Magufuli awateua Profesa Kabudi na Dk Mpango kuwa mawaziri
newsare.net
Rais John Magufuli amemteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Dk Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa ameweka taarifa hiyo katika ukurasa wake wa Instagram. Mawaziri hao wateule waMagufuli awateua Profesa Kabudi na Dk Mpango kuwa mawaziri
Rais John Magufuli amemteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Dk Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa ameweka taarifa hiyo katika ukurasa wake wa Instagram. Mawaziri hao wateule walikuwa wakishikilia nyadhifa hizo katika baraza la mawaziri lililopita. Uteuzi huo unaanza leo Ijumaa Novemba 13, 2020. Read more