Tanzania

Kenya, Rwanda zafunga shule na nyumba za ibada kudhibiti corona

Serikali ya Rwanda imetangaza kufunga shule zote za umma na binafsi, nyumba za ibada na sehemu zote za umma ikiwa ni njia za kukabiliana na kuenea kwa homa ya virusi vya corona (Covid-19) nchini humo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ukweli ndivyo ulivyo! Kina Ajibu kuna mahali wanakwama!

SIJAJUA nyota wa sasa wanaokipiga kwenye soka wamekwamia wapi? Wamekumbwa na mdudu gani? Pia hata sijui aliyewaroga! Unajua kwa nini? Wiki chache zijazo panapo majaaliwa, kama Virusi vya Corona, havitazingua kule Cameroon. Zitafanyika Fainali za Sita za Michu
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ukweli ndivyo ulivyo! Kina Ajibu kuna mahali wanakwama!

SIJAJUA nyota wa sasa wanaokipiga kwenye soka wamekwamia wapi? Wamekumbwa na mdudu gani? Pia hata sijui aliyewaroga! Unajua kwa nini? Wiki chache zijazo panapo majaaliwa, kama Virusi vya Corona, havitazingua kule Cameroon. Zitafanyika Fainali za Sita za Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani, yaani Chan 2020.

Diamond ampa tano Harmonize

Siku moja baada ya msanii Rajab Abdul maarufu Harmonize kuzindua albamu yake aliyoipa jina la Afro East jijini hapa Diamond Platinumz ametumia ukurasa wake wa Instagram kuitangaza albamu hiyo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Diamond ampa tano Harmonize

Siku moja baada ya msanii Rajab Abdul maarufu Harmonize kuzindua albamu yake aliyoipa jina la Afro East jijini hapa Diamond Platinumz ametumia ukurasa wake wa Instagram kuitangaza albamu hiyo.

Zitto aeleza ACT itakavyoendesha nchi ikishinda uchaguzi mkuu

Kiongozi wa chama cha ACT -Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kitajenga uchumi unaokua kwa asilimia 11 na utakaokuwa jumuishi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Zitto aeleza ACT itakavyoendesha nchi ikishinda uchaguzi mkuu

Kiongozi wa chama cha ACT -Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kitajenga uchumi unaokua kwa asilimia 11 na utakaokuwa jumuishi.

ACT-Wazalendo yaendelea kupata viongozi wapya

Wajumbe wa mkutano mkuu wa ACT-Wazalendo wamewachagua Dorothy Semu  na Juma Duni Haji kuwa makamu wenyeviti wapya wa chama hicho, Tanzania Bara na Zanzibar.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT-Wazalendo yaendelea kupata viongozi wapya

Wajumbe wa mkutano mkuu wa ACT-Wazalendo wamewachagua Dorothy Semu  na Juma Duni Haji kuwa makamu wenyeviti wapya wa chama hicho, Tanzania Bara na Zanzibar.

Mbunge wa CCM aanza kuelimisha Corona

Mbunge wa Viti Maalumu, Mariamu Ditopile Mzuzuri(CCM) ameanzisha safari ya uelimishaji wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa unaotokana na virusi vya Corona (COVID-19).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbunge wa CCM aanza kuelimisha Corona

Mbunge wa Viti Maalumu, Mariamu Ditopile Mzuzuri(CCM) ameanzisha safari ya uelimishaji wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa unaotokana na virusi vya Corona (COVID-19).

Andengenye kikaangoni, Lugola giza

Zigo la mkataba tata wa kampuni ya Rom Solutions Co. Ltd na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, limemuangukia aliyekuwa Kamishina Jenerali wa Zimamoto, Thobias Andengenye huku kukiwa na ukimya kuhusu aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Andengenye kikaangoni, Lugola giza

Zigo la mkataba tata wa kampuni ya Rom Solutions Co. Ltd na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, limemuangukia aliyekuwa Kamishina Jenerali wa Zimamoto, Thobias Andengenye huku kukiwa na ukimya kuhusu aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola.

Msimamo wa Msigwa na undugu na Rais Magufuli

Baada ya Rais John Magufuli kumlipia faini Peter Msigwa, mbunge huyo wa Iringa Mjini amesema kitendo hicho kisiwaondoe watu katika hoja ya msingi na kwamba yeye hawezi kununulika “kwa vipande 30” vya fedha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Msimamo wa Msigwa na undugu na Rais Magufuli

Baada ya Rais John Magufuli kumlipia faini Peter Msigwa, mbunge huyo wa Iringa Mjini amesema kitendo hicho kisiwaondoe watu katika hoja ya msingi na kwamba yeye hawezi kununulika “kwa vipande 30” vya fedha.

NYUMA YA PAZIA: Hakuna cha kushangaza kwa Ronaldinho

NIKUSIMULIE kidogo kuhusu mtu aliyeitwa Mane Garrincha. Mtu ambaye Wabrazil wanaamini alikuwa na kipaji kikubwa kuliko Pele. Mtu ambaye kaburi lake mpaka sasa pale Pau Grande Brazil limeandikwa ‘Hapa amelala mmoja kati ya watu ambaye alikuwa furaha ya watu-
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

NYUMA YA PAZIA: Hakuna cha kushangaza kwa Ronaldinho

NIKUSIMULIE kidogo kuhusu mtu aliyeitwa Mane Garrincha. Mtu ambaye Wabrazil wanaamini alikuwa na kipaji kikubwa kuliko Pele. Mtu ambaye kaburi lake mpaka sasa pale Pau Grande Brazil limeandikwa ‘Hapa amelala mmoja kati ya watu ambaye alikuwa furaha ya watu-Mane Garrincha’.

Mechi hizi Kagere, Luis milioni 85 mezani

WACHEZAJI wa Simba kuanzia mtupiaji mwenyewe Meddie Kagere, Luis Jose, John Bocco na wengine wote watakabidhiwa fungu lote la Sh85 milioni za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, uongozi umethibitisha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mechi hizi Kagere, Luis milioni 85 mezani

WACHEZAJI wa Simba kuanzia mtupiaji mwenyewe Meddie Kagere, Luis Jose, John Bocco na wengine wote watakabidhiwa fungu lote la Sh85 milioni za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, uongozi umethibitisha.

Morrison Dk 45: Niliomba kuwamaliza Simba

NDIYE Mghana pekee kwenye Ligi Kuu Bara, aliyeonyesha umahiri wa aina yake kwenye kutembea juu ya mpira. Mashabiki wa Yanga wanamkubali sana. Amewajengea heshima kubwa mbele ya watani zao wa jadi. Anaitwa Bernard Morrison ‘BM33’
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Morrison Dk 45: Niliomba kuwamaliza Simba

NDIYE Mghana pekee kwenye Ligi Kuu Bara, aliyeonyesha umahiri wa aina yake kwenye kutembea juu ya mpira. Mashabiki wa Yanga wanamkubali sana. Amewajengea heshima kubwa mbele ya watani zao wa jadi. Anaitwa Bernard Morrison ‘BM33’

VIDEO: Gesi yalipuka wanahabari wajeruhiwa

Waandishi wa habari wanne wa kampuni za Star Tv, Abood Media, Global Tv na Imani Media wamejeruhiwa na moto baada ya kulipuka kwa mitungi ya gesi kwenye moja ya nyumba mtaa wa Msamvu, manispaa ya Morogoro.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Gesi yalipuka wanahabari wajeruhiwa

Waandishi wa habari wanne wa kampuni za Star Tv, Abood Media, Global Tv na Imani Media wamejeruhiwa na moto baada ya kulipuka kwa mitungi ya gesi kwenye moja ya nyumba mtaa wa Msamvu, manispaa ya Morogoro.

Chadema, Magereza wavutana kupigwa kwa kina Halima Mdee

Wakati Jeshi la Magereza  Tanzania likisema lililazimika kutumia nguvu ya wastani kuwazuia wanachama na viongozi wa Chadema waliokuwa wanataka kuingia katika gereza la Segerea na magari, chama hicho kimedai taarifa hiyo inatetea uovu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Chadema, Magereza wavutana kupigwa kwa kina Halima Mdee

Wakati Jeshi la Magereza  Tanzania likisema lililazimika kutumia nguvu ya wastani kuwazuia wanachama na viongozi wa Chadema waliokuwa wanataka kuingia katika gereza la Segerea na magari, chama hicho kimedai taarifa hiyo inatetea uovu.

Kesi mpya wakurugenzi kusimamia uchaguzi yatua Mahakama ya Afrika

Mwanaharakati wa Katiba, Bob Wangwe akishirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamefungua kesi katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR) kupinga wakurugenzi wa halmashauri kusimamia uchaguzi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kesi mpya wakurugenzi kusimamia uchaguzi yatua Mahakama ya Afrika

Mwanaharakati wa Katiba, Bob Wangwe akishirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamefungua kesi katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR) kupinga wakurugenzi wa halmashauri kusimamia uchaguzi.

Waziri Ummy awazungumzia wageni walioshukiwa kuwa na Corona

Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amewatoa hofu wananchi kuhusu raia sita wa mataifa ya Denmark na Norway walioingia nchini humo jana Ijumaa Machi 13, 2020 wakitokea Kenya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waziri Ummy awazungumzia wageni walioshukiwa kuwa na Corona

Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amewatoa hofu wananchi kuhusu raia sita wa mataifa ya Denmark na Norway walioingia nchini humo jana Ijumaa Machi 13, 2020 wakitokea Kenya.

Kisutu imetengeneza jukwaa la siasa za mahakama kuelekea Oktoba 2020

Ghafla, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imegeuka ‘jukwaa la maonyesho ya kisiasa’ kati ya CCM na Chadema kwa kuungwa mkono waziwazi na ACT-Wazalendo na NCCR-Mageuzi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kisutu imetengeneza jukwaa la siasa za mahakama kuelekea Oktoba 2020

Ghafla, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imegeuka ‘jukwaa la maonyesho ya kisiasa’ kati ya CCM na Chadema kwa kuungwa mkono waziwazi na ACT-Wazalendo na NCCR-Mageuzi.

Diwani aliyedumu katika nafasi yake kwa miaka 55 huyu hapa

Fihiri Mvungi anatimiza miaka 80 Desemba mwaka huu na kiwango hicho cha umri kina mengi ndani yake, kubwa likiwa ni kushikilia kw amuda mrefu nafasi yakuteuliwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Diwani aliyedumu katika nafasi yake kwa miaka 55 huyu hapa

Fihiri Mvungi anatimiza miaka 80 Desemba mwaka huu na kiwango hicho cha umri kina mengi ndani yake, kubwa likiwa ni kushikilia kw amuda mrefu nafasi yakuteuliwa.

Majaliwa awataka wakuu wa shule kuthibiti michango holela

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa shule zote nchini wahakikishe wanaendelea kutekeleza agizo la Serikali la kudhibiti michango holela kwenye shule zao.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Majaliwa awataka wakuu wa shule kuthibiti michango holela

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa shule zote nchini wahakikishe wanaendelea kutekeleza agizo la Serikali la kudhibiti michango holela kwenye shule zao.

Adaiwa kumuua mwanaye wa miezi tisa kwa khanga ili aolewe

Helena Washera (19) mkazi wa Nyamilamba wilayani Kwimba jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza akidaiwa kumuua mtoto wake, Abdalah Simon mwenye umri wa miezi tisa kwa kumnyonga kwa kanga ili aolewe.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Adaiwa kumuua mwanaye wa miezi tisa kwa khanga ili aolewe

Helena Washera (19) mkazi wa Nyamilamba wilayani Kwimba jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza akidaiwa kumuua mtoto wake, Abdalah Simon mwenye umri wa miezi tisa kwa kumnyonga kwa kanga ili aolewe.

Itakachokifanya ACT- Wazalendo ikiingia Ikulu 2020

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema chama hicho kikipata nafasi ya kuongoza nchi baada ya uchaguzi mkuu wa Oktiba 2020 kitahakikisha uchumi wa nchi unakua kwa asilimia 11 pamoja na kujenga uchumi jumuishi na kuimarisha pa
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Itakachokifanya ACT- Wazalendo ikiingia Ikulu 2020

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema chama hicho kikipata nafasi ya kuongoza nchi baada ya uchaguzi mkuu wa Oktiba 2020 kitahakikisha uchumi wa nchi unakua kwa asilimia 11 pamoja na kujenga uchumi jumuishi na kuimarisha pato la Mtanzania.

Daktari: Jiulize kwanini unahisi una corona

Wakati maambukizi ya virusi vya corona vilivyoanzia China vikiendelea kusambaa katika nchi mbalimbali duniani, wataalamu wa afya wanasema kuna baadhi ya watu hawajui hatua za kuchukua endapo wanakuwa na dalili za ugonjwa huo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Daktari: Jiulize kwanini unahisi una corona

Wakati maambukizi ya virusi vya corona vilivyoanzia China vikiendelea kusambaa katika nchi mbalimbali duniani, wataalamu wa afya wanasema kuna baadhi ya watu hawajui hatua za kuchukua endapo wanakuwa na dalili za ugonjwa huo.

Wabunge Chadema walazwa Aga Khan, polisi wakanusha kuwapiga

Wakati Chadema wakisema wabunge wake watatu wamelazwa hospitali  ya Aga Khan baada ya kupigwa na polisi, Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Zuberi Chembela amesema hakuna mwanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania waliyempiga kwa kuwa hilo
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wabunge Chadema walazwa Aga Khan, polisi wakanusha kuwapiga

Wakati Chadema wakisema wabunge wake watatu wamelazwa hospitali  ya Aga Khan baada ya kupigwa na polisi, Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Zuberi Chembela amesema hakuna mwanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania waliyempiga kwa kuwa hilo si jukumu lao.

KESI YA MAUAJI: Ushahidi ‘tata’ waweka huru watuhumiwa

Mahakama kuu kanda ya Dodoma imewaachia huru washtakiwa wawili waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji yaliyotokea miaka minne iliyopita.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

KESI YA MAUAJI: Ushahidi ‘tata’ waweka huru watuhumiwa

Mahakama kuu kanda ya Dodoma imewaachia huru washtakiwa wawili waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji yaliyotokea miaka minne iliyopita.

Mbowe atoka jela

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoka katika gereza la Segerea leo jioni Ijumaa Machi 13, 2020 baada ya kukamilisha kulipa faini ya Sh70 milioni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mbowe atoka jela

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoka katika gereza la Segerea leo jioni Ijumaa Machi 13, 2020 baada ya kukamilisha kulipa faini ya Sh70 milioni.

Viongozi Chadema wahojiwa polisi, wadaiwa kufanya vurugu gerezani

Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Zuberi Chembela amesema viongozi wa Chadema wanashikiliwa katika kituo cha polisi Stakishari kwa mahojiano kwa madai ya kufanya vurugu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Viongozi Chadema wahojiwa polisi, wadaiwa kufanya vurugu gerezani

Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Zuberi Chembela amesema viongozi wa Chadema wanashikiliwa katika kituo cha polisi Stakishari kwa mahojiano kwa madai ya kufanya vurugu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam.

Chadema waomba polisi kuwapeleka hospitali wanachama waliowajeruhi

Wakati takribani wanachama  16 wa Chadema wakikamatwa na polisi huku baadhi yao wakidaiwa kujeruhiwa, chama hicho kimewaomba polisi kuwapeleka Hospitali waliopata majeraha.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Chadema waomba polisi kuwapeleka hospitali wanachama waliowajeruhi

Wakati takribani wanachama  16 wa Chadema wakikamatwa na polisi huku baadhi yao wakidaiwa kujeruhiwa, chama hicho kimewaomba polisi kuwapeleka Hospitali waliopata majeraha.

Kifo cha mfanyakazi wa ndani Arusha chawaibua watetezi Mwanza

Mashirika na taasisi za utetezi wa haki za binadamu jijini Mwanza nchini Tanzania yameiomba Serikali kuridhia mkataba namba 189 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuhusu kazi za staa kwa wafanyakazi wa nyumbani kuwawekea mazingira bora na salama kazini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kifo cha mfanyakazi wa ndani Arusha chawaibua watetezi Mwanza

Mashirika na taasisi za utetezi wa haki za binadamu jijini Mwanza nchini Tanzania yameiomba Serikali kuridhia mkataba namba 189 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuhusu kazi za staa kwa wafanyakazi wa nyumbani kuwawekea mazingira bora na salama kazini.

Anayedaiwa kumuua mfanyakazi wa ndani afikishwa kortini, waandishi wazuiwa

Mkazi wa eneo la Mianzini jijini Arusha nchini Tanzania, Mkami Shirima (30) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru jijini humo
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Anayedaiwa kumuua mfanyakazi wa ndani afikishwa kortini, waandishi wazuiwa

Mkazi wa eneo la Mianzini jijini Arusha nchini Tanzania, Mkami Shirima (30) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru jijini humo

Get more results via ClueGoal