Tanzania

Mwinyi aingia Ikulu, Nyerere aaga Taifa 1985

Safari ya kung’atuka madarakani kwa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kuhudumu kwa miaka 24 kwa nafasi ya urais wa Tanganyika na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianza Jumatatu ya Oktoba 14, 1985.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CAG abaini posho zenye shaka Sh17mil

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebaini malipo ya posho yenye shaka yaliyofanywa na halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa mkoani hapa yenye thamani Sh17.8milioni.

Wachezaji Watanzania waliokimbia corona nje

Wakati wanasayansi duniani kote wakihangaika kutafuta tiba ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, serikali za nchi mbalimbali duniani zimeendelea kutoa maelekezo kuhusu namna ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo.

Simulizi nzito ya Tamim, bondia aliyezamia Sweden

Ni miaka zaidi ya saba sasa imepita, lakini tukio hili halijafutika katika kumbukumbu ya maisha ya bondia wa uzani wa juu aliyetikisa nchini, Awadh Tamim.

Nyota wote Yanga chini ya ulinzi

YANGA kumbe haitaki mchezo kwa wachezaji wake kwani, imebainika kuwa licha ya Kocha Luc Eymael kuwapa programu ya mazoezi, lakini pia amewaweka watu wa kuwafutilia nyota wake hao ili kuona kila kitu kinakwenda sawa kipindi hiki cha kupisha janga la virusi vy
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nyota wote Yanga chini ya ulinzi

YANGA kumbe haitaki mchezo kwa wachezaji wake kwani, imebainika kuwa licha ya Kocha Luc Eymael kuwapa programu ya mazoezi, lakini pia amewaweka watu wa kuwafutilia nyota wake hao ili kuona kila kitu kinakwenda sawa kipindi hiki cha kupisha janga la virusi vya corona.

Kocha wa Simba Sven afunguka sakata la Ndemla kuwindwa na Yanga

HUENDA mashabiki wa Yanga wakasonya mitaani, huku wenzao wa Simba wakachekelea baada ya Kocha Sven Vanderbroeck kumaliza ubishi juu ya kiungo fundi wa mpira aliyepo kwenye kikosi cha Msimbazi, Said Ndemla anayetajwa kuwindwa Jangwani kwa mara nyingine.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kocha wa Simba Sven afunguka sakata la Ndemla kuwindwa na Yanga

HUENDA mashabiki wa Yanga wakasonya mitaani, huku wenzao wa Simba wakachekelea baada ya Kocha Sven Vanderbroeck kumaliza ubishi juu ya kiungo fundi wa mpira aliyepo kwenye kikosi cha Msimbazi, Said Ndemla anayetajwa kuwindwa Jangwani kwa mara nyingine.

Mwanaharakati wa kutetea haki za watu wenye ualbino afariki kwa ajali ya gari

Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Josephat Torner  Foundation Europe  (JTFE), inayojishughulisha na masuala ya watu wenye ualbino, Josephat Torner amefariki dunia kwa kugongwa na gari jijini Mwanza.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwanaharakati wa kutetea haki za watu wenye ualbino afariki kwa ajali ya gari

Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Josephat Torner  Foundation Europe  (JTFE), inayojishughulisha na masuala ya watu wenye ualbino, Josephat Torner amefariki dunia kwa kugongwa na gari jijini Mwanza.

Wagonjwa wapya watatu wa corona wabainika Zanzibar

Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona kisiwani Zanzibar imeongezeka kutoka tisa hadi 12  baada ya wagonjwa watatu zaidi kuripotiwa leo Jumatatu Aprili 13, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wagonjwa wapya watatu wa corona wabainika Zanzibar

Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona kisiwani Zanzibar imeongezeka kutoka tisa hadi 12  baada ya wagonjwa watatu zaidi kuripotiwa leo Jumatatu Aprili 13, 2020.

Kanisa Katoliki Sri Lanka lasamehe walioua watu 279

Kanisa Katoliki nchini Sri Lanka jana limesema kuwa limewasamehe wote waliofanya shambulizi la kujitoa muhanga ambalo liliua watu 279 wakati wa Pasaka mwaka jana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kanisa Katoliki Sri Lanka lasamehe walioua watu 279

Kanisa Katoliki nchini Sri Lanka jana limesema kuwa limewasamehe wote waliofanya shambulizi la kujitoa muhanga ambalo liliua watu 279 wakati wa Pasaka mwaka jana.

ANTI BETTIE: Natamani aniache, harufu ya pombe anazokunywa inanishinda

Nimeolewa huu mwaka wa pili, lakini sina raha na ndoa yangu. Mume wangu kila siku lazima anywe pombe nami harufu yake inanikera. Nimesema naye lakini hanisikii, kwa mwendo huu siwezi kuvumilia.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ANTI BETTIE: Natamani aniache, harufu ya pombe anazokunywa inanishinda

Nimeolewa huu mwaka wa pili, lakini sina raha na ndoa yangu. Mume wangu kila siku lazima anywe pombe nami harufu yake inanikera. Nimesema naye lakini hanisikii, kwa mwendo huu siwezi kuvumilia.

Haya ndio maisha ya Ronaldinho baada ya kutoka Gerezani nchini Paraguay

MAISHA magumu, lakini matamu. Ronaldinho ametoka kwenye gereza lenye ulinzi mkali alilokuwa amefungwa huko Paraguay kwa dhamara ya Pauni 650,000, lakini ana sharti la kukaa ndani kikiwa ni kifungo akishikiliwa huko kwenye hoteli ya kifahari ya nyota nne, hata
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Haya ndio maisha ya Ronaldinho baada ya kutoka Gerezani nchini Paraguay

MAISHA magumu, lakini matamu. Ronaldinho ametoka kwenye gereza lenye ulinzi mkali alilokuwa amefungwa huko Paraguay kwa dhamara ya Pauni 650,000, lakini ana sharti la kukaa ndani kikiwa ni kifungo akishikiliwa huko kwenye hoteli ya kifahari ya nyota nne, hatakiwi kutoka wakati akisubiri uchunguzi wake wa kughushi hati ya kusafiria. Ronaldinho atakuwa chini ya ulinzi wakati atakapokuwa kwenye hoteli hiyo ya Palmaroga iliyopo Asuncion.

Watumia likizo ya corona kukeketa mabinti, mume na mke mbaroni

Polisi Wilayani Serengeti Mkoani Mara Tanzania, inawashikilia mume na mke kwa tuhuma za kumkeketa binti yao wa miaka 14 kinyume cha sheria.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watumia likizo ya corona kukeketa mabinti, mume na mke mbaroni

Polisi Wilayani Serengeti Mkoani Mara Tanzania, inawashikilia mume na mke kwa tuhuma za kumkeketa binti yao wa miaka 14 kinyume cha sheria.

Nec kutumia Sh180 bilioni uchaguzi mkuu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeomba kuidhinishiwa Sh185.9 bilioni katika bajeti ya mwaka 2020/2021, huku Sh180 bilioni zikielekezwa kuendesha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nec kutumia Sh180 bilioni uchaguzi mkuu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeomba kuidhinishiwa Sh185.9 bilioni katika bajeti ya mwaka 2020/2021, huku Sh180 bilioni zikielekezwa kuendesha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

NDANI YA BOKSI: Bado hatujawakaribisha kitaa kisanaa Babu Seya, Papii Kocha

Mitaa ya Sinza ilikuwa shangwe tupu. Machimbo ya Abajalo na maeneo ya jirani. Mitaa ambayo Babu Seya na Papii Kocha kabla ya kwenda jela miaka 16 iliyopita waliishi hapo. Mitaa ya Van Damme na wahuni wengi tu. ‘Of kozi’ na vimwana wa viwango vya kimataif
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NDANI YA BOKSI: Bado hatujawakaribisha kitaa kisanaa Babu Seya, Papii Kocha

Mitaa ya Sinza ilikuwa shangwe tupu. Machimbo ya Abajalo na maeneo ya jirani. Mitaa ambayo Babu Seya na Papii Kocha kabla ya kwenda jela miaka 16 iliyopita waliishi hapo. Mitaa ya Van Damme na wahuni wengi tu. ‘Of kozi’ na vimwana wa viwango vya kimataifa hawakosekani. Sinza tena utaongea nini? Kwa wajanja.

TEKNOLOJIA: Jinsi ya kuchaji simu janja ijae kwa haraka zaidi

Teknolojia inarahisisha mambo mengi ikiwamo kuokoa muda. Miongoni mwa teknolojia rahisi ni matumizi ya simu janja, ambazo baadhi yake zinakwisha chaji haraka. Lakini zipo mbinu za kukusaidia kuijaza haraka pia katika simu yako janja.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TEKNOLOJIA: Jinsi ya kuchaji simu janja ijae kwa haraka zaidi

Teknolojia inarahisisha mambo mengi ikiwamo kuokoa muda. Miongoni mwa teknolojia rahisi ni matumizi ya simu janja, ambazo baadhi yake zinakwisha chaji haraka. Lakini zipo mbinu za kukusaidia kuijaza haraka pia katika simu yako janja.

Kilio cha uchaguzi huru, vyama vyaitaka Takukuru, polisi mezani

Oktoba 2020 kutafanyika uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge, wawakilishi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kilio cha uchaguzi huru, vyama vyaitaka Takukuru, polisi mezani

Oktoba 2020 kutafanyika uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge, wawakilishi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar.

Raia wa China kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kugoma kunawa mikono

Jeshi la polisi Mkoa wa Katavi linatarajia kumfikisha mahakamani raia mmoja wa China Lin Guosong (34) mfanyabiashara wa Majengo Sumbawanga akituhumiwa kukiuka amri halali iliyowekwa na Serikali  ya  kunawa mikono kujikinga na corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Raia wa China kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kugoma kunawa mikono

Jeshi la polisi Mkoa wa Katavi linatarajia kumfikisha mahakamani raia mmoja wa China Lin Guosong (34) mfanyabiashara wa Majengo Sumbawanga akituhumiwa kukiuka amri halali iliyowekwa na Serikali  ya  kunawa mikono kujikinga na corona.

Wahudumu wa ndege, hoteli sasa kuhudumia wagonjwa wa corona

Wakiwa wamepunguzwa kazi kwa muda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, wafanyakazi wa mashirika ya ndege na hoteli nchini Sweden wanapata mafunzo mapya ya kuwawezesha kufanya kazi kama wasaidizi wa hospitali na wauguzi wakati idadi y
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wahudumu wa ndege, hoteli sasa kuhudumia wagonjwa wa corona

Wakiwa wamepunguzwa kazi kwa muda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, wafanyakazi wa mashirika ya ndege na hoteli nchini Sweden wanapata mafunzo mapya ya kuwawezesha kufanya kazi kama wasaidizi wa hospitali na wauguzi wakati idadi ya vifo ikikaribia watu 900 katika nchi hiyo ya Scandinavia.

VOA yapuuza shutuma za Ikulu ya Trump

Shirika la utangazaji la Sauti ya Marekani (VOA), ambalo linaendeshwa kwa fedha za umma, limepuuza tuhuma za Ikulu ya nchi hiyo kuwa linaendeleza «propaganda za nje» kuhusu ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VOA yapuuza shutuma za Ikulu ya Trump

Shirika la utangazaji la Sauti ya Marekani (VOA), ambalo linaendeshwa kwa fedha za umma, limepuuza tuhuma za Ikulu ya nchi hiyo kuwa linaendeleza «propaganda za nje» kuhusu ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19.

Mwanasayansi asema kutojali wanyama kumesababisha corona

Mwanasayansi maarufu duniani anayetafiti wanyama (primatologist), Jane Goodall anasema ugonjwa wa virusi vya corona umesababishwa na binadamu kutojali asili na wanyama.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwanasayansi asema kutojali wanyama kumesababisha corona

Mwanasayansi maarufu duniani anayetafiti wanyama (primatologist), Jane Goodall anasema ugonjwa wa virusi vya corona umesababishwa na binadamu kutojali asili na wanyama.

Mali yatangaza fungu kusaidia masikini, kampuni kuikabili corona

Rais wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kutenga fungu la fedha za kusaidia wananchi masikini na kampuni zilizoathiriwa na ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, huku maambukizi yakizidi kuongezeka katika taifa hilo la Afrika Masharibi linalosumbuliw
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mali yatangaza fungu kusaidia masikini, kampuni kuikabili corona

Rais wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kutenga fungu la fedha za kusaidia wananchi masikini na kampuni zilizoathiriwa na ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, huku maambukizi yakizidi kuongezeka katika taifa hilo la Afrika Masharibi linalosumbuliwa na vita.

Mvulana kutoka Amazon afariki kwa corona

Mvulana kutokana jamii ya Yanomami amefariki baada ya kuambukizwa virusi vya corona, mamlaka nchini Brazil zilisema, na kuibua hofu kwa kabila la Amazon ambalo linajulikana kwa udhaifu wa kuambukizwa kirahisi magonjwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mvulana kutoka Amazon afariki kwa corona

Mvulana kutokana jamii ya Yanomami amefariki baada ya kuambukizwa virusi vya corona, mamlaka nchini Brazil zilisema, na kuibua hofu kwa kabila la Amazon ambalo linajulikana kwa udhaifu wa kuambukizwa kirahisi magonjwa.

Kortini akidaiwa kusema Tanzania ina wagonjwa 200 wa corona

Mfanyabiashara wa mjini Moshi, African Mlay (58), amefikishwa kortini akituhumiwa kuandika taarifa kwenye mtandao wa Jamiiforums kuwa Tanzania ina wagonjwa zaidi ya 200 wa Covid-19.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kortini akidaiwa kusema Tanzania ina wagonjwa 200 wa corona

Mfanyabiashara wa mjini Moshi, African Mlay (58), amefikishwa kortini akituhumiwa kuandika taarifa kwenye mtandao wa Jamiiforums kuwa Tanzania ina wagonjwa zaidi ya 200 wa Covid-19.

Wabunge wengi washindwa uchaguzi 1985, alikuwemo John Malecela

Baada ya kucheleweshwa kwa muda wa wiki moja kutokana na uhaba wa mafuta ya petroli uliolikabili Taifamwaka 1985, kampeni za wagombea ubunge katika majimbo 169 ya uchaguzi zilianza nchi nzima.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabunge wengi washindwa uchaguzi 1985, alikuwemo John Malecela

Baada ya kucheleweshwa kwa muda wa wiki moja kutokana na uhaba wa mafuta ya petroli uliolikabili Taifamwaka 1985, kampeni za wagombea ubunge katika majimbo 169 ya uchaguzi zilianza nchi nzima.

CAG aagiza wajumbe wa kamati ya shule kuchukuliwa hatua

Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameshauri wajumbe wa kamati ya Ujenzi ya Shule ya Sekondari ya Kibaigwa iliyopo Kongwa kuchukuliwa hatua  baada ya kugundua madudu kwenye ujenzi huo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CAG aagiza wajumbe wa kamati ya shule kuchukuliwa hatua

Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameshauri wajumbe wa kamati ya Ujenzi ya Shule ya Sekondari ya Kibaigwa iliyopo Kongwa kuchukuliwa hatua  baada ya kugundua madudu kwenye ujenzi huo.

Mongella: Hatutaruhusu mikusanyiko wakati wa pasaka

Mkuu wa Mkao wa Mwanza, John Mongella amesema hawataruhusu mikusanyiko ya aina yoyote wakati wa kusherehekea sikukuu ya Pasaka badala yake amewataka watu kusherehekea sikuku hiyo wakiwa nyumbani ili kuepuka ugonjwa wa corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mongella: Hatutaruhusu mikusanyiko wakati wa pasaka

Mkuu wa Mkao wa Mwanza, John Mongella amesema hawataruhusu mikusanyiko ya aina yoyote wakati wa kusherehekea sikukuu ya Pasaka badala yake amewataka watu kusherehekea sikuku hiyo wakiwa nyumbani ili kuepuka ugonjwa wa corona.

Magufuli asema Tanzania haitafunga mipaka, kuzuia watu ndani kwa sababu ya corona

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kwa sababu kufanya hivyo kutasababisha madhara ndani na nje ya Tanzania.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Magufuli asema Tanzania haitafunga mipaka, kuzuia watu ndani kwa sababu ya corona

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kwa sababu kufanya hivyo kutasababisha madhara ndani na nje ya Tanzania.

Waliofariki dunia kwa corona Tanzania wafikia watatu

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watu wawili wamefariki dunia kwa ugonjwa wa corona na kufanya idadi ya waliokufa kwa ugonjwa huo nchini kufikia watatu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waliofariki dunia kwa corona Tanzania wafikia watatu

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watu wawili wamefariki dunia kwa ugonjwa wa corona na kufanya idadi ya waliokufa kwa ugonjwa huo nchini kufikia watatu.

Get more results via ClueGoal