Tanzania

MAWAIDHA YA IJUMAA: Janga la corona kwa mtazamo wa dini ya Kiislamu

Tangu kudhihiri kwa janga la corona katika nchi mbalimbali duniani na hapa kwetu nchini, kumekuwa na maswali mengi yanayohitajia majibu hasa katika upande wa kiimani wa dini ya Kiislamu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jinsi Nyerere alivyoomba kura 1975, Aboud Jumbe atetea urais Zanzibar

Usiku wa Oktoba 24, 1975, siku mbili kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 26, Rais wa Tanu, Mwalimu Julius Nyerere alilihutubia Taifa kwa njia ya redio na kuahidi kuwa ataendelea kuitumikia Tanzania na watu wake kwa kipindi kingine cha miaka mitano
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jinsi Nyerere alivyoomba kura 1975, Aboud Jumbe atetea urais Zanzibar

Usiku wa Oktoba 24, 1975, siku mbili kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 26, Rais wa Tanu, Mwalimu Julius Nyerere alilihutubia Taifa kwa njia ya redio na kuahidi kuwa ataendelea kuitumikia Tanzania na watu wake kwa kipindi kingine cha miaka mitano kama wananchi wengi wangempigia kura.

Bosi wa Takukuru Kinondoni, wenzake wanne matatani

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania imesema itawakamata watumishi wake watano akiwamo mkuu wa taasisi hiyo Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, Teddy Mjangira ili kujibu tuhuma zinazowakabili.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bosi wa Takukuru Kinondoni, wenzake wanne matatani

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania imesema itawakamata watumishi wake watano akiwamo mkuu wa taasisi hiyo Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, Teddy Mjangira ili kujibu tuhuma zinazowakabili.

Wapigwa faini ya Sh230 milioni baada ya kusafirisha makontena 18 ya magogo, bila kibali

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu raia wawili wa India, Manish Khattar(38)na Rajesh Velram(52)  kulipa faini ya Sh230 milioni baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na makontena 18 ya magogo aina ya mpigo yenye thamani ya Sh500 milioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wapigwa faini ya Sh230 milioni baada ya kusafirisha makontena 18 ya magogo, bila kibali

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu raia wawili wa India, Manish Khattar(38)na Rajesh Velram(52)  kulipa faini ya Sh230 milioni baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na makontena 18 ya magogo aina ya mpigo yenye thamani ya Sh500 milioni.

Mgonjwa wa corona afariki nchini Kenya

Mgonjwa wa kwanza mwenye maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya amefariki dunia katika Hospitali ya Aga Khan. Akitangaza kifo hicho leo Alhamisi Machi 26, 2020 Waziri wa Afya nchini humo, Mutahi Kagwe amesema mgonjwa huyo amefariki leo mchana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgonjwa wa corona afariki nchini Kenya

Mgonjwa wa kwanza mwenye maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya amefariki dunia katika Hospitali ya Aga Khan. Akitangaza kifo hicho leo Alhamisi Machi 26, 2020 Waziri wa Afya nchini humo, Mutahi Kagwe amesema mgonjwa huyo amefariki leo mchana.

Anayetuhumiwa kumuua mfanyakazi wake afikishwa mahakamani

Mamia ya watu wamejitokea leo Alhamisi Machi 26, 2020  katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru kusikiliza kesi  inayomkabili Mkami Shirima (30) anayetuhumiwa kumuua mfanyakazi wake wa ndani,  Salome Zakaria(18) Machi 16, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Anayetuhumiwa kumuua mfanyakazi wake afikishwa mahakamani

Mamia ya watu wamejitokea leo Alhamisi Machi 26, 2020  katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru kusikiliza kesi  inayomkabili Mkami Shirima (30) anayetuhumiwa kumuua mfanyakazi wake wa ndani,  Salome Zakaria(18) Machi 16, 2020.

VIDEO: Ajali ilivyoua baba na mama, watoto wao watatu wakanusurika

Ni huzuni na bahati. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya simulizi kuhusu Yonusi Baraka, mwenye umri wa miaka sita, Grace Baraka (2) na mdogo wao, Yoelina walionusurika katika ajali iliyochukua maisha ya wazazi wao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Ajali ilivyoua baba na mama, watoto wao watatu wakanusurika

Ni huzuni na bahati. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya simulizi kuhusu Yonusi Baraka, mwenye umri wa miaka sita, Grace Baraka (2) na mdogo wao, Yoelina walionusurika katika ajali iliyochukua maisha ya wazazi wao.

VIDEO: Mafuriko yaivuruga Rufiji

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini, zimesababisha mafuriko na kukata mawasiliano ya ndani wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani na kuziacha zaidi ya kaya 350 bila makazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Mafuriko yaivuruga Rufiji

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini, zimesababisha mafuriko na kukata mawasiliano ya ndani wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani na kuziacha zaidi ya kaya 350 bila makazi.

VIDEO:Maisha ya Pius Msekwa nyumbani kwake Ukerewe

Haya ndio maisha ya Pius Msekwa baada ya kustaafu. Ndivyo unavyoweza kusema ukifika nyumbani kwa makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM-Bara, Pius Msekwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO:Maisha ya Pius Msekwa nyumbani kwake Ukerewe

Haya ndio maisha ya Pius Msekwa baada ya kustaafu. Ndivyo unavyoweza kusema ukifika nyumbani kwa makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM-Bara, Pius Msekwa.

Papa apimwa corona

Kiongozi wa Kansa Katoliki Duniani, Papa Francis amepimwa virusi vya corona (covid-19) na kuthibitika kuwa hajaambukizwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Papa apimwa corona

Kiongozi wa Kansa Katoliki Duniani, Papa Francis amepimwa virusi vya corona (covid-19) na kuthibitika kuwa hajaambukizwa.

Ajibu, Yikpe hesabu zao zimekataa

Maisha ya Ibrahim Ajibu, Yikpe Gnamien na wachezaji wengine wanne wa Yanga, Simba, KMC na Azam ni ishara tosha ya methali inayosema ‘mipango si matumizi’.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ajibu, Yikpe hesabu zao zimekataa

Maisha ya Ibrahim Ajibu, Yikpe Gnamien na wachezaji wengine wanne wa Yanga, Simba, KMC na Azam ni ishara tosha ya methali inayosema ‘mipango si matumizi’.

Mabasi mwendokasi yaoshwa mara mbili

Ili kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona kwenye vyombo vya usafiri, uongozi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) umesema hivi sasa yanaoshwa mara mbili kwa siku.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mabasi mwendokasi yaoshwa mara mbili

Ili kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona kwenye vyombo vya usafiri, uongozi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) umesema hivi sasa yanaoshwa mara mbili kwa siku.

VIDEO: CAG asema hali ya utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa hauridhishi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Charles Kichere amesema ofisi yake ilitoa mapendekezo 266 lakini ni mapendekezo 82 pekee ndiyo yametekelezwa kikamilifu wakati mapendekezo 95 utekelezaji wake ukiendelea, mapendekezo 65 hayajatekelezwa kabi
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: CAG asema hali ya utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa hauridhishi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Charles Kichere amesema ofisi yake ilitoa mapendekezo 266 lakini ni mapendekezo 82 pekee ndiyo yametekelezwa kikamilifu wakati mapendekezo 95 utekelezaji wake ukiendelea, mapendekezo 65 hayajatekelezwa kabisa na mengine 22 yamepitwa na wakati.

VIDEO: Bilioni 1 ilivyotumika kukodi makazi ya balozi tatu

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi wake unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm/Sweden zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Bilioni 1 ilivyotumika kukodi makazi ya balozi tatu

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi wake unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm/Sweden zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi.

Mbowe na familia yake wajitenga wakisubiri majibu ya vipimo vya corona

Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameamua kujiweka karantini na familia yake baada ya mtoto wake kukutwa na virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe na familia yake wajitenga wakisubiri majibu ya vipimo vya corona

Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameamua kujiweka karantini na familia yake baada ya mtoto wake kukutwa na virusi vya corona.

Simba 19 wakamatwa Serengeti kutokana na kula mifugo ya wananchi

Simba 19 waliokuwa tishio kwa wananchi na kula mifugo wamekamatwa na kikosi maalum kilichokuwa kinawasaka katika maeneo ya Nyichoka na Bukore wilayani Serengeti.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Simba 19 wakamatwa Serengeti kutokana na kula mifugo ya wananchi

Simba 19 waliokuwa tishio kwa wananchi na kula mifugo wamekamatwa na kikosi maalum kilichokuwa kinawasaka katika maeneo ya Nyichoka na Bukore wilayani Serengeti.

Wanaopanga kwenda Zanzibar waombwa wabaki waliko, mgonjwa mwingine wa corona abainika

Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid amewaomba watu wanaopanga kwenda  Zanzibar baada ya siku tatu kuanzia leo Jumatano Machi 25, 2020 wapumzike walipo ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanaopanga kwenda Zanzibar waombwa wabaki waliko, mgonjwa mwingine wa corona abainika

Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid amewaomba watu wanaopanga kwenda  Zanzibar baada ya siku tatu kuanzia leo Jumatano Machi 25, 2020 wapumzike walipo ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona.

Meya wa Iringa aitwa kikaoni kesho

Baraza la madiwani Iringa mjini litakutana kesho Machi 26, 2020 huku kukitarajiwa maamuzi ya kumvua umeya, Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Meya wa Iringa aitwa kikaoni kesho

Baraza la madiwani Iringa mjini litakutana kesho Machi 26, 2020 huku kukitarajiwa maamuzi ya kumvua umeya, Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe.

Nabii Yaspi kuendesha maombi siku 30 kuombea corona Tanzania

Maambukizi ya virusi vya corona (CODIV-19) ulioanza mwaka 2019 nchini China kisha kusambaa duniani tayari umesababisha vifo vya watu zaidi ya 18,000 na wagonjwa zaidi ya 400,000 katika nchi mbalimbali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nabii Yaspi kuendesha maombi siku 30 kuombea corona Tanzania

Maambukizi ya virusi vya corona (CODIV-19) ulioanza mwaka 2019 nchini China kisha kusambaa duniani tayari umesababisha vifo vya watu zaidi ya 18,000 na wagonjwa zaidi ya 400,000 katika nchi mbalimbali.

Ashitakiwa kwa ugaidi baada ya kulamba vitu dukani kudhihaki corona

Mtu mmoja nchini Marekani amefunguliwa mashitaka ya kutoa tishio la ugaidi baada ya kudaiwa kujirekodi akilamba vitu vilivyokuwa vinauzwa katika duka kubwa (supermarket) huku akisema “Nani anaogopa corona?”
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ashitakiwa kwa ugaidi baada ya kulamba vitu dukani kudhihaki corona

Mtu mmoja nchini Marekani amefunguliwa mashitaka ya kutoa tishio la ugaidi baada ya kudaiwa kujirekodi akilamba vitu vilivyokuwa vinauzwa katika duka kubwa (supermarket) huku akisema “Nani anaogopa corona?”

Barua nzito ya GSM kwa Yanga yaleta utata

NYOTA wa Yanga wamevurugwa baada ya kusikia bilionea wa klabu hiyo Kampuni ya GSM kutishia kujiondoa kwenye baadhi ya huduma walizokuwa wakijitolea nje ya mkataba ikiwamo kambi na posho za wachezaji.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Barua nzito ya GSM kwa Yanga yaleta utata

NYOTA wa Yanga wamevurugwa baada ya kusikia bilionea wa klabu hiyo Kampuni ya GSM kutishia kujiondoa kwenye baadhi ya huduma walizokuwa wakijitolea nje ya mkataba ikiwamo kambi na posho za wachezaji.

Mgonjwa mwingine wa virusi vya corona aripotiwa Zanzibar

Zanzibar. Waziri wa Afya, Hamad Rashid Mohammed ametangaza kuongezeka kwa mgonjwa mwingine mmoja mwenye virusi vya corona (Covid 19) na hivyo kuwa idadi ya watu wawili Zanzibar. Hamad ameyasema hayo leo Machi 25 wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari. Am
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgonjwa mwingine wa virusi vya corona aripotiwa Zanzibar

Zanzibar. Waziri wa Afya, Hamad Rashid Mohammed ametangaza kuongezeka kwa mgonjwa mwingine mmoja mwenye virusi vya corona (Covid 19) na hivyo kuwa idadi ya watu wawili Zanzibar. Hamad ameyasema hayo leo Machi 25 wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari. Amesema mgonjwa huyo ni mwanamke na ni mke wa aliegunduliwa mwanzoni. Hata hivyo, ameleza kuwa Serikali imetoa siku tatu kwa kufungwa safari za kwenda na kurudi Zanzibar hivyo hakuna atakayetoka wala kuingia badaa ya siku tatu kuanzia sasa.

Rais Kenyatta apunguza mshahara wake ili kupambana na corona

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amepunguza mshahara wake na wa makamu wake William Ruto kwa asilimia 80 kwa ajili ya mapambano dhidi ya virusi vya corona huku mawaziri na makatibu wakuu wakipunguziwa asilimia 30.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rais Kenyatta apunguza mshahara wake ili kupambana na corona

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amepunguza mshahara wake na wa makamu wake William Ruto kwa asilimia 80 kwa ajili ya mapambano dhidi ya virusi vya corona huku mawaziri na makatibu wakuu wakipunguziwa asilimia 30.

Sherehe, vijiwe vya kunywa mbege marufuku wilayani Rombo kwa sababu ya corona

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Agness Hokororo amepiga marufuku vilabu vyote vya mbege wilayani humo pamoja vikoba kufuatia kuingia kwa ugonjwa wa  virusi vya corona (COVID-19).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sherehe, vijiwe vya kunywa mbege marufuku wilayani Rombo kwa sababu ya corona

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Agness Hokororo amepiga marufuku vilabu vyote vya mbege wilayani humo pamoja vikoba kufuatia kuingia kwa ugonjwa wa  virusi vya corona (COVID-19).

Msaada wa barakoa, suti za kujilinda na corona wawasili Tanzania

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Jumatano Machi 25, 2020 ameeleza kuwa Tanzania imepokea msaada wa vifaa tiba vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Msaada wa barakoa, suti za kujilinda na corona wawasili Tanzania

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Jumatano Machi 25, 2020 ameeleza kuwa Tanzania imepokea msaada wa vifaa tiba vya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona.

Mahakama yakataa ushahidi wa bosi PPRA

Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu imekataa kupokea vielelezo vya nyaraka za ripoti ya ukaguzi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) vitumike katika ushahidi kwa kuwa hazina mihuri ya moto.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mahakama yakataa ushahidi wa bosi PPRA

Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu imekataa kupokea vielelezo vya nyaraka za ripoti ya ukaguzi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) vitumike katika ushahidi kwa kuwa hazina mihuri ya moto.

Get more results via ClueGoal