Membe atangaza kuibuka dakika za lala salama
newsare.net
Bernard Membe, mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo amesema bado ni mgombea wa chama hicho licha ya kuelezwa kuwa yupo kimya, kubainisha kuwa sasa ataibuka dakika za lala salama, akijifananisha na mchezaji aliyeingizwa uwanjani dakika za 89.Membe atangaza kuibuka dakika za lala salama
Bernard Membe, mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo amesema bado ni mgombea wa chama hicho licha ya kuelezwa kuwa yupo kimya, kubainisha kuwa sasa ataibuka dakika za lala salama, akijifananisha na mchezaji aliyeingizwa uwanjani dakika za 89.














