RC Kunenge awapa rungu wenyeviti Serikali ya mitaa Dar
newsare.net
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge ameagiza wenyeviti wa Serikali za mitaa kuwachukulia hatua za kisheria wakazi wa jiji la Dar es Salaam watakaotiririsha maji taka katika kipindi hiki cha mvua za vuli na masika.RC Kunenge awapa rungu wenyeviti Serikali ya mitaa Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge ameagiza wenyeviti wa Serikali za mitaa kuwachukulia hatua za kisheria wakazi wa jiji la Dar es Salaam watakaotiririsha maji taka katika kipindi hiki cha mvua za vuli na masika. Read more