Tanzania

TANZIA: Injinia Fabiola alivyoacha simanzi

“Alikuwa mke mwema, rafiki na mama watoto, ni pigo kubwa kwangu, familia na wanangu,” hayo ni maneno ya Josephat Mushi, mume wa Injinia Fabiola Mushi mwanamke pekee aliyefariki dunia katika ajali ya treni akiwa kazini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Corona isipoviunganisha vyama vya siasa hakuna agenda nyingine itafanikiwa

Msomi wa uandishi wa kibunifu (creative writing), Veronica Roth wa Chuo Kikuu cha Northwester, Marekani, aliandika kwa kuhoji: “Adui yetu ni mmoja, lakini hiyo inafanya sisi tuwe marafiki?”

VIDEO: Mtanzania asimulia madhila ya corona Italia

“Wakati ugonjwa huu umeingia Italia na kushuhudia namna watu wanavyopoteza maisha, nilimwomba sana Mungu tatizo hili lisifike nyumbani Tanzania kwa kuwa nafahamu hali zetu, mfumo wetu wa maisha na huduma za afya, sikutaka kabisa Watanzania wapate janga hili
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Mtanzania asimulia madhila ya corona Italia

“Wakati ugonjwa huu umeingia Italia na kushuhudia namna watu wanavyopoteza maisha, nilimwomba sana Mungu tatizo hili lisifike nyumbani Tanzania kwa kuwa nafahamu hali zetu, mfumo wetu wa maisha na huduma za afya, sikutaka kabisa Watanzania wapate janga hili.”

Uwezeshaji wanawake kisheria ni silaha muhimu katika kukabiliana na umaskini

Uwezeshaji wanawake kisheria ni hatua muhimu katika kuwawezesha kujua haki zao katika kupambana na umaskini wa kipato.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Uwezeshaji wanawake kisheria ni silaha muhimu katika kukabiliana na umaskini

Uwezeshaji wanawake kisheria ni hatua muhimu katika kuwawezesha kujua haki zao katika kupambana na umaskini wa kipato.

Aliyekuwa kiongozi wa CCM Dodoma kufikishwa mahakamani na mwenzake

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo Jumatano Machi 25, 2020 itamfikisha mahakamani aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma, Robert Mwinje (39) na muhudumu wa ofisi hiyo Nyemo Malenda (20) kwa makosa matatu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Aliyekuwa kiongozi wa CCM Dodoma kufikishwa mahakamani na mwenzake

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo Jumatano Machi 25, 2020 itamfikisha mahakamani aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma, Robert Mwinje (39) na muhudumu wa ofisi hiyo Nyemo Malenda (20) kwa makosa matatu.

Ronaldo, Guardiola wachangia mabilioni vita ya corona

Wanamichezo maarufu duniani, Christian Ronaldo na Pep Guardiola wameingia katika kundi la watu maarufu duniani waliochangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ronaldo, Guardiola wachangia mabilioni vita ya corona

Wanamichezo maarufu duniani, Christian Ronaldo na Pep Guardiola wameingia katika kundi la watu maarufu duniani waliochangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona.

Serikali ya Tanzania kuajiri madaktari 610

Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetangaza nafasi za ajira za madaktari 610 watakaofanya kazi katika mamlaka za serikali za mitaa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali ya Tanzania kuajiri madaktari 610

Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetangaza nafasi za ajira za madaktari 610 watakaofanya kazi katika mamlaka za serikali za mitaa.

Mbowe aeleza mwanae alivyougua ugonjwa wa corona

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe ameeleza kuwa mwanaye aitwaye Dudley ameugua ugonjwa wa corona ambao nchi mbalimbali zinafanya kila juhudi kupambana nao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe aeleza mwanae alivyougua ugonjwa wa corona

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe ameeleza kuwa mwanaye aitwaye Dudley ameugua ugonjwa wa corona ambao nchi mbalimbali zinafanya kila juhudi kupambana nao.

Mtoto wa miaka 10 aozeshwa Tanzania

Matukio ya ukatili kwa jamii ya wafugaji dhidi ya watoto wilayani hapa mkoani Manyara yamezidi kukithiri, baada ya mtoto wa miaka 10 mkazi wa kijiji cha Seki kata ya Partimbo kuozeshwa na wazazi wake kwa mahari ya Sh10,000.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtoto wa miaka 10 aozeshwa Tanzania

Matukio ya ukatili kwa jamii ya wafugaji dhidi ya watoto wilayani hapa mkoani Manyara yamezidi kukithiri, baada ya mtoto wa miaka 10 mkazi wa kijiji cha Seki kata ya Partimbo kuozeshwa na wazazi wake kwa mahari ya Sh10,000.

Kilichosababisha kifo cha Dk Mahanga chatajwa, kuzikwa kesho jijini Dar

Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Ilala, Dk Makongoro Mahanga anatarajiwa kuzikwa Alhamisi Machi 26 katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kilichosababisha kifo cha Dk Mahanga chatajwa, kuzikwa kesho jijini Dar

Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Ilala, Dk Makongoro Mahanga anatarajiwa kuzikwa Alhamisi Machi 26 katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam.

Ubongo kids kutoa mafunzo kwa watoto kidigitali

Taasisi ya Ubongo Kids imesema inaungana na serikali pamoja na wazazi na walezi kwa kuanzisha kutoa mafunzo kwa njia ya kidigitali kwa watoto kuendelea kujifunza nyumbani wakati shule zimefungwa kutokana uwepo wa virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ubongo kids kutoa mafunzo kwa watoto kidigitali

Taasisi ya Ubongo Kids imesema inaungana na serikali pamoja na wazazi na walezi kwa kuanzisha kutoa mafunzo kwa njia ya kidigitali kwa watoto kuendelea kujifunza nyumbani wakati shule zimefungwa kutokana uwepo wa virusi vya corona.

Mgodi wa Geita wapokea tuzo ya mshindi wa jumla wa usalama kimataifa 2019

Usalama ni kipaumbele chetu cha kwanza na kwa mwaka wote tumeendelea kuboresha usalama katika utendaji wa shughuli zetu kote duniani. Natoa shukrani na pongezi za dhati kwa kila mmoja wetu kwa mchango alioutoa na kuwezesha kufikia kiwango hiki cha ufanisi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgodi wa Geita wapokea tuzo ya mshindi wa jumla wa usalama kimataifa 2019

Usalama ni kipaumbele chetu cha kwanza na kwa mwaka wote tumeendelea kuboresha usalama katika utendaji wa shughuli zetu kote duniani. Natoa shukrani na pongezi za dhati kwa kila mmoja wetu kwa mchango alioutoa na kuwezesha kufikia kiwango hiki cha ufanisi.

Vyama vyaihoji NEC uchaguzi huru, vyashauri vita vya corona

Watendaji na viongozi wa vyama vya siasa wamehoji uhuru wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakiitaka ithibitishe kwa vitendo ahadi ya Rais John Magufuli ya kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Vyama vyaihoji NEC uchaguzi huru, vyashauri vita vya corona

Watendaji na viongozi wa vyama vya siasa wamehoji uhuru wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakiitaka ithibitishe kwa vitendo ahadi ya Rais John Magufuli ya kuwa na uchaguzi huru na wa haki.

Majaliwa awapiga ‘stop’ mawaziri kufanya ziara

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka mawaziri wote kusitisha ziara za kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo badala yake waelekeze nguvu kuzuia kuenea kwa virusi vya ugonjwa wa corona nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majaliwa awapiga ‘stop’ mawaziri kufanya ziara

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka mawaziri wote kusitisha ziara za kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo badala yake waelekeze nguvu kuzuia kuenea kwa virusi vya ugonjwa wa corona nchini.

Tofauti kati ya Covid 19, milipuko mingine ya corona

Mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani unaosababisha ugonjwa wa covid-19, sasa ndio tishio linalosababisha nchi mbalimbali kutoa mazuio katika maeneo yanayokutanisha watu wengi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tofauti kati ya Covid 19, milipuko mingine ya corona

Mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani unaosababisha ugonjwa wa covid-19, sasa ndio tishio linalosababisha nchi mbalimbali kutoa mazuio katika maeneo yanayokutanisha watu wengi.

Makonda asema hawatazitaja hoteli wanapowekwa watu karantini kutokana na corona

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawatazitaja hadharani hoteli ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuwahifadhi wageni kutoka nje ya nchi ambao wanatakiwa kuwekwa karantini kwa siku 14 kwa ajili ya uangalizi dhidi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Makonda asema hawatazitaja hoteli wanapowekwa watu karantini kutokana na corona

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawatazitaja hadharani hoteli ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuwahifadhi wageni kutoka nje ya nchi ambao wanatakiwa kuwekwa karantini kwa siku 14 kwa ajili ya uangalizi dhidi ya virusi vya corona.

Kolabo za nje zinavyombeba Diamond Platnumz kimataifa

Msanii Diamond Platnumz ambaye jina lake linazidi kuwa kubwa kimataifa na amekuwa na mafanikio makubwa katika muziki wake toka ameingia kwenye tasnia ya muziki.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kolabo za nje zinavyombeba Diamond Platnumz kimataifa

Msanii Diamond Platnumz ambaye jina lake linazidi kuwa kubwa kimataifa na amekuwa na mafanikio makubwa katika muziki wake toka ameingia kwenye tasnia ya muziki.

Wanaodaiwa kupandisha bei ya ‘sanitizer’ wabanwa

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi amesema atawasamehe wafanyabiashara waliokamatwa kwa kosa la kuongeza bei za visafisha mikono ‘sanitizer’ endapo bidhaa hizo watazigawa kwa watoto yatima.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wanaodaiwa kupandisha bei ya ‘sanitizer’ wabanwa

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi amesema atawasamehe wafanyabiashara waliokamatwa kwa kosa la kuongeza bei za visafisha mikono ‘sanitizer’ endapo bidhaa hizo watazigawa kwa watoto yatima.

Makonda aagiza kupulizwa dawa kuua vimelea vya virusi vya corona Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Machi 24, 2020 ameagiza kupulizwa dawa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, ili kuua vimelea vya magonjwa ikiwemo virusi vya ugonjwa wa corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Makonda aagiza kupulizwa dawa kuua vimelea vya virusi vya corona Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Machi 24, 2020 ameagiza kupulizwa dawa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, ili kuua vimelea vya magonjwa ikiwemo virusi vya ugonjwa wa corona.

Afrika Kusini yatangaza kusimamisha shughuli zote nchi nzima kwa wiki tatu kutokana na corona

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametangaza nchi hiyo kuwekwa chini ya uangalizi maalumu kwa wiki tatu, ambapo shughuli zote zitasimama kasoro zile za muhimu kwa jamii.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Afrika Kusini yatangaza kusimamisha shughuli zote nchi nzima kwa wiki tatu kutokana na corona

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametangaza nchi hiyo kuwekwa chini ya uangalizi maalumu kwa wiki tatu, ambapo shughuli zote zitasimama kasoro zile za muhimu kwa jamii.

Mtifuano kortini mgogoro familia ya Marealle

Malumbano ya kisheria yameibuka baina ya mawakili wa pande mbili kuhusu maombi ya kuzuia mazishi ya Veronica Mlang’a (105) ambaye alizikwa Jumamosi iliyopita.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mtifuano kortini mgogoro familia ya Marealle

Malumbano ya kisheria yameibuka baina ya mawakili wa pande mbili kuhusu maombi ya kuzuia mazishi ya Veronica Mlang’a (105) ambaye alizikwa Jumamosi iliyopita.

Mwanamuziki Manu Dibango afariki kwa ugonjwa wa corona

Paris, Ufaransa. Mwanamuziki mashuhuri na mpiga saxophonist wa Cameroon, Emmanuel N'Djoke Dibango ‘Manu Dibango’, amefariki kwa ugonjwa wa corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwanamuziki Manu Dibango afariki kwa ugonjwa wa corona

Paris, Ufaransa. Mwanamuziki mashuhuri na mpiga saxophonist wa Cameroon, Emmanuel N'Djoke Dibango ‘Manu Dibango’, amefariki kwa ugonjwa wa corona.

Sio Zengwe: Kuna jambo kati ya Yanga SC na wadhamini

WAKATI Manchester United inamsaini kiungo Mfaransa, Paul Pogba kulikuwa na mengi yaliyozungumzwa kuhusu uhamisho wake. Wapo waliosema kitendo cha kuchelewa kumtangaza kilisababishwa na siku aliyosajiliwa kuwa sikukuu na hivyo hakukuwa na shughuli katika soko
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sio Zengwe: Kuna jambo kati ya Yanga SC na wadhamini

WAKATI Manchester United inamsaini kiungo Mfaransa, Paul Pogba kulikuwa na mengi yaliyozungumzwa kuhusu uhamisho wake. Wapo waliosema kitendo cha kuchelewa kumtangaza kilisababishwa na siku aliyosajiliwa kuwa sikukuu na hivyo hakukuwa na shughuli katika soko la hisa.

ATCL yasitisha safari zote za ndege nje ya Tanzania

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)  kuanzia Machi 25, 2020 litasitisha safari zake za nje ya Tanzania ikiwa ni  sehemu ya kukabiliana na virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ATCL yasitisha safari zote za ndege nje ya Tanzania

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)  kuanzia Machi 25, 2020 litasitisha safari zake za nje ya Tanzania ikiwa ni  sehemu ya kukabiliana na virusi vya corona.

UCHAMBUZI: Wachezaji wetu watumie vema mapumziko ya corona kujifua

Serikali imesimamisha michezo yote kwa siku 30 kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, vinavyoenea kwa kasi katika nchi nyingi duniani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UCHAMBUZI: Wachezaji wetu watumie vema mapumziko ya corona kujifua

Serikali imesimamisha michezo yote kwa siku 30 kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, vinavyoenea kwa kasi katika nchi nyingi duniani.

Kupanda na kushuka kwa Yondani

Baada ya kutamba katika soka la Tanzania kwa takribani miaka 13, ni wazi kwamba zama za nyota wa Yanga na timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ zinaelekea ukingoni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kupanda na kushuka kwa Yondani

Baada ya kutamba katika soka la Tanzania kwa takribani miaka 13, ni wazi kwamba zama za nyota wa Yanga na timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ zinaelekea ukingoni.

Tamu, chungu Ligi Kuu hii hapa

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa imesimama kwa muda, baadhi ya klabu zinazoshiriki mashindano hayo zimepitia katika kipindi kigumu na nyingine neema kutokana na matokeo waliyopata.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tamu, chungu Ligi Kuu hii hapa

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa imesimama kwa muda, baadhi ya klabu zinazoshiriki mashindano hayo zimepitia katika kipindi kigumu na nyingine neema kutokana na matokeo waliyopata.

Luis atoboa siri tishio la namba linavyompasua kichwa Simba

Wakati mashabiki wa Simba wakiamini Luis Miquissone ni mkombozi wao, winga huyo amesema ana changamoto ya kupigania namba kikosi cha kwanza.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Luis atoboa siri tishio la namba linavyompasua kichwa Simba

Wakati mashabiki wa Simba wakiamini Luis Miquissone ni mkombozi wao, winga huyo amesema ana changamoto ya kupigania namba kikosi cha kwanza.

Kisa Simba mabosi Yanga wajifungia usiku wa manane

Viongozi wa Yanga wameiangalia Ligi Kuu Bara na kubaini kuwa hawana chao hata wafanye nini, kutokana na ukweli watani wao, Simba wapo katika nafasi nzuri zaidi kutetea taji kwa msimu wa tatu mfululizo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kisa Simba mabosi Yanga wajifungia usiku wa manane

Viongozi wa Yanga wameiangalia Ligi Kuu Bara na kubaini kuwa hawana chao hata wafanye nini, kutokana na ukweli watani wao, Simba wapo katika nafasi nzuri zaidi kutetea taji kwa msimu wa tatu mfululizo.

Diamond Platnumz afikisha watazamaji milioni 900 Youtube

Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz amefikisha watu milioni 903 waliotazama kazi zake mbalimbali katika mtandao wa Youtube hadi leo Jumatatu Machi 23, 2020 saa 7 mchana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Diamond Platnumz afikisha watazamaji milioni 900 Youtube

Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz amefikisha watu milioni 903 waliotazama kazi zake mbalimbali katika mtandao wa Youtube hadi leo Jumatatu Machi 23, 2020 saa 7 mchana.

VIDEO: Wabunge Chadema wasomewa mashtaka saba

Wabunge watatu wa Chadema, Halima Mdee, Ester Bulaya na Jesca Kishoa pamoja na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Jumatatu Machi 23, 2020 na kusomewa mashtaka saba.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Wabunge Chadema wasomewa mashtaka saba

Wabunge watatu wa Chadema, Halima Mdee, Ester Bulaya na Jesca Kishoa pamoja na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Jumatatu Machi 23, 2020 na kusomewa mashtaka saba.

ATCL yasitisha safari ya nne ya kimataifa kwa sababu ya corona

Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha safari tatu za kimataifa na kufanya jumla ya safari zilizositishwa tangu kuibuka kwa ugonjwa wa corona kufikia nne baada ya leo Jumatatu Machi 23, 2020 kufuta safari za comoro.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ATCL yasitisha safari ya nne ya kimataifa kwa sababu ya corona

Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha safari tatu za kimataifa na kufanya jumla ya safari zilizositishwa tangu kuibuka kwa ugonjwa wa corona kufikia nne baada ya leo Jumatatu Machi 23, 2020 kufuta safari za comoro.

Get more results via ClueGoal