Tanzania

Jay Z na Rihanna wachanga dola milioni mbili kusaidia janga la corona

Rapa Jay-Z na mwimbaji Rihanna wameunganisha nguvu na kuchanga dola za Marekani milioni mbili kwa ajili ya kusaidia wenye mahitaji yatokanayo na janga la corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ziara za Makonda Dar zazua jambo

Ziara za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika maeneo mbalimbali zinazosababisha mikusanyiko ya watu zimeibua mjadala huku wachambuzi wakisema jambo hilo linatakiwa kuangalia kwa makini ili kuapuka maambukizi ya virusi vya corona.

Aliyepona corona sasa achangia kingamwili

Akiwa anatoka katika karantini, baada ya ku pona Covid-19, Diana Berrent ana hamu ya kuingia katika vita dhidi ya ugonjwa huo wa virusi vya corona na amejitolea kingamwili ambazo watafiti wana imani zitasaidia wengine.

Profesa Tibaijuka aaga bungeni akiwa na uchungu wa sakata la Escrow

Mbunge wa Muleba Kusini Nchini Tanzania (CCM) Profesa Anne Tibaijuka ameliaga Bunge rasmi kuwa hatagombea tena ubunge na kukabidhi serikalini hoja yake binafsi aliyoipigania kuingia bungeni kwa miaka 10 bila mafanikio.

Mbunge wa CCM amwambia waziri atalaaniwa

Mbunge wa Ulanga Nchini Tanzania (CCM) Godluck Mlinga amemweleza Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama kuwa wazee wa Ulanga wanaodai mafao yao kwa miaka miwili mfululizo bila mafanikio watamlaani.

Mbunge ataka Chadema kifutwe

Mbunge wa Temeke Nchini (CCM), Abdallah Mtolea amehoji kwanini Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini haifuti Chadema kutokana na siasa za fujo na chuki wanazozifanya licha ya kupewa meno na sheria iliyopitishwa na Bunge.

Latra yataka wenye mabasi kuomba leseni kuokoa adha ya usafiri Dar

Mamlala ya Usafiri wa Ardhini (Latra) imewaalika watu binafsi au taasisi zenye mabasi ambayo hayajapangiwa njia, kuomba leseni za muda mfupi ili kutoa huduma za usafiri maeneo ya mijini.

Mbunge CUF ahoji hatima ya jimbo lake

Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amehoji hatma ya jimbo hilo baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kufanya marekebisho ya jina na mipaka ya iliyokuwa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi na kuanzisha Halmashauri mpya ya Mtama inayojumuisha eneo lote la jim
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge CUF ahoji hatima ya jimbo lake

Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amehoji hatma ya jimbo hilo baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kufanya marekebisho ya jina na mipaka ya iliyokuwa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi na kuanzisha Halmashauri mpya ya Mtama inayojumuisha eneo lote la jimbo la Mtama.

Watu 78 kutoka Afrika Kusini wawekwa karantini katika mpaka wa Tunduma

Idadi ya wasafiri waliowekwa karantini katika mji wa Tunduma Mkoa wa Songwe imeongezeka kutoka sita wiki iliyopita hadi kufikia 84.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watu 78 kutoka Afrika Kusini wawekwa karantini katika mpaka wa Tunduma

Idadi ya wasafiri waliowekwa karantini katika mji wa Tunduma Mkoa wa Songwe imeongezeka kutoka sita wiki iliyopita hadi kufikia 84.

Mgonjwa mwingine apona corona Tanzania

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa mwingine aliyekuwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini amepona na kufikisha idadi ya wagonjwa watatu waliopona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgonjwa mwingine apona corona Tanzania

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa mwingine aliyekuwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini amepona na kufikisha idadi ya wagonjwa watatu waliopona.

Balozi Iddi aeleza alivyokaa karantini Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais  Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amewataka wananchi kuzingatia kukaa karantini wanapoingia Tanzania kutoka nchi zenye maambukizi ya ugonjwa wa corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Balozi Iddi aeleza alivyokaa karantini Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais  Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amewataka wananchi kuzingatia kukaa karantini wanapoingia Tanzania kutoka nchi zenye maambukizi ya ugonjwa wa corona.

Mbowe amtimua Mbatia, wabunge wa CUF katika baraza mawaziri kivuli

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imefanya mabadiliko ya Baraza Kivuli la Mawaziri na kuwaondoa wabunge wa CUF na NCCR-Mageuzi na kubaki wa Chadema pekee.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe amtimua Mbatia, wabunge wa CUF katika baraza mawaziri kivuli

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imefanya mabadiliko ya Baraza Kivuli la Mawaziri na kuwaondoa wabunge wa CUF na NCCR-Mageuzi na kubaki wa Chadema pekee.

VIDEO: Aliyekimbia kituo cha uangalizi maambukizi ya corona Dar akamatwa Iringa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limemkamata mtu mmoja  kwa madai ya kutoroka katika karantini jijini Dar es Salaam siku tatu tangu awasili Tanzania akitokea nchini Norway.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Aliyekimbia kituo cha uangalizi maambukizi ya corona Dar akamatwa Iringa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limemkamata mtu mmoja  kwa madai ya kutoroka katika karantini jijini Dar es Salaam siku tatu tangu awasili Tanzania akitokea nchini Norway.

Bale akubali yaishe kwa Zidane

Mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale yupo tayari kuondoa kinyongo dhidi ya kocha wake, Zinedine Zidane ili kurejesha uhusiano wao vizuri na amepanga kupigania namba katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bale akubali yaishe kwa Zidane

Mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale yupo tayari kuondoa kinyongo dhidi ya kocha wake, Zinedine Zidane ili kurejesha uhusiano wao vizuri na amepanga kupigania namba katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo.

Rashford ataja kikosi cha nyota sita Man Utd

Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford ametaja mastaa sita ambao hawawezi kukosekana katika kikosi cha United cha muda wote, iwapo angepewa nafasi ya kuwateua.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rashford ataja kikosi cha nyota sita Man Utd

Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford ametaja mastaa sita ambao hawawezi kukosekana katika kikosi cha United cha muda wote, iwapo angepewa nafasi ya kuwateua.

Klabu zataka Ligi Kuu, FA zifutwe

Zikiwa zimesalia siku 17 kumalizika kwa siku 30 ambazo Serikali ilitangaza kusitisha mikusanyiko ikiwamo shughuli za michezo, klabu mbalimbali za Ligi Kuu zimesema kuna haja ya ligi kufutwa msimu huu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Klabu zataka Ligi Kuu, FA zifutwe

Zikiwa zimesalia siku 17 kumalizika kwa siku 30 ambazo Serikali ilitangaza kusitisha mikusanyiko ikiwamo shughuli za michezo, klabu mbalimbali za Ligi Kuu zimesema kuna haja ya ligi kufutwa msimu huu.

Namungo FC yawafungulia milango Kikoti, Lusajo

Uongozi wa Namungo FC umewasha taa ya kijani kwa wachezaji wake kujiunga na timu nyingine huku ikitaka kufuatwa kwa taratibu badala ya kufanya makubaliano kiholela.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Namungo FC yawafungulia milango Kikoti, Lusajo

Uongozi wa Namungo FC umewasha taa ya kijani kwa wachezaji wake kujiunga na timu nyingine huku ikitaka kufuatwa kwa taratibu badala ya kufanya makubaliano kiholela.

Tisa waunganishwa kesi ya kina Halima Mdee

Watu tisa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuunganishwa katika kesi ya viongozi na wafuasi 15  wa Chadema wanaokabiliwa mashitaka saba likiwemo la kukaidi amri halali, kutoa lugha ya maudhi na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tisa waunganishwa kesi ya kina Halima Mdee

Watu tisa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuunganishwa katika kesi ya viongozi na wafuasi 15  wa Chadema wanaokabiliwa mashitaka saba likiwemo la kukaidi amri halali, kutoa lugha ya maudhi na kuharibu geti la gereza la Segerea.

Sugu ataka matokeo ya urais kupingwa mahakamani

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ ametaka sheria za uchaguzi zibadilishwe ili matokeo ya urais kupingwa mahakamani kama ilivyo kwa ubunge.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sugu ataka matokeo ya urais kupingwa mahakamani

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ ametaka sheria za uchaguzi zibadilishwe ili matokeo ya urais kupingwa mahakamani kama ilivyo kwa ubunge.

GSM warejea kwa kishindo Yanga kuanza na ujenzi wa uwanja Kigamboni

WANACHAMA na mashabiki wa Yanga waliokuwa wakiishi kwa presha tangu waliposikia, mmoja wa wadhamini wao, Kampuni ya GSM ametaka kujiengua kwenye shughuli zilizopo nje ya mkataba na klabu yao, sasa wale na kushiba tu, kwani kila kitu kipo sawa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

GSM warejea kwa kishindo Yanga kuanza na ujenzi wa uwanja Kigamboni

WANACHAMA na mashabiki wa Yanga waliokuwa wakiishi kwa presha tangu waliposikia, mmoja wa wadhamini wao, Kampuni ya GSM ametaka kujiengua kwenye shughuli zilizopo nje ya mkataba na klabu yao, sasa wale na kushiba tu, kwani kila kitu kipo sawa.

VIDEO: Serikali yanunua mtambo mpya kuchapisha vitambulisho vya Taifa

Serikali imewaahidi Watanzania kuanza kuzalisha vitambulisho vya Taifa mwishoni mwa mwezi huu kwa kutumia mtambo mpya ambao una kasi ya kuzalisha vitambulisho 9,000 kwa saa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Serikali yanunua mtambo mpya kuchapisha vitambulisho vya Taifa

Serikali imewaahidi Watanzania kuanza kuzalisha vitambulisho vya Taifa mwishoni mwa mwezi huu kwa kutumia mtambo mpya ambao una kasi ya kuzalisha vitambulisho 9,000 kwa saa.

Mkopo uliokwama Benki ya Dunia watoka, sababu za kukwama zatajwa

Benki ya Dunia (WB) hatimaye jana ilifikia muafaka na Serikali kutoa mkopo wa Dola500 milioni (Sh1.2 trilioni) kwa ajili ya kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mkopo uliokwama Benki ya Dunia watoka, sababu za kukwama zatajwa

Benki ya Dunia (WB) hatimaye jana ilifikia muafaka na Serikali kutoa mkopo wa Dola500 milioni (Sh1.2 trilioni) kwa ajili ya kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania

PanAfrican Energy yailipa serikali ya Tanzania malipo maalum ya kodi

Kampuni ya PanAfrican Energy Tanzania Limited (PAET) leo Aprili 2, imeilipa serikali ya Jamhuri ya Muungano kodi ya nyongeza inayotokana na faida Sh 27.3 bilioni ($ 11.94 milioni).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

PanAfrican Energy yailipa serikali ya Tanzania malipo maalum ya kodi

Kampuni ya PanAfrican Energy Tanzania Limited (PAET) leo Aprili 2, imeilipa serikali ya Jamhuri ya Muungano kodi ya nyongeza inayotokana na faida Sh 27.3 bilioni ($ 11.94 milioni).

Kilio cha boda boda chahamia kwenye uchache wa abiria katikati ya Jiji Dar

Licha ya bodaboda na bajaji kuruhusiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam Tanzania, madereva wake wamelalamikia uchache wa abiria ambao wanasema hivi sasa wanawasaka kwa ‘tochi’.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kilio cha boda boda chahamia kwenye uchache wa abiria katikati ya Jiji Dar

Licha ya bodaboda na bajaji kuruhusiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam Tanzania, madereva wake wamelalamikia uchache wa abiria ambao wanasema hivi sasa wanawasaka kwa ‘tochi’.

Mkurugenzi TBC amlilia Marin Hassan Marin

Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa  (TBC), Ayoub Rioba amesema kifo cha mfanyakazi wao, Marin Hassan Marin kimeacha pengo kwenye shirika hilo na itawawia vigumu kuliziba.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mkurugenzi TBC amlilia Marin Hassan Marin

Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa  (TBC), Ayoub Rioba amesema kifo cha mfanyakazi wao, Marin Hassan Marin kimeacha pengo kwenye shirika hilo na itawawia vigumu kuliziba.

Shahidi kesi ya Zitto aeleza alivyosaidia kutafuta miili, silaha zilizopotea

Shahidi wa sita wa upande wa utetezi katika kesi  inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyoshirikiana na kamati ya ulinzi na usalama kutafuta miili pamoja na silaha zilizokuwa zimepotea.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Shahidi kesi ya Zitto aeleza alivyosaidia kutafuta miili, silaha zilizopotea

Shahidi wa sita wa upande wa utetezi katika kesi  inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyoshirikiana na kamati ya ulinzi na usalama kutafuta miili pamoja na silaha zilizokuwa zimepotea.

VIDEO: Hussein Machozi apata hofu kurejea Tanzania kwa sababu ya corona

Msanii Hussein Machozi anayeishi Italia amesema hawezi kurejea Tanzania kwa sasa kwa kuwa nchi hiyo pia ina maambukizi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Hussein Machozi apata hofu kurejea Tanzania kwa sababu ya corona

Msanii Hussein Machozi anayeishi Italia amesema hawezi kurejea Tanzania kwa sasa kwa kuwa nchi hiyo pia ina maambukizi ya virusi vya corona.

‘ETS itadhibiti udanganyifu wa mapato kipindi hiki cha vita dhidi ya corona’

Kuanzishwa kwa matumizi ya stempu za kielektroniki (ETS) katika bidhaa tofauti Tanzania, kumeelezewa kuwa kutaisaidia Serikali ya nchi hiyo kukusanya kodi ya mapato ili kunusuru uchumi katika kipindi hiki ambacho Taifa limekumbwa na athari za corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

‘ETS itadhibiti udanganyifu wa mapato kipindi hiki cha vita dhidi ya corona’

Kuanzishwa kwa matumizi ya stempu za kielektroniki (ETS) katika bidhaa tofauti Tanzania, kumeelezewa kuwa kutaisaidia Serikali ya nchi hiyo kukusanya kodi ya mapato ili kunusuru uchumi katika kipindi hiki ambacho Taifa limekumbwa na athari za corona.

Get more results via ClueGoal