Tanzania

VIDEO: Mawakala Arumeru Mashariki waonywa kutovunja sheria

Wito huo umetolewa leo na msimamizi wa uchaguzi jimbo hilo, Emmanueli Mkongo alipokuwa akiwaapishwa mawakala wa vyama vya siasa kutoka  kata 26 za jimbo hilo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NMB yashinda tuzo ya benki salama 2020

Benki ya NMB imeshinda tuzo ya umahiri baada ya kuibuka benki salama zaidi nchini kwa mwaka 2020 iliyotolewa Jumatatu wiki hii na jarida la kimataifa la Global Finance la jijini New York, Marekani.

KCBL yapigwa jeki na CRDB, yaanza kutoa huduma

Naibu Waziri Kijaji ametoa pongezi hizo katika hafla ya uzinduzi wa huduma za Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo mkoani Kilimanjaro na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Kilim
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

KCBL yapigwa jeki na CRDB, yaanza kutoa huduma

Naibu Waziri Kijaji ametoa pongezi hizo katika hafla ya uzinduzi wa huduma za Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo mkoani Kilimanjaro na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,  Anna Mghwira na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt Benard Kibese.

Taasisi za fedha, sekta binafsi zatakiwa kushirikiana

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitoa rai hiyo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa sekta binafsi waliohudhuria Mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) jijini Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Taasisi za fedha, sekta binafsi zatakiwa kushirikiana

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitoa rai hiyo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa sekta binafsi waliohudhuria Mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) jijini Dar es Salaam.

VIDEO: Magufuli azindua kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi Kilimanjaro

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema atashangaa viongozi wa serikalini, viongozi wa kitaifa na wanafunzi kama wataendelea kuvaa viatu vinavyozalishwa nje ya nchi badala ya vinavyozalishwa na viwanda vya ndani  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Magufuli azindua kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi Kilimanjaro

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema atashangaa viongozi wa serikalini, viongozi wa kitaifa na wanafunzi kama wataendelea kuvaa viatu vinavyozalishwa nje ya nchi badala ya vinavyozalishwa na viwanda vya ndani  

Magufuli: New York Times limetutaja hatuna maambukizo ya virusi vya corona

Tanzania imetajwa kuwa isiyokuwa na virusi vya corona kupitia gazeti la New York Times baada ya kuwekewa rangi nyeupe tofauti na nchi nyingine.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli: New York Times limetutaja hatuna maambukizo ya virusi vya corona

Tanzania imetajwa kuwa isiyokuwa na virusi vya corona kupitia gazeti la New York Times baada ya kuwekewa rangi nyeupe tofauti na nchi nyingine.

Mwanamke mbaroni kwa kumkeketa mjukuu wa siku tisa

Detruda Faustine (43), mkazi wa kijiji cha Chibasi Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumkeketa mjukuu wake mwenye umri wa siku tisa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwanamke mbaroni kwa kumkeketa mjukuu wa siku tisa

Detruda Faustine (43), mkazi wa kijiji cha Chibasi Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumkeketa mjukuu wake mwenye umri wa siku tisa.

Yafahamu mambo muhimu kadhaa yanayoathiri thamani ya shilingi

Thamani ya shilingi ya Tanzania inapimwa kwa kuilinganisha na nyingine duniani. Kiwango cha kubadilisha shilingi kwa sarafu nyingine ndicho kipimo kikuu cha thamani ya shilingi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Yafahamu mambo muhimu kadhaa yanayoathiri thamani ya shilingi

Thamani ya shilingi ya Tanzania inapimwa kwa kuilinganisha na nyingine duniani. Kiwango cha kubadilisha shilingi kwa sarafu nyingine ndicho kipimo kikuu cha thamani ya shilingi.

Tukiingia madarakani hatutamvunjia heshima Magufuli

Mgombea mwenza wa urais wa Chadema, Salum Mwalimu amesema endapo chama chake kitashinda dola kitamheshimu na Rais wa sasa John Magufuli na kumpatia haki zake zote kama Rais mstaafu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tukiingia madarakani hatutamvunjia heshima Magufuli

Mgombea mwenza wa urais wa Chadema, Salum Mwalimu amesema endapo chama chake kitashinda dola kitamheshimu na Rais wa sasa John Magufuli na kumpatia haki zake zote kama Rais mstaafu.

TRA yaongeza matumizi stempu za kielektroni bidhaa za aina nne

Kwa mujibu wa Tangazo la TRA lililotolewa katika gazeti la Mwananchi jana linaeleza kuwa hatua hiyo inafuatia kukamilika na kuanza kwa matumizi ya mfumo huo kwa awamu ya kwanza na pili.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TRA yaongeza matumizi stempu za kielektroni bidhaa za aina nne

Kwa mujibu wa Tangazo la TRA lililotolewa katika gazeti la Mwananchi jana linaeleza kuwa hatua hiyo inafuatia kukamilika na kuanza kwa matumizi ya mfumo huo kwa awamu ya kwanza na pili.

Msajili ailima barua ACT Wazalendo, kisa Maalim Seif kupanda jukwaa moja na Lissu

Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua chama cha ACT Wazalendo akikitaka kijieleze kwa nini kisichukuliwe hatua kwa mwenyekiti wake, Maalim Seif Sharif Hamad kupanda jukwaa la mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu katika mkutano uliofanyika Moshi mjin
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Msajili ailima barua ACT Wazalendo, kisa Maalim Seif kupanda jukwaa moja na Lissu

Msajili wa vyama vya siasa amekiandikia barua chama cha ACT Wazalendo akikitaka kijieleze kwa nini kisichukuliwe hatua kwa mwenyekiti wake, Maalim Seif Sharif Hamad kupanda jukwaa la mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu katika mkutano uliofanyika Moshi mjini Oktoba 19

Mbeya mjini wachukua tahadhari ya corona Oktoba 28

Jimbo la mbeya mjini lina vituo 760 vya kupigia kura na ili kujikinga na maambukizo ya corona, vimetengewa maeneo maalumu ya wapiga kura kunawa mikono kabla ya kupiga kura na baada.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbeya mjini wachukua tahadhari ya corona Oktoba 28

Jimbo la mbeya mjini lina vituo 760 vya kupigia kura na ili kujikinga na maambukizo ya corona, vimetengewa maeneo maalumu ya wapiga kura kunawa mikono kabla ya kupiga kura na baada.

Mgombea ubunge Chadema aliyeomba kulala rumande apata dhamana

Sababu ya kuomba kulala mahabusu, mgombea huyo anasema alikuwa hana imani na usalama wake kama angeenda nyumbani kwake kabla ya kuapishwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgombea ubunge Chadema aliyeomba kulala rumande apata dhamana

Sababu ya kuomba kulala mahabusu, mgombea huyo anasema alikuwa hana imani na usalama wake kama angeenda nyumbani kwake kabla ya kuapishwa.

Mazao kutohifadhiwa vizuri kunavyoathiri lishe, uchumi

Taarifa ya hali ya uzalishaji wa chakula kwa kuzingatia kigezo cha upimaji wa kiwango cha utoshelevu inaonyesha kuwa kwa mwaka wa chakula 2019/20 Tanzania itakuwa na kiwango cha utoshelevu cha asilimia 119.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mazao kutohifadhiwa vizuri kunavyoathiri lishe, uchumi

Taarifa ya hali ya uzalishaji wa chakula kwa kuzingatia kigezo cha upimaji wa kiwango cha utoshelevu inaonyesha kuwa kwa mwaka wa chakula 2019/20 Tanzania itakuwa na kiwango cha utoshelevu cha asilimia 119.

Bibi mbaroni kwa kumkeketa mjukuu wa siku tisa

Detruda Faustine (43), mkazi wa kijiji cha Chibasi Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumkeketa mjukuu wake mwenye umri wa siku tisa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bibi mbaroni kwa kumkeketa mjukuu wa siku tisa

Detruda Faustine (43), mkazi wa kijiji cha Chibasi Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumkeketa mjukuu wake mwenye umri wa siku tisa.

Nyimbo za Bob Marley zinavyotumika kuhamasisha kampeni za Tundu Lissu

Wimbo huo ndiyo umetawala katika kampeni za mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu kila anapohutubia wananchi katika mikutano yake kote anakopita.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nyimbo za Bob Marley zinavyotumika kuhamasisha kampeni za Tundu Lissu

Wimbo huo ndiyo umetawala katika kampeni za mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu kila anapohutubia wananchi katika mikutano yake kote anakopita.

Haki itendeke kuandikisha, kuapisha mawakala

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk Wilson Mahera akiwa mkoani Ruvuma amenukuliwa akiwaagiza wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa ifikapo leo Oktoba 21.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Haki itendeke kuandikisha, kuapisha mawakala

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk Wilson Mahera akiwa mkoani Ruvuma amenukuliwa akiwaagiza wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa ifikapo leo Oktoba 21.

Pyramids yakaribia kutimiza ndoto Afrika

Timu hiyo mpya katika soka barani Afrika imefanikiwa kutinga fainali baada ya kuibwaga Horoya ya Guinea kwa mabao 2-0 katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Pyramids yakaribia kutimiza ndoto Afrika

Timu hiyo mpya katika soka barani Afrika imefanikiwa kutinga fainali baada ya kuibwaga Horoya ya Guinea kwa mabao 2-0 katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF.

Takukuru yaokoa mabilioni Arusha

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini Tanzania (Takukuru) Mkoa wa Arusha imeokoa Sh4.1 bilioni  zilizokuwa zimefujwa na kutolewa mikopo kinyume na taratibu kuanzia Julai 2020 hadi Septemba.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Takukuru yaokoa mabilioni Arusha

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini Tanzania (Takukuru) Mkoa wa Arusha imeokoa Sh4.1 bilioni  zilizokuwa zimefujwa na kutolewa mikopo kinyume na taratibu kuanzia Julai 2020 hadi Septemba.

Mgombea ubunge Chadema aomba kulala rumande, polisi wamkamata

Mgombea ubunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Chief Kalumuna amesema hana imani na usalama wake akienda nyumbani kwake bila kuapishwa kwani kwa mazingira, hali ya kisiasa na joto la uchaguzi jimboni humo, lolote linaweza kumtokea na hivyo kushindwa kuapishwa kesh
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgombea ubunge Chadema aomba kulala rumande, polisi wamkamata

Mgombea ubunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Chief Kalumuna amesema hana imani na usalama wake akienda nyumbani kwake bila kuapishwa kwani kwa mazingira, hali ya kisiasa na joto la uchaguzi jimboni humo, lolote linaweza kumtokea na hivyo kushindwa kuapishwa kesho Alhamisi Oktoba 22, 2020 kama msimamizi wa uchaguzi alivyopanga.

Serikali ya Tanzania yawaonya viongozi wa dini wanaowapigia debe wanasiasa

Serikali ya Tanzania  imewakumbusha viongozi wa madhehebu ya dini kuacha kutumia majukwaa ya kisiasa kuwanadi wagombea wa vyama mbalimbali vya siasa kwani kufanya hivyo ni kuingilia uhuru wa kikatiba wa kila mtu kumchagua mgombea anayemtaka.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali ya Tanzania yawaonya viongozi wa dini wanaowapigia debe wanasiasa

Serikali ya Tanzania  imewakumbusha viongozi wa madhehebu ya dini kuacha kutumia majukwaa ya kisiasa kuwanadi wagombea wa vyama mbalimbali vya siasa kwani kufanya hivyo ni kuingilia uhuru wa kikatiba wa kila mtu kumchagua mgombea anayemtaka.

Mwenyekiti wa Chadema Katavi amlalamikia msimamizi wa uchaguzi Mpanda Vijijini

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela amesema mawakala wa chama hicho hawajaapishwa
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwenyekiti wa Chadema Katavi amlalamikia msimamizi wa uchaguzi Mpanda Vijijini

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela amesema mawakala wa chama hicho hawajaapishwa

Mawakala Kigoma Mjini wapewa neno

Mkuu wa dawati la elimu kwa umma kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kigoma Leonida Mashema amesema ni muhimu kila mmoja kuzingatia kiapo chake
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mawakala Kigoma Mjini wapewa neno

Mkuu wa dawati la elimu kwa umma kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kigoma Leonida Mashema amesema ni muhimu kila mmoja kuzingatia kiapo chake

Mapema tu, Kaze yuko Uwanjani

Kaze ambaye ana uzoefu na soka la Cecafa, amesaini mkataba wa miaka miwili Ijumaa iliyopita kuifundisha timu hiyo akitokea Canada.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mapema tu, Kaze yuko Uwanjani

Kaze ambaye ana uzoefu na soka la Cecafa, amesaini mkataba wa miaka miwili Ijumaa iliyopita kuifundisha timu hiyo akitokea Canada.

Kenyatta ataka mabadiliko ya katiba

Kenya iliingia katika machafuko baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 uliosababisha watu zaidi ya 1,100 kupoteza maisha na baadaye zaidi ya watu 90 kuuawa katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2017.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kenyatta ataka mabadiliko ya katiba

Kenya iliingia katika machafuko baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 uliosababisha watu zaidi ya 1,100 kupoteza maisha na baadaye zaidi ya watu 90 kuuawa katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2017.

Vijana Morogoro waonywa kuelekea uchaguzi mkuu

Kamati ya amani na maridhiano ya mkoa wa Morogoro imewatahadharisha vijana kutotumika na wanasiasa kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Vijana Morogoro waonywa kuelekea uchaguzi mkuu

Kamati ya amani na maridhiano ya mkoa wa Morogoro imewatahadharisha vijana kutotumika na wanasiasa kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020.

Mwalimu: Kura ndio silaha yako, kutesa kwa zamu

Mgombea mwenza wa Chadema, Salum Mwalimu amesema kipindi ambacho wananchi  wanatakiwa ‘kutesa’ ni katika uchaguzi mkuu kwa kuwa ndio wenye ridhaa ya kuamua maisha yao ya miaka mitano ijayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwalimu: Kura ndio silaha yako, kutesa kwa zamu

Mgombea mwenza wa Chadema, Salum Mwalimu amesema kipindi ambacho wananchi  wanatakiwa ‘kutesa’ ni katika uchaguzi mkuu kwa kuwa ndio wenye ridhaa ya kuamua maisha yao ya miaka mitano ijayo.

Get more results via ClueGoal