Mwakilishi ACT-Wazalendo kuzikwa leo jioni
newsare.net
Mwili wa aliyekuwa mwakilishi mteule wa Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Abubakar Khamis Bakar utazikwa leo jioni Jumatano Novemba 11, 2020 saa 10 jioni katika makaburi ya Kianga yaliyopo Mbweni Unguja.Mwakilishi ACT-Wazalendo kuzikwa leo jioni
Mwili wa aliyekuwa mwakilishi mteule wa Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Abubakar Khamis Bakar utazikwa leo jioni Jumatano Novemba 11, 2020 saa 10 jioni katika makaburi ya Kianga yaliyopo Mbweni Unguja. Read more