Stars ngoma bado ngumu
newsare.net
Baada ya jana timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoteza mchezo wa raundi ya tatu kuwania kufuzu kombe la mataifa ya Afika (AFCON) dhidi ya Tunisia Ugenini kwa kufungwa bao 1-0, timu hiyo inatarajia kurejea bongo kujiandaa na mchezo wa marudiano utakaopStars ngoma bado ngumu
Baada ya jana timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoteza mchezo wa raundi ya tatu kuwania kufuzu kombe la mataifa ya Afika (AFCON) dhidi ya Tunisia Ugenini kwa kufungwa bao 1-0, timu hiyo inatarajia kurejea bongo kujiandaa na mchezo wa marudiano utakaopigwa Novemba 17 dhidi ya Tunisia hao hao. Read more