Tanzania

Kesi ya wabunge wa Chadema yapigwa kalenda

Kesi ya jinai inayowakabili wabunge wa Chadema na wenzao watano mkoani Morogoro imepigwa kalenda baada ya wakili wa jamhuri kuieleza mahakama kuwa kesi hiyo isogezwe mbele hadi Aprili 16, 2020 kwa ajili ya kusikilizwa wakati ikijiandaa kupeleka mashahidi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mapito ya dereva teksi aliyembeba mgonjwa wa corona yalivyofuatiliwa

Mapito ya dereva wa teksi ambaye alimbeba mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na virusi vya corona, Isabela Mwampamba (46) yamefuatiliwa katika Jiji la Arusha na Wilaya ya Karatu alikopitia ili kujua watu wengine aliowabeba au aliokutana nao.

Baadhi ya mabasi ya abiria yaanza kuchukua tahadhari ya corona

Baadhi ya mabasi ya mikoani yameanza kuchukua tahadhari za kujikinga na virusi vya corona kwa kuwasafisha abiria wao mikono kwa kutumia dawa maalumu (sanitizer) kabla ya kuingia ndani ya basi.

Uchaguzi uliompatia Nyerere madaraka ya kuongoza Serikali

Baraza la kwanza la Mawaziri la Tanganyika liliundwa na kuwa chini ya Gavana wa Kiingereza, Sir Richard Gordon Turnbull ambaye alikuwa mkuu wa nchi akisaidiwa na naibu wake, John Fletcher-Cooke.

Watafiti Uganda wagundua virusi vya corona kwenye mwili wa ngamia na popo

Utafiti uliofanya katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda umebaini aina ya virusi vya corona kwenye sampuli zilizochukuliwa kwenye mwili wa popo na ngamia nchini humo.

VIDEO: Chadema kuendelea na maandalizi ya mikutano ya hadhara

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinaendelea na maandalizi ya mikutano ya hadhara ya chama hicho itakayoanza Aprili 4, 2020 kwa sababu maandalizi hayo hayahusishi mikusanyiko ya watu, amesema mkurugenzi wa itikadi, uenezi na mambo ya nje w
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Chadema kuendelea na maandalizi ya mikutano ya hadhara

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinaendelea na maandalizi ya mikutano ya hadhara ya chama hicho itakayoanza Aprili 4, 2020 kwa sababu maandalizi hayo hayahusishi mikusanyiko ya watu, amesema mkurugenzi wa itikadi, uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema.

VIDEO: Taifa Stars yavunja kambi, CAF yaahirisha CHAN 2020

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuvunja kambi ya timu ya Taifa Tanzania iliyokuwa ikijiandaa na mashindano ya CHAN muda mfupi baada ya CAF kusitisha michuano hiyo kwa muda usiojulikana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Taifa Stars yavunja kambi, CAF yaahirisha CHAN 2020

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuvunja kambi ya timu ya Taifa Tanzania iliyokuwa ikijiandaa na mashindano ya CHAN muda mfupi baada ya CAF kusitisha michuano hiyo kwa muda usiojulikana.

Kisa corona, EURO 2020 yapelekwa 2021

Mlipuko wa virusi vya corona umesababisha mashindano ya EURO 2020 iliyopangwa kuanza Juni 12 mwaka huu imesogezwa mbele kwa mwaka mmoja hadi Juni 2021, ili kutoa nafasi kwa klabu kumaliza michezo ya ligi za ndani pamoja Ligi ya Mabingwa na Europa Ligi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kisa corona, EURO 2020 yapelekwa 2021

Mlipuko wa virusi vya corona umesababisha mashindano ya EURO 2020 iliyopangwa kuanza Juni 12 mwaka huu imesogezwa mbele kwa mwaka mmoja hadi Juni 2021, ili kutoa nafasi kwa klabu kumaliza michezo ya ligi za ndani pamoja Ligi ya Mabingwa na Europa Ligi.

VIDEO: Hatua ilizochukua Tanzania kujikinga na maambukizi ya corona

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza hatua kadhaa ambazo Serikali imeanza kuchukua  kudhibiti maambukizi zaidi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Hatua ilizochukua Tanzania kujikinga na maambukizi ya corona

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza hatua kadhaa ambazo Serikali imeanza kuchukua  kudhibiti maambukizi zaidi ya virusi vya corona.

Hali ya Abdi Banda baada ya kuchukuliwa vipimo vya Corona

Beki wa Kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda anayeichezea Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini 'PSL', amesema anaendelea vizuri licha ya kuchukuliwa vipimo vya ugongwa wa virusi vya Corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hali ya Abdi Banda baada ya kuchukuliwa vipimo vya Corona

Beki wa Kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda anayeichezea Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini 'PSL', amesema anaendelea vizuri licha ya kuchukuliwa vipimo vya ugongwa wa virusi vya Corona.

MPYA: Tanzania shule zafungwa kwa siku 30 kisa Corona-VIDEO

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imefunga shule zote kuanzia za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MPYA: Tanzania shule zafungwa kwa siku 30 kisa Corona-VIDEO

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imefunga shule zote kuanzia za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, 2020.

ACT- Wazalendo yawachagua Mazrui, Bashange naibu katibu wakuu

Mwenyekiti mpya wa chama cha  ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Nassoro Ahmed Mazrui na Joran Bashange wamechaguliwa kuwa manaibu katibu wakuu wa chama hicho Tanzania Bara na Zanzibar.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT- Wazalendo yawachagua Mazrui, Bashange naibu katibu wakuu

Mwenyekiti mpya wa chama cha  ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Nassoro Ahmed Mazrui na Joran Bashange wamechaguliwa kuwa manaibu katibu wakuu wa chama hicho Tanzania Bara na Zanzibar.

VIDEO: Ligi Kuu Tanzania yapigwa ‘STOP’ kwa mwezi mmoja, kisa Corona

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza kusimamishwa kwa shughuli zote za kimichezo zinazokusanya watu wengi ikiwamo Ligi kuu Tanzania bara kwa siku 30 ikiwa ni hatua ya kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona vinavyosambaa kwa kasi duniani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Ligi Kuu Tanzania yapigwa ‘STOP’ kwa mwezi mmoja, kisa Corona

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza kusimamishwa kwa shughuli zote za kimichezo zinazokusanya watu wengi ikiwamo Ligi kuu Tanzania bara kwa siku 30 ikiwa ni hatua ya kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona vinavyosambaa kwa kasi duniani.

Mbatia ashauri vyama kusitisha mikutano ya hadhara

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ameshauri vyama vya siasa nchini Tanzania kusitisha mipango ya kuendesha mikutano ya hadhara ili kupunguza tishio la kusambaa virusi vya corona (COVID-19).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbatia ashauri vyama kusitisha mikutano ya hadhara

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ameshauri vyama vya siasa nchini Tanzania kusitisha mipango ya kuendesha mikutano ya hadhara ili kupunguza tishio la kusambaa virusi vya corona (COVID-19).

Mkude aingia mitini kambini Taifa Stars

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude amekosekana katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ yaliyoanza jana Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mkude aingia mitini kambini Taifa Stars

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude amekosekana katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ yaliyoanza jana Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mzee Yusuf apata kigugumizi kufafanua ‘Narudi Mjini’

Alhaji Mzee Yusuf amesema watu waendelee kutabiri wanachotabiri juu ya maneno yake ‘Narudi mjini’ aliyoandika Machi 12, 2020 katika ukurasa wake wa mtandao Instagram.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mzee Yusuf apata kigugumizi kufafanua ‘Narudi Mjini’

Alhaji Mzee Yusuf amesema watu waendelee kutabiri wanachotabiri juu ya maneno yake ‘Narudi mjini’ aliyoandika Machi 12, 2020 katika ukurasa wake wa mtandao Instagram.

Wananchi wafurika madukani kutafuta vifaa vya kujikinga na maambukizi ya corona

Bidhaa za kusafisha mikono, gloves na mask za kufunika pua na mdomo zimeanza kuadimika huku bei zake zikipanda.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wananchi wafurika madukani kutafuta vifaa vya kujikinga na maambukizi ya corona

Bidhaa za kusafisha mikono, gloves na mask za kufunika pua na mdomo zimeanza kuadimika huku bei zake zikipanda.

Jinsi mgonjwa wa corona alivyoingia Tanzania hadi akagundulika

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa tarehe 15 Machi 2020, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) walipokea msafiri raia wa Tanzania mwanamke mwenye umri wa miaka 46, ambaye aliwasili na ndege ya Rwanda akitokea nchini Ubelgiji.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jinsi mgonjwa wa corona alivyoingia Tanzania hadi akagundulika

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa tarehe 15 Machi 2020, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) walipokea msafiri raia wa Tanzania mwanamke mwenye umri wa miaka 46, ambaye aliwasili na ndege ya Rwanda akitokea nchini Ubelgiji.

Wabunge wa Tanzania waliosafiri nje ya nchi kupimwa kabla ya kuingia bungeni

Bunge la Tanzania limetangaza kuwa wabunge wote waliofanya safari za nje ya nchi kwa siku za karibuni watahitajika kupitia katika zahanati za Bunge kupimwa ili kujiridhisha kama hawana virusi vya ugonjwa wa corona kabla ya kuingia bugeni kuendelea na shughul
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabunge wa Tanzania waliosafiri nje ya nchi kupimwa kabla ya kuingia bungeni

Bunge la Tanzania limetangaza kuwa wabunge wote waliofanya safari za nje ya nchi kwa siku za karibuni watahitajika kupitia katika zahanati za Bunge kupimwa ili kujiridhisha kama hawana virusi vya ugonjwa wa corona kabla ya kuingia bugeni kuendelea na shughuli zao.

Diamond Plutnumz afikishwa mahakamani

Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwaka mmoj
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Diamond Plutnumz afikishwa mahakamani

Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwaka mmoja.

Rais Magufuli atoa onyo zito kwa mameneja Tanroads

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema mkoa ambao barabara au daraja litakatika Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), atakuwa hana kazi. Ameyazungumza hayo leo wakati akikagua maendeleo ya upanuzi wa barabara nane Mbezi jijini hapa ambazo mkandar
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rais Magufuli atoa onyo zito kwa mameneja Tanroads

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema mkoa ambao barabara au daraja litakatika Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), atakuwa hana kazi. Ameyazungumza hayo leo wakati akikagua maendeleo ya upanuzi wa barabara nane Mbezi jijini hapa ambazo mkandarasi alisema zitamalizika Oktoba mwaka huu.

MPYA: Ndege ya Shirika la Kenya KQ 708 yatua kwa dharura jijini Arusha

Dar es Saalam. Ndege ya Shirika la Kenya KQ 708 kutoka Lusaka Zambia kwenda Nairobi Kenya imetua kwa dharura jijini Arusha, Tanzania baada ya kushindwa kutua mara mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

MPYA: Ndege ya Shirika la Kenya KQ 708 yatua kwa dharura jijini Arusha

Dar es Saalam. Ndege ya Shirika la Kenya KQ 708 kutoka Lusaka Zambia kwenda Nairobi Kenya imetua kwa dharura jijini Arusha, Tanzania baada ya kushindwa kutua mara mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta

Profesa Lipumba aeleza alivyojiweka kando na Lowassa 2015

Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameweka wazi kuwa alijiweka mbali na siasa mwaka 2015 kwa kuwa hakutaka kumpigia kampeni aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Profesa Lipumba aeleza alivyojiweka kando na Lowassa 2015

Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameweka wazi kuwa alijiweka mbali na siasa mwaka 2015 kwa kuwa hakutaka kumpigia kampeni aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa.

Get more results via ClueGoal