Tanzania

Waziri, gavana Somalia wajeruhiwa na al- Shabab

Waziri wa Mambo Ndani nchini Somalia, Mohamed Abdirahman na Gavana wa Jimbo la Puntland, Abdisalan Hassan Hersi wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wafanyakazi benki ya Akiba wahukumiwa kulipa faini, fidia ya Sh62 milioni

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu  wafanyakazi wanne wa Benki ya Akiba tawi la Ilala kulipa fidia ya Sh62 milioni baada ya kukiri kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte afariki dunia

Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu, mkewe Mariamu Shamte amethibitisha

Mbunge Chadema kutimkia NCCR Mageuzi akimaliza ubunge

Mbunge wa Moshi Vijijini(Chadema), Anthony Komu ametangaza rasmi kujivua uanachama kwa sababu ya kukatishwa tamaa na tuhuma za usaliti zinazomkabili kwa muda mrefu.

Kanisa Katoliki latoa mwongozo wa Pasaka

Ikiwa zimebaki siku 11 kuanza maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka duniani, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa jinsi ibada zitakavyoendeshwa katika wiki ya mwisho ili kuwakinga waumini na maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya corona (Co
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kanisa Katoliki latoa mwongozo wa Pasaka

Ikiwa zimebaki siku 11 kuanza maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka duniani, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa jinsi ibada zitakavyoendeshwa katika wiki ya mwisho ili kuwakinga waumini na maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya corona (Covid-19).

Mtoto wa kwanza wa Sokoine kuzikwa Jumanne Monduli Juu

Lazaro Sokoine, mtoto wa kwanza wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Moringe Sokoine aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili atazikwa Jumanne nyumbani kwake Monduli Juu mkoani Arusha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtoto wa kwanza wa Sokoine kuzikwa Jumanne Monduli Juu

Lazaro Sokoine, mtoto wa kwanza wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Moringe Sokoine aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili atazikwa Jumanne nyumbani kwake Monduli Juu mkoani Arusha.

Mtoto wa hayati Sokoine afariki dunia Tanzania

Lazaro Sokoine (47) ambaye ni mtoto wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Moringe Sokoine amefariki dunia jana Ijumaa Machi 27, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtoto wa hayati Sokoine afariki dunia Tanzania

Lazaro Sokoine (47) ambaye ni mtoto wa hayati Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Moringe Sokoine amefariki dunia jana Ijumaa Machi 27, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.

Watanzania waishio Afrika Kusini wazungumzia machungu ya corona

Baadhi ya watanzania  waishio  nchini Afrika Kusini  wamesema hatua ambayo nchi hiyo inapitia kwa sasa ni mbaya kiuchumi na hawatamani kuona Tanzania ifike huko.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watanzania waishio Afrika Kusini wazungumzia machungu ya corona

Baadhi ya watanzania  waishio  nchini Afrika Kusini  wamesema hatua ambayo nchi hiyo inapitia kwa sasa ni mbaya kiuchumi na hawatamani kuona Tanzania ifike huko.

Utata wa Kanda, Mazembe yambakisha Msimbazi

BAADA ya sintofahamu juu ya hatma ya nyota matata anayekipiga Simba kwa mkopo kutoka TP Mazembe ya Dr Congo, Deo Kanda, kila kitu kwa sasa kinaelezwa kipo freshi na jamaa ataendelea kukinukisha Msimbazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Utata wa Kanda, Mazembe yambakisha Msimbazi

BAADA ya sintofahamu juu ya hatma ya nyota matata anayekipiga Simba kwa mkopo kutoka TP Mazembe ya Dr Congo, Deo Kanda, kila kitu kwa sasa kinaelezwa kipo freshi na jamaa ataendelea kukinukisha Msimbazi.

Kichuya apewa mchongo Simba

NYOTA wa zamani wa Mtibwa Sugar, Abdallah Juma 'AJ' amemuangalia winga wa Simba, Shiza Kichuya kisha anampa neno akimtaka akubali kuanza moja ili aweze kurejea kwenye ufalme wake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kichuya apewa mchongo Simba

NYOTA wa zamani wa Mtibwa Sugar, Abdallah Juma 'AJ' amemuangalia winga wa Simba, Shiza Kichuya kisha anampa neno akimtaka akubali kuanza moja ili aweze kurejea kwenye ufalme wake.

Watendaji idara ya maendeleo Dar wapewa somo la corona

Watendaji zaidi ya 170 wa idara ya maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania wamepewa elimu juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona ili wawafikishie wananchi na wafanyabiashara wadogo wanaopatikana katika mitaa n
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watendaji idara ya maendeleo Dar wapewa somo la corona

Watendaji zaidi ya 170 wa idara ya maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania wamepewa elimu juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona ili wawafikishie wananchi na wafanyabiashara wadogo wanaopatikana katika mitaa na wilaya zao.

Kinda mtanzania anaecheza soka Uingereza akumbwa na Corona

NYOTA wa Kitanzania anayecheza soka la kulipwa nchini England katika klabu ya Portsmouth, Haji Mnoga amebainika kuambukizwa virusi vya Covid-19 zinazosababuisha ugonjwa wa corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kinda mtanzania anaecheza soka Uingereza akumbwa na Corona

NYOTA wa Kitanzania anayecheza soka la kulipwa nchini England katika klabu ya Portsmouth, Haji Mnoga amebainika kuambukizwa virusi vya Covid-19 zinazosababuisha ugonjwa wa corona.

Aliyetoweka nyumbani, mwili wake wakutwa hauna kichwa, miguu na mikono

Sarah Nestory (20) mkazi wa kitongoji cha mission wilayani Sengerema Mkoa Mwanza nchini Tanzania aliyetoweka nyumbani siku saba zilizopita, mwili wake umekutwa kichakani umeharibika vibaya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Aliyetoweka nyumbani, mwili wake wakutwa hauna kichwa, miguu na mikono

Sarah Nestory (20) mkazi wa kitongoji cha mission wilayani Sengerema Mkoa Mwanza nchini Tanzania aliyetoweka nyumbani siku saba zilizopita, mwili wake umekutwa kichakani umeharibika vibaya.

Polisi Tanzania wakamata magari ya wizi 130, pikipiki 193

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limekamata magari 130, pikipiki 193, vipuri mbalimbali vya magari na pikipiki 753 katika operesheni iliyoendeshwa nchi nzima.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi Tanzania wakamata magari ya wizi 130, pikipiki 193

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limekamata magari 130, pikipiki 193, vipuri mbalimbali vya magari na pikipiki 753 katika operesheni iliyoendeshwa nchi nzima.

Kwa Neymar, Messi anakaa, asema Cafu

Nyota wa zamani wa Brazil, Cafu amesema kutokana na uwezo alionao mshambuliaji wa PSG, Neymar, «hata Messi angekuwa nyuma yake» kutokana na ufundi wake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kwa Neymar, Messi anakaa, asema Cafu

Nyota wa zamani wa Brazil, Cafu amesema kutokana na uwezo alionao mshambuliaji wa PSG, Neymar, «hata Messi angekuwa nyuma yake» kutokana na ufundi wake.

Mchumba wa Davido akutwa na maambukizi ya corona

Staa wa muziki kutoka  Nigeria, David Adedeji Adeleke maarufu Davido  amewataka watu kutulia nyumbani ili kupambana na kuenea kwa virusi vya corona  (COVID-19).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mchumba wa Davido akutwa na maambukizi ya corona

Staa wa muziki kutoka  Nigeria, David Adedeji Adeleke maarufu Davido  amewataka watu kutulia nyumbani ili kupambana na kuenea kwa virusi vya corona  (COVID-19).

Bibi wa miaka 102 apona corona Italia

Bibi mwenye umri wa miaka 102 amepona ugonjwa wa virusi vya corona katika mji wa kaskazini mwa Italia wa Genoa baada ya kukaa hospitalini kwa siku zaidi ya 20, madaktari waliomtibu na mpwa wake waliiambia CNN.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bibi wa miaka 102 apona corona Italia

Bibi mwenye umri wa miaka 102 amepona ugonjwa wa virusi vya corona katika mji wa kaskazini mwa Italia wa Genoa baada ya kukaa hospitalini kwa siku zaidi ya 20, madaktari waliomtibu na mpwa wake waliiambia CNN.

DC Kilolo apiga marufuku unywaji pombe kijamaa

Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kilolo Mkoa wa Iringa nchini Tanzania, Asia Abdallah amepiga marufuku mtindo wa kunywa pombe kwa kupokezana ndani ya chombo kimoja ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona (Codiv-19).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

DC Kilolo apiga marufuku unywaji pombe kijamaa

Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kilolo Mkoa wa Iringa nchini Tanzania, Asia Abdallah amepiga marufuku mtindo wa kunywa pombe kwa kupokezana ndani ya chombo kimoja ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona (Codiv-19).

Matukio makubwa ya uhalifu, barabarani yapungua Tanzania

Dodoma. Jeshi la Polisi Tanzania limesema matukio makubwa ya uhalifu yaliyoripotiwa katika kipindi cha Januari na Februari 2020 yamepungua kwa asilimia 3.2 ukilinganisha na kipindi kama hicho mwaka 2019.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Matukio makubwa ya uhalifu, barabarani yapungua Tanzania

Dodoma. Jeshi la Polisi Tanzania limesema matukio makubwa ya uhalifu yaliyoripotiwa katika kipindi cha Januari na Februari 2020 yamepungua kwa asilimia 3.2 ukilinganisha na kipindi kama hicho mwaka 2019.

Yanga yatingishwa sakata la GSM

Wakati vigogo watatu wameng’oka madarakani Yanga huku wengine wawili wakisimamishwa, sakata la kampuni ya GMS na klabu ya Yanga limewatofautisha wadau wa soka nchini, huku baadhi wakiipa mbinu klabu hiyo kongwe ya soka kujiendesha kisasa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Yanga yatingishwa sakata la GSM

Wakati vigogo watatu wameng’oka madarakani Yanga huku wengine wawili wakisimamishwa, sakata la kampuni ya GMS na klabu ya Yanga limewatofautisha wadau wa soka nchini, huku baadhi wakiipa mbinu klabu hiyo kongwe ya soka kujiendesha kisasa.

Baraza laitwa kumng’oa meya, korti ikitupa maombi yake

Saa chache baada ya Mahakama ya Mkoa kutupa maombi ya kuzuia mchakato kumng’oa meya ya Manspaa ya Iringa, Alex Kimbe, Baraza Maalumu la Madiwani limeitisha kikao kinachoaminika kitahitimisha suala hilo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Baraza laitwa kumng’oa meya, korti ikitupa maombi yake

Saa chache baada ya Mahakama ya Mkoa kutupa maombi ya kuzuia mchakato kumng’oa meya ya Manspaa ya Iringa, Alex Kimbe, Baraza Maalumu la Madiwani limeitisha kikao kinachoaminika kitahitimisha suala hilo.

VIDEO: Corona ilivyoibua hofu Afrika Kusini, Uganda na Kenya

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Afrika Kusini, Uganda na Kenya wamezungumzia jinsi wanavyoishi baada ya shughuli mbalimbali nchini humo kusimamishwa, na baadhi wananchi kuzuiwa kutoka nje.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Corona ilivyoibua hofu Afrika Kusini, Uganda na Kenya

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Afrika Kusini, Uganda na Kenya wamezungumzia jinsi wanavyoishi baada ya shughuli mbalimbali nchini humo kusimamishwa, na baadhi wananchi kuzuiwa kutoka nje.

Balozi Kairuki: Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma China wasirejee nchini humo

Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amewataka wanafunzi waliopo nje ya China kutorejea nchini humo hadi itakapotangazwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Balozi Kairuki: Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma China wasirejee nchini humo

Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amewataka wanafunzi waliopo nje ya China kutorejea nchini humo hadi itakapotangazwa.

Watatu Yanga wajiuzulu, wawili wasimamishwa

HALI ndani ya Yanga sio shwari baada ya wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji kutangaza kujiuzulu nafasi zote walizokuwa nazo klabu, huku wengine wawili wakisimamishwa kwa utovu wa nidhamu, ikiwa siku chache tangu Kampuni ya GSM kutishia kusitisha huduma zake
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watatu Yanga wajiuzulu, wawili wasimamishwa

HALI ndani ya Yanga sio shwari baada ya wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji kutangaza kujiuzulu nafasi zote walizokuwa nazo klabu, huku wengine wawili wakisimamishwa kwa utovu wa nidhamu, ikiwa siku chache tangu Kampuni ya GSM kutishia kusitisha huduma zake klabuni.

WWF: Tutafute maendeleo na tuhifadhi mazingira ili yatuhifadhi

Mazingira bora ni muhimu kwa afya na ustawi wa binadamu. Binadamu na mazingira wana uhusiano wa moja kwa moja ambao kila mmoja ili aweze kustawi anamtegemea mwenzake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

WWF: Tutafute maendeleo na tuhifadhi mazingira ili yatuhifadhi

Mazingira bora ni muhimu kwa afya na ustawi wa binadamu. Binadamu na mazingira wana uhusiano wa moja kwa moja ambao kila mmoja ili aweze kustawi anamtegemea mwenzake.

Marekani sasa yaongoza kwa wagonjwa wa corona

Nchi ya Marekani sasa ndio inayoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wenye maambukizi ya virusi vya corona kuliko nchi zote duniani ambapo imeripotiwa kuwa na maambukizi 85,594 na vifo 1,300.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Marekani sasa yaongoza kwa wagonjwa wa corona

Nchi ya Marekani sasa ndio inayoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wenye maambukizi ya virusi vya corona kuliko nchi zote duniani ambapo imeripotiwa kuwa na maambukizi 85,594 na vifo 1,300.

Auawa na mamba baada ya kukiuka kujikinga na corona nyumbani

Mwanamume mmoja nchini hapa ambaye alikiuka amri ya kukaa nyumbani kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, amefariki dunia baada ya kuuawa na mamba alipokwenda kuvua samaki.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Auawa na mamba baada ya kukiuka kujikinga na corona nyumbani

Mwanamume mmoja nchini hapa ambaye alikiuka amri ya kukaa nyumbani kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, amefariki dunia baada ya kuuawa na mamba alipokwenda kuvua samaki.

Get more results via ClueGoal