Tanzania

Hamisa Mobetto aupamba wimbo Dodo wa Ali Kiba

Amerudi tena. Ndivyo ninavyoweza kusema  baada ya msanii Ali Kiba kutoa wimbo uitwao Dodo  katika mtandao wa Youtube leo asubuhi Jumatano Aprili 8, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mvua kunyesha wastani wa juu Dar, Pwani

Mamlaka ya Hewa Tanzania(TMA) imesema mabadiliko makubwa yanayoendelea katika Bahari ya Hindi na baadhi ya maeneo ya misitu ya Congo imesababisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro Kaskazini  kutarajiwa kunyesha mvua juu ya wastani.

NEC kutumia siku tatu uboreshaji daftari la wapiga kura Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema uboreshaji wa daftari la wapiga kura awamu ya pili utaanza Aprili 17 hadi Mei 4,2020.

Kigwangalla ajibu matumizi ya Sh2 bilioni kinyume na utaratibu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewajibu wanaomsakama katika mitandao ya kijamii wakitaka awajibike  baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) kubaini  matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa n
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kigwangalla ajibu matumizi ya Sh2 bilioni kinyume na utaratibu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewajibu wanaomsakama katika mitandao ya kijamii wakitaka awajibike  baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) kubaini  matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa na wizara hiyo  nje ya bajeti na kabla ya kupitishwa na Bunge.

Kampeni yaanzishwa kutaka Tanzania isamehewe madeni ya nje

Taasisi ya Madeni na Maendeleo (TCDD) imeanzisha kampeni ya kuzitaka nchi zilizoendelea kuisamehe madeni Tanzania kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kampeni yaanzishwa kutaka Tanzania isamehewe madeni ya nje

Taasisi ya Madeni na Maendeleo (TCDD) imeanzisha kampeni ya kuzitaka nchi zilizoendelea kuisamehe madeni Tanzania kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona.

Waziri Mkuu wa Uingereza aendelea kuwa ICU kwa siku ya pili

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson ametumia siku ya pili akiwa chumba cha uangalizi maalum wa matibabu (ICU) akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Covid-19.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri Mkuu wa Uingereza aendelea kuwa ICU kwa siku ya pili

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson ametumia siku ya pili akiwa chumba cha uangalizi maalum wa matibabu (ICU) akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Covid-19.

Ripoti ya CAG yabaini madudu katika taasisi za umma

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeendelea kubaini dosari ya matumizi za fedha yanayofanywa na taasisi na mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ripoti ya CAG yabaini madudu katika taasisi za umma

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeendelea kubaini dosari ya matumizi za fedha yanayofanywa na taasisi na mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa.

Miaka mitatu Tanzania yapoteza lita bilioni 1.4 za petroli, kodi

Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji (Ewura) imeshindwa kuthibitisha matumizi ya lita bilioni 1.4 zilizoingia nchini kwa miaka mitatu huku Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikikosa mabilioni ya kodi na tozo ya nishati hiyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Miaka mitatu Tanzania yapoteza lita bilioni 1.4 za petroli, kodi

Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji (Ewura) imeshindwa kuthibitisha matumizi ya lita bilioni 1.4 zilizoingia nchini kwa miaka mitatu huku Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikikosa mabilioni ya kodi na tozo ya nishati hiyo.

CCM yasema mawazo ya Karume bado yanaishi

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar Dk Abdalla Juma Saadala amesema ingawa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume alifariki miaka 48 iliyopita, mawazo yake bado yanaishi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CCM yasema mawazo ya Karume bado yanaishi

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar Dk Abdalla Juma Saadala amesema ingawa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume alifariki miaka 48 iliyopita, mawazo yake bado yanaishi.

Ripoti ya CAG yabaini NDC kushindwa kuendeleza baadhi ya maeneo

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeshindwa kuendeleza hekta 250.42 sawa na asilimia 77 ya maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya viwanda.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ripoti ya CAG yabaini NDC kushindwa kuendeleza baadhi ya maeneo

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeshindwa kuendeleza hekta 250.42 sawa na asilimia 77 ya maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya viwanda.

CAG abaini matumizi ya Sh2 bilioni Wizara ya Maliasili na Utalii kinyume na utaratibu

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amebaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii nje ya bajeti na kabla ya kupitishwa na Bunge.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CAG abaini matumizi ya Sh2 bilioni Wizara ya Maliasili na Utalii kinyume na utaratibu

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amebaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii nje ya bajeti na kabla ya kupitishwa na Bunge.

Mashirika matano ya umma yatajwa na CAG kuwa na upungufu

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2019  imebaini upungufu  kadhaa katika mashirika ya umma matano kati ya 40.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mashirika matano ya umma yatajwa na CAG kuwa na upungufu

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2019  imebaini upungufu  kadhaa katika mashirika ya umma matano kati ya 40.

Mamia wajitokeza kuwania maeneo ya biashara Dodoma

Mamia ya wakazi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma nchini Tanzania leo Jumanne Aprili 7, 2020 wamejitokeza kuwania nafasi za kufanya biashara katika miradi miwili ya kimkakati iliyojengwa na Serikali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mamia wajitokeza kuwania maeneo ya biashara Dodoma

Mamia ya wakazi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma nchini Tanzania leo Jumanne Aprili 7, 2020 wamejitokeza kuwania nafasi za kufanya biashara katika miradi miwili ya kimkakati iliyojengwa na Serikali.

Hofu ya Mkude corona yawagusa makocha Ligi Kuu

Kauli ya kiungo wa Simba, Jonas Mkude kuwa endapo Ligi Kuu Bara itaendelea baada ya muda wa kusimama, kutakuwa na changamoto mbalimbali kwa wachezaji kurejea kwenye ari ya mchezo ikiwamo suala la kukosa pumzi na majeraha, imewaibua makocha ambao wamemuunga mk
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hofu ya Mkude corona yawagusa makocha Ligi Kuu

Kauli ya kiungo wa Simba, Jonas Mkude kuwa endapo Ligi Kuu Bara itaendelea baada ya muda wa kusimama, kutakuwa na changamoto mbalimbali kwa wachezaji kurejea kwenye ari ya mchezo ikiwamo suala la kukosa pumzi na majeraha, imewaibua makocha ambao wamemuunga mkono.

Mhilu hayupo Simba, Yanga anawaza nje

Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kwa sasa kipaumbele chake si kuzichezea Simba au Yanga, bali kucheza soka la kulipwa nje ya nchi msimu ujao na kwamba mipango inaenda vizuri.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mhilu hayupo Simba, Yanga anawaza nje

Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kwa sasa kipaumbele chake si kuzichezea Simba au Yanga, bali kucheza soka la kulipwa nje ya nchi msimu ujao na kwamba mipango inaenda vizuri.

Taharuki yatanda baada ya Waziri mkuu Boris kulazwa kwa corona

Taharuki imezuka kwa saa kadhaa jijini London baada ya hali ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson kubadilika ghafla na kulazimika kuwekewa mashine ya kumsaidia kupumua.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Taharuki yatanda baada ya Waziri mkuu Boris kulazwa kwa corona

Taharuki imezuka kwa saa kadhaa jijini London baada ya hali ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson kubadilika ghafla na kulazimika kuwekewa mashine ya kumsaidia kupumua.

Meneja wa Diamond asimulia alivyopona ugonjwa wa corona

Baada ya kuthibitika kuwa amepona ugonjwa wa corona, meneja wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Sallam Sharaf ‘SK’ amefunguka kuhusu kuumwa kwake na jinsi alivyofanikiwa kupona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Meneja wa Diamond asimulia alivyopona ugonjwa wa corona

Baada ya kuthibitika kuwa amepona ugonjwa wa corona, meneja wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Sallam Sharaf ‘SK’ amefunguka kuhusu kuumwa kwake na jinsi alivyofanikiwa kupona.

CAG abaini watumishi hewa

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2018/19 imebaini ‘madudu’ katika halmashauri mbalimbali nchini zikiwamo Sh167.43 milioni kutumika kulipa watumishi hewa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

CAG abaini watumishi hewa

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2018/19 imebaini ‘madudu’ katika halmashauri mbalimbali nchini zikiwamo Sh167.43 milioni kutumika kulipa watumishi hewa.

Viongozi wamkumbuka Karume, mwanaye aeleza alivyopigania muungano

Viongozi mbalimbali wamefanya dua katika  kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume katika kumbukumbu ya miaka  48 ya kifo chake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Viongozi wamkumbuka Karume, mwanaye aeleza alivyopigania muungano

Viongozi mbalimbali wamefanya dua katika  kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume katika kumbukumbu ya miaka  48 ya kifo chake.

Nape asema uendeshaji wa siasa unatokana na ilani ya CCM

Mbunge wa Mtama nchini Tanzania (CCM), Nape Nnauye amesema mabadiliko ya namna ya kuendesha siasa nchini yametokana na kazi iliyofanywa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi(CCM).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nape asema uendeshaji wa siasa unatokana na ilani ya CCM

Mbunge wa Mtama nchini Tanzania (CCM), Nape Nnauye amesema mabadiliko ya namna ya kuendesha siasa nchini yametokana na kazi iliyofanywa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi(CCM).

Mama mzazi wa Guardiola afariki kwa corona

MAMA mzazi wa kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, Dolors Sala Carrio, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 huko Barcelona baada ya kupata maambuzi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mama mzazi wa Guardiola afariki kwa corona

MAMA mzazi wa kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, Dolors Sala Carrio, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 huko Barcelona baada ya kupata maambuzi ya virusi vya corona.

Vifo vya corona vyafika sita Kenya

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema kuwa watu wengine wawili wamefariki dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona unasababisha ugonjwa wa Covid-19.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Vifo vya corona vyafika sita Kenya

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema kuwa watu wengine wawili wamefariki dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona unasababisha ugonjwa wa Covid-19.

Mbunge wa CUF amchongea waziri wa Zanzibar kwa PM

Mbunge wa Konde Nchini Tanzania (CUF) Khatib Said Haji ameiomba Serikali kumchukulia hatua Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati, Salama Aboud Talib aliyekataa kukaa kwenye karantini na kusababisha maambukizi kwa watu wawili kwenye familia yake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge wa CUF amchongea waziri wa Zanzibar kwa PM

Mbunge wa Konde Nchini Tanzania (CUF) Khatib Said Haji ameiomba Serikali kumchukulia hatua Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati, Salama Aboud Talib aliyekataa kukaa kwenye karantini na kusababisha maambukizi kwa watu wawili kwenye familia yake.

Vita vya Kagera vilivyombakisha Nyerere madarakani

Baada ya Tanu kumpitisha kugombea urais mwaka 1975, Mwalimu Julius Nyerere alionya dhidi ya utamaduni uliokuwa unajengeka wa kumpitisha mtu mmoja kila mara na kutaka chama hicho kiangalie wengine wenye nguvu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Vita vya Kagera vilivyombakisha Nyerere madarakani

Baada ya Tanu kumpitisha kugombea urais mwaka 1975, Mwalimu Julius Nyerere alionya dhidi ya utamaduni uliokuwa unajengeka wa kumpitisha mtu mmoja kila mara na kutaka chama hicho kiangalie wengine wenye nguvu.

Mbowe ashauri kuundwa kikosi kazi cha corona

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Bunge nchini Tanzania, Freeman Mbowe ameshauri kuundwa kwa kikosi kazi cha Taifa kwa ajili ya kuangalia athari za uchumi zitakazotokana na ugonjwa wa corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe ashauri kuundwa kikosi kazi cha corona

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Bunge nchini Tanzania, Freeman Mbowe ameshauri kuundwa kwa kikosi kazi cha Taifa kwa ajili ya kuangalia athari za uchumi zitakazotokana na ugonjwa wa corona.

Watu 13 wakamatwa kwa kukwepa karantini

Serikali mkoani Mbeya imewakamata raia 13 walioingia nchini kupitia mipaka ya nchi jirani kutaka kukwepa kuhifadhiwa kwenye karantini kwa siku 14 kwa ajili ya kupimwa afya zao kama wanaweza kuwa na viashiria vya maambukizi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watu 13 wakamatwa kwa kukwepa karantini

Serikali mkoani Mbeya imewakamata raia 13 walioingia nchini kupitia mipaka ya nchi jirani kutaka kukwepa kuhifadhiwa kwenye karantini kwa siku 14 kwa ajili ya kupimwa afya zao kama wanaweza kuwa na viashiria vya maambukizi ya virusi vya corona.

Get more results via ClueGoal