Tanzania

Ukuaji wa China na kupunguza umaskini: Funzo kwa Kusini mwa Jangwa la Sahara

Katika kujifunza kutoka China, Kusini mwa Jangwa la Sahara inahitaji juhudi kubwa na sera za kubadilisha kilimo na uchumi wa vijijini, sekta ya kimkakati ya utengenezaji, na kusaidia ukuaji wa tija na uboreshaji polepole wa sekta isiyo rasmi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watanzania wahimizwa kushirikiana na wasadizi wa kisheria kutokomeza ndoa za utotoni

Jamii imehimizwa kushirikiana kuwa karibu na wasaidizi wa kisheria chini ili kuwalinda wasichana na ndoa za utotoni ambazo huchochea umaskini, maradhi na ujinga.

Bibi wa miaka 106 apona corona Uingereza

Bibi mwenye umri wa miaka 106 nchini Uingereza, Connie Titchen  amepona ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona na ameruhusiwa kutoka hospitali.

Aliyetoa taarifa za uongo kuwa ana corona nchini Tanzania akamatwa

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Musa Kisinza (25) mkazi wa kijiji cha Mwakitolyo  wilayani Shinyanga kwa madai ya kutoa taarifa za uongo kuwa ana maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona.

Seedstars na Tigo zaungana kufanikisha mkutano wa wajasiriamaali wa teknolojia Tanzania

Wajasiriamali wa teknolojia nchini Tanzania wameungana kushiriki katika mkutano wa kimataifa kupitia njia ya mtandao kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta hiyo na jinsi ya kuweza kukuza mapato husasani katika masoko machanga.

Simba, Yanga zaizidi kete TP Mazembe

WAKATI TP Mazembe ikizipiga bao Simba na Yanga kwa mafanikio ya uwanjani na uwekezaji, timu hiyo imeachwa kwenye mataa na klabu hizo mbili kongwe Tanzania kwa kuwa na idadi kubwa ya wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.

VIDEO: Dar waongeza vituo vya kuchukua sampuli za corona

Uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam umeteua hospitali za Serikali na binafsi 25 ili kuchukua sampuli kutoka kwa washukiwa wenye virusi vya corona na kuzipeleka maabara kuu ya Taifa.

Uchaguzi mkuu ni mtifuano Chadema

Ni mtifuano. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kitakachojiri ndani ya Chadema utakapowadia wasaa wa kutafuta wagombea ubunge wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Trump ainyima fedha WHO, dunia yamshukia

Wakati wanasayansi duniani wakiharakisha kupatikana kwa chanjo ya ugonjwa hatari wa virusi vya corona, Rais wa Marekani, Donald Trump, ameamuru nchi yake isiipe fedha Shirika la Afya Duniani (WHO), akilituhumu kwa kushindwa kushughulikia janga hilo.

Bosi GSM : Pesa ya kushusha mashine kali Yanga ipo

YANGA wametua kwa straika Mghana na Mnamibia ambao watakuwemo kwenye bajeti ya usajili wa Sh1.5 bilioni iliyoandaliwa kuisuka timu upya kati ya uongozi na wadhamini wao, GSM.

Chama? msikilize Eymael

VIGOGO wa Yanga wamemvutia waya kiungo nyota Simba, Clatous Chama kuangalia uwezekano wa kumsajili, lakini Kocha wao, Luc Eymael amesema: “Hizo ni blaa..blaa za usajili, tulieni.”

Sh130 bilioni za malimbikizo ya mshahara ya watumishi Tanzania zalipwa tangu 2015

Serikali ya Awamu ya Tano nchini Tanzania imesema tangu iingie madarakani Novemba, 2015 imelipa Sh130.42 bilioni za malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma.

Mahakama yataka uchunguzi kesi ya Tito wa LHRC kukamilika

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu nchini Tanzania imeueleza  upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Tito Magoti  na mwenzake, Theodory Giyani kukamilisha upelelezi katika maeneo yaliyobaki ili kesi iendelee katika hatua nyingine.

Hakimu amtaka Shamimu Mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru mfanyabiashara, Shamimu Mwasha apelekwe katika mahakama hiyo ili aweze kusomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo.

Askofu Shoo asema Askofu Mshemba hakupenda madaraka

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema aliyekuwa mkuu wa Kanisa hilo na Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Dk Samson Mshemba hakuwa akipenda madaraka.

Walichokisema ndugu kuhusu ajali ya Mkuranga iliyosababisha vifo 21

Ni simanzi. Ndivyo unavyoweza kusema ukizungumzia ajali iliyotokea leo asubuhi Jumanne Aprili 15, 2020 katika kijiji cha Magawa kilichopo wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani na kusababisha vifo vya watu 21 na majeruhi 17.

Mwili wa polisi aliyeuawa Hai waagwa

Mamia ya wananchi wa Wilaya ya Hai, leo wamejitokeza kuaga mwili wa askari wa upelelezi kituo cha Polisi Kia, Sajenti  Juma Chriphord Yango (59),  aliyeuwawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kwenye Mtaro.

Takukuru yaokoa Sh50.8 bilioni

Jumla Sh 50.8 bilioni zimeokolewa kutokana na operesheni mbalimbali za uchunguzi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo uliofanyika nchini katika mwaka wa fedha 2019/2020.

Tanzania yatangaza wagonjwa wapya 29 wa corona

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88 baada ya wagonjwa wapya 29 kuripotiwa leo Jumatano Aprili 15, 2020.

Lema amlipua Dk Kigwangala bungeni

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) amemshukia  Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangala kwamba anadhalilisha watu bila sababu za msingi huku akishinda kwenye mitandao ya kijamii.

Vyuo, shule nchini Tanzania kuendelea kufungwa kwa sababu ya corona

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu litaendelea kubaki hadi hapo Serikali itakapotoa tamko jingine.

Utata Cheed na Killy kuondoka Kings Music ya Alikiba

Zikiwa zimepita siku tano toka mwanamuziki wa bongo fleva Alikiba kutoa wimbo mpya wa Dodo, vijana wake wawili kutoka lebo yake ya  Kings Music,  Cheed na Killy wametangaza rasmi kuondoka kwenye label hiyo.

Polisi Tanzania wapokea vifaa kujikinga na corona, watoa neno

Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Mary Nzuki amesema askari wanakutana na changamoto katika utendaji wao ikiwa ni pamoja na kutokuwa na vifaa vya kujikinga na corona.

Mbunge Lwakatare aaga bungeni

Mbunge wa Bukoba Mjini nchini Tanzania, Wilfred Lwakatare (Chadema) ameaga rasmi bungeni kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka uu hatagombea ubunge badala yake anawatakia mafanikio wengine.

Tajiri GSM amtikisa Mo,amwekea Dilunga Sh80 milioni mezani

YANGA wamekutana ijini Dar es Salaam na kukubaliana kuachana na mastaa wa Simba kwenye usajili ujao, lakini siyo Hassan Dilunga ambaye ni kipenzi cha Bilionea wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’.

KIJIWENI LIVE : Mikusanyiko inahusu na vikao vya wachawi usiku?

SASA hivi agizo ni kukwepa mikusanyiko isiyo ya lazima ili kuzuia kuenea kwa mambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, unaosababishwa na virusi vya SARS corona 2.

Wabunge watofautiana utaratibu mpya wa kupitisha bajeti bungeni

Wabunge wametoa maoni tofauti kuhusu utaratibu mpya wa kupitisha bajeti bila ya kupitia vifungu, ambao umeanza kutumika katika mkutano wa bajeti unaoendelea jijini Dodoma.

Azam yanunua ugomvi Simba, Yanga

UKISIKIA kununua ugomvi ndiko huku sasa. Matajiri wa soka nchini, Azam FC wamejitosa katika vita vya vigogo Simba na Yanga kuwania saini ya straika Mkongomani, Mpiana Mozizi anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo.

Mwili wa askari wakutwa mtaroni karibu na kituo cha polisi

Askari wa kituo cha Polisi Kia wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, Sajenti Juma Ango anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kutupwa mtaroni karibu na mgahawa wa chakula Bora mita chache kutoka kituo cha Polisi Hai Mjini.

Ujumbe wa Butiku kuhusu corona

Mkurugenzi wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amewataka watanzania kuzingatia maagizo na mapendekezo yanayotolewa na Serikali ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kwa kuwa havichagui Mkristo wala Muislamu.

Mzee wa miaka 58 adaiwa kubakwa na vijana wawili

Polisi wilayani hapa mkoa wa Mara wamemkamata mtuhumiwa mmoja kati ya wawili wanaodaiwa kumbaka mama mmoja mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Miseke ambaye amelazwa hospitali Teule ya Nyerere kwa ajili ya matibabu.

Get more results via ClueGoal