Tanzania

Alichokisema Mwinyi kuhusu Magufuli

Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amewataka wananchi kumchagua mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli ili amalize miradi mikubwa ambayo hajaimaliza.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbatia, Komu ruksa kuendelea na kampeni

Wagombea hao wawili wa ubunge majimbo ya Vunjo na Moshi Vijijini walipewa adhabu ya kutofanya kampeni kwa siku 7 kuanzia Oktoba 17 hadi 23 lakini kamati ya maadili ya Kitaifa imetengua adhabu  

Rais wa zamani Burundi afungwa maisha

Rais wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya, ambaye kwa sasa ni mwakilishi maalum wa Umoja wa Afrika nchini Mali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mrithi wake mwaka 1993, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ambao AFP imeon
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rais wa zamani Burundi afungwa maisha

Rais wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya, ambaye kwa sasa ni mwakilishi maalum wa Umoja wa Afrika nchini Mali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mrithi wake mwaka 1993, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ambao AFP imeona nakala yake.

Watu 152 wanusurika kufa kwa kula chakula chenye ‘sumu’

Watu 152 wakiwemo watoto 79 wamenusurika kufa baada ya kula chakula kinachodhaniwa kuwa na sumu katika sherehe ya kuzaliwa watoto mapacha.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watu 152 wanusurika kufa kwa kula chakula chenye ‘sumu’

Watu 152 wakiwemo watoto 79 wamenusurika kufa baada ya kula chakula kinachodhaniwa kuwa na sumu katika sherehe ya kuzaliwa watoto mapacha.  

NBS: Takwimu ni mali ya umma, zitumieni

Ofisi ya Takwimu nchini Tanzania (NBS) imesema asilimia 100 ya takwimu zinazozalishwa na ofisi hiyo zinatumiwa na Serikali na kuwataka wananchi kuzitumia kupanga mipango ya maendeleo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NBS: Takwimu ni mali ya umma, zitumieni

Ofisi ya Takwimu nchini Tanzania (NBS) imesema asilimia 100 ya takwimu zinazozalishwa na ofisi hiyo zinatumiwa na Serikali na kuwataka wananchi kuzitumia kupanga mipango ya maendeleo.

Familia: Tunamuachia Mungu ajali iliyowachukua ndugu zetu watano

Amos Jeremia, baba mzazi wa Edward Katemi aliyepoteza mke, watoto watatu na mdogo wake katika ajali ya moto iliyotokea Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, amesema familia yake imemuachia Mungu tukio hilo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Familia: Tunamuachia Mungu ajali iliyowachukua ndugu zetu watano

Amos Jeremia, baba mzazi wa Edward Katemi aliyepoteza mke, watoto watatu na mdogo wake katika ajali ya moto iliyotokea Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, amesema familia yake imemuachia Mungu tukio hilo.

Lissu, Maalim Seif jukwaa moja Moshi

Wanasiasa wawili wanaogombea urais, Tundu Lissu na Maalim Seif Sharif Hamad jana walipanda jukwaa moja, ikiwa ni mara ya kwanza tangu wawili hao waonyeshe kuungana mkono katika Uchaguzi Mkuu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Lissu, Maalim Seif jukwaa moja Moshi

Wanasiasa wawili wanaogombea urais, Tundu Lissu na Maalim Seif Sharif Hamad jana walipanda jukwaa moja, ikiwa ni mara ya kwanza tangu wawili hao waonyeshe kuungana mkono katika Uchaguzi Mkuu.

Takukuru yafanikisha wafanyakazi 27 shambani kulipwa fedha zao Sh17.7 milioni

Wafanyakazi hao 27 tangu Novemba 2019 wamefanya kazi kwenye mashamba bila kulipwa mshahara, ikiwa ni kinyume na makubaliano ya mikataba ya ajira zao
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Takukuru yafanikisha wafanyakazi 27 shambani kulipwa fedha zao Sh17.7 milioni

Wafanyakazi hao 27 tangu Novemba 2019 wamefanya kazi kwenye mashamba bila kulipwa mshahara, ikiwa ni kinyume na makubaliano ya mikataba ya ajira zao

Jackline Mengi: Mafuriko yamegusa hisia zangu

Jackline Mengi ambaye ni mke wa marehemu Reginald Mengi ameeleza jinsi mafuriko yaliyotokana na mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam kati ya Oktoba 13 hadi 18, 2020 yalivyosababisha apoteze vitu vya thamani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jackline Mengi: Mafuriko yamegusa hisia zangu

Jackline Mengi ambaye ni mke wa marehemu Reginald Mengi ameeleza jinsi mafuriko yaliyotokana na mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam kati ya Oktoba 13 hadi 18, 2020 yalivyosababisha apoteze vitu vya thamani.

Maalim Seif: Tunamuunga mkono Lissu, Membe anawachanganya wananchi

Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza masikitiko yake kuhusu kauli ya mgombea urais kupitia chama hicho, Bernard Membe kutangaza kuendelea na kampeni wakati chama hicho kimetangaza kumuunga mkono mgombea wa Chadema, Tundu L
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maalim Seif: Tunamuunga mkono Lissu, Membe anawachanganya wananchi

Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza masikitiko yake kuhusu kauli ya mgombea urais kupitia chama hicho, Bernard Membe kutangaza kuendelea na kampeni wakati chama hicho kimetangaza kumuunga mkono mgombea wa Chadema, Tundu Lissu.  

Nokia, NASA kufunga mtandao wa 4G mwezini

NASA iko katika mpango wa kumtuma mwanamke wa kwanza na mwanamume mwingine mwezini ifikapo mwaka 2024 na kumuwezesha binadamu kuwa mwezini kuishia kwa muda mrefu ifikapo mwaka 2030.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nokia, NASA kufunga mtandao wa 4G mwezini

NASA iko katika mpango wa kumtuma mwanamke wa kwanza na mwanamume mwingine mwezini ifikapo mwaka 2024 na kumuwezesha binadamu kuwa mwezini kuishia kwa muda mrefu ifikapo mwaka 2030.  

Ajax ilivyopukutishwa baada ya kung'ara Ulaya, inavyojijenga

Ajax inajiandaa kuivaa Liverpool katika mechi ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya itakayofanyika Jumatano, ikiwa imesukwa upya baada ya wachezaji waliong'ara mwaka 2019 kununuliwa na klabu tajiri  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ajax ilivyopukutishwa baada ya kung'ara Ulaya, inavyojijenga

Ajax inajiandaa kuivaa Liverpool katika mechi ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya itakayofanyika Jumatano, ikiwa imesukwa upya baada ya wachezaji waliong'ara mwaka 2019 kununuliwa na klabu tajiri  

Membe ajitokeza akiacha maswali

Unaweza kusema mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe ameacha maswali kutokana na majibu yake kuhusu kusuasua kufanya kampeni na viongozi wa chama chake kumuunga mkono mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Membe ajitokeza akiacha maswali

Unaweza kusema mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe ameacha maswali kutokana na majibu yake kuhusu kusuasua kufanya kampeni na viongozi wa chama chake kumuunga mkono mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu.

Leipzig kutazamwa na mashabiki 999

Mamlaka jijini Leipzig zimetoa ruhusa ya kuingiza mashabiki wachache kulinganisha na wanaoruhusiwa kuona mechi za nyumbani za Bundesliga kutokana na maambukizi ya virusi vya corona kuongezeka.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Leipzig kutazamwa na mashabiki 999

Mamlaka jijini Leipzig zimetoa ruhusa ya kuingiza mashabiki wachache kulinganisha na wanaoruhusiwa kuona mechi za nyumbani za Bundesliga kutokana na maambukizi ya virusi vya corona kuongezeka.  

Shujaa wa Zimbabwe mkali wa kutupia VPL

Dube aliyesajiliwa na Azam FC msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Highlanders FC ya Zimbabwe na tangu aanze kukinukisha katika Ligi Kuu Bara, Mzimbabwe huyo amethibitisha Wanalambalamba hawajapoteza fedha zao kumnasa nyota huyo kijana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shujaa wa Zimbabwe mkali wa kutupia VPL

Dube aliyesajiliwa na Azam FC msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Highlanders FC ya Zimbabwe na tangu aanze kukinukisha katika Ligi Kuu Bara, Mzimbabwe huyo amethibitisha Wanalambalamba hawajapoteza fedha zao kumnasa nyota huyo kijana.

Mhilu: Nyota ya Kagera isiyoonekana Taifa Stars

Msimu uliopita, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere aliibuka na tuzo hiyo baada ya kufikisha mabao 22, akiibuka na tuzo hio kwa msimu wa pili mfululizo na kujiwekea heshima katika ufungaji.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mhilu: Nyota ya Kagera isiyoonekana Taifa Stars

Msimu uliopita, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere aliibuka na tuzo hiyo baada ya kufikisha mabao 22, akiibuka na tuzo hio kwa msimu wa pili mfululizo na kujiwekea heshima katika ufungaji.

Kalemani: Hakikisheni umeme haukatiki Okt 28

Dk Kalemani alitoa maagizo hayo baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme Megawati 48 cha Dege wilayani Kigamboni, Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kalemani: Hakikisheni umeme haukatiki Okt 28

Dk Kalemani alitoa maagizo hayo baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme Megawati 48 cha Dege wilayani Kigamboni, Dar es Salaam.

Adaiwa kumbaka mwanawe wa kumzaa

Akisomewa shtaka na mwendesha mashtaka wa Serikali, Fredrick Ndosy mbele ya hakimu mkazi mkazi mfawidhi Osmund Ngatunga, ilidaiwa mahakamani hapo kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo Oktoba 10, 2020  katika kitongoji cha  Nyatula.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Adaiwa kumbaka mwanawe wa kumzaa

Akisomewa shtaka na mwendesha mashtaka wa Serikali, Fredrick Ndosy mbele ya hakimu mkazi mkazi mfawidhi Osmund Ngatunga, ilidaiwa mahakamani hapo kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo Oktoba 10, 2020  katika kitongoji cha  Nyatula.

VIDEO: Mitumbwi yatumika kuvusha wananchi Mkuranga

Wakazi wa kata ya Tambani wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka eneo moja kwenda jingine baada ya  daraja la Kifolongo kukatika. Daraja hilo lilikatika Aprili,  2020 lakini mvua zilizonyesha kati ya Oktoba 13 hadi 18,  2020
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Mitumbwi yatumika kuvusha wananchi Mkuranga

Wakazi wa kata ya Tambani wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka eneo moja kwenda jingine baada ya  daraja la Kifolongo kukatika. Daraja hilo lilikatika Aprili,  2020 lakini mvua zilizonyesha kati ya Oktoba 13 hadi 18,  2020 zimesababisha maji kujaa eneo hilo na wananchi kulazimika kutumia mitumbwi kuvuka. Katika mitumbwi hiyo wanafunzi wanatozwa Sh200 na watu wazima Sh300. Watu hulazimika kupanga foleni kusubiri mtumbwi mmoja ambao unatajwa kuwa salama zaidi  kuliko mingine ambayo mara kadhaa ubinuka na kusababisha watu kutumbukia kwenye maji.

Ushirikiano kwa vitendo: Umoja wa Ulaya Tanzania unaadhimisha siku ya kimataifa ya kutokomeza umaskini

Umoja wa Ulaya (EU) unaunga mkono kikamilifu ushirikiano kati ya Umoja wa Ulaya na Afrika wenye ujasiri na unaolenga kujenga mustakabali wa pamoja na wa angavu kwa watu wote.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ushirikiano kwa vitendo: Umoja wa Ulaya Tanzania unaadhimisha siku ya kimataifa ya kutokomeza umaskini

Umoja wa Ulaya (EU) unaunga mkono kikamilifu ushirikiano kati ya Umoja wa Ulaya na Afrika wenye ujasiri na unaolenga kujenga mustakabali wa pamoja na wa angavu kwa watu wote.

Polisi waua watuhumiwa wawili wa ujambazi Arusha

Kamanda wa jeshi hilo  mkoa wa Arusha,Salum Hamdun amesema askari wailiweka mtego baada ya upelelezi na ufuatiliaji wa kina  na kumkamata mtuhumiwa mmoja aliyetambulika kwa jina la  Bashiru Ally (45) ambaye alikiri kukiri kuhusika na tukio la mauaji ya kij
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi waua watuhumiwa wawili wa ujambazi Arusha

Kamanda wa jeshi hilo  mkoa wa Arusha,Salum Hamdun amesema askari wailiweka mtego baada ya upelelezi na ufuatiliaji wa kina  na kumkamata mtuhumiwa mmoja aliyetambulika kwa jina la  Bashiru Ally (45) ambaye alikiri kukiri kuhusika na tukio la mauaji ya kijana mmoja.

Mmorocco aongeza machungu ya timu za nyumbani

Jumamosi, Al Ahly ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Wydad Casablanca katika mechi nyingine ya kwanza ya nusu fainali za Ligi ya Mabingwa wa Afrika iliyofanyika Morocco, mabao yakifungwa na Mohamed 'Afsha' Magdy na Ali Maaloul.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mmorocco aongeza machungu ya timu za nyumbani

Jumamosi, Al Ahly ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Wydad Casablanca katika mechi nyingine ya kwanza ya nusu fainali za Ligi ya Mabingwa wa Afrika iliyofanyika Morocco, mabao yakifungwa na Mohamed 'Afsha' Magdy na Ali Maaloul.

Kikwete amtabiria ushindi Magufuli

Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ameeleza kuwa Tanzania ya sasa siyo aliyoiacha miaka mitano iliyopita,hivyo hana shaka na Magufuli kushinda tena
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kikwete amtabiria ushindi Magufuli

Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ameeleza kuwa Tanzania ya sasa siyo aliyoiacha miaka mitano iliyopita,hivyo hana shaka na Magufuli kushinda tena

Get more results via ClueGoal