Tanzania
MapoList

Chemical inspectors launch probe in Syria after Western strikes

The world's chemical weapons watchdog is set to convene Monday to discuss the suspected toxic gas assault in Syria that prompted an unprecedented wave of Western strikes, as its inspectors probe the attack near Damascus.

Waziri Castico awafunda watetezi wa haki za watoto

Watetezi wa haki za watoto nchini, wametakiwa kuacha jazba katika utekelezaji wa majukumu yao, ili kuhakikisha watoto wanapata haki zao bila ya usumbufu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

TRA upbeat despite missing collection target for 2017/18

Tanzania Revenue Authority (TRA) is optimistic that it will attain the 2018/19 tax revenue collection target despite missing last year’s collection goal by 9.4 per cent.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Tanzania to receive Sh452bn Credit Suisse boost for SGR, power projects

Tanzania will receive a $200 million loan from Credit Suisse for its mega energy and railway development projects.

Magufuli to grace construction of CCM-owned college

President John Magufuli will on Monday, July 16, 2018 grace an event to lay the foundation stone for the construction of the Julius Nyerere Leadership College.

#WC2018: From Maradona's antics to Neymar's theatrics - five World Cup moments

A thrilling World Cup came to its conclusion as France beat Croatia in Sunday's final in Moscow, but there have been plenty of unusual incidents on the pitch and on the sidelines in Russia.

Mahakama yatengua hukumu kesi ya ufukwe wa Oysterbay

Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na mwenendo wa kesi ya mkataba wa uendelezaji wa ufukwe wa Oysterbay kwa kuwa Jaji Aghaton Nchimbi aliyetoa hukumu hiyo hakueleza sababu za kuisikiliza yeye, badala ya jaji wa awali.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mahakama yatengua hukumu kesi ya ufukwe wa Oysterbay

Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na mwenendo wa kesi ya mkataba wa uendelezaji wa ufukwe wa Oysterbay kwa kuwa Jaji Aghaton Nchimbi aliyetoa hukumu hiyo hakueleza sababu za kuisikiliza yeye, badala ya jaji wa awali.

#WC2018: KOMBE LA DUNIA 2018: Fainali Russia zilinoga lakini teknolojia ya VAR ilitibua

Bonanza la Fainali za Kombe la Dunia 2018 lililokuwa likifanyika kule Russia limemalizika jana jioni na kila mmoja amepata matokeo, bingwa ndiyo ameshapatikana na kutia kibindoni Sh852bil za ubingwa na kombe lililonakshiwa kwa dhahabu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

#WC2018: KOMBE LA DUNIA 2018: Fainali Russia zilinoga lakini teknolojia ya VAR ilitibua

Bonanza la Fainali za Kombe la Dunia 2018 lililokuwa likifanyika kule Russia limemalizika jana jioni na kila mmoja amepata matokeo, bingwa ndiyo ameshapatikana na kutia kibindoni Sh852bil za ubingwa na kombe lililonakshiwa kwa dhahabu.

#WC2018: Mbappe kautendea haki umri wake Russia

Fainali za Kombe la Dunia kule Russia zimemalizika lakini kulikuwa na dogo mmoja tu, huyu anachezea Paris Saint-Germain na timu ya taifa la Ufaransa, Anaitwa Kylian Mbappe, alikuwa gumzo kutokana na kiwango alichokionyesha kwenye fainali hizo za Russia.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

#WC2018: Mbappe kautendea haki umri wake Russia

Fainali za Kombe la Dunia kule Russia zimemalizika lakini kulikuwa na dogo mmoja tu, huyu anachezea Paris Saint-Germain na timu ya taifa la Ufaransa, Anaitwa Kylian Mbappe, alikuwa gumzo kutokana na kiwango alichokionyesha kwenye fainali hizo za Russia.

After Obama, Swiss President arrives for 15-day tour of Tanzania

If the success of a country is to be measured by the number of visit by high profile visitors, then Tanzania is on the right track.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

After Obama, Swiss President arrives for 15-day tour of Tanzania

If the success of a country is to be measured by the number of visit by high profile visitors, then Tanzania is on the right track.

Rais Magufuli ampa pole Kamishna Jenerali mpya wa Magereza

Rais John Magufuli jana alitumia dakika 20 kueleza mambo asiyopendezwa nayo ndani ya Jeshi la Magereza na kumtaka Kamishna Jenerali mpya wa jeshi hilo, Phaustine Kasike kuyafanyia kazi huku akirudia kumpa pole mara nne.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Rais Magufuli ampa pole Kamishna Jenerali mpya wa Magereza

Rais John Magufuli jana alitumia dakika 20 kueleza mambo asiyopendezwa nayo ndani ya Jeshi la Magereza na kumtaka Kamishna Jenerali mpya wa jeshi hilo, Phaustine Kasike kuyafanyia kazi huku akirudia kumpa pole mara nne.

#WC2018: TUJIKUMBUSHE: Historia kujirudia Ufaransa vs Croatia?

Hatimaye ile fainali iliyosubiriwa kwa hamu, ndio ishafika hiyo mwanangu. Tunahesabu masaa tu kabla Uwanja wa Luzhniki haujaandika historia nyingine ya michuano ya Kombe la Dunia. Hii itakuwa zaidi ya fainali, sijui itakuwaje lakini mbona patachimbika tu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

#WC2018: TUJIKUMBUSHE: Historia kujirudia Ufaransa vs Croatia?

Hatimaye ile fainali iliyosubiriwa kwa hamu, ndio ishafika hiyo mwanangu. Tunahesabu masaa tu kabla Uwanja wa Luzhniki haujaandika historia nyingine ya michuano ya Kombe la Dunia. Hii itakuwa zaidi ya fainali, sijui itakuwaje lakini mbona patachimbika tu.

Waliosoma Jangwani walizwa na matokeo mabaya ya kidato cha sita

Matokeo ya kidato cha sita yaliyotolewa juzi na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), yamepokewa kwa mtazamo tofauti, baadhi ya wananchi wakiyafurahia na wengine kufadhaika.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waliosoma Jangwani walizwa na matokeo mabaya ya kidato cha sita

Matokeo ya kidato cha sita yaliyotolewa juzi na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), yamepokewa kwa mtazamo tofauti, baadhi ya wananchi wakiyafurahia na wengine kufadhaika.

Jafo ataka shule za Serikali kutamba 10 bora kitaifa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amewataka wakuu wa shule za sekondari za Serikali kuhakikisha mwaka 2019, shule hizo zinakuwa nyingi katika orodha ya shule 10 bora kitaifa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jafo ataka shule za Serikali kutamba 10 bora kitaifa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amewataka wakuu wa shule za sekondari za Serikali kuhakikisha mwaka 2019, shule hizo zinakuwa nyingi katika orodha ya shule 10 bora kitaifa.

Demokrasia ya vyama vingi ilivyogubikwa na fedha chafu

Baada ya Mwalimu Julius Nyerere kung’atuka madarakani mwaka 1985, mabadiliko makubwa ya kisiasa na kiuchumi yalifanyika kupitia tawala zilizofuata baada ya yake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Demokrasia ya vyama vingi ilivyogubikwa na fedha chafu

Baada ya Mwalimu Julius Nyerere kung’atuka madarakani mwaka 1985, mabadiliko makubwa ya kisiasa na kiuchumi yalifanyika kupitia tawala zilizofuata baada ya yake.

Dalic: No excuses, we are ready

The luxury of having a few minutes of peace in his hotel lobby is a luxury that Zlatko Dalic has not been afforded of late, with the Croatia coach in constant demand for autographs and selfies from Vatreni supporters.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Dalic: No excuses, we are ready

The luxury of having a few minutes of peace in his hotel lobby is a luxury that Zlatko Dalic has not been afforded of late, with the Croatia coach in constant demand for autographs and selfies from Vatreni supporters.

Americans dominate opening day of inaugural Athletics World Cup

The United States will take a healthy lead into the second and final day of the inaugural Athletics World Cup in London on Sunday after heading the standings at the close of Saturday's opening session.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

Americans dominate opening day of inaugural Athletics World Cup

The United States will take a healthy lead into the second and final day of the inaugural Athletics World Cup in London on Sunday after heading the standings at the close of Saturday's opening session.

VIDEO: Maajabu matokeo ya kidato cha sita

Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa katika orodha ya shule 10 za mwisho.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Maajabu matokeo ya kidato cha sita

Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa katika orodha ya shule 10 za mwisho.

Hakuna mtu anayejiua mwenyewe, jamii ndio humuua kwa namna hii

Polisi watatu wamejiua ndani ya saa 48 katika matukio ambayo yameripotiwa nchini, hivyo kuleta mshtuko miongoni mwa wananchi wa kawaida.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Hakuna mtu anayejiua mwenyewe, jamii ndio humuua kwa namna hii

Polisi watatu wamejiua ndani ya saa 48 katika matukio ambayo yameripotiwa nchini, hivyo kuleta mshtuko miongoni mwa wananchi wa kawaida.

Tanzania njia panda mabilioni ya Uswisi

Wakati Kenya na Uswisi zikiingia makubaliano ya kurejesha mabilioni ya fedha yaliyofichwa katika benki za nchi hiyo ya barani Ulaya, Tanzania imeendelea kuwa njia panda katika suala hilo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tanzania njia panda mabilioni ya Uswisi

Wakati Kenya na Uswisi zikiingia makubaliano ya kurejesha mabilioni ya fedha yaliyofichwa katika benki za nchi hiyo ya barani Ulaya, Tanzania imeendelea kuwa njia panda katika suala hilo.

#WC2018: England's Southgate cites Germany blueprint as model for success

England manager Gareth Southgate hopes his team can ride the momentum generated by their run to the World Cup semi-finals and follow the path Germany took to the top of international football.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

#WC2018: England's Southgate cites Germany blueprint as model for success

England manager Gareth Southgate hopes his team can ride the momentum generated by their run to the World Cup semi-finals and follow the path Germany took to the top of international football.

#WC2018: France focus on World Cup glory, spurred on by 2016 Euro pain

France fine-tuned their preparations for the World Cup final against Croatia on Friday, desperate to overcome the bitter disappointment of losing the Euro 2016 final as FIFA declared Russia 2018 the best-ever tournament.
The Citizen | Tanzanias leading English news site - Home

#WC2018: France focus on World Cup glory, spurred on by 2016 Euro pain

France fine-tuned their preparations for the World Cup final against Croatia on Friday, desperate to overcome the bitter disappointment of losing the Euro 2016 final as FIFA declared Russia 2018 the best-ever tournament.

Get more results via ClueGoal