema chama hicho kikiibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 kitatoa kipaumbele kwa watu si wanyamapori ikiwa wanyama hao watavamia makazi ya wananchi na kufanya uharibifu.

Queen aahidi kuipa kipaumbele sekta binafsi

Mgombea huyo amesema uchumi wa kisasa utakaotoa fursa kwa wananchi wengi zaidi unahitaji ushiriki wa kila mdau, hivyo Serikali yake itatambua na kuthamini mchango wa sekta binafsi kwa kuipa nafasi kubwa kwenye shughuli muhimu zitakazosaidia kuongeza mzunguko
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Queen aahidi kuipa kipaumbele sekta binafsi

Mgombea huyo amesema uchumi wa kisasa utakaotoa fursa kwa wananchi wengi zaidi unahitaji ushiriki wa kila mdau, hivyo Serikali yake itatambua na kuthamini mchango wa sekta binafsi kwa kuipa nafasi kubwa kwenye shughuli muhimu zitakazosaidia kuongeza mzunguko wa fedha, kutoa ajira hivyo kupunguza umasikini.

Aliyemwagiwa maji ya moto na mumewe aungua kwa asilimia 18

Mwanamke huyo alimwagiwa maji ya moto na mumewe Muhono John (25), Oktoba 19 kama adhabu kwa kosa hilo. Maji hayo yalikuwa yakichemka jikoni kwa ajili ya kusonga ugali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Aliyemwagiwa maji ya moto na mumewe aungua kwa asilimia 18

Mwanamke huyo alimwagiwa maji ya moto na mumewe Muhono John (25), Oktoba 19 kama adhabu kwa kosa hilo. Maji hayo yalikuwa yakichemka jikoni kwa ajili ya kusonga ugali.

Hakikisheni mna fedha, NEC yawaambia waangalizi wa uchaguzi

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk Wilson Mahera amewashauri waangalizi wa ndani wa uchaguzi kuwa na fedha ili wawe na uwezo wa kufanya kazi hiyo badala ya kutegemea wafadhili.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hakikisheni mna fedha, NEC yawaambia waangalizi wa uchaguzi

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk Wilson Mahera amewashauri waangalizi wa ndani wa uchaguzi kuwa na fedha ili wawe na uwezo wa kufanya kazi hiyo badala ya kutegemea wafadhili.

Lema aibua mapya jimbo la Arusha, Msimamizi wa uchaguzi ampinga

Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amesema amebaini hujuma ya kuongezwa wapigakura hewa na kuondolewa kwa mawakala wake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lema aibua mapya jimbo la Arusha, Msimamizi wa uchaguzi ampinga

Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amesema amebaini hujuma ya kuongezwa wapigakura hewa na kuondolewa kwa mawakala wake.

Takukuru Njombe yaokoa mamilioni ya shilingi ya Amcos, Saccos, Njocoba

Takukuru mkoa wa Njombe kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imeendelea na kazi ya ufuatiliaji na ukusanyaji wa fedha zilizokopwa na kufanyiwa ubadhilifu na vyama vya AMCOS, SACCOS na Njocoba.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Takukuru Njombe yaokoa mamilioni ya shilingi ya Amcos, Saccos, Njocoba

Takukuru mkoa wa Njombe kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imeendelea na kazi ya ufuatiliaji na ukusanyaji wa fedha zilizokopwa na kufanyiwa ubadhilifu na vyama vya AMCOS, SACCOS na Njocoba.

Msikie mgombea ubunge Madoga alichosema kuhusu mawakala

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Dodoma mjini, Msekeni Mkufya ameliambia Mwananchi leo Oktoba 22,2020 kuwa kazi ya kuwaapisha mawakala ilianza upya kwa siku ya leo kwa kuwa kiapo kilichofanyika hakikuwa sahihi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Msikie mgombea ubunge Madoga alichosema kuhusu mawakala

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Dodoma mjini, Msekeni Mkufya ameliambia Mwananchi leo Oktoba 22,2020 kuwa kazi ya kuwaapisha mawakala ilianza upya kwa siku ya leo kwa kuwa kiapo kilichofanyika hakikuwa sahihi.

Chadema kutumia siku 365 kuwalipa fidia wakulima

Mgombea mwenza wa Urais wa Chadema, Salum Mwalimu amesema endapo chama hicho kitashinda dola katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, kitatumia siku 365 kuwalipa wakulima wote wanadai fedha zao katika vyama vya ushirika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Chadema kutumia siku 365 kuwalipa fidia wakulima

Mgombea mwenza wa Urais wa Chadema, Salum Mwalimu amesema endapo chama hicho kitashinda dola katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, kitatumia siku 365 kuwalipa wakulima wote wanadai fedha zao katika vyama vya ushirika.

Miradi minne ya ujenzi, ukarabati viwanja vya ndege yazinduliwa

Wizara ya Ujenzi imesema itasimamia kikamilifu ubora katika ujenzi wa viwanja vya vinne kwa lengo la kufikia malengo ya upanuaji wa fursa za kiuchumi kupitia sekta ya uchukuzi, utalii, kilimo na anga katika mikoa husika na nchi kwa ujumla.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Miradi minne ya ujenzi, ukarabati viwanja vya ndege yazinduliwa

Wizara ya Ujenzi imesema itasimamia kikamilifu ubora katika ujenzi wa viwanja vya vinne kwa lengo la kufikia malengo ya upanuaji wa fursa za kiuchumi kupitia sekta ya uchukuzi, utalii, kilimo na anga katika mikoa husika na nchi kwa ujumla.

Zec yaweka wazi waliokosewa majina yao katika daftari la wapigakura

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec), imesema kukosewa kwa majina, picha au jinsia kwa baadhi ya wapigakura kwenye daftari la wapigakura kumechangiwa na wapigakura wenyewe kushindwa kufanya uhakiki wa taarifa zao wakati kazi hiyo ilipofanyika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zec yaweka wazi waliokosewa majina yao katika daftari la wapigakura

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec), imesema kukosewa kwa majina, picha au jinsia kwa baadhi ya wapigakura kwenye daftari la wapigakura kumechangiwa na wapigakura wenyewe kushindwa kufanya uhakiki wa taarifa zao wakati kazi hiyo ilipofanyika.

VIGOGO ULAYA KUANZISHA LIGI YAO MPYA

Baada ya kufeli kwenye mpango wao Project Big Picture uliolenga kufanya mabadiliko kwa klabu za Ligi Kuu England, miamba hiyo miwili ya soka la Uingereza imekuja na mpango mwingine mpya wa kuhusu klabu za Ulaya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIGOGO ULAYA KUANZISHA LIGI YAO MPYA

Baada ya kufeli kwenye mpango wao Project Big Picture uliolenga kufanya mabadiliko kwa klabu za Ligi Kuu England, miamba hiyo miwili ya soka la Uingereza imekuja na mpango mwingine mpya wa kuhusu klabu za Ulaya.

Get more results via ClueGoal