Tanzania

Waomba kumaliza kesi nje ya mahakama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga imetaarifiwa juu ya nia ya washtakiwa wa kesi ya uhujumu uchumi ya Katani Limited kuomba kuiondoa kesi hiyo mahakamani na kujadiliana nje ya mahakama.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Corona yapangua utaratibu wa misa Alhamisi, Ijumaa Kuu

Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam limebadili utaratibu wa uendeshaji wa misa za Alhamisi Kuu na Ijumaa Kuu likiondoa matukio ya kunawishana miguu na kubusu msalaba.

Chui akutwa na corona Marekani

Chui milia (Tiger) wa kike mwenye umri wa miaka minne anayefungwa katika bustani ya wanyama Marekani amemekutwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Mashujaa 6 wanaopambana na janga la corona Afrika

Wakati ugonjwa wa virusi vya corona Covid- 19 ukiendelea kuitesa dunia, baadhi ya watu maarufu duniani wametumia mali zao kuchangia mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Wasafiri kutoka nje ya nchi kupelekwa karantini Hosteli za Magufuli

Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa corona watalazimika kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es  Salaam maarufu hosteli za Magufuli.

Wagonjwa wawili wa corona waongezeka Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza uwepo wa wagonjwa wawili wapya wenye maambukizi ya virusi vya corona visiwani humo na sasa jumla wamefikia saba.

Jinsi Katibu Mkuu CUF alivyotabiri kifo chake

Ilikuwa kama nadhiri kwa Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman Khalifa ambaye kwenye mikutano yake mingi alinukuliwa akisema ‘atafia CUF’. Na ndivyo ilivyokuwa kifo kimemkuta ndani ya chama hicho licha ya misukosuko mingi zikiwamo kesi mahakamani.

Corona na anguko la uchumi wa dunia

Bila shaka na kwa kuangalia na kuzingatia misingi ya uendeshaji wa masuala ya kimataifa toka enzi na enzi, kila baada ya janga kubwa lililowahi kuitikisa dunia, kulifuatiwa na janga kubwa la kiuchumi ambalo liliitikisa dunia.

Ishu ya Yanga na Ndemla iko hivi

KUMEKUWA na taarifa nyingi mtaani zikimuhusisha kiungo wa Simba, Said Ndemla na Yanga hasa kutokana na nafasi yake kucheza ndani ya kikosi cha kwanza kuonekana ni finyu huku mkataba wake pia ukielekea ukingoni.

NO AGENDA: Kupambana na Masanja ni kupoteza shabaha vita ya corona

MITANDAONI mastaa Bongo kama nchi ipo tofauti na dunia. Wakati Shirika la Miradi ya Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), linaomba nchi za G20 kutoa dola 2.5 trilioni (Sh5,700 trilioni), kusaidia theluthi mbili ya dunia ambayo ni nchi zinazoendelea, wanaoombe
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NO AGENDA: Kupambana na Masanja ni kupoteza shabaha vita ya corona

MITANDAONI mastaa Bongo kama nchi ipo tofauti na dunia. Wakati Shirika la Miradi ya Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), linaomba nchi za G20 kutoa dola 2.5 trilioni (Sh5,700 trilioni), kusaidia theluthi mbili ya dunia ambayo ni nchi zinazoendelea, wanaoombewa msaada ni kama hakuna kitu.

Kocha wa Yanga Eymael sasa kusajili wachezaji 10 wapya

KOCHA wa Yanga, Luc Eymael yuko mapumzikoni nchini Ubelgiji. Lakini amezungumza na Mwanaspoti LIVE na kuweka wazi kwamba mpaka sasa ana majina ya wachezaji wapya zaidi ya 10 mkononi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kocha wa Yanga Eymael sasa kusajili wachezaji 10 wapya

KOCHA wa Yanga, Luc Eymael yuko mapumzikoni nchini Ubelgiji. Lakini amezungumza na Mwanaspoti LIVE na kuweka wazi kwamba mpaka sasa ana majina ya wachezaji wapya zaidi ya 10 mkononi.

TUONGEE KIUME: Asichotakiwa kufanya mwanaume asiye na ajira

Kwenye kitabu chake cha Jobs Ends, milionea kijana Taylor Pearson anaandika, ‘Kwa enzi hizi za matumizi makubwa ya mashine na intaneti, ajira yako ni kitu kinachoweza kupotea kufumba na kufumbua, kwa hiyo ujasiriamali ni salama zaidi ya ajira.’
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TUONGEE KIUME: Asichotakiwa kufanya mwanaume asiye na ajira

Kwenye kitabu chake cha Jobs Ends, milionea kijana Taylor Pearson anaandika, ‘Kwa enzi hizi za matumizi makubwa ya mashine na intaneti, ajira yako ni kitu kinachoweza kupotea kufumba na kufumbua, kwa hiyo ujasiriamali ni salama zaidi ya ajira.’

USHAURI WA DAKTARI: Hawa wasifanye hivi kipindi cha corona

Vifo vingi vya wagonjwa wa Covid-19 vinavyotokea duniani vinaonyesha kuwapata zaidi watu ambao wana umri mkubwa kati ya miaka 49-60 na wale wanaogua magonjwa mengine.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

USHAURI WA DAKTARI: Hawa wasifanye hivi kipindi cha corona

Vifo vingi vya wagonjwa wa Covid-19 vinavyotokea duniani vinaonyesha kuwapata zaidi watu ambao wana umri mkubwa kati ya miaka 49-60 na wale wanaogua magonjwa mengine.

ANTI BETTIE: Sifikirii kuachana naye, tabia zake zinanilazimisha

Anti habari, nina mwanaume naishi naye kwa miezi sita sasa. Hatujafunga ndoa kwa sababu hana kazi, hivyo navumilia akipata tutakamilisha lengo hilo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ANTI BETTIE: Sifikirii kuachana naye, tabia zake zinanilazimisha

Anti habari, nina mwanaume naishi naye kwa miezi sita sasa. Hatujafunga ndoa kwa sababu hana kazi, hivyo navumilia akipata tutakamilisha lengo hilo.

Serikali Tanzania yapiga ‘stop’ twisheni, yabainisha mbadala

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imesisitiza hakuna mwalimu anaruhusiwa kuendesha madarasa ya ziada na badala yake wazazi na walezi wawasisitize watoto wao kujisomea wenyewe nyumbani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali Tanzania yapiga ‘stop’ twisheni, yabainisha mbadala

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imesisitiza hakuna mwalimu anaruhusiwa kuendesha madarasa ya ziada na badala yake wazazi na walezi wawasisitize watoto wao kujisomea wenyewe nyumbani.

Hoja ya Sugu matokeo urais Tanzania kupingwa mahakamani yawaibua wanasheria

Siku moja kupita baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema),Joseph Mbilinyi maarufu Sugu kutaka sheria za uchaguzi zibadilishwe ili matokeo ya urais nchini Tanzania yapingwe mahakamani kama ilivyo kwa ubunge, wanasheria wameibuka na kuunga mkono suala hilo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hoja ya Sugu matokeo urais Tanzania kupingwa mahakamani yawaibua wanasheria

Siku moja kupita baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema),Joseph Mbilinyi maarufu Sugu kutaka sheria za uchaguzi zibadilishwe ili matokeo ya urais nchini Tanzania yapingwe mahakamani kama ilivyo kwa ubunge, wanasheria wameibuka na kuunga mkono suala hilo.

Makonda: Ukijifungia ndani kisa corona utakufa njaa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema  baadhi ya wakazi wa mkoa huo watakufa njaa kwa sababu ya kujifungia ndani kwa kigezo cha kuhofia  ugonjwa wa virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Makonda: Ukijifungia ndani kisa corona utakufa njaa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema  baadhi ya wakazi wa mkoa huo watakufa njaa kwa sababu ya kujifungia ndani kwa kigezo cha kuhofia  ugonjwa wa virusi vya corona.

DED atangaza kuwashughulikia walimu wakware

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Mkao wa Mwanza nchini Tanzania, Crispin Luanda amewatangazia kiama walimu ambao watakaobainika kujihusisha kimapenzi na wanafunzi watafutwa kazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

DED atangaza kuwashughulikia walimu wakware

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Mkao wa Mwanza nchini Tanzania, Crispin Luanda amewatangazia kiama walimu ambao watakaobainika kujihusisha kimapenzi na wanafunzi watafutwa kazi.

Alichokisema Sallam kuhusu Diamond

Kama ni mfuatiliaji wa burudani hakika utakuwa umekumbana na mjadala kuhusu kuhusu Sallam SK ambaye ni meneja wa Diamond Platnumz  kuacha kumsimamia mkali huyo wa wimbo wa Jeje.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Alichokisema Sallam kuhusu Diamond

Kama ni mfuatiliaji wa burudani hakika utakuwa umekumbana na mjadala kuhusu kuhusu Sallam SK ambaye ni meneja wa Diamond Platnumz  kuacha kumsimamia mkali huyo wa wimbo wa Jeje.

NDANI YA BOKSI: Ukiyaishi maisha ya King Kiba, joto la corona litapita hivi...

2016... ‘Ostabei’ jijini Dar es Salaam. Ilikuwa ni mida mibovu. Kichwani nimetanguliza ‘sanitaiza’ kadhaa. Si zile za kutakatisha mikono kukwepa ‘korona’. Hapana! Ni za kulainisha akili ifanye kazi haraka. Jambo la kujishauri mara mbili sikuhitaj
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NDANI YA BOKSI: Ukiyaishi maisha ya King Kiba, joto la corona litapita hivi...

2016... ‘Ostabei’ jijini Dar es Salaam. Ilikuwa ni mida mibovu. Kichwani nimetanguliza ‘sanitaiza’ kadhaa. Si zile za kutakatisha mikono kukwepa ‘korona’. Hapana! Ni za kulainisha akili ifanye kazi haraka. Jambo la kujishauri mara mbili sikuhitaji muda huo.

China, Korea Kusini zinavyobeba matumaini ya dunia vita ya corona

Lipo swali; China na Korea Kusini zimewezaje? Ugonjwa ulianzia Jimbo la Wuhan, China, mapambano makali ya miezi mitatu yamebadilisha taswira yote.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

China, Korea Kusini zinavyobeba matumaini ya dunia vita ya corona

Lipo swali; China na Korea Kusini zimewezaje? Ugonjwa ulianzia Jimbo la Wuhan, China, mapambano makali ya miezi mitatu yamebadilisha taswira yote.

Kigogo Chadema wilaya ya Tarime, wenzake 50 watimkia CCM

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Wilaya ya Tarime mkoani Mara nchini Tanzania, Mwita Joseph ‘white’ na wanachama wa chama hicho zaidi ya 50 wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kigogo Chadema wilaya ya Tarime, wenzake 50 watimkia CCM

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Wilaya ya Tarime mkoani Mara nchini Tanzania, Mwita Joseph ‘white’ na wanachama wa chama hicho zaidi ya 50 wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

UCHAMBUZI: Wananchi wamepata chama mbadala cha siasa nchini?

Watanzania bado wapo katika giza nene, wanapofanya jitihada za kupata chama cha siasa mbadala, licha ya kuwa na fursa hiyo kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UCHAMBUZI: Wananchi wamepata chama mbadala cha siasa nchini?

Watanzania bado wapo katika giza nene, wanapofanya jitihada za kupata chama cha siasa mbadala, licha ya kuwa na fursa hiyo kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

Wamiliki wa mabasi Mwanza walia uchache wa abiria

Wakati jitihada za kudhibiti kusambaa ugonjwa wa corona nchini Tanzania zikiendelea, wafanyabiashara wa  mabasi jijini Mwanza wamelia mabasi kuondoka kituoni yakiwa matupu huku wengine wakiyaegesha baada ya kukosa wasafiri.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wamiliki wa mabasi Mwanza walia uchache wa abiria

Wakati jitihada za kudhibiti kusambaa ugonjwa wa corona nchini Tanzania zikiendelea, wafanyabiashara wa  mabasi jijini Mwanza wamelia mabasi kuondoka kituoni yakiwa matupu huku wengine wakiyaegesha baada ya kukosa wasafiri.

Ukataji tiketi wa treni Tanzania sasa kielektroniki

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limezindua mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielektroniki ikiwa ni mkakati wa kujiimarisha katika utoaji wa huduma na ukusanyaji mapato.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ukataji tiketi wa treni Tanzania sasa kielektroniki

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limezindua mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielektroniki ikiwa ni mkakati wa kujiimarisha katika utoaji wa huduma na ukusanyaji mapato.

Kisa corona, Ma RPC na RPO watakiwa kuwapa dhamana mahabusu

Naibu waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania, Hamad Masauni amewaagiza  makamanda wa polisi nchini humo (RPC), kuhakikisha wanawapa dhamana mahabusu waliokidhi vigezo ili kuondoa msongamano katika vituo hivyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kisa corona, Ma RPC na RPO watakiwa kuwapa dhamana mahabusu

Naibu waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania, Hamad Masauni amewaagiza  makamanda wa polisi nchini humo (RPC), kuhakikisha wanawapa dhamana mahabusu waliokidhi vigezo ili kuondoa msongamano katika vituo hivyo.

Maalim Seif awapigania wazee, wagonjwa dhidi ya corona

Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad ameishauri jamii kuwalinda wazee na wagonjwa wa magonjwa mengine ili wasiambukizwe virusi vya corona (covid-19).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maalim Seif awapigania wazee, wagonjwa dhidi ya corona

Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad ameishauri jamii kuwalinda wazee na wagonjwa wa magonjwa mengine ili wasiambukizwe virusi vya corona (covid-19).

Wananchi Tarime wadaiwa kuwashambulia polisi, watumishi kwa mawe, mishale

Askari wa Jeshi la Polisi na watumishi wawili idara ya ardhi halmashauri ya wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara nchini Tanzania wamelazwa hospitali ya wilaya ya Tarime mkoani humo baada ya kushambuliwa kwa silaha za jadi na wananchi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wananchi Tarime wadaiwa kuwashambulia polisi, watumishi kwa mawe, mishale

Askari wa Jeshi la Polisi na watumishi wawili idara ya ardhi halmashauri ya wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara nchini Tanzania wamelazwa hospitali ya wilaya ya Tarime mkoani humo baada ya kushambuliwa kwa silaha za jadi na wananchi.

R Kelly ahofia virusi vya corona akiwa gerezani, ataka aachiwe huru

Mwimbaji wa muziki wa R&B, R Kelly amemuomba jaji kumuachia huru kutoka katika Gereza la Chicago akihofia kupata maambukizi ya ugonjwa wa corona au Covid-19.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

R Kelly ahofia virusi vya corona akiwa gerezani, ataka aachiwe huru

Mwimbaji wa muziki wa R&B, R Kelly amemuomba jaji kumuachia huru kutoka katika Gereza la Chicago akihofia kupata maambukizi ya ugonjwa wa corona au Covid-19.

Get more results via ClueGoal