Tanzania

Hoja mbili zazua mjadala mkali bungeni Dodoma

Masuala mawili kuhusu ukubwa wa majimbo ya uchaguzi na mamlaka ya halmashauri jana yalizua mjadala wakati Bunge likijadili bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi) kwa mwaka 2020/2021.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri Mkuu wa Tanzania ateta na Balozi wa China

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya China kwa misaada ambayo imetoa katika kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaotokana na maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19).

Wenye magonjwa haya wachukue tahadhari zaidi dhidi ya corona

Naibu Waziri wa Afya, Dk Faustine Ndugulile amewashauri watu wenye magonjwa mbalimbali kuchukua tahadhari zaidi katika kukabiliana na ugonjwa wa corona ambao hadi sasa maambukizi yake nchini yamefika kwa watu 32 na kupoteza maisha ya watu watatu.

DPP: Tutazishtaki benki zitakazokiuka sheria, masharti na taratibu za kazi

Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Biswalo Mganga amesema ofisi yake haitasita kuzichukua hatua na kuzishtaki benki ambazo zitakiuka sheria na taratibu za ufanyaji kazi kwa kuwafungulia watu akaunti ambazo wanazitumia kutapeli.

Mtoto wa miezi miwili apona corona

Mtoto wa miezi miwili, ambaye inaaminika kuwa ndiye mgonjwa wa virusi vya coronamwenye umri mdogo kuliko wote nchini Italia, ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupona, vyombo vya habari vimeripoti.

RC aagiza karantini zilindwe kuepusha wanaotoroka

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani humo kuimarisha ulinzi katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya karantini kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya watu waliotengwa kuonekana mtaan
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

RC aagiza karantini zilindwe kuepusha wanaotoroka

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu, Emmanuel Maganga ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani humo kuimarisha ulinzi katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya karantini kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya watu waliotengwa kuonekana mtaani wakitafuta chakula.

Waumini wa kikristo watakiwa kuchukua tahadhari sikukuu ya pasaka

Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi imewataka waumini wa dini ya kikristo kufanya ibada na kusherehekea sikukuu ya Pasaka kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili kujikinga na maaambukizi ya maradhi ya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waumini wa kikristo watakiwa kuchukua tahadhari sikukuu ya pasaka

Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi imewataka waumini wa dini ya kikristo kufanya ibada na kusherehekea sikukuu ya Pasaka kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili kujikinga na maaambukizi ya maradhi ya corona.

Sakata la mameya wa Chadema kuondolewa madarakani latinga bungeni

Sakata la kuondolewa kwa mameya wawili wa halmashauri zilizokuwa zikiongozwa na Chadema limetinga bungeni ambapo Mbunge wa Iringa Mjini, (Chadema), Peter Msigwa amesema hata barua ya kukata rufaa iliyoandikwa kwa Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo haijajibiwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sakata la mameya wa Chadema kuondolewa madarakani latinga bungeni

Sakata la kuondolewa kwa mameya wawili wa halmashauri zilizokuwa zikiongozwa na Chadema limetinga bungeni ambapo Mbunge wa Iringa Mjini, (Chadema), Peter Msigwa amesema hata barua ya kukata rufaa iliyoandikwa kwa Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo haijajibiwa.

Polisi yapiga marufuku mikusanyiko ya ufukweni, baa jijini Dar sikukuku ya pasaka

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku mikusanyiko katika fukwe za bahari na kwenye baa katika kipindi chote cha sikukuu za pasaka.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi yapiga marufuku mikusanyiko ya ufukweni, baa jijini Dar sikukuku ya pasaka

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku mikusanyiko katika fukwe za bahari na kwenye baa katika kipindi chote cha sikukuu za pasaka.

CAG afichua matatizo kwenye sekta ya maji

Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini matatizo mengi kwenye sekta ya maji yakiwamo ya hasara kubwa inayosababishwa na upotevu wa maji, kutotekelezwa kwa miradi na uchimbaji wa visima unaotoa maji yenye mushkeli.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CAG afichua matatizo kwenye sekta ya maji

Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini matatizo mengi kwenye sekta ya maji yakiwamo ya hasara kubwa inayosababishwa na upotevu wa maji, kutotekelezwa kwa miradi na uchimbaji wa visima unaotoa maji yenye mushkeli.

Kigwangalla asema haogopi kutumbuliwa akijibu hoja matumizi ya Sh2.58 bilioni

Joto la Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) limesababisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla kutumia muda wake katika mitandao ya kijamii kutoa ufafanuzi kuhusu hoja za mkaguzi za matumizi ya Sh2.58 bili
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kigwangalla asema haogopi kutumbuliwa akijibu hoja matumizi ya Sh2.58 bilioni

Joto la Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) limesababisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla kutumia muda wake katika mitandao ya kijamii kutoa ufafanuzi kuhusu hoja za mkaguzi za matumizi ya Sh2.58 bilioni.

Wachezaji Southmpton waachia mishahara kupambana na corona

Southampton imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu ya England kusogeza mbele malipo ya mishahara ya wachezaji huku kiongozi wa juu wa chama cha wanasoka akisema wanachangia sehemu yao kwa taifa wakati huu wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, ulioikumba dun
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wachezaji Southmpton waachia mishahara kupambana na corona

Southampton imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu ya England kusogeza mbele malipo ya mishahara ya wachezaji huku kiongozi wa juu wa chama cha wanasoka akisema wanachangia sehemu yao kwa taifa wakati huu wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, ulioikumba dunia.

Keissy ataka Nec ipange upya majimbo ya uchaguzi

Mbunge wa Nkasi Kaskazini Nchini Tanzania (CCM), Alli Keissy ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kupitia na kuyapanga upya majimbo nchini ili kuondoa tofauti ya ukubwa wa maeneo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Keissy ataka Nec ipange upya majimbo ya uchaguzi

Mbunge wa Nkasi Kaskazini Nchini Tanzania (CCM), Alli Keissy ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kupitia na kuyapanga upya majimbo nchini ili kuondoa tofauti ya ukubwa wa maeneo.

Mbunge wa Chadema ahoji kuhusu vitambulisho vya wamachinga

Mbunge wa Viti Maalum(Chadema), Aidani Kanani ameitaka Serikali kuwaambia Watanzania ina mkakati gani endelevu wa kutoa vitambulisho vya wamachinga.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge wa Chadema ahoji kuhusu vitambulisho vya wamachinga

Mbunge wa Viti Maalum(Chadema), Aidani Kanani ameitaka Serikali kuwaambia Watanzania ina mkakati gani endelevu wa kutoa vitambulisho vya wamachinga.

Mahakama yaamuru Seth na Makandege wapelekwe Kisutu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP, Harbinder Seth na mwanasheria wa IPTL, Joseph Makandege wapelekwe katika mahakama hiyo kwa kuwa gereza la Ukonga halina huduma ya kuendesha kesi kwa njia ya mtandao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mahakama yaamuru Seth na Makandege wapelekwe Kisutu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP, Harbinder Seth na mwanasheria wa IPTL, Joseph Makandege wapelekwe katika mahakama hiyo kwa kuwa gereza la Ukonga halina huduma ya kuendesha kesi kwa njia ya mtandao.

Waziri Ummy asema maambukizi ya corona sasa ni ya ndani

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema hivi sasa tumetoka katika maambukizi ya mlipuko wa ugonjwa virusi ya corona yanayoletwa kutoka nje na imeingia kwenye maambukizi ya ndani kwa ndani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri Ummy asema maambukizi ya corona sasa ni ya ndani

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema hivi sasa tumetoka katika maambukizi ya mlipuko wa ugonjwa virusi ya corona yanayoletwa kutoka nje na imeingia kwenye maambukizi ya ndani kwa ndani.

AD: LIGI KUBWA KABISA ZIMEREJEA HAPA MERIDIANBET – MUENDELEZO WA KUSISIMUA WA MSIMU WA SOKA, SASA MTANDAONI!

Mpira umerejea tena, mechi zinaendelea hapa Meridianbet! Sasa Unaweza kufurahia ligi kubwa zaidi za soka barani Ulaya na tumekuwekea Odds kubwa kwa ajili yako mtandaoni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

AD: LIGI KUBWA KABISA ZIMEREJEA HAPA MERIDIANBET – MUENDELEZO WA KUSISIMUA WA MSIMU WA SOKA, SASA MTANDAONI!

Mpira umerejea tena, mechi zinaendelea hapa Meridianbet! Sasa Unaweza kufurahia ligi kubwa zaidi za soka barani Ulaya na tumekuwekea Odds kubwa kwa ajili yako mtandaoni.

Kina Mbowe wakata rufaa Mahakama Kuu

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake saba wamekata rufaa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Machi 10, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kina Mbowe wakata rufaa Mahakama Kuu

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake saba wamekata rufaa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Machi 10, 2020.

Walioambukizwa corona Tanzania wafikia 25

Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema walioambukizwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona nchini wamefikia 25 baada ya mgonjwa mwingine mmoja kuongezeka leo Jumatano Aprili 8, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Walioambukizwa corona Tanzania wafikia 25

Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema walioambukizwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona nchini wamefikia 25 baada ya mgonjwa mwingine mmoja kuongezeka leo Jumatano Aprili 8, 2020.

Adaiwa kumjeruhi mpenzi wake baada ya kumnyima fedha

Shaibu Hamis mkazi wa mtaa wa Mabambase manispaa ya Shinyanga anadaiwa  kujeruhiwa sehemu za siri kwa wembe na mpenzi wake baada ya kumnyima fedha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Adaiwa kumjeruhi mpenzi wake baada ya kumnyima fedha

Shaibu Hamis mkazi wa mtaa wa Mabambase manispaa ya Shinyanga anadaiwa  kujeruhiwa sehemu za siri kwa wembe na mpenzi wake baada ya kumnyima fedha.

VIDEO: Waziri aipa mwezi mmoja kampuni ya Benchmark kumlipa fedha mshindi wa BSS

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania imeipa mwezi mmoja kampuni ya Benchmark 360 ltd kumlipa fedha zote, Meshark Fukuta ambaye ni mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya uimbaji la BSS mwaka 2019.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Waziri aipa mwezi mmoja kampuni ya Benchmark kumlipa fedha mshindi wa BSS

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania imeipa mwezi mmoja kampuni ya Benchmark 360 ltd kumlipa fedha zote, Meshark Fukuta ambaye ni mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya uimbaji la BSS mwaka 2019.

Miundombinu Dar es Salaam yatengewa bilioni 186

Mradi wa Uendelezaji wa miundombinu katika jiji la Dar es Salaam umetengewa Sh186.8 bilioni katika mwaka wa fedha 2020/2021 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Miundombinu Dar es Salaam yatengewa bilioni 186

Mradi wa Uendelezaji wa miundombinu katika jiji la Dar es Salaam umetengewa Sh186.8 bilioni katika mwaka wa fedha 2020/2021 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu.

TMA yaelezea hali ya joto lililopo

Mamlaka ya Hewa nchini(TMA) imesema takwimu zinaonyesha kuwa joto la nchi linaendelea kuongezeka kwa kiwango cha juu kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka huu ambapo joto la usiku limeongezeka zaidi ikilinganishwa na joto la mchana
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TMA yaelezea hali ya joto lililopo

Mamlaka ya Hewa nchini(TMA) imesema takwimu zinaonyesha kuwa joto la nchi linaendelea kuongezeka kwa kiwango cha juu kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka huu ambapo joto la usiku limeongezeka zaidi ikilinganishwa na joto la mchana

Wadau wamkabidhi Waziri Mkuu Sh6.2 bilioni kukabili virusi vya Corona

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya Sh 6.226 bilioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wadau wamkabidhi Waziri Mkuu Sh6.2 bilioni kukabili virusi vya Corona

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya Sh 6.226 bilioni.

CT-Scan Muhimbili yaharibika, wagonjwa wapelekwa Moi na Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema mashine yake ya  CT Scan haifanyi kazi na wagonjwa wa dharura  wanaohitaji huduma hiyo wanapelekwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (Moi) na hospitali ya Mloganzila.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CT-Scan Muhimbili yaharibika, wagonjwa wapelekwa Moi na Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema mashine yake ya  CT Scan haifanyi kazi na wagonjwa wa dharura  wanaohitaji huduma hiyo wanapelekwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (Moi) na hospitali ya Mloganzila.

CAG abaini udanganyifu wa mabilioni UDART, NEC na Wizara ya Maliasili na Utalii

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini udanganyifu wa mabilioni ya fedha kwenye maeneo matatu ya miradi mbalimbali inayotekelezwa na taasisi za Serikali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CAG abaini udanganyifu wa mabilioni UDART, NEC na Wizara ya Maliasili na Utalii

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini udanganyifu wa mabilioni ya fedha kwenye maeneo matatu ya miradi mbalimbali inayotekelezwa na taasisi za Serikali.

VIDEO: Mkurugenzi wa JamiiForums ahukumiwa kulipa faini ya Sh3 milioni

Mahakaka ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo(40) kulipa faini ya Sh3 milioni au kwenda jela mwaka mmoja, baada ya kutiwa hatiani katika shtaka moja la kuzuia jeshi la polisi kufanya uchunguzi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Mkurugenzi wa JamiiForums ahukumiwa kulipa faini ya Sh3 milioni

Mahakaka ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo(40) kulipa faini ya Sh3 milioni au kwenda jela mwaka mmoja, baada ya kutiwa hatiani katika shtaka moja la kuzuia jeshi la polisi kufanya uchunguzi.

GSM yatangaza kurejea Yanga kwa kishindo

WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM wamerudi kwa kishindo baada ya kumaliza tofauti zao ambazo ziliwafanya hivi karibuni watangaze kujitoa kuisaidia klabu hiyo kwenye mambo mengine nje ya mkataba wao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

GSM yatangaza kurejea Yanga kwa kishindo

WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM wamerudi kwa kishindo baada ya kumaliza tofauti zao ambazo ziliwafanya hivi karibuni watangaze kujitoa kuisaidia klabu hiyo kwenye mambo mengine nje ya mkataba wao.

CAG afafanua fedha kutofika elimu bila malipo

Kusuasua kwa utoaji fedha za utekelezaji wa elimu bila malipo kunachangia kukosekana kwa miundombinu ya elimu katika shule za msingi na sekondari hali inayozorotesha utoaji wa elimu bora nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CAG afafanua fedha kutofika elimu bila malipo

Kusuasua kwa utoaji fedha za utekelezaji wa elimu bila malipo kunachangia kukosekana kwa miundombinu ya elimu katika shule za msingi na sekondari hali inayozorotesha utoaji wa elimu bora nchini.

Kichere: TRA imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji kodi kwa miaka minne

Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikipitia mabadiliko makubwa ndani ya miaka mitano, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema imeshindwa kufikia malengo ya ukusanyaji mapato kwa kipindi hicho.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kichere: TRA imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji kodi kwa miaka minne

Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikipitia mabadiliko makubwa ndani ya miaka mitano, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema imeshindwa kufikia malengo ya ukusanyaji mapato kwa kipindi hicho.

Get more results via ClueGoal