Tanzania

Wabunge Chadema, Meya Ubungo wafikishwa mahakamani Kisutu

Dar es Salaam. Wabunge watatu wa Chadema, Halima Mdee, Ester Bulaya na Jesca Kishoa pamoja na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob wamefikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu Machi 23, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mikakati ya Tanga UWASA katika kuboresha huduma za maji

Tanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania bara ambao uko Kaskazini Mashariki mwa nchi. Mkoa huu unapakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari ya Hindi upande wa Mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro upande wa Magharibi. Upande wa Kusini unapakan
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mikakati ya Tanga UWASA katika kuboresha huduma za maji

Tanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania bara ambao uko Kaskazini Mashariki mwa nchi. Mkoa huu unapakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari ya Hindi upande wa Mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro upande wa Magharibi. Upande wa Kusini unapakana na Mkoa wa Pwani.

Chuo cha Maji kinaandaa wataalamu wa maji kwa ajili ya ustawi wa Taifa

Maji ni kimiminika muhimu na kiini cha uhai wa viumbe hai wote duniani. Hakuna kiumbe hai anayeweza kuishi bila maji, hata miili ya wanyama na mimea pia kwa kiasi kikubwa ni maji. Katika dunia, maji yamechukua karibu robo tatu ya eneo lake lote, kwa hiyo maj
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Chuo cha Maji kinaandaa wataalamu wa maji kwa ajili ya ustawi wa Taifa

Maji ni kimiminika muhimu na kiini cha uhai wa viumbe hai wote duniani. Hakuna kiumbe hai anayeweza kuishi bila maji, hata miili ya wanyama na mimea pia kwa kiasi kikubwa ni maji. Katika dunia, maji yamechukua karibu robo tatu ya eneo lake lote, kwa hiyo maji ni kitu cha msingi sana.

Mgogoro familia ya Marealle ngoma nzito

Mfanyabiashara Frank Marealle leo anatarajia kuwasilisha maombi mahakamani, kutaka mwili wa marehemu Veronica Marealle (105) uondolewe mahali ulipozikkatika eneo ambalo lina mgogoro.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgogoro familia ya Marealle ngoma nzito

Mfanyabiashara Frank Marealle leo anatarajia kuwasilisha maombi mahakamani, kutaka mwili wa marehemu Veronica Marealle (105) uondolewe mahali ulipozikkatika eneo ambalo lina mgogoro.

Guinea wapiga kura, waandamana na kuibua tishio maambukizi ya corona

Wananchi wa Guinea leo Jumapili Machi 22, 2020 wanapiga kura kuchagua wabunge na kupiga kura ya maoni ya mabadiliko ya Katiba ya nchi hiyo wakati kukiwa na maandamano mitaani yanayotishia maambukizi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Guinea wapiga kura, waandamana na kuibua tishio maambukizi ya corona

Wananchi wa Guinea leo Jumapili Machi 22, 2020 wanapiga kura kuchagua wabunge na kupiga kura ya maoni ya mabadiliko ya Katiba ya nchi hiyo wakati kukiwa na maandamano mitaani yanayotishia maambukizi ya virusi vya corona.

Italia sasa hakuna kutoka nje kuzuia maambukizi zaidi ya corona

Wakati idadi ya waliokufa kwa ugonjwa wa corona nchini Italia wakifikia 4,825 hadi leo asubuhi Jumapili Machi 22, 2020, Serikali  imeimarisha zuio la watu kutoka nje ili kudhibiti maambukizi zaidi ya ugonjwa huo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Italia sasa hakuna kutoka nje kuzuia maambukizi zaidi ya corona

Wakati idadi ya waliokufa kwa ugonjwa wa corona nchini Italia wakifikia 4,825 hadi leo asubuhi Jumapili Machi 22, 2020, Serikali  imeimarisha zuio la watu kutoka nje ili kudhibiti maambukizi zaidi ya ugonjwa huo.

Wananchi Rwanda wazuiwa kutoka nje kuepuka maambukizi ya corona

Serikali ya Rwanda imetangaza zuio la watu kutoka nje huku ikiruhusu huduma muhimu kuendelea kutolewa katika kipindi ambacho Serikali inapambana kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wananchi Rwanda wazuiwa kutoka nje kuepuka maambukizi ya corona

Serikali ya Rwanda imetangaza zuio la watu kutoka nje huku ikiruhusu huduma muhimu kuendelea kutolewa katika kipindi ambacho Serikali inapambana kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.

Wagonjwa wa corona Kenya wafikia 15, ndege zapigwa ‘STOP’ kuingia

Kenya imeripoti wagonjwa wapya wanane wenye maambukizi ya virusi vya corona na sasa wamefikia 15 na wengine 368 waliokutana na wagonjwa hao wanafuatiliwa. Kati yao watano ni Wakenya, wawili Wafaransa na mmoja ni wa Mexico
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wagonjwa wa corona Kenya wafikia 15, ndege zapigwa ‘STOP’ kuingia

Kenya imeripoti wagonjwa wapya wanane wenye maambukizi ya virusi vya corona na sasa wamefikia 15 na wengine 368 waliokutana na wagonjwa hao wanafuatiliwa. Kati yao watano ni Wakenya, wawili Wafaransa na mmoja ni wa Mexico

VIDEO: Corona yaingia Kilimanjaro

Kati ya watu 12 wenye maambukizi ya virusi vya corona nchini Tanzania mmoja ni raia wa nchi hiyo aliyekuwa akitokea Sweden na aligundulika alipowasili Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Corona yaingia Kilimanjaro

Kati ya watu 12 wenye maambukizi ya virusi vya corona nchini Tanzania mmoja ni raia wa nchi hiyo aliyekuwa akitokea Sweden na aligundulika alipowasili Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Rais aliyerejesha ubingwa Real Madrid afariki kwa corona

Rais wa zamani wa Real Madrid, Lorenzo Sanz, ambaye alilazwa baada ya kuambukizwa virusi vya corona, amefariki leo akiwa na umri wa miaka 76, motto wake ametangaza.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rais aliyerejesha ubingwa Real Madrid afariki kwa corona

Rais wa zamani wa Real Madrid, Lorenzo Sanz, ambaye alilazwa baada ya kuambukizwa virusi vya corona, amefariki leo akiwa na umri wa miaka 76, motto wake ametangaza.

Unywaji pombe pamoja sasa kwa app ya video

Iwe kuna kuzuiwa au kutozuiwa kutoka nyumbani kwa sababu ya virusi vya corona, Amaya Howard amepanga kujituliza baada ya kazi ngumu kwa kunywa glasi chache za mvinyo pamoja na wenzake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Unywaji pombe pamoja sasa kwa app ya video

Iwe kuna kuzuiwa au kutozuiwa kutoka nyumbani kwa sababu ya virusi vya corona, Amaya Howard amepanga kujituliza baada ya kazi ngumu kwa kunywa glasi chache za mvinyo pamoja na wenzake.

Yanga yaja na sapraizi Kigamboni Sports Complex home of Champions

YANGA wamefanya tathmini ya viwanja vyote vikubwa jijini Dar es Salaam ukiwemo ule wa Azam Complex na wametamka wanakuja na bonge la sapraizi kwa mashabiki wao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Yanga yaja na sapraizi Kigamboni Sports Complex home of Champions

YANGA wamefanya tathmini ya viwanja vyote vikubwa jijini Dar es Salaam ukiwemo ule wa Azam Complex na wametamka wanakuja na bonge la sapraizi kwa mashabiki wao.

VIDEO: Mtanzania wa kwanza kupata corona sasa hana virusi hivyo

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema  kati ya watu 20 waliopimwa leo Jumapili Machi 22, 2020 wamekutwa hawana virusi vya corona ikiwa ni pamoja na mtanzania wa kwanza kukutwa na virusi hivyo mkoani Arusha Isabella Mwampamba
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Mtanzania wa kwanza kupata corona sasa hana virusi hivyo

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema  kati ya watu 20 waliopimwa leo Jumapili Machi 22, 2020 wamekutwa hawana virusi vya corona ikiwa ni pamoja na mtanzania wa kwanza kukutwa na virusi hivyo mkoani Arusha Isabella Mwampamba

MZOZO MSIBANI: Mazishi mke wa Mangi Marealle II yageuka sinema

Ilikuwa kama sinema vile wakati wa mazishi ya bibi kizee, Veronica Marealle (105) baada ya mkuu wa mkoa Kilimanjaro, Anna Mghwira kuzuia, lakini ndugu wakaamua kuzika kama walivyopanga.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MZOZO MSIBANI: Mazishi mke wa Mangi Marealle II yageuka sinema

Ilikuwa kama sinema vile wakati wa mazishi ya bibi kizee, Veronica Marealle (105) baada ya mkuu wa mkoa Kilimanjaro, Anna Mghwira kuzuia, lakini ndugu wakaamua kuzika kama walivyopanga.

Harmonize aanza kupasua anga kupitia Afroeast2020

Wanapotajwa wasanii wakubwa wa Bongo Fleva nchi hii, jina la Harmonize haliwezi kuwekwa kando, licha ya kuingia katika tasnia hiyo miaka michache iliyopita.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Harmonize aanza kupasua anga kupitia Afroeast2020

Wanapotajwa wasanii wakubwa wa Bongo Fleva nchi hii, jina la Harmonize haliwezi kuwekwa kando, licha ya kuingia katika tasnia hiyo miaka michache iliyopita.

Yanga yawashtukia Morrison, Tshishimbi dili la Msimbazi

JUZI Alhamisi Machi 19 kulienea tetesi za Simba kutaka kuchomoa baadhi ya vifaa vya Yanga wakiwemo viungo wawili Papy Tshishimbi na Feisal Salum sambamba na kiungo mshambuliaji Bernard Morrison.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Yanga yawashtukia Morrison, Tshishimbi dili la Msimbazi

JUZI Alhamisi Machi 19 kulienea tetesi za Simba kutaka kuchomoa baadhi ya vifaa vya Yanga wakiwemo viungo wawili Papy Tshishimbi na Feisal Salum sambamba na kiungo mshambuliaji Bernard Morrison.

Ntunzwe: TRA hawajatekeleza agizo la Rais, wenyewe wajitetea

Takriban miezi minane, tangu Rais John Magufuli alipotoa agizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kumlipa fidia Ramadhani Ntunzwe wa Dar es Salaam baada ya kumsababishia hasara, mfanyabiashara huyo amelalamika kuendelea kuzungushwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ntunzwe: TRA hawajatekeleza agizo la Rais, wenyewe wajitetea

Takriban miezi minane, tangu Rais John Magufuli alipotoa agizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kumlipa fidia Ramadhani Ntunzwe wa Dar es Salaam baada ya kumsababishia hasara, mfanyabiashara huyo amelalamika kuendelea kuzungushwa.

Siku 30 za mateso, shida na njaa kwa sanaa na wasanii

Alikuwa mrefu. Lakini siyo ule urefu wa kukera. Kuna urefu hupoteza mvuto machoni. Huyu alikuwa na urefu wa kuvutia. Urefu ambao huongeza mvuto wa kutembea, kugeuka au kuweka pozi la kupiga picha. Dem mrefu akipiga picha na kubinua mguu huvutia zaidi tofauti
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Siku 30 za mateso, shida na njaa kwa sanaa na wasanii

Alikuwa mrefu. Lakini siyo ule urefu wa kukera. Kuna urefu hupoteza mvuto machoni. Huyu alikuwa na urefu wa kuvutia. Urefu ambao huongeza mvuto wa kutembea, kugeuka au kuweka pozi la kupiga picha. Dem mrefu akipiga picha na kubinua mguu huvutia zaidi tofauti na mfupi. Mfupi akibinua mguu anakuwa kama chaja ya kobe.

Upulizaji dawa mabasi ya abiria kujikinga na corona wasuasua

Upulizaji dawa katika mabasi yaendayo mikoani katika stendi ya kuu ya mabasi ya Ubungo jijini Dar es Salaam (UBT) ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona bado haujaanza.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Upulizaji dawa mabasi ya abiria kujikinga na corona wasuasua

Upulizaji dawa katika mabasi yaendayo mikoani katika stendi ya kuu ya mabasi ya Ubungo jijini Dar es Salaam (UBT) ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona bado haujaanza.

Majaliwa awataja wanaoruhusiwa kutoa taarifa kuhusu corona

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameonya kuhusu upotoshwaji na utoaji holela wa taarifa kuhusu ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababisha na virusi vya corona (COVID 19) unaofanywa na watu mbalimbali nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majaliwa awataja wanaoruhusiwa kutoa taarifa kuhusu corona

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameonya kuhusu upotoshwaji na utoaji holela wa taarifa kuhusu ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababisha na virusi vya corona (COVID 19) unaofanywa na watu mbalimbali nchini.

Kifo cha dereva wa basi safarini chaibua hofu

Siri ya kifo ajuaye ni Mungu pekee! Hivyo ndivyo kinavyoweza kuelezwa kuhusu tukio la dereva wa kampuni ya mabasi ya Isamilo ya jijini Mwanza, Sebastian Mathias (43) kilichotokea ndani ya basi akiwa safarini kutoka Mbeya kwenda jijini Mwanza.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kifo cha dereva wa basi safarini chaibua hofu

Siri ya kifo ajuaye ni Mungu pekee! Hivyo ndivyo kinavyoweza kuelezwa kuhusu tukio la dereva wa kampuni ya mabasi ya Isamilo ya jijini Mwanza, Sebastian Mathias (43) kilichotokea ndani ya basi akiwa safarini kutoka Mbeya kwenda jijini Mwanza.

Kocha Yanga aoa mke wa tatu

KOCHA wa Yanga, Luc Eymael(61) amelithibitishia Mwanaspoti kwamba anaondoka leo Ijumaa kwenda kwao Ubelgiji na atafunga ndoa Jumamosi ya Machi 28 kule Ubelgiji.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kocha Yanga aoa mke wa tatu

KOCHA wa Yanga, Luc Eymael(61) amelithibitishia Mwanaspoti kwamba anaondoka leo Ijumaa kwenda kwao Ubelgiji na atafunga ndoa Jumamosi ya Machi 28 kule Ubelgiji.

Mzee Yusuph awatega mashabiki

ALHAJI Mzee Yusuph amesema watu waendelee kutabiri wanachotabiri kuhusu kauli yake ya ‘Narudi Mjini’ aliyoandika Machi 12, 2020 katika ukurasa wake wa mtandao Instagram.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mzee Yusuph awatega mashabiki

ALHAJI Mzee Yusuph amesema watu waendelee kutabiri wanachotabiri kuhusu kauli yake ya ‘Narudi Mjini’ aliyoandika Machi 12, 2020 katika ukurasa wake wa mtandao Instagram.

Simba tishio wilayani Serengeti wakamatwa

Simba 14 waliokuwa wanakula mifugo katika vijiji vya Bukore na Nyichoka wilayani Serengeti wamekamatwa na kuhifadhiwa katika zizi kwa ajili ya kupelekwa maeneo husika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Simba tishio wilayani Serengeti wakamatwa

Simba 14 waliokuwa wanakula mifugo katika vijiji vya Bukore na Nyichoka wilayani Serengeti wamekamatwa na kuhifadhiwa katika zizi kwa ajili ya kupelekwa maeneo husika.

Morrison aongeza miaka miwili Yanga

MABOSI wa Yanga, wajanja sana, kwani baada ya kunusa za chinichini kwamba watani wao wanataka kuwazidi akili kwa Bernard Morrison, fasta wakaamua kufanya jambo moja la maana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Morrison aongeza miaka miwili Yanga

MABOSI wa Yanga, wajanja sana, kwani baada ya kunusa za chinichini kwamba watani wao wanataka kuwazidi akili kwa Bernard Morrison, fasta wakaamua kufanya jambo moja la maana.

ACT Wazalendo yaishauri Serikali ya Tanzania mambo matano kuhusu corona

Chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania, kimeishauri Serikali mambo matano ya kukabiliana na maambukizi ha ugonjwa wa corona ikiwa pamoja na kudhibiti watu wanaoingia kutoka nchi zenye maambukizi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT Wazalendo yaishauri Serikali ya Tanzania mambo matano kuhusu corona

Chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania, kimeishauri Serikali mambo matano ya kukabiliana na maambukizi ha ugonjwa wa corona ikiwa pamoja na kudhibiti watu wanaoingia kutoka nchi zenye maambukizi.

Jeshi la Magereza Tanzania kuanzisha kiwanda cha mikate

Jeshi la Magereza nchini Tanzania linatarajia kuanzisha kiwanda cha Mikate kitakachojengwa katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jeshi la Magereza Tanzania kuanzisha kiwanda cha mikate

Jeshi la Magereza nchini Tanzania linatarajia kuanzisha kiwanda cha Mikate kitakachojengwa katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Ukonga jijini Dar es Salaam.

Chadema yatoa tamko kukabiliana na corona

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimeitaka Serikali ya nchi hiyo kufunga mipaka ya nchi na kuwaweka katika karantini wageni wanaoingia nchini ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona (COVID19).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Chadema yatoa tamko kukabiliana na corona

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimeitaka Serikali ya nchi hiyo kufunga mipaka ya nchi na kuwaweka katika karantini wageni wanaoingia nchini ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona (COVID19).

Mjamzito anyongwa hadi kufa, wawili wauawa Geita

Watu watatu nchini Tanzania wameuawa kwa matukio matatu tofauti likiwamo la mama mwenye ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi 8-9 kuuawa kwa kunyongwa na watu wasio julikana
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mjamzito anyongwa hadi kufa, wawili wauawa Geita

Watu watatu nchini Tanzania wameuawa kwa matukio matatu tofauti likiwamo la mama mwenye ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi 8-9 kuuawa kwa kunyongwa na watu wasio julikana

Dereva basi la Isamilo afariki akiwa safarini

Dereva wa Basi la Isamilo linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Mbeya nchini Tanzania Sebastian Mathias (43) mkazi wa Mwanza amefariki dunia wakati akiendelea na safari kutoka Mbeya kwenda Mwanza.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dereva basi la Isamilo afariki akiwa safarini

Dereva wa Basi la Isamilo linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Mbeya nchini Tanzania Sebastian Mathias (43) mkazi wa Mwanza amefariki dunia wakati akiendelea na safari kutoka Mbeya kwenda Mwanza.  

Get more results via ClueGoal