Tanzania

Undani wa maisha ya Aurlus Mabele na utajiri wake

USIKU wa jana Alhamisi na hata asubuhi ya leo Ijumaa imekuwa ngumu mno kwa mashabiki wa muziki wa Lingala, hususani Soukous. Hii ni kutokana na taarifa za kufariki dunia kwa gwiji wa miondoko hiyo, Aurlus Mabele.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MAELEKEZO: Wachezaji Ligi Kuu wapewa mchongo

Kusimama mashindano ya soka nchini kwa mwezi mmoja inaweza kuwa fursa nzuri kwa wachezaji wa timu mbalimbali kupumzisha mwili na kujiweka fiti kabla ya kuendelea siku za usoni.

Makonda: Tuepuke ujuaji, tutaishinda corona

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema amewaomba wakazi wa Jiji hilo kuepuka kuwa wajuaji wa kila jambo ili kuunusuru Mkoa huo na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona.

Afrika Kusini kujenga uzio katika mpaka wake na Zimbabwe

Mamlaka za Afrika Kusini zimesema zitajenga uzio wa kilomita 40 kwenye mpaka wake na Zimbabwe ili kuzuia wahamiaji haramu kuingia nchini humo pamoja na kuenea kwa virusi vya corona.

Hali ya Mwana FA baada ya kuchukuliwa vipimo vya Corona

Muda mfupi baada ya meneja wa msanii Diamond Platnumz, Sallam Sharaf kujitokeza na kueleza kuwa ameambukizwa corona mwanamuziki Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ naye ameeleza kuwa amekutwa na virusi vya corona lakini yuko vizuri kiafya.

HOJA ZA KARUGENDO: Tusisubiri miti, mawe yaulize maswali haya

Nimeamua kuuliza maswali haya, maana lazima atokee mtu wa kuyauliza. Haiwezekani tukasubiri miti na mawe ndiyo yaje kuuliza maswali haya.

MAKALA YA MALOTO: ACT ni wana demokrasia au wanafanya maigizo?

Demokrasia ndani ya vyama vya siasa imekuwa sawa na maudhui kwenye mashairi ya nyimbo. Mwanamuziki anaimba mapenzi ya mfano wa kuigwa, lakini ya kwake yanamshinda. Analia mapenzi yasiyo na uaminifu, maisha ya kawaida yeye sio mwaminifu. Vyama vya siasa, hasa
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MAKALA YA MALOTO: ACT ni wana demokrasia au wanafanya maigizo?

Demokrasia ndani ya vyama vya siasa imekuwa sawa na maudhui kwenye mashairi ya nyimbo. Mwanamuziki anaimba mapenzi ya mfano wa kuigwa, lakini ya kwake yanamshinda. Analia mapenzi yasiyo na uaminifu, maisha ya kawaida yeye sio mwaminifu. Vyama vya siasa, hasa vile vinavyosaka fursa ya kuongoza dola, kilio chao kikubwa ni demokrasia. Kwamba vinakandamizwa na chama kinachoshika dola na kusababisha uwanja wa ufanyaji siasa usiwe tambarare.

Bunge la Tanzania lawapiga ‘stop’ wageni

Bunge la Tanzania limesitisha utaratibu wa kupokea wageni mbalimbali wakiwamo wanafunzi wanaokwenda bungeni kwa lengo la kuona na kujifunza shughuli za Bunge.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bunge la Tanzania lawapiga ‘stop’ wageni

Bunge la Tanzania limesitisha utaratibu wa kupokea wageni mbalimbali wakiwamo wanafunzi wanaokwenda bungeni kwa lengo la kuona na kujifunza shughuli za Bunge.

Waliochukuliwa sampuli ya kupimwa corona wako salama

Watu 27 ambao walikuwa wamechukuliwa sampuli za vipimo vyao vya afya ili kuwachunguza kama wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona wapo salama.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waliochukuliwa sampuli ya kupimwa corona wako salama

Watu 27 ambao walikuwa wamechukuliwa sampuli za vipimo vyao vya afya ili kuwachunguza kama wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona wapo salama.

Serikali ya Tanzania yashindwa kuwasilisha jalada kortini kesi ya Lissu

Kesi ya uchochezi inayomkabili makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na wenzake imeshindwa kuendelea kutokana na Serikali kushindwa kuwasilisha jalada mahakamani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali ya Tanzania yashindwa kuwasilisha jalada kortini kesi ya Lissu

Kesi ya uchochezi inayomkabili makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na wenzake imeshindwa kuendelea kutokana na Serikali kushindwa kuwasilisha jalada mahakamani.

ACT-Wazalendo ilivyopanga safu yake kuelekea uchaguzi wa 2020

Zilikuwa wiki mbili za mshikemshike, mtikisiko na mabadiliko ndani ya chama ya ACT- Wazalendo ambacho juzi kilikamilisha rasmi safu ya viongozi wa juu wa chama hicho wanaotazamiwa kuipeleka mbele kwa miaka mingine mitano.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT-Wazalendo ilivyopanga safu yake kuelekea uchaguzi wa 2020

Zilikuwa wiki mbili za mshikemshike, mtikisiko na mabadiliko ndani ya chama ya ACT- Wazalendo ambacho juzi kilikamilisha rasmi safu ya viongozi wa juu wa chama hicho wanaotazamiwa kuipeleka mbele kwa miaka mingine mitano.

UCHAGUZI MKUU 2020: Wagonjwa wodini walibebwa kwenda kupiga kura uchaguzi mkuu wa 1970

Tanzania ilifanya uchaguzi wake wa kwanza chini ya mfumo wa chama kimoja mwaka 1965 na kutokana na watu kutojitokeza kwa wingi kupiga kura mwaka 1970 kulikuwa na jitihada za ziada.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UCHAGUZI MKUU 2020: Wagonjwa wodini walibebwa kwenda kupiga kura uchaguzi mkuu wa 1970

Tanzania ilifanya uchaguzi wake wa kwanza chini ya mfumo wa chama kimoja mwaka 1965 na kutokana na watu kutojitokeza kwa wingi kupiga kura mwaka 1970 kulikuwa na jitihada za ziada.

VIDEO: Serikali yatoa utaratibu wa uvaaji maski kujikinga na corona

Imeelezwa kuwa uvaaji wa maski bila kufuata utaratibu maalumu ni hatari kwa afya kwani inaweza kukuletea maambukizi ya magonjwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Serikali yatoa utaratibu wa uvaaji maski kujikinga na corona

Imeelezwa kuwa uvaaji wa maski bila kufuata utaratibu maalumu ni hatari kwa afya kwani inaweza kukuletea maambukizi ya magonjwa.

Necta yaahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu kutokana na corona

Baraza la Mitihani(Necta) limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyike Mei 4, 2020 kutokana na tishio la virusi vya corona nchini Tanzania
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Necta yaahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu kutokana na corona

Baraza la Mitihani(Necta) limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyike Mei 4, 2020 kutokana na tishio la virusi vya corona nchini Tanzania

VIDEO: Ukweli kuhusu corona

Ifahamike kuwa si kila anayeugua ugonjwa COVID -19 hufariki duniani. Virusi vinavyosababisha ugonjwa huu vimeuzua taharuki baada ya kusambaa kwa kasi duniani. Tangu juzi vimewapata wagonjwa watatu nchini Tanzania.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Ukweli kuhusu corona

Ifahamike kuwa si kila anayeugua ugonjwa COVID -19 hufariki duniani. Virusi vinavyosababisha ugonjwa huu vimeuzua taharuki baada ya kusambaa kwa kasi duniani. Tangu juzi vimewapata wagonjwa watatu nchini Tanzania.

Ubingwa Liverpool njiapanda England

Liverpool haitapewa ubingwa wa Ligi Kuu ya England ikiwa tatizo la virusi vya corona litalazimisha msimu kumalizika kabla ya mechi zote kutimia kama ilivyothibitishwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA), Aleksander Ceferin.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ubingwa Liverpool njiapanda England

Liverpool haitapewa ubingwa wa Ligi Kuu ya England ikiwa tatizo la virusi vya corona litalazimisha msimu kumalizika kabla ya mechi zote kutimia kama ilivyothibitishwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA), Aleksander Ceferin.

Klabu zavalia njuga corona

Klabu za soka zimeonyesha mwitikio wa haraka agizo lililotolewa na Serikali la kusimamisha shughuli za michezo na mashindano ya soka nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Klabu zavalia njuga corona

Klabu za soka zimeonyesha mwitikio wa haraka agizo lililotolewa na Serikali la kusimamisha shughuli za michezo na mashindano ya soka nchini.

Hofu yatanda wasafiri Ubungo kuambukizwa corona

Abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali ya Tanzania na nje ya nchi hiyo wameonyesha wasiwasi wa kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona kutokana na safari zao wanazozifanya kipindi hiki.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hofu yatanda wasafiri Ubungo kuambukizwa corona

Abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali ya Tanzania na nje ya nchi hiyo wameonyesha wasiwasi wa kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona kutokana na safari zao wanazozifanya kipindi hiki.

Benki Kuu yawatoa hofu wananchi kuhusu maambukizi ya corona katika noti za pesa

Benki Kuu ya Tanzania leo Machi 19, 2020 imewatoa hofu wananchi kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona kupitia noti za pesa, ikisema kuwa noti hizo zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Benki Kuu yawatoa hofu wananchi kuhusu maambukizi ya corona katika noti za pesa

Benki Kuu ya Tanzania leo Machi 19, 2020 imewatoa hofu wananchi kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona kupitia noti za pesa, ikisema kuwa noti hizo zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti.

Dk Stergomena: Nchi tatu zinasuasua kuridhia soko la pamoja Sadc

Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Jumuiya Maendeleo ya kusini mwa Afrika (Sadc), Dk Stergomena Tax amesema nchi tatu za jumuiya hiyo bado hazijaridhia makubaliano ya soko la pamoja hatua inayochelewesha mpango wa kikanda na Afrika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Stergomena: Nchi tatu zinasuasua kuridhia soko la pamoja Sadc

Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Jumuiya Maendeleo ya kusini mwa Afrika (Sadc), Dk Stergomena Tax amesema nchi tatu za jumuiya hiyo bado hazijaridhia makubaliano ya soko la pamoja hatua inayochelewesha mpango wa kikanda na Afrika.

MSD yazungumzia kupanda bei bidhaa za kujikinga na corona

Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania imesambaza lita 300,000 za visafisha mikono pamoja na vifaa vingine ikiwamo vifunika pua (mask) kwa  mashirika na taasisi mbalimbali ambazo zimeomba.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MSD yazungumzia kupanda bei bidhaa za kujikinga na corona

Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania imesambaza lita 300,000 za visafisha mikono pamoja na vifaa vingine ikiwamo vifunika pua (mask) kwa  mashirika na taasisi mbalimbali ambazo zimeomba.

Majaliwa atoa neno baraza la mawaziri Sadc

Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika(Sadc), akishauri mapendekezo ya mkutano yaweke misingi ya kuondoa changamoto za utekelezaji wa malengo yatokanayo na mkata
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majaliwa atoa neno baraza la mawaziri Sadc

Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika(Sadc), akishauri mapendekezo ya mkutano yaweke misingi ya kuondoa changamoto za utekelezaji wa malengo yatokanayo na mkataba wa uanzishwaji wake 1992.

Zanzibar yatangaza kuzifunga shule, vyuo na madrasa

Serikali ya Zanzibar imetangaza kuzifunga shule zote, vyuo vikuu pamoja na Madrasa za Qurann kwa muda usiojulikana kuanzia leo Jumatano Machi 18, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zanzibar yatangaza kuzifunga shule, vyuo na madrasa

Serikali ya Zanzibar imetangaza kuzifunga shule zote, vyuo vikuu pamoja na Madrasa za Qurann kwa muda usiojulikana kuanzia leo Jumatano Machi 18, 2020.

Bodi ya Ligi Tanzania yaja na maazimio manne Ligi Kuu kuchezwa bila mashabiki

Bodi ya Ligi Tanzania (TPL-Board) imeweka maazimio manne ikiwamo ligi kuchezwa bila mashabiki baada ya siku 30 za kusimamishwa kwa mashindano yote nchini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bodi ya Ligi Tanzania yaja na maazimio manne Ligi Kuu kuchezwa bila mashabiki

Bodi ya Ligi Tanzania (TPL-Board) imeweka maazimio manne ikiwamo ligi kuchezwa bila mashabiki baada ya siku 30 za kusimamishwa kwa mashindano yote nchini.

Kesi ya Diamond Platnumz yapigwa kalenda hadi Machi 30

Kesi ya uharibifu wa mali inayomkabili mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Platnumz', imeahirishwa leo Machi 18, 2020 hadi Machi 30, 2020 baada ya mmoja wa wazee wa Baraza kupata udhuru.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kesi ya Diamond Platnumz yapigwa kalenda hadi Machi 30

Kesi ya uharibifu wa mali inayomkabili mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Platnumz', imeahirishwa leo Machi 18, 2020 hadi Machi 30, 2020 baada ya mmoja wa wazee wa Baraza kupata udhuru.

Get more results via ClueGoal